Habari za moto 29/1/2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Join this channel to get access to perks:
    / @baraka1tv534

ความคิดเห็น • 45

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 9 วันที่ผ่านมา

    From 🇧🇮 congo muwe naakili ndugu musiwi tayari kuka fasi moja 🎉🎉mupaka watoke 😅uyo raisi wa kenya akapambane na raia wake uko wa memushida musitoki rwanda wao wakiuwa na nyinge uweni moto 🔥 moto

  • @heritiermupenzi1613
    @heritiermupenzi1613 9 วันที่ผ่านมา +3

    Courage ba soda ya congo et bazalendo

  • @VanancieNsambiana-b1k
    @VanancieNsambiana-b1k 9 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa hero FRDC Na wazalendo

  • @mmungajemsalexandre6876
    @mmungajemsalexandre6876 9 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kwa tarifa za papo hapo

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu awape nguvu jirani zetu

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 9 วันที่ผ่านมา +2

    Safiiiiii kabisa 🎉✊✊💪💪💪🦅

  • @assanisadiradja5130
    @assanisadiradja5130 9 วันที่ผ่านมา

    Bravo sana kwa jeshi la congo kusimama kwenye msimamo waku iteteya inchi yetu.

  • @MuhindoRaphael-s7p
    @MuhindoRaphael-s7p 9 วันที่ผ่านมา

    Awapenguvu mungu muhindo kampala

  • @kikabiibrahim4673
    @kikabiibrahim4673 9 วันที่ผ่านมา

    Courage sana FARDC

  • @BandekeUrbain
    @BandekeUrbain 9 วันที่ผ่านมา

    ❤❤nakuuga mkoono

  • @MuhindoRaphael-s7p
    @MuhindoRaphael-s7p 9 วันที่ผ่านมา

    Mungutu awasaidie awapengu

  • @DieuMerciKamani
    @DieuMerciKamani 9 วันที่ผ่านมา

    Debout congolais ✊✊✊✊🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @jean-paulbwanamoja3692
    @jean-paulbwanamoja3692 9 วันที่ผ่านมา

    Courage

  • @kasobolorogerkambale1586
    @kasobolorogerkambale1586 9 วันที่ผ่านมา +1

    Solution ya retour ya bakonzi benyé balikimbiya gona nikubauwa tu

  • @MumbereDedia
    @MumbereDedia 9 วันที่ผ่านมา

    Djampo mwesimiwa asante kutupa tarifa mimi niko uganga kasese alakini iyi yaleo hayiseme papa

  • @OmarRwamakuba
    @OmarRwamakuba 9 วันที่ผ่านมา

    Jinalako. Niakili kwamtizamowawengi hunaakili

  • @MohamedissaMohamed-g7w
    @MohamedissaMohamed-g7w 9 วันที่ผ่านมา

    Wachome zote tu, hao ndo wanatuvuruga sana.

  • @ManigabeDarius
    @ManigabeDarius 9 วันที่ผ่านมา

    Wanajeshi congo muki endeleya subria musaada kwa president muta angamia vikali bozuwa decisions nabino bokota na rwanda

    • @clauderwiyaza9571
      @clauderwiyaza9571 9 วันที่ผ่านมา

      Bakotaki deja selon communication ya Christian Bosembe pe ministre Therese Kayikwamba

  • @SultaniMuhumuza-z8c
    @SultaniMuhumuza-z8c 9 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏ug

  • @DeogratiasMulumeoderhwa-y6z
    @DeogratiasMulumeoderhwa-y6z 9 วันที่ผ่านมา

    Jambo mwariri iyo niuyongo yaufarasa nisisi wenyewe tutajigombowa.deo bukavu

  • @AmadiAbadi
    @AmadiAbadi 9 วันที่ผ่านมา

    Niliwambiya iko siku utakosa yakudanganya

  • @isaacmwenebatu
    @isaacmwenebatu 9 วันที่ผ่านมา

    Mbona serekali yetu inawaamini watu wanaotuumiza? Akuna msaada wowote tutakaoupata kutoka kwa mmarekani na mfaransa. Wawafurushe kwetu.

