🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • 🔴#LIVE: BAHARIA ASIMULIA ALIVYOTOSWA BAHARINI - ''NILINUSURIKA KIFO MARA 3'' | MAPITO
    KARIBU kutazama kipindi cha MAPITO kinacholetwa kwako na GLOBAL TV kila wiki, Leo tumetembelewa na Kijana Bashir Bashir, mkazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam, ni miongoni mwa vijana waliowahi kuzamia meli na hapa anasimulia mikasa mbalimbali aliyokutana nayo katika harakati zake za kuzamia meli.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 25

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anastor nzuri tatizo mtangazaji...global mnafeli wapi?

  • @vipajionetv2075
    @vipajionetv2075 2 ปีที่แล้ว +2

    Mahojiano Kama haya yanafaa yaendeshwe na mwanaume

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 ปีที่แล้ว +1

    Huyu anaonekana Bado msela mavi

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuhoji mtu Watangazaji wengi wa hii Global wanauwezo mdogo sana” Igeni Kwa Milard AYO, au Davistar Mata

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @kingkendrickk
      @kingkendrickk ปีที่แล้ว

      Ila Davistar story zake za mchongo sana

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ana story nzuri na ndefu lakini mtangazaji hujui kuhoji unarukia juu juu

  • @esherjumaa4982
    @esherjumaa4982 2 ปีที่แล้ว +1

    Brother huna baya ww tiririka una2pa somo wadogo zako ndava kama baharia

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa ana story nzuri sana ila mtangazaji miyeyusho....ajifunze hata kwa salama Jabir.

  • @Chemba67
    @Chemba67 2 ปีที่แล้ว

    Mwana.........Baharia

  • @salehkhamis3000
    @salehkhamis3000 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiv vipindi ahogi mtoto wa kiume unamuuliza swali kisha unamuacha jamaa aeleze ilikuaje had mwisho yeye awe anatia ndogo ndogo lakini anajib swali hili hajamaliza anaulizwa lingine

  • @sokoinemallya3395
    @sokoinemallya3395 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji chenga

  • @africano98.
    @africano98. 2 ปีที่แล้ว +1

    Global uyu mtangazj ni zero anauliza maswali yakiwaki sn ajui anamfanyia intaview kuhus nn

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk ปีที่แล้ว

    Story haina kichwa wala mguu, utangulizi hakuna, history ya jamaa ameziwa wapi Hadi ubaharia

  • @fatumajeneby5199
    @fatumajeneby5199 2 ปีที่แล้ว

    HUYU KIJANA NITEJA, KAWAIDA YAO UVIVU, UBISHI, UWONGO, KULALAMA, OMBAOMBA,UJUWAJI( WENGI WAO SIWAAMINIFU)

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 5 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji kazi alipata kazi kwaongo au la kapewa kindugundugu au la kapewa na basha wake, maanayake hatuoni kazi anayoifanya hapo na wala huo ujuzi hana

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 2 ปีที่แล้ว

    Huyu dada hamna kitu kabisa hujui kuhoji mtu kabisa

  • @muddyadinani3145
    @muddyadinani3145 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbanga mukowapi

    • @kingkendrickk
      @kingkendrickk ปีที่แล้ว +1

      Dupa mdupange angempata huyu ingekuwa balaa

  • @mzamilyginga7321
    @mzamilyginga7321 2 ปีที่แล้ว

    yan mtangazaji hatulii hampi mtu nafasi

  • @hamadimwinyi2146
    @hamadimwinyi2146 2 ปีที่แล้ว

    Mwachie aadisiee mwenyew

  • @africano98.
    @africano98. 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji zero uyuu