SHAFFIH DAUDA AFUNGA MJADALA WA WAAMUZI WA DERBY| ALAANI KAULI YA MZEE MAGORI SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • SHAFFIH DAUDA AFUNGA MJADALA WA WAAMUZI WA DERBY| ALAANI KAULI YA MZEE MAGORI SIMBA

ความคิดเห็น • 40

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uko vizuri, maneno yako ya kuelekea mwishoni ni somo kwa viongozi wasiojua nafasi wanazokalia. Kauli zao zina madhara sana

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yanga mnabebwa sana hamna timu hapo ni msaada wa refa kwa kwenda mbele

  • @SecqiSekwao
    @SecqiSekwao 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Shafii bonge moja la mchambuz nchini

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Acheni uchambuzi wa kishabiki

  • @geofreykazaula7940
    @geofreykazaula7940 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Well said Shaffih...

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchambuzi upo vizuri sana. Pengine unawashaurije wazee wa simba baada ya kufungwa?

  • @peterkanja4765
    @peterkanja4765 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Haya makosa ya kibinadamu yanasaidia yanga kuwa bingwa .Katika ngao ya jamii yalifanyika pia. Tukubali unazi wa usimba na uyanga ni kubwa kwa marefa.bora katika derby na katika ligi pia waajiriwe marefa wenye ueledi wasaidie huku tukijenga ueledi wa refa wetu.

  • @KILINDONI_MEDIA
    @KILINDONI_MEDIA 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi kaka

  • @FrankJohn-q3x
    @FrankJohn-q3x 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Farawewe simba wanjitafuta

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hizo penalty mbili kama zingetolewa zilikuwa na red card kwa sababu waliomchezea kibu Faulo wote walikuwa na njano hivyo hiyo ya hamza ingekuja wakati simba kashapata matokeo... Kwa kifupi marefa hatuna kwa sababu makosa ni mengii ya kuegemea upande mmoja kuonyesha ni kufuata maelekezo

    • @AbuuMbarouk
      @AbuuMbarouk 31 นาทีที่ผ่านมา

      Kaka umeonge kitu kikubwa sana sana sana kapisa❤❤❤❤

  • @AbdallahMkumbila
    @AbdallahMkumbila 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uyo ndio mchango'mbe wa cluds

  • @gilbertmaganga9370
    @gilbertmaganga9370 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwenye eneo la penati ndio ubinadamu unapokuwepo Ila nje ya penati Ubinadamu haupo

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kayoko hamna kitu pale.

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe siku hizi umekuwa chawa tu

  • @OsmanSiame
    @OsmanSiame 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kolo sajiri wachezaji wazuri mmepigwa kiharali

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba ,Kayoko na harajiga mbona wanatubana sana mechi zote wanazochezesha????

  • @lucasanthony1644
    @lucasanthony1644 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bonge la mchambuzi...!!!
    Hekoooo... !!!!

  • @KareemShabani
    @KareemShabani ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo kayoko hajasoma hajui sheria anapangies Cha kufanya hakuna anachojua msimlaum Hana elim ya urefa anauza mpira wa Tanzania

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kayoko ni mkundu kabisa tena asipite mitaani hovyo hovyo atulie presha ya mashabiki ipungue maana watu hawampendi kazingua

  • @abbassmshaury7572
    @abbassmshaury7572 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    na pale inapowekwa adhabu kwa ajili ya waamuzi ubinaadamu unakuwa haupo? au huwa wanakuwa wanaonewa ?

  • @pinomjata678
    @pinomjata678 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shafii Dauda ni kosa kutetea refa amekuwa akifanya makosa mara kwa mara ambaye anashindwa kutafsiri sheria 17 za football. Kayoko amekuwa wa hovyo ni nini anajifunza kutokana na makosa anayofanya na critisim anazooewa muda sasa. Yaani makosa yote yote aliyoyofanya juzi ni ya kibinadamu, siyo kwamba mchezo ulimshinda?
    Pili GOAL LINE TECHNOLOGY ndio ililetwa baada ya goli la Lampard kukatatlwa sio VAR, kuna matatu umesahau, umedanganya au hujui?VAR imekuja miaka 4 iliyopita goal line technology nimekuja baada ya 2020.VAR mpaka sasa ulaya bado inawasumbua.

  • @KareemShabani
    @KareemShabani ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo dauda yanga huyo wamezoea bahasha

  • @AllyNalinga
    @AllyNalinga 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Digala

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makosa yapi ya kibnadamu?angalien rekod ya huyu kayoko mech za smba,mwaka Jana krumba na Azam alitunyima penat ya Waz hata kipofu angetoa hyo penat,msimtete kabsa huyu mbwa anastahil adhabu Kali sana

  • @hassanmussa6129
    @hassanmussa6129 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Itachukuwa miaka miwili kwenda tena mkapa

    • @geraldgogadi7054
      @geraldgogadi7054 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tangu sare ya 3-3 sijawahi kanyaga tena taifa kuangalia daby

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaongea Pumba tupu mavi kabisa kaka usitetetee ujinga

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makolo mshukuru hisani ya mwamuzi kutompa red card hamza mnge ng'oa viti

  • @nuruabdallahmed9495
    @nuruabdallahmed9495 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shafii wewe shida yako huwa ni mnafiki. Siku zote ukweli kwako ni jambo la ziada. Hivi hujui kwamba mpira wa Tanzania una makando kando?

  • @remmysanga8820
    @remmysanga8820 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Simba wanajitafuta?? Shafii nilijua unajua Mpira kumbe hakuna kituuu kabisaa.umeongea pumba kabisaa utopolo kabisaa wewee.

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kujitafta manake so lazima iwe kifedha au kiuwezo bali huenda hata kimfumo au kimuunganiko

    • @chotark1881
      @chotark1881 5 นาทีที่ผ่านมา

      Ulitaka aongeeje? Acha uduha wewe

    • @chotark1881
      @chotark1881 4 นาทีที่ผ่านมา

      Yanga dawa yenu inachemka subirini klabu bingwa mtaburuza mkia kwenye kundi

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shafi wewe nimjinga tuu unaleta uyanga kayoko na arajiga ni marefa wa yanga huo ndio ukweli

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu Kabla Sijamsikiliza Bila Shaka Lazima Aongee Utumbo Nimkongwe Ambae Hajui ingawa Jina lake Nikubwa

  • @pinomjata678
    @pinomjata678 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shafii Dauda ni kosa kutetea refa amekuwa akifanya makosa mara kwa mara ambaye anashindwa kutafsiri sheria 17 za football. Kayoko amekuwa wa hovyo ni nini anajifunza kutokana na makosa anayofanya na critisim anazooewa muda sasa. Yaani makosa yote yote aliyoyofanya juzi ni ya kibinadamu, siyo kwamba mchezo ulimshinda?
    Pili GOAL LINE TECHNOLOGY ndio ililetwa baada ya goli la Lampard kukatatlwa sio VAR, kuna matatu umesahau, umedanganya au hujui?VAR imekuja miaka 4 iliyopita goal line technology nimekuja baada ya 2020.VAR mpaka sasa ulaya bado inawasumbua.

  • @remmysanga8820
    @remmysanga8820 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Simba wanajitafuta?? Shafii nilijua unajua Mpira kumbe hakuna kituuu kabisaa.umeongea pumba kabisaa utopolo kabisaa wewee.

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwa hyo na ww una amini mna timu imekamilika?? Mnajazwa na nyie mnajaa timu yenu bado sana Sema tu ina spirit ya kupambana