Nashukuru kuona kazi ya Bwana yaendelea,mumepitea Kenya sana,mara ya mwisho tulipatana effort ya Kiambu mulikua mumekuja kuhudimu kupitia Borniface Ng'ang'a Mungu awazidishie,yule mjuu wa Zabron yule elder,mwambie hongera kwa kuoa,niliacha wakati ule wanangonja kurudi waoe,sasa ni familia twashukuru,hiyo ndoa idumu🙏
Lala salama kiongozi. You'll surely be missed. Ume wa acha familia poa tena kama bado wadogo. Soon and very soon we shall meet agan 🙏🎉🎉🎉😢😊😊❤❤ . Straight from USA. Asante
Wow wimbo Mfupi ila mtamu Sana Penda sana ujumbe uliko katika huu wimbo Barikiweni sana Watumishi wa Mungu 🙏@marcojoseph God bless you and more anointing in Jesus name
Pamoja na kumuimbia mungu nyimbo nzuri lakini amekuchukua ndugu marco joseph je vipi Kwa wew ambae huamini kwamba mungu yupo na unafanya anasa za Dunia daa ni huzuni Baba mungu mpokee mtumishi wako na sisi tuliobakia tupe NEEMA ya kukujua wew 😭😭😭🙏🙏🙏
Mungu aliyekuumba anajua sababu ya kumpumzika kwako , wanadamu wanaeza kuwa na sababu nyingi ... lakini Mungu mwenye Uhai na mwenye Haki anajua sababu halisi Naomba mwanao aendeleze kueneza injili kwa kibaji cha kipekee Amina
Ni wewe bwna unatulinda na mabaya yote ya shetn ni wew unayetuma mkate wa kila sku baba ni ww pekee unastaili jehova kuwepa sifa na ufukufu ubarikiwe na kipawa cha kutuhubir kupitia njia ya mwnbaji
Linauma . Kenya we shared these son. Rest in eternal peace Marco. You had such a talent. A big vision and your sudden demise affected me hard. I cry many times and I know it's painful for WaTz and Familia but Kenya you belonged. 🕊
Huu wimbo mzuri sana ni wimbo Bora kuliko zote walizoimba wakiwa pamoja 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 it's painful to lost you in our Country and world as well 😢😢😢😢😢😢 Rest in peace Marco
He saw what was coming, and sang exactly what would happen to him, 😭😭😭😭😭, he already talked to God about it and told God whatever your answer, it be final and ok, God knows indeed why He let it happen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Walio kuja kuangalia baada ya kusikia Marko kafariki😢😢😢 tujuane
Mimi hapa natokea Kenya
Poleni sanaaaa kwa kumpoteza Marco. Nlipenda nyimbo zake sana😭😭😭😭😭😭😭😭
From kenya nipo
Niko hapa😢😢
😢
Kama na wewe unamhuzunika na kifo Cha mpendwa wetu naomba like zang
Umenifikia mpendwa naumia mimi asee😭😭😭
Nashukuru kuona kazi ya Bwana yaendelea,mumepitea Kenya sana,mara ya mwisho tulipatana effort ya Kiambu mulikua mumekuja kuhudimu kupitia Borniface Ng'ang'a
Mungu awazidishie,yule mjuu wa Zabron yule elder,mwambie hongera kwa kuoa,niliacha wakati ule wanangonja kurudi waoe,sasa ni familia twashukuru,hiyo ndoa idumu🙏
Nice song🔥🔥🔥🔥nipitie pia🙏🙏
Bwana Akubariki zaidi mtumishi
Acha Mungu aitwe Mungu kama umelala lakn Mungu atazidi kuongoza zabro singers
