Dah nimeumia sana kama mzazi 😭😭😭😭😭😭😭😭🙏 pumzika kwa aman mwanangu ww n malaika huna dhambi" ila kwa yyt alieshiriki kifo chako namuapia kifo kibaya na yy kwa jina la yesu kristo 🙏tena wasiwe na aman maisha yao yotee
Dah!... Kuna kale kakike,.. ambako chefu godirafu anapenda kuambatana nako anapokuwa anawapa misaada Kwa yatima... Pitia video za chefu akiwa na Mitoko na wale mayatikima
Mungu yupo hakimu wa mahakimu,Anaedhulumu we mwache adhulimu tu lkn ukweli nikwamba"Kila kilichopo juu ya mgongo wa ardhi kitatoweka".Kishakinachofuata,"Naiogopeni siku mtayorejeshwa kwa M/mungu,Kisha kila nafsi italipwa kwa kile ilichokichuma,nawala hapatokua namwenye kudhulumiwa".UKWELI NDIO HUU.
hii kafara...kbs wala halina uficho.km ndo bbk wa hiari huyo jojo alikosaje pesa ya dada wa kazi had akamwachie boyfriend wake kwake uck wa saa sita na huyo bwana kumletea boda wao kumwangalia?...1.km alijua angetok mkesha si umepanga kbs unamwachia jiran yako mapema mbn wangemuelwa t si mkesh bt I promise u hat mama amehusika this is a rabbit hole walishapnga muda tu.Angalien baada ya maziko mda s mref jojo atabadilika kimaish nimeka palee
Huyu ashamtoa kafara huyu mtoto,Usikubali mtoto wako awe karibu na mtu mchawi mchawi atamsoma nyota na atatafta mbinu amtoe sadaka,Huyu ashatoa kafara Kwani hamjui ni december? Shetani amemshibisha vibuzi saa hii hataki tena mbuzi anataka wanadamu
Baba wa hiari! I see!! Mama mambo mengi sana naanza kupata picha kuwa huyu mtoto kama baba yake yupo bas angepaswa kumsimamia mwanae na si kumuacha kwa mwanamke wa namna hii pumzka kwa aman Malaika
@SabihaibrahimRajabu kuna yule mtt alikufaga mwaka Jana wa insta alikuga anapenda clip za kusal ,,huyu alikuaga nae anamtoa out ana mpenda siku ya siku yuko kwao kafa et kisa bebea lilimemgonga kafa ghafla
Wazazi wawekeni watoto wenu mbali na huyu anayejiita Chief godlove huyu ni mtoto wa pili sasa aliyekua nae karibu anapoteza uhai siujui kama mnawaza nachowaza mimi
Usiache mtoto wako aingie mikononi mwa watu wa mizimuni kuna yule pacha kakake Kamama tena nae Godlove alisema ni mwanae kidogo kidogo tukaskia nae kafa gafla😢
Hee mungu ni maumivu gani mtoto alipata bila msahada hadi uhai wake ukaondoka.. mungu sisi hatukuona ila wewe uliona waliofanya huu ukatili.. tunakuachia mungu

pole sana mungu aiweke rho yake mahali pema peponi nahakampoke kwamikono yake miwili namungu awape subra waxazi wake🤲🤲
duu!!! Wangemuacha hata amalize mwaka jaman, inauma sana aisee. Hao wauaji Mungu anawaona na wasifanikiwe kwa lolote lile
Mtu kama huyu godlove siwezi kumuweka karibu na mwanangu freemason
Umeona eee hata mimi
Hatar sana ulikuwa karibu na mama chanja mama chanja alipo ona ni freemason
Kabisa hapa kuna namna hapo
Coment niliokuwa naitafta
Muache fkra za kitoto kwa chief gdlove hakaagi na watu wapuzi nyinyi🥺🥺🥺
Km mzaz nimeumia sana hii dhulma haitamuacha salama wahusika mungu wafichue wote waliohusika
Mungu yupo hakimu wa mahakimu,Anaedhulumu we mwache adhulimu tu lkn ukweli nikwamba"Kila kilichopo juu ya mgongo wa ardhi kitatoweka".Kishakinachofuata,"Naiogopeni siku mtayorejeshwa kwa M/mungu,Kisha kila nafsi italipwa kwa kile ilichokichuma,nawala hapatokua namwenye kudhulumiwa".UKWELI NDIO HUU.