  • @miambayankeba1084
    @miambayankeba1084 9 วันที่ผ่านมา

    Me bangonzi nyoso oyo Ba Kimi bo pesa ba liste Bango

  • @ClovasMwenyemali
    @ClovasMwenyemali 9 วันที่ผ่านมา

    Sasa ule president mshenzi ame Sema nini

  • @peterkwesele1091
    @peterkwesele1091 9 วันที่ผ่านมา

    Gvment ya congo ezali ndenge nini botinda ba avions de chasses ekende ko terroriser ya banguna.

  • @mulondwashindano
    @mulondwashindano 9 วันที่ผ่านมา

    Gloire a Dieu le toupouicent garant de toutes les Nation. vive la RDC et FARDC Wazalendo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo Bravo ❤❤❤❤❤❤❤

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w 9 วันที่ผ่านมา

    Tunasubiri utupatiye baba za moto

  • @AmadiAbadi
    @AmadiAbadi 9 วันที่ผ่านมา

    Wamecomoma goma irudi

  • @titonsungu1178
    @titonsungu1178 9 วันที่ผ่านมา

    Ba généraux traîtres, pandeson toyoka son 😂😂😂 bakufa , mpo batiki mboka bakimi

  • @isaacmwenebatu
    @isaacmwenebatu 9 วันที่ผ่านมา

    Mfaransa ni mnafki… hana lolote

  • @godengo.dr1
    @godengo.dr1 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hayo ni maneno ya Uongo ya Ufarança, huwa wanasema na nyuma wanatowa pesa za kusaidiya Rwanda kutoka umoja wa Ulaya. Jeshi la Congo lisifuatane na maneno yao. Waendelee kuwatwanga hao makafiri mpaka waingiye Kigali, wawafurushiye mbali, wawarudishe makambini tena wakule Nvungure.

  • @UwaseGoodluck
    @UwaseGoodluck 9 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi mutangazaji huna hata aibu kutangaza uongo

  • @barakapascal-hm2kb
    @barakapascal-hm2kb 9 วันที่ผ่านมา

    Ni pascal Rwakabuba kutoka Dubai mzaliwa wa kidandali busanza rutshulu Nord kivu nawasikiliza Baraka 1 TV asante kwahabari.

  • @sumailiKabwe
    @sumailiKabwe 9 วันที่ผ่านมา

    Naitwa sumaili kutoka marekani nauliza wanasimamia wapi ??

    • @muziranengerakiri9693
      @muziranengerakiri9693 9 วันที่ผ่านมา

      Goma iko control par lebel m23

    • @rubaregeraenock
      @rubaregeraenock 9 วันที่ผ่านมา

      ... na uwanja wa ndege, umeishakamatwa na M23 liberators!

  • @TimotheeTimothee-yc8iq
    @TimotheeTimothee-yc8iq 9 วันที่ผ่านมา

    Jambo journaliste

  • @rubaregeraenock
    @rubaregeraenock 9 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo, unafaidika nini unapowambia uongo wananchi wako wa Congo????
    You're misleading them, and you may lead to their killings, because they may move to the dangerous areas of M23 and be killed. Try to be truthful to yourself.

  • @rubaregeraenock
    @rubaregeraenock 9 วันที่ผ่านมา

    Uwanja wa ndege uneishachukuliwa na liberators of M23. Radio iko mikononi mwa liberators of M23. Acha udanganyifu, utawaletea hatari watu wako.
    Wambie hatari ilipo.

  • @REUBENTHADEO
    @REUBENTHADEO 9 วันที่ผ่านมา

    We muongo au na wewe nimuasi.

  • @Milamilasf
    @Milamilasf 9 วันที่ผ่านมา

    Baraka objective yako nigani? Sijaona ulitangaza zakuliwa nakuuwawa kwawnzetu wanyamulenge Bangi inazidi hakuna mtuambae ana ruhusiwa kugusa ubalozi kama sio ujinga nini?

  • @UwaseGoodluck
    @UwaseGoodluck 9 วันที่ผ่านมา

    Huna lolote unatoa taalifa za uongo

  • @OmarRwamakuba
    @OmarRwamakuba 9 วันที่ผ่านมา

    Jinalako. Niakili kwamtizamowawengi hunaakili