- 1 105
- 2 545 337
News Home TV
Kenya
เข้าร่วมเมื่อ 6 มิ.ย. 2021
Habari za moto 18h00 31/1/2025 kikao cha EAC Kagame muongo sana
Join this channel to get access to perks:
th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
มุมมอง: 1 469
วีดีโอ
Habari za moto 15h00 31/1/2025
มุมมอง 2.5K6 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 12h00 31/1/2025 afrika kusini /RDC kumtwanga Paul Kagame
มุมมอง 8K10 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 31/1/ 2025
มุมมอง 9K20 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 18h00 30/1/2025
มุมมอง 6K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 15h00 30/1/2025 Tatizo ndani RDC + RWANDA
มุมมอง 5K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 12h00 30/1/2025 FELIX ET BITAKWIRA /KAGAME APIGWE
มุมมอง 7K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 30/1/2025
มุมมอง 19K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 18h00 29/1/2025 William Amuri yakutumba na Paul Kagame
มุมมอง 10K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 15h00 29/1/2025
มุมมอง 7K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 12hoo 29/1/2025 Fardc wazalendo wapo serikali yatuma gavana mpya Goma
มุมมอง 9K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 29/1/2025
มุมมอง 15K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 15hoo 28/1/2025 Fardc wazeldo karibu kigali/ Rwanda ya funga uwanja wa ndege kigali
มุมมอง 25K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 28/1/2025 Fardc wazalendo in rwanda moto juu ya moto
มุมมอง 11K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Urgence za moto 28/1/2025 GOMA mikononi mwa Fardc wazalendo
มุมมอง 12K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SNxNFXhJISvfSKhIQPSVUg.htmljoin
Habari za moto 18h00 27/1/2025 Félix Tshisekedi alaumiwa kwa uzembe na uoga
มุมมอง 6K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Habari za moto 18h00 27/1/2025 Félix Tshisekedi alaumiwa kwa uzembe na uoga
Habari za moto 15h00 27/1/2025 Vita ndani ya ukanda EAC
มุมมอง 6K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Habari za moto 15h00 27/1/2025 Vita ndani ya ukanda EAC
Habari za moto 12h00 27/1/2025 Paul Kagame Félix Tshisekedi kukutana/Goma moto ule ule
มุมมอง 6K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Habari za moto 12h00 27/1/2025 Paul Kagame Félix Tshisekedi kukutana/Goma moto ule ule
Urgence za moto 27/1/2025 Goma Goma Goma/ huzuni
มุมมอง 5K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Urgence za moto 27/1/2025 Goma Goma Goma/ huzuni
Habari za moto 18h00 26/1/2025 Wanyarwanda wanavyo kufia bure RDC
มุมมอง 7K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Habari za moto 18h00 26/1/2025 Wanyarwanda wanavyo kufia bure RDC
Habari za moto 15h00 26/1/2025 Fardc wazalendo nguvu moja /AFC M23 RDF Paul kagame shimo lammeza
มุมมอง 6K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Habari za moto 15h00 26/1/2025 Fardc wazalendo nguvu moja /AFC M23 RDF Paul kagame shimo lammeza
Habari za moto 12h00 26/1/2025 Farddc wazalendo .SADC. MONUSCO kumtwanga AFC M23 RDF
มุมมอง 12K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Habari za moto 12h00 26/1/2025 Farddc wazalendo .SADC. MONUSCO kumtwanga AFC M23 RDF
Habari za moto 18h00 25/1/2025 Mzigo wa usaliti kicwa kizito
มุมมอง 4.5K14 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Habari za moto 18h00 25/1/2025 Mzigo wa usaliti kicwa kizito
Habari za moto 15h00 25/1/2025 usaliti ndani ya jeshi Mungu mtoa hukumu
มุมมอง 4.3K14 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Habari za moto 15h00 25/1/2025 usaliti ndani ya jeshi Mungu mtoa hukumu
Habari za moto 12h00 25/1/2025 Moshi wa usaliti wamfukia Peter Chirimwami/Kagame acheka
มุมมอง 8K14 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Habari za moto 12h00 25/1/2025 Moshi wa usaliti wamfukia Peter Chirimwami/Kagame acheka
Habari za moto 18h00 24/1/2025 Raisi Félix na maamuzi
มุมมอง 7K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Habari za moto 18h00 24/1/2025 Raisi Félix na maamuzi
Huyu haachi upuuzi
Niatari aka kabwana kako na roho yakishetani tu
Vraiment tunateswa batusaidie
Anadanganya pale wanyadwanda benye bamekimbia niwenye wameuza vyao nakurudi kwao kwamfano watusi warutschuru
You are foreigner leave Congolese alone. Im Alex from America.
Tunakufa juu ya nini ?adui ya wa congomani leo ni wale waliofanya muhuri na cndp na M23.