Ama kwakweli Leo Ume lala 😭😭😭 Mungu aikumbuke kazi yako mtumishi Waze
Asante Mungu kwa maisha ya Marco duniani jina lako Lihimidiwe
Amen 🙏
Lala salama kiongozi. You'll surely be missed. Ume wa acha familia poa tena kama bado wadogo. Soon and very soon we shall meet agan
🙏🎉🎉🎉😢😊😊❤❤ . Straight from USA. Asante
Wow wimbo Mfupi ila mtamu Sana Penda sana ujumbe uliko katika huu wimbo Barikiweni sana Watumishi wa Mungu 🙏@marcojoseph God bless you and more anointing in Jesus name
Amen 🙏 ubarikiwe sana
Pamoja na kumuimbia mungu nyimbo nzuri lakini amekuchukua ndugu marco joseph je vipi Kwa wew ambae huamini kwamba mungu yupo na unafanya anasa za Dunia daa ni huzuni
Baba mungu mpokee mtumishi wako na sisi tuliobakia tupe NEEMA ya kukujua wew 😭😭😭🙏🙏🙏
Amen 🙏
Kenyans kama huu wimbo umekufikia gonga like👇👇
God bless you so much brother
So sad...kupotesa mtu kama ww marco zabron...poleni sana poleni sana kwa familia yake
Jina la bwana lipewe sifa
amina
Amina
Naikubali hii talanta imeibadil MAGOTO kwa kiwango kikubwa kila mtu n MKONO WA BWANA.
Amin
Amin
Aise ni kwel Bwana uamualo hakuna wa kulipinga 😢🙏🏿🙏🏿 Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe 🙏🏿🙏🏿😢
Thank you for such a powerful song ...when my soul is overwhelmed it leads me to the rock that is Higher...❤❤🙏🙏🇿🇼
Wimbo mzuri. Barikiwa zaidi.
Mungu aliyekuumba anajua sababu ya kumpumzika kwako , wanadamu wanaeza kuwa na sababu nyingi ... lakini Mungu mwenye Uhai na mwenye Haki anajua sababu halisi Naomba mwanao aendeleze kueneza injili kwa kibaji cha kipekee Amina
We appreciate exactly God blessed you,.
My friend Marco ..Heri wafu wafao katka Bwana tangu sasa...naam wapate kupmzika baada ya taabu zao.
Wooooow ubarikiwe kakangu Mungu akuinue zaidi na zaidi
Hongera sana kwa Mwendelezo wa kazi za kumtukuza Mungu.Bwana akubariki na akukumbuke katika ufalme wake wa sasa na ujao.
amina sana na asante sana
@@Marcojoseph❤❤❤
Na kweli hakuna wino Wala karatas zitakazotosha kuandika matendo ya Mungu ...hongereni sana.....Ni wewe Mungu💯
Barikiwa mtumishi wa Mungu kazi nzr saaan
Mungu akusamehe,pale ulipo jikwaa.akupokee kama kiumbe chake .
Nimeufurahia wimbo huu! El shaddai ! Amina
Amefariki Leo jamani
Gosto muito desse louvor 🙏🏽
wimbo mtamu Sana , ni wewe Mungu, ni wewe baba
Ni wewe bwna unatulinda na mabaya yote ya shetn ni wew unayetuma mkate wa kila sku baba ni ww pekee unastaili jehova kuwepa sifa na ufukufu ubarikiwe na kipawa cha kutuhubir kupitia njia ya mwnbaji
Huu Wimbo unabariki sana! Ubarikiwe sana na uendelee vivyo hivo
Mimi nimeumia sana ,because nilikuwa napenda nyimbo zenu mungu tena kamuchkua mwngine tuzidi kumuombea mungu ampokee mbingu 🙏 🙏 🙏
Wimbo mzuri Sana Mungu azidi kuwaongoza katika huduma yenu.
amina sana
Nazikubaliiii sana kazi zenu mungu awazidishieeee nguvu
Wimbo mzuri sana!wonderful!
