- 19
- 116 966
Carecom Stories
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 20 ต.ค. 2017
Social, religion, life, nature, technology, love , political , fun, intertainment , health, and education stories. contact us viadorismapishi@gmail.com
Kwaya ya Mt cesilia kutoka kwanza wakionesha kipaji cha kuimba migoli, iringa
Kwaya ya Mt cesilia kutoka kwanza wakionesha kipaji cha kuimba migoli, iringa
มุมมอง: 22
วีดีโอ
Watoto wa vipapa: Nyimbo ya Askofu Vincent Mwagala, Askofu wa jimbo la Mafinga
มุมมอง 847 หลายเดือนก่อน
Watoto wa vipapa: Nyimbo ya Askofu Vincent Mwagala, Askofu wa jimbo la Mafinga
Watoto wa vipapa : Nyimbo ya Historia ya Askofu JM Ngalalekumtwa, Askofu wa Jimbo la Iringa 2023.
มุมมอง 28Kปีที่แล้ว
Wimbo maalum wa Historia ya Askofu Askofu JM Ngalalekumtwa, Ulioimbwa na watoto wa vipapa katika sherehe ya maadhimisho ya JUBILEI IRINGA 125 YA UINJILISHAJI NA MIAKA 50 YA UTUME WA ASKOFU.
HIJA IRINGA 2023 : Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo Katoliki Iringa - Carecom stories
มุมมอง 155ปีที่แล้ว
Misa Takatifu ya Hija ya Msalaba ya Jubilei ya miaka 125 ya Ujio wa Kanisa Katoliki Iringa.
Jinsi ya Kutengeneza kachumbari tamu | salad | kachumbari ya tango
มุมมอง 2K3 ปีที่แล้ว
Jinsi ya Kutengeneza kachumbari tamu | salad | kachumbari ya tango
Iftar | Jinsi ya kupika Pilau kuku tamu ya ramadhani | Jinsi ya kutengeneza pilau kuku | pilau kuku
มุมมอง 1743 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika Pilau kuku tamu ya ramadhani| Jinsi ya kutengeneza pilau tamu ya ramadhani
Jinsi ya Kupika chakula cha mtoto mchanga | ndizi tamu kwa mtoto
มุมมอง 17K3 ปีที่แล้ว
Jinsi ya Kupika chakula cha mtoto mchanga | ndizi tamu kwa watoto.
Jinsi ya kupika Kibua samaki | jinsi ya kutengeneza samaki kibua | how to cook fish | Mapishi Online
มุมมอง 3.6K4 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika Kibua samaki | jinsi ya kutengeneza samaki kibua | how to cook fish | Mapishi online
Jinsi ya Kupika Piza nyumbani | Jinsi ya kutengeneza piza | Mapishi Online
มุมมอง 1.5K4 ปีที่แล้ว
Jinsi ya Kupika Piza | Jinsi ya kutengeneza piza | Mapishi Online
Jinsi ya kupika Chapati laini tamu sana | How to cook soft Chapatti/ chapathi | Mapishi Online
มุมมอง 1274 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika Chapati laini tamu sana | How to cook soft Chapatti/ chapathi | Mapishi Online
Jinsi ya kupika kitimoto | How to make pork | kitimoto rosti/ pork roast - Mapishi online
มุมมอง 31K4 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika kitimoto | How to make pork | kitimoto rosti/ pork roast - Mapishi online
zanzibar
มุมมอง 1224 ปีที่แล้ว
Sauti za Busara 2020 ZANZIBAR | Forodhani Mapishi na chakula CHA Kipemba
Jinsi ya kupika nyama ya kukaanga kwa dakika 5 - Mapishi online
มุมมอง 8K4 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kukaanga nyama kwa dakika 5 chakula anachopenda Diamond Platnumz - Mapishi online Njoo Tupike
Jinsi ya kupika ugali wa kisukuma - Mapishi Online
มุมมอง 3.5K5 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika ugali wa muhogo, udaga, kisukuma - Mapishi Online
Jinsi ya Kupika Bagia za mbogamboga - Mapishi Online
มุมมอง 6015 ปีที่แล้ว
Jinsi ya Kupika Bagia za mbogamboga - Mapishi Online
Jinsi ya kukaanga Kuku wa mayai - Mapishi Online
มุมมอง 5K5 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kukaanga Kuku wa mayai - Mapishi Online
Jinsi ya kupika ndizi Bukoba bila kumenya maganda- Mapishi Online
มุมมอง 6K5 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika ndizi Bukoba bila kumenya maganda- Mapishi Online
Jinsi ya Kupika Utumbo wa ng'ombe- Mapishi Online
มุมมอง 4.4K5 ปีที่แล้ว
Jinsi ya Kupika Utumbo wa ng'ombe- Mapishi Online
Jinsi ya Kupika Wali wa Mayai- Mapishi Online
มุมมอง 6K6 ปีที่แล้ว
Jinsi ya Kupika Wali wa Mayai- Mapishi Online
Did u summer till the water dry and it fry itself? In it's own fat? I really need to know that bit plz
❤❤❤❤benadeta wangu najuwa hukosi hapo
Utoto mtakatifu Raha sana
Mungu awabariki sana❤
Mwalimu jocy ubarikiwe mung akubarik
Amazing, glory to God in the highest
Mungu awalinde watoto hawa
❤❤❤❤
Iringa haijawahi feli.Kwina ng'ambako inzegale.
