Hii itapendeza sana kuliko kutegemea umeme wa bara kila siku Tunazimiwa. Tanganyika kuna watu million 60 kwaiyo unatumika sana umeme upo bize sana hata ukifika zanzibar unakuwa hauna nguvu. Tukitengeneza umeme wetu wenyewe utakua hauzimwi maana tupo wachache sana zanzibar umeme utakua haupo bize kama sahivi
Diffinetely our Youngs precedent off zanzibar. Please please please 🙏 please bring it on always. Until until the country all being built i means all town and also village. Peoples needs good stuff life happiness and longer life. Looks when are happiness happiness happiness will bring even the angels will come back again in our country zanzibar yes yes yes definitely. 😅😅😅😅😅.okay let's saying all God bless our country Ameeen 🙏 🙌 Ameeen yaarab Yaarab Yaarab amiin
🤔Ni suala zuri kuwa na umeme wa uhakika lakini tumeangalia athari za nishati ya upepo? Mimi nipo Uingereza ambapo yapo maeneo yanatumia umeme wa upepo. Athari au malalamiko yanayojitokeza huku ni kuwa vifaa huweza kutumika baina ya miaka 20 hadi 25. Baada ya hapo kutahitajika kazi mpya ya kuweka vifaa vipya lakini pia, lalamiko jengine la nguvu za upepo ni kuwa vina tabia ya kuua ndege kiasi kwamba kwa upande wa watu wa mazingira huchangia uharibifu.
😂😂😂nicheke kwanza angeimarisha maridhiano kwanza angetupa matumain hii miradi sijui km ya kweli acha tuone kwanza, chengine hao mabwana zenu bara washarizia au drama tu
Siasa tu hamuwez kuacha kuwanufaisha tanesco nyie mana umeme ghali mnauziwa still mnawang’ang’ania wakat tuna uwezo wa kuachana nao tukawa n umeme wetu
Haya Maalim Seif alishasema Kitambo tu mlimuona chizi leo hii tuwaone wa maana nyinyi hamtufai sisi Wazanzibari tunapaswa kuwa mbali sana miaka 60 ya Uhuru na Mapinduzi yetu
Hebu wacheni kudanganya watu nyie mlikuja hapa na mkatiliana mpka sain juu ya mradi solar panels haya yameishia wapi yale leo tena mmekuja na uongo mwengine
Huyu jamaa anaongea mwanzo kama mtanganyika.Huyu mwinyi amezidi nafasi mzuri zote anawapa ndugu zake watanganyika kama atachakuliwa tena miaka5 basi mpaka masheha na madiwani wote ataeka ndugu zake watanganyika.
Nyinyi kila mkimuona mkristo mnajua sio mzanzibar wapo wazanzibar wacristo hata kabla ya mapinduzi na ndio maana kuna makanisa ya minara miwili na hilo englican hapo mkunazini.
WACHENI KUTAKA KULAPESA ZA ZNZ KWA KUTAKA UMEME WA UPEPO MAMBO YA KUUZA TOMATO BIRINGANI KITUNGUU BAADA YA MIAKA MINGI TUNARUDI NYUMA BADALA YA KWENDA MBELE WENZETU WANA SOLA KWA KWENDEYA JUWA TANDIKENI SOLA KAMA VIWANJA SITA UMEME MWENGI
Sio uchumi hauwezi kwenda, bei ya umeme kubwa sana zanzibar, lazima muafikirie wananchi wanyonge bei iwe tahfifu
Kazi nzuri tunaziona mitaani ya kuzimwa 😢😢😢
Umeme wenyewe bei juu
Hili la kujitegemea kwakuwa na umeme wetu. Kama ZANZIBAR ni jema sana mumetuchelewesha sana munatakiwa mushtakiwe miaka 60+ ya mauwaji umeme hatuna
Hiyo miaka 60 iliopita zanzibar ilikua ikifua umeme wake wenyewe
Kazi. Nzuri
Hii itapendeza sana kuliko kutegemea umeme wa bara kila siku Tunazimiwa. Tanganyika kuna watu million 60 kwaiyo unatumika sana umeme upo bize sana hata ukifika zanzibar unakuwa hauna nguvu. Tukitengeneza umeme wetu wenyewe utakua hauzimwi maana tupo wachache sana zanzibar umeme utakua haupo bize kama sahivi
safi sana tuone matokeo ya haraka tu na tuendelee kuweka wa jua na takataka pia kwa haraka
Safi sana
Maendeleo kwanza ndio muhimu kwa Zanzibar siasa baadae
Good news
Umeme Ghali sana Zanzibar bei ipunguzwe duh!
Ah ! Wappi !!