Wewe mungu kakunyakua,kuna
Kaz mbinguni,familia poleni,mim ni mkatorik rakini huwa nafwatilia nyimbo zenu nimelia sana,mungu akupatie pumziko
Inauma sana Mungu ampe puziko la milele poleni sana Zabron singer's leo mumeimba bila Marco,
It's so good song God blessing you
Daaaaaaa nimelia sana hii nyimbo imeniliza sana NI WEWE 😢😢😢REST IN PEACE MARCO
Best song indeed.kubariki daima.
AMEN
Kazi ya mungu Haina makosa ,pumzika kwa amani
Mungu aifariji familia ya mpendwa aliyelala, Na kuwapa nguvu waimbaji wote
You pple sing so sweet!! God bless you!!!
We will miss you Marco, may God protect your family as you rest in peace😢😢😢😢 great singer
Daima unaishi Baba.
Sifa na utukufu zimrudie Yesu
Mwanadam aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi nazo zimejaaa taabu nyingi sana PUMZIKA KWA AMAN BROTHER (R.I.P)
Poleni,Mjngu awaited nguvu,mimi ni muislamu ila napenda kusikilizq hospal,poleni kazi ya Mungu hainamakosa.
Nyimbo mzuri sana kaka zangu. Nawapenda sana....muimbe katika lugha ya kingereza pia ili wasioelewa wabarikiwe pia,,nawapenda sana kutoka Kenya👊
Dah hii nyimbo km alijitabiria jmn,so sad for sure 😢 nenda mpendwa njia yetu sote
Linauma . Kenya we shared these son. Rest in eternal peace Marco. You had such a talent. A big vision and your sudden demise affected me hard. I cry many times and I know it's painful for WaTz and Familia but Kenya you belonged. 🕊
Dah hakuna wakuziba nafasi yako ulio iyacha , ila mungu atabaki kua Mungu tu, rest in peace Marco 🕊️😭
Vraiment Japhet aliku kosea sana dada. Endelesha uduma wako wa nyimbo. Michel de Jésus kutoka DRC
Mungu akulaze pahali pema kwake na sisi binadamu wadhaifu tujue kuwa siku ni mbili tu ya kuzaliwa na ya kufa na tulizaliwa
Huu wimbo mzuri sana ni wimbo Bora kuliko zote walizoimba wakiwa pamoja 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 it's painful to lost you in our Country and world as well 😢😢😢😢😢😢
Rest in peace Marco
Kazi Safi Mungu ainuliwe hongera Japheth and Joseph
asante sana
@@Marcojoseph Mungu Akubariki
Mungu amulaze mahali pemapeponi 😭😭😭😭
poleni sana ndugu zangu KIKUBWA MUNGU atufundishe kuzihesabu siku zetu ili tusijisahau kuwa Kuna kifo duniani si kwetu tuwasafiri
❤❤❤🎉🎉, can't get enough words to describe the depth of this revelation
MUNGU Awabarki sana "The Marco's. Tunawapenda sana hapa Kenya 🇰🇪.
Mungu asante miyoyo yetu inaumia lakini kwakuwa ni wewe umeamua basi nakushukuru
Sijui nitaamini lini ,mungu nipe faraja nikubali tu😢 marco hayupo tena
I love the way this family support each other
True family which know the love of God is not without challenge but they stick together
Very true !!!
Exactly
When we give everything to God that’s exactly what happens
Big up Bro Marco zabron
Mungu aendelee kukupa kibari
Ni Mungu tuuu anaetufikisha hapa tulipo
amina sana na asante sana
May Almighty God bless you all.Hakika tunapata Neema ,baraka na kukumbushwa wema wa Mungu.#Ni wewe
Marco jamani,,,wimbo wake mnzuri sana
Mutumishi wa Mungu pumuzika kwa amani Yesu akupokee
Very good, wimbo una ladha nzuri sana kuusilikiliza go! go! go!! Marco...
