Ali Kiba alivyomtembelea mama yake Rais Magufuli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 341

  • @akeem1221
    @akeem1221 3 ปีที่แล้ว +2

    nimeiona hii leo na bado chozi linani dondoka jameni. Chi gani bara la Afrika upewe fursa ya kumtembelea mamake Raisi hiv hivi tu. This is another level of love and happiness.

  • @asheilla
    @asheilla 3 ปีที่แล้ว +22

    Jamani Alikiba ,msimsahau uyu mama ,anapitia mazito kuliko wote subhannallah kifo hakizoweleki😭😭😭 #ripmagufuli

  • @semanamitv898
    @semanamitv898 7 ปีที่แล้ว +13

    Kiba upo juu, no other option.... Wewe ni Mwanamuziki uliye bobeya kutangaza Taifa lako kizalendo zaidi... Big'up my bro

  • @benygoodluck9992
    @benygoodluck9992 7 ปีที่แล้ว +3

    Binafsi huwa nakubali kitu anacho kifanya king kiba big up sana king mungu azidi kukupa nuru katika maisha yako

  • @umydaddy4697
    @umydaddy4697 7 ปีที่แล้ว +29

    Nzuri sana. Mzaa chema huyo. Katuzalia rais wetu

  • @hadiyacali2573
    @hadiyacali2573 3 ปีที่แล้ว

    Asante Ally kiba mungu akubariki kwa kumpa furaha mama makufuli nimefarijika mno kumwona anacheza

  • @anthonykondobole3962
    @anthonykondobole3962 3 ปีที่แล้ว +5

    Jmni kibba ana natural talent jmn,na mvuto wa tofaut,maana hana mambo mengi,hana vtu vya kisanii lkn ukimuona to ww mwenyewe unaenjoy,tofaut na wengne. Yn naweza sema sawa na messi tu

  • @sajeedavirani6331
    @sajeedavirani6331 7 ปีที่แล้ว +6

    Maa shaa Allah hongera sana mama yetu mama wa kiongozi wetu mungu azidi kukupa umuri mrefu ili uzidi Kimpa baraka kiongozi wetu ili azidi kutuinua tulokuwa hali ya chini mungu ambaliki ktk kipindi hiki alichonacho kwani ni kipindi kifupi lkn kwa aliyoyafanya na anayoenderea kuyafanya hatuna budi kumshukulu na kumuombea kheryi ktk uongozi wake

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว +9

    Dah jmn bibi yetu Viatu vyake havivaliki😭😭😭😭Mungu mpe nguvu😭😭

  • @m2kumbom2kumbo56
    @m2kumbom2kumbo56 7 ปีที่แล้ว +11

    King kiba fresh sana ulichokifanya bg up tu sana 👏👏👊👊👊✔✔

  • @djb2kzer0
    @djb2kzer0 7 ปีที่แล้ว +8

    Ali kiba na mimi utamtembelea lini bibi Ila buda sana mtu wa Watu 👉🇨🇦😄

  • @princerama8178
    @princerama8178 7 ปีที่แล้ว +1

    me nakupenda sana mtangazaji dah hiyo sauti tayako# kiukwel inanifanya kila time niweke bando kusikiliza kila Apdate zinazo jiri so big up to you good voice

  • @rajubayhimmatwala5686
    @rajubayhimmatwala5686 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana arikibaa. Diniyetu. Inatufundisha ivyoo kutembereanaa. Pia. Kutemberea wagojwaa. Hospitarini. Ndio. Mawaidha tosha

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda alikiba daa allah akujalie maisha marefu ya kuishi dunian akulinde na mabalaaa na akueke mbali na maadui zako wanaokuzunguka washindwe.