Mnazingua kweli ZECO
Aah wapi vipi wakati kabla ya huu umeme wa sasa miaka ya nyuma zanzibar walikua wakifua umeme wao wenyewe huenda wewe ulikua bado kuzaliwa
Umeme uo unao sema wewe ulikua uzalishwa vipi na eneo gani?@@janerouhassanjanerou7933
Tumezowea kusikia hadithi hizi kwa miaka mingi sasa. ZECO wapinguze wizi
Kabla ya umeme huu zanzibar ilikua inafua umeme wake mwenyewe enzi za karume uko
umeme mdogo ni zanzibar nzima msitudanganye
Mhhh kwanza nigunee huoo tutauziwa mara mbili ya huu saivi
Ule mkataba wa taka taka ulifikia wapi?mbona kama ni ngojera na majigambo
HAMNA LOLOTEE HAMJAYACHIMBA MAFUTA MTAWEZA HUO UMEME
Kwani mafuta na umeme upi rahisi kuzalisha
Astaghfirullah
Diffinetely our Youngs precedent off zanzibar. Please please please 🙏 please bring it on always. Until until the country all being built i means all town and also village. Peoples needs good stuff life happiness and longer life. Looks when are happiness happiness happiness will bring even the angels will come back again in our country zanzibar yes yes yes definitely. 😅😅😅😅😅.okay let's saying all God bless our country Ameeen 🙏 🙌 Ameeen yaarab Yaarab Yaarab amiin
Apo hakuna jambo apo yaani bahari IPO halafu mnataka upepo 😂😂😂😂haya NGOJA tuone
🤔Ni suala zuri kuwa na umeme wa uhakika lakini tumeangalia athari za nishati ya upepo? Mimi nipo Uingereza ambapo yapo maeneo yanatumia umeme wa upepo. Athari au malalamiko yanayojitokeza huku ni kuwa vifaa huweza kutumika baina ya miaka 20 hadi 25. Baada ya hapo kutahitajika kazi mpya ya kuweka vifaa vipya lakini pia, lalamiko jengine la nguvu za upepo ni kuwa vina tabia ya kuua ndege kiasi kwamba kwa upande wa watu wa mazingira huchangia uharibifu.
Wananchi wa znz wamezeeka kwa mizigo ya vat gharama za umeme ghal sn
Yes safari ya Singapore 🇸🇬 imeanza kupitia Dubai😊
Ninzuri sana nabeiyaumeme tuna lala kwa mmlo mmoja kwa siku
Ata utepe ulimi haujakatwa 😂😂😂 zanzibr raha sana tuleteeni tu wageni watusimamie hii nchi bana
Yenzo za umeme nyingi tu 😂😂😂 ila ishu Anaewasha umeme ni shuhulu
Sari sana na bei ya umeme ipungue
Aaahh wapii 😂😂😂
Haiwezekani hata siku Moja ccm znz kueka umeme wake sababu wao wenyewe nchi wameipeleka bara ss mpaka tuamuliwe na wakoloni weusi
Mwataka kuendelea na ufisadi mwengine mutufanyie kiini macho kwenye mradi huo hamuna jengine
Zanzibar sio kama hatuna vianzio ila kuna wapigaji ili tusizalishe wetu tutegemee umeme wa bara
😂😂😂nicheke kwanza angeimarisha maridhiano kwanza angetupa matumain hii miradi sijui km ya kweli acha tuone kwanza, chengine hao mabwana zenu bara washarizia au drama tu
😂😂😂
Zanzibar yangu so sad so stupid
Hizi stori tangu nizaliwe nszisikia na leo zinaendelea sio jopy hili babu
Pemba tengenezeni barabara kwanza. Barabara mbaya kama za kisiwa cha Ngazija. (Comoros ?😅😅
Ni miaka 60+ saiv ata umeme hatuna kazi kuingia madarakani na kuiba tu kuongeza makodi kwa wanyonge
Siasa tu hamuwez kuacha kuwanufaisha tanesco nyie mana umeme ghali mnauziwa still mnawang’ang’ania wakat tuna uwezo wa kuachana nao tukawa n umeme wetu
Umeeme huko unako toka mda wote una katakata miaka yote hyo umeeme et utoke tanganyika
Wezetu hawataki utafanyiea figisu tu.
Haya Maalim Seif alishasema Kitambo tu mlimuona chizi leo hii tuwaone wa maana nyinyi hamtufai sisi Wazanzibari tunapaswa kuwa mbali sana miaka 60 ya Uhuru na Mapinduzi yetu
Ahadi nyingi hamna lolote tuliahidiwa bandari mwaka 2020 caiv Iko wap ?
alisema atajenga bandari ya wapi vile
@MohdMkubwa-v8k mamga pwani
Utabaki huu huu tunaouziwa na Tanganyika.
Kampeni tayari zimeanza😂😂😂😂😂
Hebu wacheni kudanganya watu nyie mlikuja hapa na mkatiliana mpka sain juu ya mradi solar panels haya yameishia wapi yale leo tena mmekuja na uongo mwengine
Wachina hawaaminiki
Siku zote hizo nilikua wapi nyinyi hamna lolote
uchaguzi kesho kutwa
Tume miss sauti ya Mr Hollela Bobdanta 😂
Maneno hayo tumeyazoeya.wilala Moja tu kwa bara umeme pia umekushindeni
Huyu jamaa anaongea mwanzo kama mtanganyika.Huyu mwinyi amezidi nafasi mzuri zote anawapa ndugu zake watanganyika kama atachakuliwa tena miaka5 basi mpaka masheha na madiwani wote ataeka ndugu zake watanganyika.
si ndio wanavo taka baadhi ya watu wa zanzibar na itakuwa hivo coz kila idara au wizara boss ni mngorongoro
Hiyo ndio kazi alio pewa ni magu
Nyinyi kila mkimuona mkristo mnajua sio mzanzibar wapo wazanzibar wacristo hata kabla ya mapinduzi na ndio maana kuna makanisa ya minara miwili na hilo englican hapo mkunazini.
Mm sijaongea ukristo nimiongea mwinyi nafasi mzuri anawapa mitwana ya bara ndugu zake
Ccm nyie wananchi tumekuchokeni kazi kujigamba tuu
Huo upepo uko wap znz wa kuzunqusha turbine !?
Copy & paste 😊