SALAMU MAMA MTAKATIFU WA MUNGU - JOSEPH MAKOYE | TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @maryomarco9488
    @maryomarco9488 ปีที่แล้ว

    Wewe ni expert

  • @gustavkunkuta6733
    @gustavkunkuta6733 3 ปีที่แล้ว +1

    I do not understand how can anyone dislike that performance. Let us learn to give credit to our orgsnists for many hours and effort they devote in attempt to perfect their skill.

  • @edwinkachenje7677
    @edwinkachenje7677 5 ปีที่แล้ว +5

    hongera dogo inafurahisha sana namna unavyozicheza nyimbo za Mama yetu Maria, mimi ni Mkereketwa wa nyimbo hizo naimbia kwaya ya Mt. Maria Mama wa Mungu Parokia ya Kiwanja cha Ndege Dodoma naomba tuwasiliane 0786 261188

  • @dennismalima5365
    @dennismalima5365 5 ปีที่แล้ว +4

    Saut kinanda umeset vzuriii inavutia kusikiliza.. Ufundi km woteee

  • @janem3806
    @janem3806 3 ปีที่แล้ว

    Naomba ucheze Uwe mdhamini wangu ee mama Maria

  • @devidkingu2439
    @devidkingu2439 5 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe yanikumbusha Christmas mwaka 1997

  • @fabrice9873
    @fabrice9873 ปีที่แล้ว

    Félicitations mon cher

  • @dennismalima5365
    @dennismalima5365 5 ปีที่แล้ว +2

    Jerry huu wimbo umeuonea sana sasaa hahahaa.. Sichokag kuusikiliza na vile viclip... Noma sanaaa

  • @robertkanagana7959
    @robertkanagana7959 5 ปีที่แล้ว +3

    Naomba mpige na Na wimbo wa Nyota ya Bahari wa Joseph Makoye naupenda sana

    • @JugoMedia
      @JugoMedia  5 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa kufuatilia channel yetu, wimbo huo umesharekodiwa soon tu tutau upload bado tunaufanyia kazi

    • @JugoMedia
      @JugoMedia  5 ปีที่แล้ว

      Wimbo ulioomba huu hapa ndugu th-cam.com/video/8z449gbhghs/w-d-xo.html

    • @robertkanagana7959
      @robertkanagana7959 5 ปีที่แล้ว

      Asanteni sana na mbarikiwe

  • @benjaminmichel7451
    @benjaminmichel7451 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana jerry, kwa talanta uliyojaaliwa kaka

  • @nkurunzizavian5864
    @nkurunzizavian5864 2 ปีที่แล้ว

    Thanks for the master piece well done

  • @rolax1999
    @rolax1999 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @faustinemlebya8451
    @faustinemlebya8451 5 ปีที่แล้ว +3

    Kuna jambo nalitamani sana kutoka kwenu wataalamu wa muziki lkn naona ni wachache wanaolifanya ingawa sijui kama wanajua wanatakiwa kufanya au inajitokeza tu.

    • @JugoMedia
      @JugoMedia  5 ปีที่แล้ว

      Jambo gani hilo. Tuambie

  • @adamfidelisi28
    @adamfidelisi28 5 ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa sana mtumishi

  • @janem3806
    @janem3806 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @gabrieljesus1018
    @gabrieljesus1018 5 ปีที่แล้ว +2

    Dear admin naomba copy ya wimbo huu..

  • @adamfidelisi28
    @adamfidelisi28 5 ปีที่แล้ว +2

    Nawapataje nikitaka kujifunza

    • @JugoMedia
      @JugoMedia  5 ปีที่แล้ว

      Angalia namba ya simu kila mwiso wa tos video

  • @adamfidelisi28
    @adamfidelisi28 5 ปีที่แล้ว +2

    Mnapatikana wapi

    • @JugoMedia
      @JugoMedia  5 ปีที่แล้ว

      Dar es salaam

  • @emmanuelandrew9941
    @emmanuelandrew9941 5 ปีที่แล้ว +2

    Manikoshaga sana an
    Hua nabarikiwa na melody za kinananda hamjuagii tu congratulations
    But nimewaomba mnipigie misa ya mt yakobo by fr kayetta mda kwel mbna hamnifanyii hivyo??

    • @JugoMedia
      @JugoMedia  5 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kufuatilia channel yetu, tunalifanyia kazi ndugu

    • @emmanuelandrew9941
      @emmanuelandrew9941 5 ปีที่แล้ว

      Amina

  • @gabrielcyprian1909
    @gabrielcyprian1909 4 ปีที่แล้ว

    Nitapataje namba ya huyu jamaa aisee

  • @gonzalob7774
    @gonzalob7774 5 ปีที่แล้ว +2

    Mmeukosha moyo wangu haswaa naomba wimbo wenyewe plz 0717749511. Naupenda sn pia nataka kujifunza kupiga kinanda

    • @JugoMedia
      @JugoMedia  5 ปีที่แล้ว

      Tafadhari tutumie ujumbe kupitia namba iliyopo mwisho wa video

  • @adamfidelisi28
    @adamfidelisi28 5 ปีที่แล้ว +2

    Natamani hata mm nijifunze kinanda,napenda sana no yangu 0715000984 kwa mawasiliano

  • @adamfidelisi28
    @adamfidelisi28 5 ปีที่แล้ว +1

    Mnatoa mafunzo ya kupiga kinanda

    • @JugoMedia
      @JugoMedia  5 ปีที่แล้ว

      Yes

    • @thomaskonga1067
      @thomaskonga1067 5 ปีที่แล้ว

      @@JugoMedia nimefurahi, mm pia napenda kujifunza mziki na kucheza kinanda, nasoma chuo ,nimenunua kinanda Yamaha PSR s263, nipo Moshi Kilimanjaro tanzania

    • @adabetmauto7249
      @adabetmauto7249 4 ปีที่แล้ว +1

      Natamani hata Mimi kujifunza kinanda,0692079945,nipeni utaratibu wa kujifunza kinanda,ada Ni sh ngapi

    • @JugoMedia
      @JugoMedia  4 ปีที่แล้ว

      Sawa