Kabisa hiyo imekuwa sehemu ya utalii kweli,,,,,,,Kunta naelewa ulichokuwa unakifanya hapo,,,,,,,,,,hii changamoto ni kubwa,,,,,,,,poleni mno,,,,pole Kunta wangu
Dah poleni sana wana BK wote. Hapa kuna kitu cha kujifunza na pia kujiuliza Kwa nini majanga yametufululiza naamini hata watu wa pwani ya bahari nasi tujiandae kwani hatuko salama kabisa.
Poleni ,ni mabadiliko ya tabia nchi,lkn kama wazee waliwambia mwisho ziwa lilikuwa wapi,kwann,mlijenga maeneo hayo jamani,anyway mhame sasa ,ondokeni kama mvua zikiendelea na huo upepo hapo sasa mtihani!
Kwakwel maji yamejaa sana mm napafahamu hapo. Yalipo hayo magoli ya uwanja wa mpira palikuwa ni mbali na maji yalipokuwa, sasa kama yame jaa had kuvuka uwanja huo ni hatar
Kwanza ni wape pole lakini Mjifunze msiruduhe kujenga karibu na ziwa ni marafuku kujenga karibu na ziwa mita 400 ziwa limerudia sehemu yake mara ya mwisho ziwa hili lili jaa maji kwenye kiwango hiki ni mwaka 1964 na level ilikuwa 13.41 meter Leo level imepita ni wakati muafaka wa kutoka sehemu ya ziwa.
Mama bikira maria tuokoe tanzania katika magonjwa yamlipuka ikiwamo corona na mafuriko mkoani kafera mara na kwanza na ukerewe uwaponye ndugu zetu na mafuriko na ukawape faraja ya moyo na matuamaini.amen
Kwanza Poleni sana wananchi wote wa Mwanza, Simiyu, Geita, Kagera na Mara. Kama maji yamevuka ndani ya Mita 60 za fukwe za ziwa. Hilo sasa ni tukio la kihistoria na husababishwa na mabadiliko ya tabianchi ambalo ni majanga ya kimazingira Tanzania. Ni kweli ukiwa na tatizo ukipaza sauti unaweza pata mawazo mapya.
Poleni Sana wanna bBukoba Tusisahau kuwa hizi Ni siku za mwisho. Mungu yko kazini na gazabu yaka Ni kubwa, msishangae mji wote mpaka kufikia hiyo milima ya Nyangoye ikafu ikwa na maji, Cha kuwashauri, kwakuwa whaya wengi mnatoka Bukoba vijijini Ni Bora mkakuta mnapumzika nyumbani huko vijijini kwenu kea mda ili Hali ikirejea kuwa nzuri basi mtarudi, lakini msisahau kutubu na kuomba Mungu atawasikia. Amen.
Rose Likhaya I'm against your words, nothing bad will happen to us! May those words turn to u..a shameful person, whom do you think you are to curse us!..stop stupidity things
Kabisa hiyo imekuwa sehemu ya utalii kweli,,,,,,,Kunta naelewa ulichokuwa unakifanya hapo,,,,,,,,,,hii changamoto ni kubwa,,,,,,,,poleni mno,,,,pole Kunta wangu
Poleni ndugu zetu naona ziwa limesogea sana haijawai tokea hapo sijui kama Airport ipo au maji yamejaa makubwa!!!!
Dah poleni sana wana BK wote.
Hapa kuna kitu cha kujifunza na pia kujiuliza
Kwa nini majanga yametufululiza naamini hata watu wa pwani ya bahari nasi tujiandae kwani hatuko salama kabisa.
Mita 100+mita 60 +mita 30 =190 kawaida manashauriwa kukaa mita 200 kutoka usawa wa ziwa.ni kosa lenu.hakuna anaefurahia Mzee kubalini makosa.
Mmh pole Sana
ayo tv kazi yenu nzuri san
Maji hayajafata watu ila watu wameyafata maji
Wahame tuu
Kazi imeshakuwa ngumu,Mungu tunusuru na kutuokoa na haya majanga.
Habari kama izi tunataka kuona zaidi kuliko kusikia!
Poleni sana ndugu zetu.
diwani huyo iko vizuri.
Akitoka Millard Ayo nafata Mimi... Corona huku Mara ziwa Victoria Duh Mungu akusaidie
Poleni ,ni mabadiliko ya tabia nchi,lkn kama wazee waliwambia mwisho ziwa lilikuwa wapi,kwann,mlijenga maeneo hayo jamani,anyway mhame sasa ,ondokeni kama mvua zikiendelea na huo upepo hapo sasa mtihani!
