MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: SEMINA YA NEO LA MUNGU KAHAMA DAY 2 [TAR 12 MEI 2023]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • SOMO:-
    "ASICHOTAKA SHETANI UKIFAHAMU JUU YA KUKETI KWAKO PAMOJA NA YESU"
    .................................................................................................................
    Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
    M-PESA 0754 211 633
    TIGO-PESA 0715 511 633
    AIRTEL MONEY 0682 657 080
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
    PIA UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
    CRDB BANK
    ACC: 01J2032214400
    JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

ความคิดเห็น • 49

  • @rachelmaungo4413
    @rachelmaungo4413 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa Muñgu Muñgu awape maisha ya amani katika utumishi wenu

  • @dainesslupaya1237
    @dainesslupaya1237 ปีที่แล้ว +1

    Umenigusa sana kuhusu somo la jana la sadaka kufunga kesho ya mtu ni kweli kbs nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kwenye maisha yangu kumbe kunamahali wametoa sadaka kufunga maisha yangu ,Namba kwenye luninga hazionekani vizuri

  • @skilindaissa5441
    @skilindaissa5441 ปีที่แล้ว

    Ameeen kubwaaaa sana.

  • @albertvincent8197
    @albertvincent8197 ปีที่แล้ว +1

    Is there a way to order books online?

  • @giselagideon8888
    @giselagideon8888 ปีที่แล้ว

    MUNGU akutunze na akubariki baba

  • @dianahosea6566
    @dianahosea6566 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 ปีที่แล้ว

    Ukiona wazo linakuja ndani yako then badala ya kuboresha tumaini la kesho lkn linaua ujue hilo siyo wazo la Kristo/Mungu

  • @teddyjoseph438
    @teddyjoseph438 ปีที่แล้ว +2

    Nipo live kahama Nabarikiwa na Huduma hii

  • @HariethNdunguru
    @HariethNdunguru ปีที่แล้ว +3

    Amen

  • @bilugwemwanzije
    @bilugwemwanzije ปีที่แล้ว

    Sifa na shukran kwa Allah..!!?...Kenya...watamu.

  • @RupindaKajembe-xm4ow
    @RupindaKajembe-xm4ow 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi niko misungwi lakini nabarikiwa kuliko kwa viwango vya juu sana MUNGU ni mwema sana.

  • @yohanabtz7343
    @yohanabtz7343 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @wokovunisasatv7576
    @wokovunisasatv7576 ปีที่แล้ว +7

    Ameeen, barikiwa sana

  • @AllanMahalu
    @AllanMahalu ปีที่แล้ว

    natamani sana kupata vitabu hivi mtandaoni

  • @robertpatrice3038
    @robertpatrice3038 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @wendebange8580
    @wendebange8580 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukutumia Kama alivyokuchagua,Asikupungukie

  • @robertpatrice3038
    @robertpatrice3038 ปีที่แล้ว

    Nikitaka kitabu nitapataje

  • @clemence3493
    @clemence3493 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @LydiaAruba
    @LydiaAruba ปีที่แล้ว

    Nakuelewanga baba

  • @JemusDunia
    @JemusDunia ปีที่แล้ว

    Amina

  • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
    @salmakiyabosiriyamachoziha8756 ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @defencedominic550
    @defencedominic550 ปีที่แล้ว +1

    Amenn barikiwa sana mtumishi wa Mungu najiunganisha na familiya yangu yote na madhabau hii kwa damu ya YESU

  • @dayemukalai3427
    @dayemukalai3427 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏🙏 niponanye E Mungu usinipite utakapongusa wegine naminiwemo

  • @EdnaRober-nr6ul
    @EdnaRober-nr6ul ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @veronicajackson32
    @veronicajackson32 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏🙏

  • @nazajesusservant
    @nazajesusservant ปีที่แล้ว +1

    THIS IS DEEP

  • @yohanabtz7343
    @yohanabtz7343 ปีที่แล้ว +1

    Amen sana Mungu azidi kuapigania

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba ปีที่แล้ว

    Waooo Mama Utukufu kwa Mungu mkuu ,
    lakini hao Wamama wafundishwe kuvua Mapambo hiyo ni roho ya yezebeli tukubali kubaki kama tulivyoubwa Inapendeza

  • @rachelmaungo4413
    @rachelmaungo4413 4 หลายเดือนก่อน

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 ปีที่แล้ว +1

    Thanks Jesus

  • @deodatusmziwanda9009
    @deodatusmziwanda9009 ปีที่แล้ว

    Eeh MUNGU Tusaidie Kuendelea na Masomo Type Kibali Chako Chakuendelea na fungua UCHUMI Wa Familia

  • @noebagundaministries8966
    @noebagundaministries8966 ปีที่แล้ว +1

    Amjambo

  • @emanuelsalali5557
    @emanuelsalali5557 ปีที่แล้ว

    Nawasikia vizuri sana toka Bagamoyo pwani YESU kristo awatunze watumishi wa MUNGU

  • @johnkanyika724
    @johnkanyika724 ปีที่แล้ว

    Kristo Yesu atujalie kufunguka masiko ya Rohoni ili tupate kupona

  • @NancyJohnson-b2f
    @NancyJohnson-b2f ปีที่แล้ว

    Naomba niunganishe sadaka yangu na jina na Briyan unaona wng wa kwanza na vifungo vikivyoekwa kwa familia yangu ndugu zangu wapate kupona mtoto wangu apate ufahamu Ameen

  • @lwitikojoel1466
    @lwitikojoel1466 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu Kristo nitafakarishe na kunishika mkono kwaajiri ya wokovu ulioweka ndani yangu na uzao wangu na wazazi wangu na uzao wa mamaangu. Damu yako agano iliyomwagika msalabani inene mema kwaajiri ya uzao wa tumbo la mamaangu katika jina la Yesu Kristo aliyehai. Amen

  • @selladaimon8677
    @selladaimon8677 ปีที่แล้ว

    Amen Amen mtumishi wa Bwana Mungu akubariki

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 ปีที่แล้ว +1

    Vijana wenzangu cheza!!
    Bibi anapenda ujana huyu
    Sijawahi ona Wala kusikia😂😂.

  • @fredysilanga2782
    @fredysilanga2782 ปีที่แล้ว

    Aminaaaaaa sanaaaaa mtumishi

  • @damampesa-mj3bd
    @damampesa-mj3bd ปีที่แล้ว

    Amen

  • @theresiagisberth6197
    @theresiagisberth6197 ปีที่แล้ว

    Najiunganisha na Ibada hii Bwana Yesu naomba Rehema zako na hekima Amen 🙏.

  • @rosettadonald-wh8qg
    @rosettadonald-wh8qg ปีที่แล้ว

    Amen

  • @NiceWatson-r7f
    @NiceWatson-r7f ปีที่แล้ว

    Nampenda yesu❤

  • @DavidLaizer-b5f
    @DavidLaizer-b5f ปีที่แล้ว

    real mwakasege ni mwl God's bless

  • @Kingjoashwelding
    @Kingjoashwelding ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏

  • @josephmwakipesile1481
    @josephmwakipesile1481 ปีที่แล้ว

    Ameeeeni baba YANGU

  • @rosettadonald-wh8qg
    @rosettadonald-wh8qg ปีที่แล้ว

    Hallelujah