Kumbe hata dee wa TikTok alikua na ukaribu na chief😢😢😢watoto wawatu wazur wanauliwa kwa makafara ya ajabu
Wiki iliyopita alisema atafanya tukio litakaloshtua watu sana, itakuwa kafara, huwa wanatumia mbinu tofautitofauti
Pole sana mtoto anaumiza Hana makosa yyte jaman... Bas mama ake mtu mkumbwa anajuana namatajir
Mimi ni mzazi nimeumia sana😭😭😭
Pole mtoto mungu ailaze roho yako mahali pema peponi amen
Kwa jina la Yesu , pepo la makafara ya freemason toka toka mashetANI TOKA
Huyu anahusika kumtoa na makafara yake sema watu hatuwez gundua hilo wala kuona Mungu atusaidie jamani
Hapa kitu ficha hawa wote wkate eleze ukweli utatikana iinawezeka alifany mauji njama ndio kimbelembe Eh Mungu wafichuwe kabisa
@@dn.n4983 kabisa
hii kafara...kbs wala halina uficho.km ndo bbk wa hiari huyo jojo alikosaje pesa ya dada wa kazi had akamwachie boyfriend wake kwake uck wa saa sita na huyo bwana kumletea boda wao kumwangalia?...1.km alijua angetok mkesha si umepanga kbs unamwachia jiran yako mapema mbn wangemuelwa t si mkesh bt I promise u hat mama amehusika this is a rabbit hole walishapnga muda tu.Angalien baada ya maziko mda s mref jojo atabadilika kimaish nimeka palee
Wakifinywa polisi wataeleza tu
Huyu ashamtoa kafara huyu mtoto,Usikubali mtoto wako awe karibu na mtu mchawi mchawi atamsoma nyota na atatafta mbinu amtoe sadaka,Huyu ashatoa kafara Kwani hamjui ni december? Shetani amemshibisha vibuzi saa hii hataki tena mbuzi anataka wanadamu
Inahuzunisha sana jaman mtoto mdog kam huy anauliwa kinyama namna hii
Nina mashaka na chief au basi🙏🙏🙏
Miee nasoma comment toka jana 😢😢😢😢Pumzika kwa amani mtoto wetu😢😢😢
Pole sana jmn😢😢😢
sasa huyu chifu anajulikana niwa Freemason,unamuunganishaje mtoto,muunganishe mtoto na Mungu na sio wanadamu,chaaa
Hapo kazi hipo .
Baba wa hiari! I see!! Mama mambo mengi sana naanza kupata picha kuwa huyu mtoto kama baba yake yupo bas angepaswa kumsimamia mwanae na si kumuacha kwa mwanamke wa namna hii pumzka kwa aman Malaika
Baba mzazi ndio mama mtu ndio walimuacha mtoto kwa bodaboda alafu wao wakaenda matembezi😅so walaumiwe wote
ALLAH YARHAM
Mungu ablaze mahali pema roho yake
From 🇧🇮 nimelia san 😢
Nmeumia sana kama mama
😢😢😢chief mtoto WA pili uyo,,,jifanye Bado huamini.
Vipiii sijafahamu
@SabihaibrahimRajabu kuna yule mtt alikufaga mwaka Jana wa insta alikuga anapenda clip za kusal ,,huyu alikuaga nae anamtoa out ana mpenda siku ya siku yuko kwao kafa et kisa bebea lilimemgonga kafa ghafla
heeee kumbee shetani sana huyu akiwaona mtandaoni anawatafuta kumbe anawaramba duuuh hawa mashetani harari sana halafu linajifanya kuumia
Kumbe wakwanza nae alifark au
@BahatiMateru-us7zt ndio alifariki nayeye
Pumzika kwa amani mwanangu😢😢😢😢
Uyo anayejifanya anampenda mtoto ndo muhusika 😅😂😂
Mzee wa chuma ulete..
