Jmn da Veronica huku Zanzibar aipatikani chanel yetu kwenye sm mpaka kwenye TV na kwenye Tv iyo saa1 ni mda wa tamthilia Azam TV kwaiyo mnatusaidiaje apo kama sku tuspokuwa na bando cie wengne
Yaani haya mambo ya bahat nasibu nami nilikuwa siyaani nilikuwa naona kama uongo wanapeana wenyeweððððtangu nimeshinda dhahabu gramu 5 na nihuku ugenini abudhabi hakuna anaenijua mimi shaghala. kwa sasa naamini kunakubahatisha zawadi hiziâĪâĪâĪ
@@janethesawala6842 natuma pesa kupitia Al fardan exchange. Kuna wakat nikienda kutuma pesa huwa napewa kuponi naingiza kwenye sanduku. Naona hiyo ndio imenipatia ushindi wa thawabu 5 gramu
ðĒðĒyaani story nzuri Ila matangazo mengi adi mnaboa
Napenda sauti yako dada veronikaaðâĪ
Huyo baba ana moyo sanaa yanðĒðĒâĪâĪâĪ
Kongole jioni ya leo.lipoti ya leo
Unaongeza sana chumvi da Vero
jamanðŪ
NAWE ONGEZA SUKARI
ðð
ðð
Jmn da Veronica huku Zanzibar aipatikani chanel yetu kwenye sm mpaka kwenye TV na kwenye Tv iyo saa1 ni mda wa tamthilia Azam TV kwaiyo mnatusaidiaje apo kama sku tuspokuwa na bando cie wengne
Am happy to see you da Vero
Kasauti Kako sasaðĨ°
Matangazo yanazid mno da Vero sjaskia kitu mpak imefika nusuðððð usitutese hivooo lkn
Yaani haya mambo ya bahat nasibu nami nilikuwa siyaani nilikuwa naona kama uongo wanapeana wenyeweððððtangu nimeshinda dhahabu gramu 5 na nihuku ugenini abudhabi hakuna anaenijua mimi shaghala. kwa sasa naamini kunakubahatisha zawadi hiziâĪâĪâĪ
Nifafanulie ilikuwaje mimi nipo deira
@@janethesawala6842 natuma pesa kupitia Al fardan exchange. Kuna wakat nikienda kutuma pesa huwa napewa kuponi naingiza kwenye sanduku. Naona hiyo ndio imenipatia ushindi wa thawabu 5 gramu
Ss ivi da vero isharudia tabia ya matangazo kusimilia kidogo matagazo kibao adiradha inapotea
Jamani story Huyu kijana ameningusa
unarudiarudia sana unatutesa wa online aseee alafu na matangazo basi dah
Vizuri sana
Da vero matangazo ya na boa sn jmn
Unarudia rudia sanaa matangazo yanachukua muda mrefu kuliko simulizi
âĪâĪâĪâĪâĪâĪâĪ
Basi uku yutb msiweke mitangazo Kila sehen matangazo mbona mwanzo mlikua hamfany ivo ahhh ðððððmmezid
Kwani Leo tarehe 16 julai?!ð
Ujue nashangaa laza ya story inapotea sisi wasikilizaji story yote n matangazo kha
Matangazo mengi mno
Elibariki atapata anacho tafuta, watoto wa geti kali wakipata chance ya kujiachia hawashauliki
Kumeucha
Haya kesho nayo siku