Rwanda apigweeee tiseked lpiga hawa mbwa wa Rwanda
Congo iji unge tu na Putin Ursi
Asante sana kwa habari moto nakufwataga siku zooote 5/5 , yeah huyo mjinga P. Kagame yaani nisemeshe tu ukweli hilo kabila ambalo wanaita WATUTSI hutawahi onaga huenda wanasema ukweli non encore non yaani aki ongea maneno matano kwa hayo ukweli utakuwa kama hi : 0,1 ndo ukweli nahayo 4,90 ndo uongo mtupu .
nafikiri wazungu mumeletawengi wameshindwa ata awo watapigwa tu
wewe asha uwongo goma iko amani wewe ulisema kama goma haitakamatwa iliishha kamatiwa ivi tunakuja sud kivu uyo ni muzalendo mwizi munazungumuza afc m23 iko inasafisha mji izo takataka za wazalendo na frdc zi taisha tu ayo mataifa niwa mwizi wenzenu ramafoza wajeshi wakwanza alituma walifanya nini hakuna cocote na alete wangine nawao watakipata camoto walete vifa vingine waviaciye m23 kama vyenye imekamatiya goma
this man will run made this eyeas no eaglish and is the president came i give u some wods you idiot 😅😅😅😅😅
Viongozi wetu ni sehemu ya tatizo. Hata ukimsikia anavyoongea unajua tu kulalamika bila kuleta suluhu
Hii walikamata yote nisilaha ya kongo kutoka goma
Ningependa nipate numéro yenu ya whatssapp ili tuweze ku zungumza kwa urefu
Baraka1tv ujikaze sana wakati una weka ma voice ya mtu kama anahongeya English ama France 🇫🇷 na kuomba Vieux wangu jikaze sana ukuwe na interpret ju kuko mwenye asikiyaki English na France mie sita sema bongo kwa kagame sikusikiya kitu, English sihisikiyaki mzee wangu, uta nisame kama naongeya makosa 🎉
wewe mtangazaji ivi akili yenu wacongomani wamajawamoja zina eneyaga kweli nyinyi mnawaza kuiba congo na vibaraka vyenu vyawazungu nawa hindi nakutarifu ico kitu hakitafika wala kitokeye kwanza ca lazima amani yawa congomani anataka kupatikana afc m23 inakuja kuletaamani yawa congomani wakaye kwao kwaamani kisha developemnt yakunufaisha kila mcongomani ifate alafu hawo vibaraka waje kutafuta kazi congo siyo uyo raisi pumbafu wenu analeta wa mwizi wenzake wazungu kuja kupora congo eti wana tengeneza silaha muinci ya congo ico sahau na mobutu alitaka kutengeneza missille bilimshinda uyo kurutu wenu kisekedi hawezi iyo nijiya anapanga kuiba congo kwaakili ya kiwiziwizi ca akili
Wana penda sana rushwa viongowezi wetu, tchilombo akaguwe jeshi la congo 🇨🇩, naviongozi wengine.
Kwa hii juhudi naipenda FRDC ,ITAKUA IMARA KAMILI CHUNGENI SANA RUVUGE
Nyi nyi nikuimbatu peke
Nyi nyi nikuimbatu peke
Nikwa nini Felix asiongeye na Putin? Kila kitu kiwe Swary
Jamani jamani kwani nyinyi pia watangazaji hamjuwi kingereza nakifaransa kwani hamjasoma kama sisi? Muwe munatufasiria ilituelewe nasisi, tatakapo elewa tunawezachangia kimawazo, tafuteni ntangazaji anaejuwa izo lugha
Kinaitwa Kingerwanda
Jirani pole sna lakini goma ishakwenda tayari
Tupo tunakusikiliza
Asante Nierick solo nikiwa kolwezi nakufata sana
Kweli kabisa viongozi wa congo ni wezi Kweli
Niajabu jameni, Mungu pekee atujiye msaada kwetu Congo,, na isitoshe wale waliyo fanya ma sahini za kijinga kusaliti inchi hapokaribuni wara poteya milele Mungu anaweza.