Mungu awabariki sana
So wonderful ❤️🙏🌹
Hongereni..watoto wazur
Hii ni ndiz mbivu
Dada Joyce unamoto❤❤❤
Hongereni sana wana_Utoto Mtakatifu
Najivunia kuwa mkatoliki
Mungu awabariki wote nimefurahi sana ningekua karibu ningewanunulia soda wote
Hongereni sana kanisa katoliki Tanzania 🎉🎉
Waooooh asanteni sana mbarikiwe
Hongereni sana kwa utume watoto wazuri, MUNGU awajalie neema ya kumtumikia daima katika maisha yenu.hongera pia kwa walezi wa utoto mtakatifu,MUNGU awariki sana mnafanya kazi kubwa na nzuri.
Mbarikiwe saana ❤🤝
Ktk mambo yanayoambatana na imani Mungu huwainua watoto wake. Tazama katika tukio lote hakuna kosa limefanyika.
watoto wa kipapa. mko vizuri❤❤❤❤
👏👏👏👏👏👏
❤❤❤
Wow wow. I am wowed 😂😂 hongera saaana wana Iringa. Nimependa sanaaa. Proud to be catholic ❤❤😊😊
Wametubariki sana th-cam.com/video/Wqy_NYFEgkc/w-d-xo.htmlsi=7v7yas-vBwuIepKu
Mubarikiwe Sana ktk maisha yenu watoto Kwa utume mwema Baba askofu Ngalalekumtwa kongore sana Kwa jubilee ya miaka 50 ya utume mwema wa upadre Mungu akubariki Sana na atukuzwe Mungu Milele 🙏 nimetokwa na machozi ya furaha Amina wana wa Mungu najivunia ukatoriki na Asante Mungu Kwa zawadi ya Imani katoriki
So sweet so fun keep it up my youngs
Ulutogo kwa Yesu, mnogye swee, ena vana mgendelage lulo!
Hongera san
Very nice mbarikiwe sanaaaaaa❤🎉🎉
Ningekuwa karibu huyo mtoto mdogo mstari wa mbele amenities moyo Sana. Hongera kipapa Iringa
Huyo mtoto mungu ansaidie afike mbali kwakweli
Ni mdg sana
Amina kipapa wa kihehe mkovizuri Mungu apewe sifa azidikuwabariki azidi kuwatunza❤
miez mingap tujibu bas mm ana miez 4
Walimu wa vipapa mko vizuri 🥰🥰🥰
Watoto hawajawahikosea wako vizuri th-cam.com/video/d2MAkNHHKBI/w-d-xo.htmlsi=20QRlygrsUYBsnGB
Hongeren watoto mko vzr
Nimekumbuka izi zile jamani laha sana jamani nikiwa namkalibisha mkude wetu msitaafu daa
Mpk nimetoa machozi
Hongereni watt wazuri ❤mmeimba vizuri sana
Mungu awatunze watoto,mzidi kubarikiwa.
Nice nimekumbka san enzi zetu n mwalim joyce Mungu awatunze ktik njia zake daima
Umeona da Joyce ukiwa mzito wa kucheza mbn utakoma
Mchanga wa miezi mingap
Jinsi ya kutengeneza oral powder ndo utuelezeee
mie mshamba unaweza ukala pork na chapat
Ndio na Ubwabwa. Ndizi. viazi. Ugali, Kari au mchacha pembeni.
Wow ty my dear Papishi rahirisi for the awesome lovely soft chapatis recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania Wow.
Ty so much Mapishi on line!! For the awesome lovely pork boil dry fry recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania Wow absolutely amazing.
Nahitaji mafuta ya pork
Wow ty so much for the awesome lovely pork cooking of it's kind recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania Wow absolutely amazing.
Nzuri sana