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 7 ปีที่แล้ว +15

    hongera kiba sio Mond umalaya tu ndio anajua ubarikiwe kiba 🙏🙏🙏🙏

  • @sunshinekamnina6312
    @sunshinekamnina6312 7 ปีที่แล้ว +9

    Kwel ww ni kipenzi cha watu,I love you king kiba

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 3 ปีที่แล้ว

    Mmefanya jambo jema sana hongera Mungu wabariki mnoo

  • @catherinjose6175
    @catherinjose6175 6 ปีที่แล้ว

    mungu akuzidishie king kibaaaa uwe na baraka tere na zenye mafanikio broo

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah kakaetu ally kiba umeonesha upendo wahaliyajuu naheshma.kwaraisi wetu kwaujumla ubarikiwe mamaetu.mamawaraisi wetu

  • @angeljohannes8630
    @angeljohannes8630 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko juu Sana brother barikiwa Sana

  • @ndilanhasjeremiah
    @ndilanhasjeremiah 7 ปีที่แล้ว +3

    Ni kituu cha busaraa xna broo mungu akujalie ktk kila jamboo ufanyaloo kingkibaa 4 lifee

  • @aminahamisi9271
    @aminahamisi9271 7 ปีที่แล้ว +1

    Allah andelee kukubaliki na akupe maisha marefu na akupe afya tere uzidi kupambana

  • @shekhekhandereizer559
    @shekhekhandereizer559 7 ปีที่แล้ว +11

    daaaaa hili dude seduce rimix ni moto beat asee

  • @angelamarlow510
    @angelamarlow510 3 ปีที่แล้ว

    Jamani kumbe Alikiba ndivyo ulivyo kaka angu Mungu azidikukubarik mnoo

  • @khantv6949
    @khantv6949 7 ปีที่แล้ว +14

    MTU WA watu KING KIBA ata AYO unatambua ivo

  • @almendhiryable
    @almendhiryable 4 ปีที่แล้ว

    Safi Sana king kiba umeonesha mfano mzuri kwetu washabiki zako nakumfukia diamond ajipange

  • @tendatanzania8358
    @tendatanzania8358 7 ปีที่แล้ว +9

    Imefana sana kwa kumkimbuka bibi yetu hapo chato
    Inaleta faraja
    Well done kiba TM

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah, Ni baraka full tu jamani😁😁

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 3 ปีที่แล้ว +1

    Sinaa la kusema mama magufuri Allah akujaalie mama na hongera Sana kiba

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 7 ปีที่แล้ว +2

    What a wonderful guy... keep it up son. We are behind you...

  • @jamesphilbertjayptz8282
    @jamesphilbertjayptz8282 6 ปีที่แล้ว +1

    mi nilichokipenda ni kutembelea wagonjwa hospitalin na kuwajulia hali, hilo bro umefanya jambo jema sana, ila watu wote waliokoment wamesifia kwenda kwa mamake magu yaan akili zenu fupi kama nyasi, big up king kiba kiba 4 real kiba 4 life luv u kaka,hisan kubwa umeitenda kwa wagonjwa na utapata thawabu mamake magu ni mtu wa kawaida kama bibi angu so sion kitu kikubwa unachosifiwa na wadau kwa kumtembelea bibi

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 6 ปีที่แล้ว +3

    Yeah, Good newz
    Vijana mmeenda kuchota baraka kwa wazazi, haller king himself

  • @ebonyberyl6865
    @ebonyberyl6865 4 ปีที่แล้ว +3

    I love how down to earth kingkiba is.He has always been my all-time crush.

  • @luluashiri7610
    @luluashiri7610 7 ปีที่แล้ว +4

    saf Sana kiba uko vzr wapinzani hawana jipya

  • @richardkobero6988
    @richardkobero6988 7 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana Alikiba #kingkiba mtu wa watu ...Mimi kama mtanzania najivunia uwepo wako

    • @mkkagete5765
      @mkkagete5765 6 ปีที่แล้ว

      Richard Kobero.pia Kenya twakubali mtokeo kingkiba the tiger the Lula of the music

    • @samiahazali2027
      @samiahazali2027 6 ปีที่แล้ว

      Kibaa niambie ulikuta wanajeshi wangapi hm kwa bibi

    • @enokckyustas7024
      @enokckyustas7024 6 ปีที่แล้ว

      Mboso
      ..'

