Interview za Ommy lazima ziwe kali,cous anajielewa katulia kwenye interview zake pamoja na majibu yake,pia na usheshi mwingi juu yake,hata wewe unaemfanyia interview unajisikia raha na kucheka,kwa hakika jamaa yuko sawa na lazima utaangalia na kusikiliza interview zake,big up Ommy na big up Global media,mtabaki kuwa jjjuuuu..cchhiii!!!
Presenters wa online TVs u are the bottlenecks to the growth of Music industry, mnafanya mtu atrend kwa sababu ya personel life na sio music, Jaribuni kuwa creative.Interview msanii basing on his artistic works, mna base sana kwenye issue zisizo na maana .Namkubali sana Sky walker na Lil Ommy the way wanavyofanya interviews na artists!
watangazaji very noisy.....they make Ommy interview look cheap.... wasichana wana makelele sana alafu maswali ovyo... good studio but the gals (host) are not well trained
Interview za Ommy lazima ziwe kali,cous anajielewa katulia kwenye interview zake pamoja na majibu yake,pia na usheshi mwingi juu yake,hata wewe unaemfanyia interview unajisikia raha na kucheka,kwa hakika jamaa yuko sawa na lazima utaangalia na kusikiliza interview zake,big up Ommy na big up Global media,mtabaki kuwa jjjuuuu..cchhiii!!!
MASHA ALLAH
johari abdalla really
Napendaga sn kuckiliza interviews zako Ommy coz unajua kujibu maswali sawia na huwa najifunza vitu vingi sn.
Yeebaba rockista mutabaki kua juu alikiba utabaki kua juu ommydimpaozy utabaki kua juu
Duuh ommy dimpoz kuongea point kabisa from zero to hero keep it up 👍 👍 👍
MashaaAllah omi dipozi napenda unavyo jibu maswali uwo ndo uwisilamu mwamini mungu kwa kila kila kitu
Tunaojua thaman ya rock star & kng gonga like
Ommy anajielewa sana ndomaana tunamkubali sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ubongo wahuyu mtu umetulia sana
Ommy wewe nikiboko yao aise mungu akupe maisha malefu .
Huyu jamaaa atabaki kuwa juu sanaaaaaaa! Naona alama kubwa ya akiri kubwa kichwani
Teem kiba na omy
Akili kubwa Ommy
Omy uko sawa mdogo wangu.mungu akupe maisha marefu nauzidi kujishusha ncini njoo mungu anapenda.mimi niwa burundi alakini niko shabiki wako
wasanii wa rockstar mna brain kubwa sana
kabisaa
Ommy hao wadada wanajikombakomba kwako jigongee😁😁
On my Safi sana,MUNGU kwanza ndio mpango Mzima.Ubarikiwe umenigusa
Ommy yuko very smart 👌
Naima Bruno sanaa. Kizazi sanaa. Sio hospital kileleni chiiiiiiiiiii mungu atakujalia utapona broo. Pole sanaa.
Mwijaku😂Shikamoo Ommy big up
Rock Star wanajielewa Sana
Ommy ametuliya kama mavazi yake
I love you Judith from Uganda! You are such an excellent presenter!
Eeh mungu weeeh..khaaa..kwem mwanzo mgumu yan naona makelele tu by the way i lvyu Ommy
wadada. utangazaji bado sana.
hamjui kuuliza maswali.. fanyeni zoez.. b specific
omr alingi ajigambi
ommy kigoma rini
Wakwanza mumgu!!wapili mungu na watatu mungu !!nimekupenda bureeee ommy!!!😘
We mwinjaku mnafki sana ss apo kilicho kupekeke nn ss apo una hongea utumbo tu. Duh ss ww una tofauti gani na mama Khadija kopa
Ommy ww ni mkali huna afadhali
Pamoja sana omy
Rockstaaaaar
Presenters wa online TVs u are the bottlenecks to the growth of Music industry, mnafanya mtu atrend kwa sababu ya personel life na sio music, Jaribuni kuwa creative.Interview msanii basing on his artistic works, mna base sana kwenye issue zisizo na maana .Namkubali sana Sky walker na Lil Ommy the way wanavyofanya interviews na artists!
