MZEE WA ALIYEIMBA WIMBO WA TANZANIA AIBUKA/ ATAKA KUONANA NA RAIS/AZUNGUMZA MENGI USIYOYAFAHAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024
  • Mzee wa Steven John Hiza aliyeimba Tanzania yetu amezungumza mambo mengi kuhusu maisha yake yalivyo kwa sasa lakini pia matamanio yake yakukutana na Rais Magufuli. Msikilize hapa
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 14

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu yangu unasauti nzuri sana, pia mawasia mema, tunakupenda sana Mungu akubariki, sanaaaa

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mzee Steven Hinza huu Wimbo ni maarufu katika Tansania

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 4 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo Wa kizalendo,, , huu hongereni nyote mlioimba wimbo huu, ambao unatumika kwenye washa za serikali na matukio yote ya kitaifa, na mungu ni mkubwa mpka Leo umenimotivate sana ktik Siasa.

    • @liberatusulaya2269
      @liberatusulaya2269 4 ปีที่แล้ว

      Ktika siasa za kizalendo za nchi yangu,
      Mungu aibariki Tanzania

  • @MWARUNGUKALIMBOMWANDOE
    @MWARUNGUKALIMBOMWANDOE 5 หลายเดือนก่อน

    Nadhani ni muhimu kuwaenzi na kuwaheshimu manguli kama mzee Steven John Hiza. Aliimba pia na Nguli maarufu mwenzake Soloist wa super volcano Mbarak Mwinshehe mwaruka.

  • @frankjohn8570
    @frankjohn8570 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Bw, Hiza kweli NI wa Tanga asema KIKWETE ni MTU kama umemskia gonga like

  • @maisatou
    @maisatou 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee Steve ni kaka yangu ambae,wakati wa Atomic Jazz,yeye Barabara ya kumi, mimi na washabiki wa Atomic kutoka HABARI KONA Barabara 14,Tanga bakery,ni kaka yetu,wimbo huo sio wimbo tuu,ni TUNU,kwetu.
    Ameir R Msimbazy

  • @dickmalove5544
    @dickmalove5544 5 ปีที่แล้ว

    wa kwanza kucoment

  • @zahrahabib3177
    @zahrahabib3177 5 ปีที่แล้ว

    Mzee anafaa pongezi

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 4 ปีที่แล้ว

    Mzee enzi zake anaonekana alikuwa anahonga sana

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 5 ปีที่แล้ว

    Daah huyu mzee hatariii apewe chochote aisee ajivunie Tz yakee