Nawapenda sana waigizaj wote wa twizdady kwa kaz nzur mnayoifanya........ Siwapendi waomba like humu wanaosubr watu wapost kaz zao wao waombe like kirahis shenzi zao
Sasa Nasra we unaamini kama mapenzi ni dawa mapenzi sidawa we mutihi uwe nanizamu na umpikiye cakula kizuri mmeo awe sawa anaco kwambiya mm yako nikweli dawa hazina mafa yoyote
Twizy mai ndio huyoo anaondoka vp unamuona wapi tena halafu hongera Kwa msimamo thabiti ulonao endelea hivyo hivyo kuchapa vibao kama nyau Kwa wanawake wasiojielewa chukua mauwa yako🥀🥀🌹🌹🌹
JAMANI MAI ANAONDOKA 😭😭😭 HIVI NTAMPATA KWELI?😭😭😭💔
@@twizydadytv_ Utampata tu
Kaz unayo
Kaka utamupatatu
Hyo mfanyakazi mpya n mjinga kweli
Utampata
Mwanaume siku zote ni kuwa na msimamo kazi nzuri twizy dady filamu yako inafundisha xana,,ebu tupa ata like 20 tumsapoti kk yetu apa
Hongera sana mai Kwa Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila movie nzur sna lei nimepnda maingez y mama nasra kw maneno alomuambia mtto wake hunger zko kw leoo nasra jiongeze hujielew msichana❤❤❤❤
Hongera sna mai,badilisha mawazo ubaki nao ili twizy akupate kiurahisi
Kwa kweli machozi inanitoka hapo kwa mai😢
Wapi likes za courageous Mai, love her character 👍👍
Daaaaa wameniliza asnq❤❤
nakukubali sana bosi unafaa kua mchungaji maana sio kwa misimamo hiyo nikuite yusuphu
Hongera sana Mai🎉🎉❤
Hongera sana naa una present vizuri uhusika wako licha ya makofi😂😂😂
😅😅😅
Asante mwaya grace
@@twizydadytv_ sawa usijali 😅😅😅 vumilia makofi
Nimewahi leo chukuweni mauwa yenu kwa kazi dzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongeran nyote najifunza mengi kupita movie zako twizy mungu awazidishie nguvu muwaishe mapema mob love kwenu❤❤❤❤
Bora mama nasira umeongea hapo nasira hajui kuongea na mme yake
Wamwisho leo jaman naomba like hatakama moja
Hongera sana Mai aki uko vizur Mungu akutangulie🎉🎉🎉❤
walioona mtu anakula bakora kam mtoto tujuane❤❤❤❤
Hongera sana mai kwa kaz nzur
Kaz nzuri twiz
Hongera sna mai kwa uigizaji wako mzuri 🎉🎉❤
Kz nzur mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉
Ogera san kak kz zur ❤❤❤🎉
Finally mai u did it ❤❤❤❤
Tunaomboleza jamn kwenye msiba wa mama yetu tesa wa huba
❤❤❤❤❤congrats Mai
kazi nzuri
Nimechungulia sana jamani hadi huruma kazi nzr sana❤❤❤❤❤
🎉🎉kazi nzuri sana
Good job mai❤❤❤
Hongera sana mai
Weye unatuletea movie kwa haraka sana, maua yako Twizy
Kazi nzuri sana❤😊
Namkubali sana Mai kazi nzuri hongera❤🎉
Kazi nzuri Sana mai🎉🎉🎉
Wapili leo lkn hata nikiombq like sipewi 😂😂😂😂
Tumpeni like nyingi💗💗
Zakufanya nini bola kwanza wahangalie movie iyishe @@twizydadytv_
@@twizydadytv_❤❤🎉🎉asante sana twizy dady napenda kazi zako 🎉🎉🎉
Twizy much love from Kenya 💕💕💕
Dada wa kazi jamani❤❤❤
Safi sn mai😂😂😂😂
Amazing ❤❤❤mai unyama sana.... congratulations team twizy
Kuwa makini na huyu mke Wako na ma mkwe
Huyu mdada wa kazi anasauti mbovu kama haigizi ananikera na lisauti lake 😢😢😢