Kwakwel maji yamejaa sana mm napafahamu hapo. Yalipo hayo magoli ya uwanja wa mpira palikuwa ni mbali na maji yalipokuwa, sasa kama yame jaa had kuvuka uwanja huo ni hatar
Poleni Kagera uko ni kwetu nawaombea
Hadi huku mwanza vilevile shida watu walijenga pembezoni mwa ziwa
Polee sana Kagera ,Bukoba Miembeni nyumban kwetu jaman ,Allah azidi kutujalia maana ni pigo kubwa sana🙏
Nami niko miemben ayse c untfte
Poleni sana ndugu zangu jaman, si kwa mafuriko hayo..
Abana Bo omuka mpola mno
Masikini nyumba Nzr wenye nyumba wanaumwa Kweli mioyo 😢😢polen sana ndugu zetu
Mambo
Samahan nichek0754875031
Pole sana kada ya nziwa
Mme fata Ziwa maji yalivopungua mkajipimia viwanja sasa hayo ndo madhara yake
Ah ah ah
Poleni sana.
Millard unatusaidia sna kupata taarfa ambazo ni muhimu na sahihi kabsa kulko vyombo vyote
Subhaanallaah
Poleni sana watz tusaidiane
Huyo kiongozi ni mzuri jamani
Subhanallah bukoba mrejee kwa Allah mafuriko tetemeko mvua upepo mmezidi ujeuri mno
🤔
Mpuuz wewe
No one is perfect kikubwa kuwaaombea huwez jua dhambi zao kama ni nying kuzid zako
@@brightonbalyomi1903 mpuuzi kwani kdg, yy yupo mkoa gani huyu mshamba?
@Hassan juma toinamu magezi ur totally foolish
Pole Kunta wangu!!!!!!!!!!!
Kazi ya makala ya hali ya hewa ni nini. Kama hawawezi hata kuwasimamia watu kwenye hili. 🙄😒
Poleni sana
Mpola muno barumuna bange katonda abagumisilize
Polen Sana Wana mwanza
Poleni Sana shemeji zangu
Subhanalha 😭🏃
Mnaojiana no barakoa jmn mungu awalinde
NA NITOFOUSILI KWA KISWAHILI,Poleni saana
Poleni sana jamani ndg zangu
Polen sana
Mungu awasaidie
Kwanza ni wape pole lakini Mjifunze msiruduhe kujenga karibu na ziwa ni marafuku kujenga karibu na ziwa mita 400 ziwa limerudia sehemu yake mara ya mwisho ziwa hili lili jaa maji kwenye kiwango hiki ni mwaka 1964 na level ilikuwa 13.41 meter Leo level imepita ni wakati muafaka wa kutoka sehemu ya ziwa.
Hayo nimatumizi mabaya ya fedha kilichowapelwkea kwenda kujenga karibu na maji Nini☹️☹️
Mama bikira maria tuokoe tanzania katika magonjwa yamlipuka ikiwamo corona na mafuriko mkoani kafera mara na kwanza na ukerewe uwaponye ndugu zetu na mafuriko na ukawape faraja ya moyo na matuamaini.amen
Mama bikra anamamlaka gn juu ya uso wadunia
@@damianlugendo9161 kila mmoja anaomba kwa imani yake ivyo unaweza fuata imani yako ilipo bwana damian lugendo
Mungu wananusu wake wake
Onyesheni maji yalivyo haribu interview nyingi za nn bna 😎
Ndo zao wanaficha ukweli
Nimengojea kuona wapi.
Kaz nzur Lame
poleni sana MUNGU AWATETEE
Wale wapenda kukaa karibu na ziwani . Ngoja mchukuliwe na maji
Mungu atawasaidia Inshaallah
Watu wa hali ya hewa wacheki kama hii hali itakua mpaka lini
Kwanza Poleni sana wananchi wote wa Mwanza, Simiyu, Geita, Kagera na Mara. Kama maji yamevuka ndani ya Mita 60 za fukwe za ziwa. Hilo sasa ni tukio la kihistoria na husababishwa na mabadiliko ya tabianchi ambalo ni majanga ya kimazingira Tanzania.
Ni kweli ukiwa na tatizo ukipaza sauti unaweza pata mawazo mapya.
Ikiwezekana ujengwe ukuta
Ni kwel yameongezeka kanda ya ziwa pote
Poleni Sana wanna bBukoba Tusisahau kuwa hizi Ni siku za mwisho. Mungu yko kazini na gazabu yaka Ni kubwa, msishangae mji wote mpaka kufikia hiyo milima ya Nyangoye ikafu ikwa na maji, Cha kuwashauri, kwakuwa whaya wengi mnatoka Bukoba vijijini Ni Bora mkakuta mnapumzika nyumbani huko vijijini kwenu kea mda ili Hali ikirejea kuwa nzuri basi mtarudi, lakini msisahau kutubu na kuomba Mungu atawasikia. Amen.