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 7 ปีที่แล้ว +17

    Alikiba nimekupenda bure ubarikiwe inshaallah katika shughuli zako

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 4 ปีที่แล้ว

    Safi umehubiri kwa matendo,kutembelea wagonjwa,ubarikiwe

  • @zaitunmrisho7868
    @zaitunmrisho7868 3 ปีที่แล้ว

    Waoooh!inapendeza sana 💞

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 4 ปีที่แล้ว +1

    Mama Magufuli Asante kutuzalia jembe.asante Sana mama

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 3 ปีที่แล้ว

    From 🇧🇮 Saudia Alhamdulillah

  • @winniem7714
    @winniem7714 4 ปีที่แล้ว

    Kiukweli umetisha iyo nibaraka kubwa kusalimia wazee

  • @amijayimani4561
    @amijayimani4561 7 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa bibi anapojitutumua🙌🙌bado yuko strong

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 7 ปีที่แล้ว +1

      Amijay Imani Yani sana

  • @abedijonas4936
    @abedijonas4936 7 ปีที่แล้ว +7

    Ongera kiba ukihona mwenzako kafanya vitu vya mahana mpe ongera yake mimi nishabiki wa diamond lakini kwa hili na mpa hongera zake

  • @chesadennis254
    @chesadennis254 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe nguvu mamayetu. Ulizalia Africa CHUMA la kutegemewa. Sasa JPM Rais wa kweli amelala. Sijui itakua vipi kwako ila ameacha heshima kubwa. Kenya inalia. WaTanzania tunawapenda makiwa.

  • @nyanchokachacha6975
    @nyanchokachacha6975 7 ปีที่แล้ว +16

    Safi kijana wetu kwa kumfikia bibi yetu

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe nguvu bibi

  • @josephnyikaalikibandomweny374
    @josephnyikaalikibandomweny374 4 ปีที่แล้ว

    Umefanya Jambo nzuri King kiba

  • @pendolazaro4686
    @pendolazaro4686 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana

  • @kalis1115
    @kalis1115 7 ปีที่แล้ว +6

    kibaaaa! I like that bro

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee nzuri sana

  • @emmanuelmkumbo1792
    @emmanuelmkumbo1792 3 ปีที่แล้ว

    King yupo very strategic..👏

  • @mathayojackson3477
    @mathayojackson3477 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kak

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 7 ปีที่แล้ว +20

    Nakueshimu san king tanzania tu ni kibaaaaaa

  • @rachellebahati6510
    @rachellebahati6510 7 ปีที่แล้ว +17

    Team king kiba

    • @neemajohn1719
      @neemajohn1719 4 ปีที่แล้ว +1

      Big unaweza ongela sana

  • @winniem7714
    @winniem7714 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kutembea bibi zako

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 3 ปีที่แล้ว +1

    Godbless you mama

  • @paulosolo9465
    @paulosolo9465 4 ปีที่แล้ว

    Big up Mr kiba

  • @abdulmuslih148
    @abdulmuslih148 6 ปีที่แล้ว

    pamoja sana kiba unakubalika kila kona ya afrika

  • @maggefrank3631
    @maggefrank3631 4 ปีที่แล้ว

    Aaaah wao jmniiii me pendaa wew kibbaa

  • @patrickmabula8999
    @patrickmabula8999 6 ปีที่แล้ว +2

    Hakika ww ndo king wetu Mungu wetu awe na ww

  • @kisomizaidi4909
    @kisomizaidi4909 7 ปีที่แล้ว +3

    Hongera bro nipe mkono n.a. mimi

  • @paullucoz2843
    @paullucoz2843 5 ปีที่แล้ว +1

    big up brother unamoyo wakuona mbali hao ndio miungu wetu wa duniani

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 7 ปีที่แล้ว +3

    Allah azidi kukuongoza hakika umejaaliwa busara

  • @cnt1centredesnouvellestech935
    @cnt1centredesnouvellestech935 4 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe king kiba na kupenda sana

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 7 ปีที่แล้ว +6

    Yani raha sana😍😍

  • @agreymsemwa8021
    @agreymsemwa8021 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana king kiba huo ndio utu bana

  • @jimmymberesero7350
    @jimmymberesero7350 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe JPM Ucheshi katoa huku eeh Hehee.. Swafii..💯

  • @jasminejuma4375
    @jasminejuma4375 3 ปีที่แล้ว +1

    That's why I love kiba

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kiba na mdogo wngu

  • @muddaththirhamoud1240
    @muddaththirhamoud1240 7 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah nice 👍

  • @willyjulius7740
    @willyjulius7740 7 ปีที่แล้ว +6

    kwa wafanyakaz wote wa ayo tiv mnajua bethday ya milard ni lini kwa wanaojua tunatak kuona mnajali vip boss wenu nikiwa mimi hapa natoa liten kwa chaliii ya tengeru😂😂😂😂

