BABY MARRY AWAJIBU WAZEE WA SIMBA "VIONGOZI NDIO WANA MAMLAKA YA KUONGEA | WAWAACHE TUTAFUTE USHINDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

ความคิดเห็น • 14

  • @NioneNyondo
    @NioneNyondo ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaa huyu dada nimemuelewa Sana .....ya pamoja na madhaifu yoote tuuachie uongozi........

  • @BoniphaceLeonce-w4k
    @BoniphaceLeonce-w4k 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unahakili wew

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Izo kauli tamuu sana oya SISI KAMA YANGA TUTAKUTANA TENA SI DUA TU

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Machozi ya Wana msimbazi laana kubwa kwa kayoko

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba hawana uwongonzi uliojitosheleza. Nikama wahuni walio amua kujikusanya pamoja.

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wazee wa zamani walikuwa na akili na walibariki kila kitu ila wazee wa sikuhizi wazee akili zao fyatu😂😂

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Binti mdogo anawazidi uelewa mabibi, mababu na baadhi ya vijana.

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Team yako iwe dahifu mala ngapi😂😂😂😂afu toka wanawake waanze kushadadia mpira umekuwa na matokeao ya ajabu sna😂😂😂

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mechi inayofuata mkamtafute refa wenu.

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Welewa gn anaongea pumba huyo. Ww unafuraia kubebwa na refa

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ww ujaona kama refa kaboronga .kama vipi nenda kajiunge na yanga mjinga ww nikuwa nakweshimu kumbe kichwani hakuna kitu

    • @sosomacharles9920
      @sosomacharles9920 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ww ndo huna akili

    • @EdwardJeremiah-bd8rl
      @EdwardJeremiah-bd8rl ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakukulazimisha umuheshimu ni shobo zako tuu 😂😂