yaan 😂😂😂😂
Mm namchukia nakwambia 😢😢
imzuri sana
Kazi nzuri mai ❤❤❤❤
Kazi zuri naipenda
Jamani my ungekaa nao mpaka angekufata boss wako
🎉🎉🎉❤wa Kwanza leo
Haya hongera 🎉
Safi Sanaa ❤❤❤
Jamani pamoja kutokea kenya 🇰🇪 dada wa kasi kimboko kweli dooh😅😅😅
😢😢😢nakupenda sana mai
jmn me dada wakazi simpendi uyu ata ongea ake
kaama.jambazi
Asant sana kazi nzur
Mai good job 👏
Safi mai
Kazi nzuri sana
Mai please rudi ukae nawezako
Nawapenda sana waigizaj wote wa twizdady kwa kaz nzur mnayoifanya........ Siwapendi waomba like humu wanaosubr watu wapost kaz zao wao waombe like kirahis shenzi zao
Pia mimi siwaelewi kabsa
Utawaelewa tu wanaomba like za kazi gani
even me😂
anii siwapendi waomba like na wanaojikutaga wakwanza na akat wengn tunadownload tunatulia zetu
Namkubli sana mai
Sawa my mob love to u ❤❤❤❤
Hata mm leo mnipe like hata mbili nitashukuru
Nishakupa nipe n mm like yng🎉❤
Tujuane tunaoangalia huku tunaomboleza msiba wa tisa 😭😭😭😭
Aki kifo hkina huruma.muigizaji muzuri kweli ila mungu alimpenda zaid 😢
Unafeli wapi boss kula huyo dada wa kazi
Ila nasra mrembo nyie
Kazi tamu
Ww afande wambura chacha ww ni ndg yng kabisa
❤❤❤❤ wooooooow
Mai dada umejesa kama wewe amndulilaya
Nilichogungua ni kwamba mai kuigiza analia hawezi yani anakuwa kama anataka kucheka nani mwingine kagundua hilo. ??
Mai 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Wa Tisa nimewahi kidogo jamani
Hongera sana wapendwa
Kazi nzur kaka ake
Huyu ni mamaake nasla kweli ama maana wanafanana sana
Huyo dada amekuja kudanga
Mai wangu nakupend
Wanaye mukubali mayi tujuwane kwalanke
My usiende jamani 😢
❤❤❤❤❤❤
Next please hurry up
The best san ii kazi kali san
❤
@MwaJuma-x3t 💝💝💝
Nipitie pia plz 🙏
@@Phoebenafula nn watk momy
Sasa Nasra we unaamini kama mapenzi ni dawa mapenzi sidawa we mutihi uwe nanizamu na umpikiye cakula kizuri mmeo awe sawa anaco kwambiya mm yako nikweli dawa hazina mafa yoyote
Remy ❤❤
Madame mwanya pole kabisa ulijifanya mujanja ukome
Mai kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
🎉🎉🎉
Wamwisho leo mpaka kesho
Mai Una Zingua
Jamani mi sijaiona mwanaume anatongozwa na mwanamke akakataa kukubali😅😅😅
Wapo me niliwah mwambia mwanaum akanikataa
Walivo warahisi na hawajali na hapo Mwanamke wake ana zingua,, Ndio angelegea kabisa na kila cku yaan Angembadilisha kuwa Mke
Utamupata tu muda sio murefu
Asantee kwakibao
Utampta tu usijali
@TWIZY JINI MAHABA NDO ATAWEZANA NA NASRA KUGOMBANA 2 KUPIKA AAAAH😂😂😂😂😂😂 NAWAPENDA XN
Twizy mai ndio huyoo anaondoka vp unamuona wapi tena halafu hongera Kwa msimamo thabiti ulonao endelea hivyo hivyo kuchapa vibao kama nyau Kwa wanawake wasiojielewa chukua mauwa yako🥀🥀🌹🌹🌹
الله اكبر الله اكبر الله اكبر
Remy snuoni umundan
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤
Utampat ww jitahidi t kumtafuta
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 likes plz 🙏
Mai nmelia na mm jmn