Shukrani sana kaka
😢@@Marcojoseph
Najipata tu na machozi nikisikiliza huu wimbo. Jina la Mungu litukuzwe amefanya yaliyo mapenzi yake.Poleni kwa familia 😢😢
With some songs you don't even know what words to write... May this anointing always flow 🙏🏾🙌🏾🙏🏾
I wish I had strength to bring you back marco for the sake of your children and family
Waah May God's will be done to your young family
He saw what was coming, and sang exactly what would happen to him, 😭😭😭😭😭, he already talked to God about it and told God whatever your answer, it be final and ok, God knows indeed why He let it happen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
I’m here this morning dancing to this worship song
This family is greatly blessed
Nafurahia kwa kuwa mwaitumia karama mliyopewa na Mungu vyema, Kila kukicha mnafanya vizuri kuliko jana, Mungu awa bariki
Amina sana mwita kwa kuendelea kututia moyo
We jamaa nicheck tena @Marco
Mungu azidi kuwatumia watumishi wake kwakweli mnanibariki Sana na nyimbo zenu
Duuuuh Leo umelala.
Mungu wa mbinguni tunaomba mwisho mwema.
Pole sana wafiwa wote tumeumia wote jaman 😢
barikiwa
Lkn hii Dunia Haina huruma😢😢😢😢 mtoto wa mtu ameanza tuu kuinuka setani kainuka kweli hapa sio kwetu
Dah ,ukiwa na mkeo jamni
Mke wa marco Mungu akuone kipenzi
Nigekuwa n'a nauli nigefikapale mimi niko Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 namoba mungu atufariji shota
Ubarikiwe sana, wimbo mzuri sana ....
Mungu awe nanyi kwa utumishi shambani mwake.
amina tunashukuru sana
Hakika ni wewe Mungu tuu....AMEEN...BARIKIWENI SANA.🙏
kabisa ni yeye pekee
Yey ajuae mwish wet ndie atufikishae
Excellent Song!
M blessed wth the song..
"Hakuna Linalo mzidi Mungu Wetu!!"
Kp the fire burning🔥🔥🔥Great is ur reward!
amen
So touching
Hakika wimbo unaitakasa Sana roho yangu MUNGU ainuliwe
amina ubarikiwe pia
Hallelujah,ni wewe mungu🙏🙏
I just can't describe how powerful this song is....! God is amazing
amen
Nafurahi sana kazi zako Marco Mungu aendelee kukulinda na aendelee kukupa zaidi
Pumzika kwa amani Marco, is shocking kweli
Duh nyimbo hii ilikuwa kama utabiri wa kikachotekea 😢😢😢 dunian tunapita
Jamn nimeumia sanaaaa 😢 mungu amlaze mahalipema pepon
Mwenyezi Mungu akumbuke kazi yako nzuri akanyoshe mkono wake kwa familia yako. Dance with the angels Marco 😢😢
Mbarikiwe Sana kaka zangu mungu azidi kuwainua zaidi kazi nzurii 🙏
Mungu awatunze baba kawaacha mikononi mwa mikono Mungu , Mungu awatunze katika kipindi hiki kigumu, tunawapenda sana❤
Wimbo una ujumbe mzuri, barikiwa sana kaka Marco
Mungu na awabariki mpaka mshangae
for sure inauma sana mimi nimkenya naumia sana
Mnichangie nauli niende mazishi yake tafadhali natoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭😭😭😭😭😭😭😭
Sawa
Weka jokes kwa vitu serious tu
Pole😂
wow nice one frm my guys God loves u so much .keep on the good work .love frm Nigeria
Pole Sana..Mungu ailaze moyo wake pahali pema😢
Mungu aliku tayarisha Kwa kifo chako .till we meet again bro
😢My best Vocalist ...Tuonane asubuhi Ile njema
Eeeh mungu ya Uma lakini tunakupa sifa kwa Hali zote. Rest in peace Marco nivyema kumtukuza mungu wakati uko hai