  • @naimahhussein8430
    @naimahhussein8430 7 ปีที่แล้ว +1

    🙌🙌🙌safi king kibaa

  • @boscomseso2724
    @boscomseso2724 6 ปีที่แล้ว

    Saf sana kaka kiba umeonyesha wewe sio kwenye sanaa tu hata mambo hayo unafanyaga

  • @maureenmwimano1973
    @maureenmwimano1973 7 ปีที่แล้ว +3

    big up Ailbika2

  • @gisellechamulunguvuxenutbi9219
    @gisellechamulunguvuxenutbi9219 7 ปีที่แล้ว +1

    king kiba una watoto wangapi nikuchezeye, bibi noma sana

  • @kachinyarukeha2281
    @kachinyarukeha2281 6 ปีที่แล้ว

    kiba umependeza sana japo xikukubar ala apo nimekubal wa king. kibaaaaaaa

  • @saleheramadhan5442
    @saleheramadhan5442 6 ปีที่แล้ว

    umetisha

  • @sofiaahmad1926
    @sofiaahmad1926 3 ปีที่แล้ว

    Ali Kiba nimefurahi sana kutembelewa wazee.

  • @salummanzi8164
    @salummanzi8164 7 ปีที่แล้ว +9

    Ulichokifanya kingkiba unastahili kuigwa,

  • @hawasaid9595
    @hawasaid9595 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali king

  • @tumainmatokeo586
    @tumainmatokeo586 6 ปีที่แล้ว +6

    Mimi nashindwa kujua kwanini watu hawakubali kazi za mastaa wengine mf.Daimond, kiba, mess na ronaldo et unamtukana huyu unampongeza yule hawa wote ni watu wa juu tu achen ushetani.

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 7 ปีที่แล้ว +2

    Binna napenda sauti yako mashahallah.

  • @sweetyfaridahsweety8700
    @sweetyfaridahsweety8700 7 ปีที่แล้ว +4

    Kiba kipenzi cha wengi 💋

  • @rebekamashebe7277
    @rebekamashebe7277 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akufariji bibi

  • @maureenmwimano1973
    @maureenmwimano1973 7 ปีที่แล้ว +3

    big up Alikiba

  • @supertallone4905
    @supertallone4905 7 ปีที่แล้ว +3

    Big Up! KingKiba

  • @fifialhathimi4580
    @fifialhathimi4580 3 ปีที่แล้ว +1

    King Himself Kipezi Cha Watu

  • @balikikamkumba9043
    @balikikamkumba9043 6 ปีที่แล้ว

    hongera sana kk

  • @beatricekamengekamenge5543
    @beatricekamengekamenge5543 6 ปีที่แล้ว +2

    Waooo king

  • @rachellebahati6510
    @rachellebahati6510 7 ปีที่แล้ว +5

    King kiba nakupenda bure

    • @thomsamm6759
      @thomsamm6759 7 ปีที่แล้ว

      Rachelle Bahati jamani unapenda vizuri!,,

  • @nancyshah254
    @nancyshah254 6 ปีที่แล้ว +2

    That's great

  • @annarusi2577
    @annarusi2577 7 ปีที่แล้ว +5

    Mama mzaa chema shukrani sana

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 6 ปีที่แล้ว

    Nimefurai sana kiba umemfuraisha bibi yetu mama wa rais watu hongera sana bibi nae kanifuraisha sana eti nae anacheza hadi raha yani

  • @stevensimbey283
    @stevensimbey283 7 ปีที่แล้ว +2

    asante Sana alikiba

  • @mohamedmzee5249
    @mohamedmzee5249 4 ปีที่แล้ว

    Sio heshima ya mtoto wa kiiislamu kufika mbele ya mama na magoti wazi

  • @masudiitembele5414
    @masudiitembele5414 7 ปีที่แล้ว +2

    safi sana king kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 3 ปีที่แล้ว

    Mashaalah 🙏🏽💓💕

  • @bbycandy3979
    @bbycandy3979 3 ปีที่แล้ว

    Big up sna king

  • @maryayo7283
    @maryayo7283 6 ปีที่แล้ว

    Namkubali sanaaa alikibaa coz anajalii binadamu

  • @nassoromzenga866
    @nassoromzenga866 5 ปีที่แล้ว

    Ongera sana kiba