Akajifny na kumvish nguo za kufanana kumbe alikua ananyemelea roho yake
Niww mwenyew
Pumzika kwa amani mtoto mzuri
Pole sana ulimpenda sana
Kafala tu😢😢😢😢😢😢😢😢
Mpumbavu ww
Kwakweli
Ukweli ntupu@@MichaelMasha-x8u
Inauma inauma inauma Mungu atalipizia
Pumzika kwa aman mtoto mzuri😭😭😭
Mmhh..huyu mwamba yupo na mtt..duh hapa pagumuuu😢😢
Mzee sio poa, soma maneno mwisho wa kitambu utaelew kitabu kizim kinaelezea nin
Sio mtoto wake
Walio husika na huu unyama Kwa kutoa uhai wa mtoto asiye na hatia dam ya huyo mtoto haitawaacha salama kamwe
Hizi roho ngumu Jaman malaika huyu kakosa nn..damu ya MTU haiendi bule mungu atawaonyesha
Nina mashaka hapa acha tuachie mungu
Ukute alikuwa anakawinda atakauwaje?
Tunaomba haki kwa kifo cha huyu mtoto
Kafara hizi, pana Siri kubwa nyuma ya ubaba wa hiari
kwahiy chif ndo ameenda kuuwa acha uchawi mxciuu
@@Happy-n5i5xkafara tu hakuna lolote wamemmwaga damu basi
Wazazi wawekeni watoto wenu mbali na huyu anayejiita Chief godlove huyu ni mtoto wa pili sasa aliyekua nae karibu anapoteza uhai siujui kama mnawaza nachowaza mimi
Yaan Godlove mwenyewe ashasema huwez kuwa tajiri bila kutoa kafara ya damu halafu bado unamuachia mtoto
@@rumdeesonsoa1811na alipohojiwa juzi hapo kwenye salama la Martha mwaipaja alisema atafanya tukio la kushtua ulimwengu
Innalillah wainaillah rajiuni polen sana
Asije akawa amemtoa kafara mtoto wawatu😊
Acheni kufikiria mambo negetive
@@hadijamohd6028Ila kumbuka Godlove mwenyewe alishasema ili uwe tajiri ni lazima utoe kafara ya damu
Huyo chief god love ndo kamtoa kafara, mpelelezeni vizuri, labda ndo maana Hata simu zake hazipokewi.
Usije ukafunguliwa mashtaka usiseme kitu usichokua na uhakika nacho
Unajua kafara inatolewaje
Kumbe umejua eeeh... uyo mkaka chief godlove ndo kamuua kwaajili ya mali 😂
@@sammichael1946 unajua uelewi kitu kimoja...ujui kitu kinaitwa UNAFKI... watu wanasema tumtafute mungu usiku wanaabudu miungu 😅😂
Kweli ni hiyo@@shaabanramadhan6770
Huyo mtoto mpaka kwa akina god lovel hapo hakuna mtoto kuishi
Kabisa mpenz
Sijui hata huyu mtoto aliona nn kilichofanya mpk wamuue,looh dhambi hizi jaman
Daaaah
Ila tukumbuke tuuu dunia imekwisha. Watu wana Abudu PESA now days
Chif godlove anajua alichokifanya na wazee wa huyo mtoto mwisho wa mwaka washamtoa kafara
Mmmmh mali hizi hatar
Mh huyu tena????
Njoen hapa
Huyu ahojiwe
Haya Sasa
Inauma sana sana😢😢😢
Allahu yaalaam
Chief sema ukwelii
😂😂😂 dah
Huyu mtoto bila shaka atakuwa alikuwa na baba wengi na mmoja wapo kaua
Very pain katoto kazuri
Mjuzi MUNGU ila kwann chif, ushetani
Inauma sana binadamu wabaya aliyefanya jamani ahuliwe mtoto amekosa nn
Kuna kitu hap.
