Mambo yao ni fitina nimewashinda kwa kua kimya mmepata nini? yao yamewashinda wanaona ya wenzao, wana kizaizai cha pwani, kwa hiyo faida ya mjinga ndo hiyo anakimbia kheri akatumbukie kwenye shari huo wote ni ubaya wa roho, na ujinga mwingi, heko dadaaaaaaaaaaaaaa hisani hamna ambayo anaitaja wala wema.
28/8/2023 I'm still listening ❤
Wimbo mtamu sikinai kuusikiliza,sauti nzuri daa Zuu nakupenda sana
ujumbe marshi tupe vitu vya zamani pambe sanaaaaa
2022 bado upo vizuri nipen like jmn
Jamanii taarabu hii inanikumbusha mbalii saaaaana
Dah tamu sana
mm sinanguvu zakupigana wala kubishanao namuachia subuhana langu jicho na sikio nakipenda sana kipande hicho
Ufisadi ndo dili mmeona
Mtapata vidonda rohoni kwa kusonona teeeeeena
Nakupenda,sauti nzuri wimbo mzuri sanaaaaa!!!
2022
ukowapi dada zuhura umaneno makali dahh...
Nimewakomesha kwa kukaa kimya
Dah yaan
2020 tujuane hapa like zenu
Ana saui maxhallah
Pendaa saana dada
Nashangaa mwataka mambo yangu oooo mbona si tamani yeenu au mwataka roho yangu ooo roho yangu apende Mungu si kwa nguvu zenuu
Asante sana zuhura nazipenda Sana nyimbo zako
Uwazi ndo hulka yangu sina mambo kama yenu santa sana zuhura
❤❤❤❤
Mambo yao ni fitina nimewashinda kwa kua kimya mmepata nini? yao yamewashinda wanaona ya wenzao, wana kizaizai cha pwani, kwa hiyo faida ya mjinga ndo hiyo anakimbia kheri akatumbukie kwenye shari huo wote ni ubaya wa roho, na ujinga mwingi, heko dadaaaaaaaaaaaaaa hisani hamna ambayo anaitaja wala wema.
wapi zuhura shaban penda sana wewe mamaaa
Kali yao
Daah napenda sana hii taarabu jaman
2021
ufisadi ndio dili mumeona mtaisoma namba mchana kweupe 😁😁😁😁😁😁
Heko mama mtanzania wape wakae na vidonda wakisonona,na fitina za hapa na pale,wajue yakua , mbio za sakafuni huishiya ngazini
Uko sawa
4_7_2020 🙌🏻🙏🏻
Hongera.
Teynaaaaaaaaa
Zuhura wewe unajua
Hatariii
penda sana bi zuhura jamani yupo kweli nipeni ukweli
Yupo zanzibar one moden taarab kw ss
Mtapata vidonda rohoni kwa kusononaaa
pambeeee
Big up zuhura
Love you zuu👌👌😚😚😚
2021
2021