Very great bro
Yani ukovizuri sn nakupenda kwl kk ♥ ❤ 💖
Kwanin mnapenda kutumia nyimbo katika umoja? Nyimbo ni wingi wa wimbo. Watanzania tofautixheni ivi vitu
Hii interview km maongez tuu yakawaida km kaumbea fulan au mnaonaje
Follower from Russia big up😁😁
shoo ya kizazi sana Respect kwen🔥🔥
Ommy fundiiii
Safii sana huyu broo
Ommy interview zako nazikubari sana
Ommy your the best chiiiiiii
All those vedio ,, I saw ,even here Oman where I am . Rock star all time become first priority . zenith
Yes they are and those one who are there to perfome today they say that they are best than Kiba in Oman
Ommy we n dunia saf sana
You're the Best bonge ngoma
mmh muli mpania dimpoz presenters5
Following from Doha 🇶🇦 🇶🇦
Kama umekuw wa 1 kutazam gong like
Chiii
Ommy 🤗🤗🔥
Ommy uko vzr yaan imekua wewe kama ndio unawahoji wao sasa hao madem kelele za nn
wadada mnazigua
I team kiba moco ommy smart but anaishi sana na king uyuuu ndomana toka nai nai mpaka kajiandae uprieshert omy fanya tuku sign king's music harakaaa
Ommy you are a good friend very humble Man✌
Keleleeeeeeeeeeeee
Kaanza kurudisha mwili
Good man
Kweli bro
Mbona hamna utaratibu mzuri wa maswali... mnapiga kelele sana
Hahaha
KAMAFA MAFA FOREVER FOR EVER🔥🙌
Ommy love
Kweli bro upepo tu unazingua nyumba inaweza kuwa nziri ila isifike mbali
Pozi kwa pozi yeeeebabaa
Watangazaji hakuna kitu..au ndo mwanzo
We need mwana fa
nic
yaan uyo anahakili sana
Unajielewa sana
Rock stars for ever
Very nice
Apo saw Ommy
Kweli yaan
🔥🔥🔥🔥
Watangazi wafanye maswali yawe mafupi mafupi...
Kweli kabisaa
Studio noma watangazaji ovyooooooooooooooooooooo
GOODBOI REIS duh!huo ndio ubinadamu hakuna siku utapendezewa na vyote hongera kaka I like Judith cool lady but matata 💘
Sikuizi watangazi hata awavutii kuhoji wala kutangaza cheeeeeee
Mussa Keita nikwel me naona watangzaji wengi chengaa
All sey thanks dog dimpo shavu limeanza kuludi
God sio dog
Eeee mwijaku yupo hapo
😂😂😂😂😂
Global mnafanya kitu kizuri ila jaribuni kuboresha Sauti iko chini haijajaa vilivyo, hiyo inapelekea tunaboeka kuangalia Interview nzima.
Goodboy
Nice
Mwijaku linafanya nini hapo,,,kuvamia fani tu mxiieeeww!!
😂😂😂
😂😂😂😂😃😂kwakweli
baba ww fundi waskuumize kichwa ao
100%
Hawa watangazaj hakuna kitu studio nzuri kweli mwanzo mgum ngoja tuwavumilie
Kwel kabisa awajui kuhoji kelele2
watangazaji very noisy.....they make Ommy interview look cheap....
wasichana wana makelele sana alafu maswali ovyo...
good studio but the gals (host) are not well trained
Uyu jama anabusara saani ila
Uchawi aache tu bwanah
Romero Kibutufu Twite unaongea umechawika nae? ongea mambo unajuwa sio ku toroka tu
Mungu anakuona ety uchawi una uhakika na unayosema. ...zanaaa mbaya. ...omba msamahaaa Kwa Mungu wako
Nc maojiano
Mwijaku nimekuona
Mwijaku nakukubali mzee baba piga kazi baba
Nice ommy
mtk
Mtangazaji wewe uliekaa kushoto kwa omi unaongea kama kiziwi
Huyo demu kamstopisha ommy kuelezea muziki halafu anamuuliza kuhusu ku-date 🤮🤮🤮🤮🤮
Catherine you so stupid maswali yako absentsenseless😶🤐🤐😏👿😈
Chiiiiiiiii
Ommy uko vzr yaan imekua wewe kama ndio unawahoji wao sasa hao madem kelele za nn
Nice
Nice