Wapenz wa chado masta
Chief mchawi anahusika na huu unyama
Mtoto wa pili sasa dee ivi ivi uyu nae aya mungu atusamehe
@@AtifaIslam-t6gWa kwanza alikuwa yupi maana mim sikupata kusikia
Mmmh... 😢
Tulieni wa tz soon tu mtu atadhalilika 😮
Mauza uza ya ulimwengu wa giza na jamii zao za kisiri
Mmmh chief tena?
Usiache mtoto wako aingie mikononi mwa watu wa mizimuni kuna yule pacha kakake Kamama tena nae Godlove alisema ni mwanae kidogo kidogo tukaskia nae kafa gafla😢
Mmmmmmmmmh sio poa.
Yaani wee acha tu hujitia mazowea na watoto matokeo yake ndio ayo
Kumbe hata kakaake kamama alikua na ukaribu na chief mmh😮huyu chifu ni muaji na Tena watoto wote ni ma handsomeboy
Daaaaa jamani poleni san
Dahh😢😢😢😢😢
Huyu jamaa Kama Nani kwa mtoto huyo?
Yeye ndo katoa maelekezo ya kafara
Huyu jamaa ,anapenda sana kukutengeneza kiki
tatizo wanawake wanapenda kuwakatalia watoto baba wa Mtoto Yuko wapi?
baba wa mtoto ndio alitoka na mama mtu wakamuacha mtoto kwa boda
Baba wa mtoto ndio alitoka na mama mtu ndio wakamuacha mtoto kwa boda😅
Jesho la polisi tunaomba liweke bayana kwanini hasa walihamua kumuua huyu mtoto
So sad
eti mchawi mpe mwanao amlehe. ndio aya matokeo yake
Ety kuna mtu ana unyama wakuweza kumtoa uhai mtoto mdogo.asiye na ugomvi na mtoto yeyote...wapo mbona..vitoto vya gaza vina ugomvi na nani?
kuna neno natamani kuandika ila 😮
Ww kaa kimya mm na ww hatuna mwanasheria
@@Mohammed-v3i1u
Kaka Mudi nipo nchini wala sijasafiri mwanasheria wakujitolea😂😂😂
Lkn uyu jamaa atujui ela zake anapataje uwenda kashaanza kafara
Pesa zake ni hizo za kafara sipengine
Roho mbaya zenye chuki zinazidi uchawi😮
Huyu chief huwa simwamin kabisa😢😢
hii dunia anae kuuchekea ndio devil
@@kailakazibahuyu akiona mtoto mtandaoni na nyota anamtafuta anakula
Usikute matajili hawa ndio wamemutoa kafara huu ukalibu ndio ajifanye mwema
HUYU CHIEF ANANIPA WASIWASI 😢 MAKAFARA. MTOTO WA MIAKA 6 ALIAMUAJE UWE BABAKE WA HIARI?
Unalia mwenzako anacheka kimoyomoyo kaongeza utajiri
Chief is responsible evil rich men he sacrifice him
Huyu katolewa kafara sijengine nyota yake waliiona ilikuwa kali
Hizi pesa zinatupeleka wap
Kwani wewe umegeuka nini katika huduma yako kwa huyo sheta maana wengine wamegeuka wanyama wewe umegeuka sheta sasa hapo nani zaidi ?
Mmh haya sasa mdomo koma
Amemutoa kafara tunajua hioo
Dunia haina hurum
Mmmmmmh😭😭😭😭😭
Roho imeniuma saana lkn inawezekanaje mama mzazi amwachie mtoto wake bodaboda aende kunywa pombe?
alitoka na baba mtoto kwenda kwenye matembezi
Hee mungu ni maumivu gani mtoto alipata bila msahada hadi uhai wake ukaondoka.. mungu sisi hatukuona ila wewe uliona waliofanya huu ukatili.. tunakuachia mungu
We acha tu😢
Ngoja tuone jeshi la polis litamkamata Nani ili god tumuelewe?
Ni mwisho wa mwaka huu nd maana ibilisi anataka kafara zake zitolewe,katolewa kafara siyo bure
Mmmh
We utakuja kumbuka vbaya