Jamaa professional sana kuna vitu nilikua naviona tu na ata nikiwauliza madereva walikua awanijibu kwa ufasaha lkn leo umenifundisha udereva yani kama ningekua nipo na gari kilichobaki ni uzoefu tu, ubalikiwe sana kwa kutupa elimu na maana ya alama mbali mbali zilizopo kwenye magari.
Aiseee kipindi chenu ni kizuri mnooo.. Big up. Kuanzia wanaochanganya video kutuelewesha vizuri watazamaji, mtangazaji na Jembe Engineer Kyando.. Ndio kipindi pekee naweza kaa chini kukiangalia. Mnatuelimesha watu sana
hiyo option ya gear lever kua na S, an B is only available kwa gari zenye CVT transmission yaan continuous variable transmission.. Bwana Ben, ebu one day uje ufanye kipindi cha kinacho husiana na utunzaji wa engine na gear box kwa upande wa OIL na hydrolic za gear box maana hapa kuna majanga mengi sana.
Ukiwa kwenye mizunguko midogo ya kawaida mtaani unaweka off hiyo O/D ila kama unatembea kwa haraka zaid ya speed 60 mfano upo safarini weka On hiyo O/D.
...Mtangazaji anajua sana, anauliza maswali yaliopo kichwani mwetu kabisaaa.
Benjamin Mzinga na Engineer/Mwalimu wote wako vizuri, nimejifunza
Jamaa professional sana kuna vitu nilikua naviona tu na ata nikiwauliza madereva walikua awanijibu kwa ufasaha lkn leo umenifundisha udereva yani kama ningekua nipo na gari kilichobaki ni uzoefu tu, ubalikiwe sana kwa kutupa elimu na maana ya alama mbali mbali zilizopo kwenye magari.
Aiseee kipindi chenu ni kizuri mnooo.. Big up. Kuanzia wanaochanganya video kutuelewesha vizuri watazamaji, mtangazaji na Jembe Engineer Kyando.. Ndio kipindi pekee naweza kaa chini kukiangalia. Mnatuelimesha watu sana
Baraka Ngaponda o
Nakuelewa mwalimu
Ni kipindi kizuri Sana tunamshukuru Sana,kwa c madereva,si wote tuliokuwa tunafahamu hayo mambo
duh nilikua najiendeshea tu asanteni sana
me nahitaji msaada wa kuwapata mafundi sahihi wayalingi gari yangu aina Nissan murano toleo 2009 asante
big up sana
Mafunzo yapo vzuri sana
hiyo option ya gear lever kua na S, an B is only available kwa gari zenye CVT transmission yaan continuous variable transmission..
Bwana Ben, ebu one day uje ufanye kipindi cha kinacho husiana na utunzaji wa engine na gear box kwa upande wa OIL na hydrolic za gear box maana hapa kuna majanga mengi sana.
Msaada wa alphad ina
Kipindi kizuri sana,
Nimekipenda hicho kipindi
Baada ya service gari yangu imekuwa ikipoteza reverse ,nini inaweza kuwa tatizo?
Nashuku kwa elimu, nimeongeza kitu kipya ktk kichwa changu leo
O/D ikisoma ON inamaanisha nini?
Basi anatakiwa akielimisha aonyeshe na vitendo na vitu vyenyewe tuvijuwe
Nimepata mafunzo ya kutosha
Je wakati wa kutaka kurudi nyuma unapofunga break na gari haijasimama vizuri unaweza bonyeza R ikakubali?
Unapoweka R na gari haijasimama vizuri itasimama ghafla kama vile umeweka hand break, na kama ni mwendo mkali utahua gear box
Kipindi hiki sio siri kimenifuna mengi
Je unawez kuwek O/D gar ikiw inatembea
Ukiwa kwenye mizunguko midogo ya kawaida mtaani unaweka off hiyo O/D ila kama unatembea kwa haraka zaid ya speed 60 mfano upo safarini weka On hiyo O/D.
je gari automatic ukitaka kuiwasha lazima ukanyage brek ndo uwashe au
Ndio laZma
Inategemea gari na gari, kwa mfano Yaris ya mwaka 2011 haihitjaji, lkn nissan altima 2010 inahitaji kukanyaga brake
Ndio lzm
Sio lazima ukanyage brake pedal kama gear leaver ipo parking position.