MAHITAJI YA M23/RWANDA Wale wanaotaka Kinshasa kujadiliana na M23/Rwanda wanapaswa kufahamu masharti yao. Hapa ni madai ya M23/Rwanda: 1. Serikali inapaswa kukubali kugawa 43% ya nafasi za uongozi wa kijeshi katika Kivu Kaskazini na 39% katika Kivu Kusini kwa jamii ya Watutsi pekee. 2. Serikali inapaswa kukubali kuundwa kwa kikosi kipya cha polisi wa mipakani, ambacho kitakuwa chini ya uongozi wa M23 kwa ajili ya ulinzi wao. 3. Serikali inapaswa kutangaza sehemu ya mashariki ya nchi (Kivu Kaskazini, Kivu Kusini, Ituri, Maniema, Haut-Uele, na Tanganyika) kama eneo la janga, likipewa hadhi maalum ya kiutawala, uhuru wa kifedha na kodi, pamoja na dhana ya kipekee ya usalama chini ya usimamizi wa M23. 4. Serikali inapaswa kuruhusu M23 kuteua wasimamizi wa maeneo, mameya wa miji, manaibu wao, na viongozi wa wilaya katika Grand Nord na Haut-Plateau. 5. Viongozi wa M23 wanapaswa kuingizwa katika Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, na Idara ya Mahakama. 6. Serikali inapaswa kutambua rasmi vyeo vya kijeshi na polisi vya M23. 7. Serikali ya Kongo inapaswa kuratibu urejeo wa wakimbizi wa Kitutsi kutoka Rwanda, Uganda, Kenya, na Tanzania. En Français EXIGENCES MINIMALES DU M23/RWANDA Ceux qui demandent à Kinshasa de négocier avec le M23/Rwanda doivent être conscients des conditions de ce dernier. Voici les exigences du M23/Rwanda : 1. Le gouvernement doit accepter d'allouer 43 % des postes de commandement militaire au Nord-Kivu et 39 % au Sud-Kivu exclusivement à la communauté tutsie. 2. Le gouvernement doit accepter la création d'une nouvelle force de police des frontières, placée sous le commandement du M23, pour sa propre protection. 3. Le gouvernement doit déclarer la partie orientale du pays (Nord-Kivu, Sud-Kivu, Ituri, Maniema, Haut-Uele et Tanganyika) comme une zone sinistrée, lui accordant un statut administratif spécial, une autonomie fiscale et financière, ainsi qu'un concept de sécurité unique sous la gestion du M23. 4. Le gouvernement doit permettre au M23 de nommer les administrateurs territoriaux, les maires des villes, leurs adjoints et les chefs de district dans le Grand Nord et le Haut-Plateau. 5. Les dirigeants du M23 doivent être intégrés à la Présidence, au Bureau du Premier ministre, au Parlement et au système judiciaire. 6. Le gouvernement doit reconnaître officiellement les grades militaires et policiers du M23. 7. Le gouvernement congolais doit organiser le retour des réfugiés tutsis du Rwanda, de l'Ouganda, du Kenya et de la Tanzanie. Aucun gouvernement au monde ne peut accepter de telles conditions de négociation. Même avec une arme sur la tempe, je n’accepterais jamais ces termes.
Very late to government
Siyo Mzuri kuongeya Fasi RFDC wako kwenye habari
Nguvu ni ulinzi
Kutoka PA,hapa USA nakupata vilivyo hapa ndugu yangu kujuwa jinsi nchi yetu inavyoendelea
Pigeni huyo mtu, Msipomtoa awamu hii,shauri yenu,mtalia wakongo maisha yenu yote
Za jioni hapo mtangazaji toka uvira ni 5/5 tupo tajari kupambania inchi zetu kwa lolote
Tupo pamoja kaka
Shida ya inch ya Congo ni viongozi betu ni kwa sababu bote balitiliwa pale na wa zungu.
Tukpamoja kabisa tuna waombea vijanawetu hatu tawa acha nyuma
Kusema kweli, Felix tshisekedi na team yake wametuaibisha sana,sisi tulio inchi ya kigeni hapa Kenya yaani ni kuchekwa sana ,Kwa Nini ndugu mutangazaji , Felix kuchukuwa wa mercenaire europeen,mbona hataki kuelewa kama Europe ni adui wetu? Mbona wengine wamekuwa na Russia na wako sawa?
Tukopamoja kutoka kenya nakupatavizuri
Hakuna Inchi inyeo inatupenda kwa EAC PROBLEME ZETU NI TSHISEKENDI KWA MIMI tupingane nao kwanza Kisha tutamalizana na TSHISEKENDI badae.EAC KWAO AHAJA TUFANYIYA MAKOSA HATAMOJA.
EAC WANAO AGENDA ZAO KUNAO VITU VULANI VULANI WALIYO HIPANGA KABLA TSHISEKENDI HAJAO TUJINGISHA SISI KWA EAC,CONGO KUWA HUKU EAC NI MOJA YA PLANS ILIHUNDUWA ZAMANI
Achana Nauyu muze nimushenzi kabisa hanjuwi anacho kisema aongeye kinyarwanda njokwake tu
Maind man go to hallway
Baba apa kwetu tuko tayari m23 Rwanda abatatuweza
Merci mon frère tuna kufata toka uganda
❤❤❤❤ug
Asante sana kaka tunakupata kutoka Sweden 🇸🇪 asante sanaa
Nini ye Yiko n'a pita goma saiyi ni ambiye