MZARAMO ATOA POVU KIFUNGO CHA MANARA/ ATEMA CHECHE ZA SIMBA MISRI NA MASHINE MPYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

ความคิดเห็น • 31

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 หลายเดือนก่อน +4

    Manara hana lolote loplopo 2 nasubirini vita vya manara na Allay Kamwe ya mzee magoma yatakua kidogo

  • @SaidMwangatwa
    @SaidMwangatwa หลายเดือนก่อน

    asante manala kwakuludi

  • @MusaNyamhanga
    @MusaNyamhanga หลายเดือนก่อน

    Kweli kaka ninakubali SIMBA NGUVU MOJA

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 หลายเดือนก่อน

    Big up mzaramo

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 หลายเดือนก่อน

    Mzaramo ukweli ulipoteaaaa🎉🎉

  • @user-fj3ol4fj1i
    @user-fj3ol4fj1i หลายเดือนก่อน

    Mzaramu mwenzangu watafsilie na hii yanga imara kiswahili maanayaka nini

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 หลายเดือนก่อน

    Na kweli mzaramo nilikumiss sana ase

  • @user-pj4mx2ro4h
    @user-pj4mx2ro4h หลายเดือนก่อน

    Huyo akikaa sana juani changamoto

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx หลายเดือนก่อน

    Mzaramo hoyoo!

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp หลายเดือนก่อน

    Simba inahitaji kucheza mpira kwa ari na nguvu na pupa itafnikiwa

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 หลายเดือนก่อน

    Manara kiboko yake ni Mzee Magoma kwanza ajibu tuhuma kule zakuangukaaanguka hahaha. Mzaramu oyeeeee

  • @johnurio9151
    @johnurio9151 หลายเดือนก่อน

    Mngebakisha maneno

  • @AkramIbrahim-c8w
    @AkramIbrahim-c8w หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Mzaramo Analijua Nani Kama Unajulikana Kwenu Hk Kijijini Manara Namba Ingine Manara SI Levo Yk Manara Mtoto Wa Mjini Mzaliwa Wa Dar Anatamba Tz Mzima We Jamaa Vipi

    • @user-uk4ds5gw8w
      @user-uk4ds5gw8w หลายเดือนก่อน

      Kwa washamba Kama wewe manara lazima awe mtoto wa mjini

    • @user-bx2ll6kg4b
      @user-bx2ll6kg4b หลายเดือนก่อน

      Kwanza umeshasema wa kijjn. Huku mjn Hana ishu huyo muimba taarabu tu

    • @johnkamuhabwa5142
      @johnkamuhabwa5142 หลายเดือนก่อน

      Mtoto wa mjini anasema baba hana akili?

  • @SamwelLameck-rv3fd
    @SamwelLameck-rv3fd หลายเดือนก่อน

    Kwelii❤

  • @AkramIbrahim-c8w
    @AkramIbrahim-c8w หลายเดือนก่อน

    Wewe Unauliza Manara Halafu Unaongea Kwa Dharau Huyu Kafunguliwa Na Nani Ww Unauliza Na Wewe Kama Nani Usishindane Na Manara Manara Namba Ingine Dar Nchi Mzima Wewe Mzaramo Analijua Nani

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 หลายเดือนก่อน

    Namba ya kibu atacheza nani? Tumepata pigo kumkosa Mpanzu na wakati huohuo Kibu katuzingua. Viongozi wanatakiwa kulitatua hili kabla dirisha halijafungwa na kabla ligi ya ngao ya hisani haijaanza. Tunaomba Viongozi wajitokeze hadharani wanatatua vipi mapungufu haya kwenye timu yetu. Hizi kasoro zisipuuzwe zaweza kutuathiri.

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 หลายเดือนก่อน

    Manara aliwatumikiya vizuri sema.ukweli Mzaramo apo ujasema ukweli tangu Hadji kutoka akuna championships mlipata

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 หลายเดือนก่อน

      Inashangaza.. Manara anacheza namba ngapi?
      Mashabiki wa simba wamepata tunu ya mashabiki bora bila manara...
      Tunataka mpira wa uwanjani siyo makandokando

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d หลายเดือนก่อน

    Haji ange nyogwa TU kabisa

  • @AkramIbrahim-c8w
    @AkramIbrahim-c8w หลายเดือนก่อน

    Manara Hy Mimi Nnamfahmu Hajakulia Tz Hajasoma Tz Kasoma Hk Nje Baba Ale Sunday Manara Anakipiga Urope Wewe Mkwezi Unashinda Na Manara Manara Levo Nyingine

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 หลายเดือนก่อน

      Wacha kudanganya watu wewe.. huyo albino alizaliwa Denmark Kwa misimu michache tu wakati babake akiwa anachezea huko ila amekulia dar na amesomea dar.. khaaa unapata nini kusema uwongo wewe?? Dah shame on you

    • @user-il5cu6gq5f
      @user-il5cu6gq5f หลายเดือนก่อน

      Mpumbavu unadanganya umma huyu kasoma kariakoo

    • @AdamSaffi211
      @AdamSaffi211 หลายเดือนก่อน

      Mwizi mkubwa huyo, mbona hamsemi, mzee Magoha anajua yote hayo! Lilikuwa jambazi huko CCM

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 หลายเดือนก่อน

    😂😂 unyonyole

  • @AdhamAlliy-mg5py
    @AdhamAlliy-mg5py หลายเดือนก่อน

    Kaka tumekumisi sanaa

  • @kubuleabdul6032
    @kubuleabdul6032 หลายเดือนก่อน

    Mzaramo tulikuws tumekumiss Tambo zako ubaya ubwera