*Poleni jmn🙇🙇🙇*
Hii shida ipo mikoa yote ya kanda ya ziwa sio bukobatu hata musoma pia niivyo ivyo ukienda uganda na kisumu pia ni ivyo ivyo
Yaarab poleni waathirika wote😭
Hilo ziwa lipewe njina Lake kamili. Si la huyo shetani
Matumizi ya maji ya mto nile yamepungua kutokana na lockdown katika nchi zilizopitiwa na mto nile lazima ziwa liwe na maji yanayozidi
YASIN HUSSEIN unauhakika boss
Hata yasipo tumika lakini siyanaenda baharini
Pale Muhammad.pachafu sana. Hakuna kurudi hapo
Uyo dada nimemuelewa
Polen sana ila kumbuken korona ipo mvae mask musiaminiane kias hcho, na nyie waandishi wa habar mnakwama wapi
Hii hali imetokea katk ziwa Tanganyika pia maji yamesogea sana yanafka mpka kwenye makumbosho ya Livingston
Yamesharudi mpaka karibia na Livingston?
Mtihani kwakweli
Allah atajaalia mutakuwa salama
Shazili Matola
INSHALLAH
Vaen barakoa bc mbona hvo
Mpaka wapate bakora ndio watavaa
Aah yaan huku mwanza ni balaaa, tunakoma,, aya Maji ya mwaka huu yameamua
Mbona story sana
Ndio neema hiyo
Kumbe ziwa victoria kama baharii du.
Polen
Wananchi ndo wanafuata mifumo ya maji wahame
Mpola muno bojo aboomuka
Aisee nyamukazi yaatokaa
It's now kenyan government to harvest water, in a few months you will start hearing about hunger and drought very shameful, yet now float all over
Rose Likhaya I'm against your words, nothing bad will happen to us! May those words turn to u..a shameful person, whom do you think you are to curse us!..stop stupidity things
Hameni kabisa ndugu zangu uhai ni muhim kuliko mali
Yaani mimi nilivyomuoga wa maji. Hapo wangenisikia tu. Ningetokomea mbalii
Mafumbo katakashai 😂😂😂
Kwani mafumbo ni kata gani unadhani
😭😭
Kwakweri Piga kerere mpka nyakijoga wasikie.
Hahahahaaa! Mgana wameshasikia
Kwani wakati mnajenga hamkujua kama mnajenga ndani ya ziwa?
🤣🤣🤣🤣
Hata huku chato hal si nzur
Kashai,Buyekera,Hamgembe,Nyamkazi.
Mhuuuuuuuu kazi ipo jamani 🙄 mungu wanusuru ,hameni TU Kama mpenzi wa vitu vya asilia karibu na subscribe Channel yangu.
Kumbe anaojiwa na mwanawe.
sasa we unajengaje karibu na ziwa
Mtangaji nime kupenda nywele zako
Teh teh una vituko Sana 😀😀😀🧐
Kazi ipo jaman mhhh
Nyie wahaya sini wataalamu wa kuyatoamajii? Haya yatoeni Sasa !!! Tetemeko + Maji=Tetema
HAMAD HAMZA Acha usenge ww!
Hahaha ww jamaa unaumwa
We daah hahahs
HAMAD HAMZA mungu akusamehe
HAMAD HAMZA mungu akusamehe
Aya xx zam ya bahar zanzibar tuwaone wanakimbilia wap na viplot vyao
Mbona hamvai barakoa sure huko hamna corona
Kuna ziwa
@@mukhtarhamad6609 haswaaa
@@neemasaid7315 ndomana hawavai barakoa
@@mukhtarhamad6609 kweli ndugu huko wapambana na mafuriko tu mwenyezi mungu awatetee jamani
@@neemasaid7315 Allahuma amin
tujikinge
Hiyo ni pressure serikali ifuatilie kuna sehemu nchi fulani wameblock maji hayo hamna pressure
Ee
Duuuuuu
Yavuteni kwa magari ya maji ili yapunguwe. Kuna watu wengi wanahitaji maji
"Aina 7 za wanawake na tabia zao" pita na link hii.....
th-cam.com/video/CuO1gbIMdss/w-d-xo.html
Hata huku chato hal si nzur
"Aina 7 za wanawake na tabia zao" pita na link hii.....
th-cam.com/video/CuO1gbIMdss/w-d-xo.html