BREAKING: HALI NI MBAYA DRC CONGO, JESHI LA TANZANIA WASAIDIA KUKABILIANA NA M23, HALI ILIVO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 126

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +22

    Mwenyezi Mungu awalinde vijana. Warudi salama. Aaamin

  • @CadiaOnesmo
    @CadiaOnesmo 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Eee Mungu wa Mbiguni pigana naye anaye pigana na congo katika jina la Yesu amina

  • @marymbassa-oc2ct
    @marymbassa-oc2ct 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mungu walinde vijana wetu na jeshi letu kwa ujumla warudi salama Amin😢.

  • @ramadhanjuma610
    @ramadhanjuma610 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Poleni sana ndugu zangu dah Mungu awa ponye

  • @maresianantibakazi-yh4qd
    @maresianantibakazi-yh4qd 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Mungu awasimamie warudi salama

  • @ghottaman2570
    @ghottaman2570 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Kila la heri ndugu zetu JWZ nguvu moja nipigie mtu Baba 🇹🇿❤️

  • @cosmaskamugisha5918
    @cosmaskamugisha5918 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +19

    Sahihi kabisa hatuwezi kuendelea kuwa Lea Hawa washenzi TANZANIA tuwapige na mfadhili wao pia.

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kongo Amani itapatikana Kama UN wataondolewa kongo.Majeshi ya Africa yatengeneze jeshi la kulinda kongo. UN ndio M23. Kuluna wako chin ya wazungu, Haki zabinadamu wamewekwa na wazungu kwa ajili ya kuwatetea wahalifu walio waweka. Ndio maana hata wazungu wamarekani wamekamatwa kwenye msako wa kundi la kuluna.Waafrika tujifunze tusiwe wajinga. Thanks wazungu wanatuchezea sana Afrika.

    • @BARAKACHARLES-ry1cn
      @BARAKACHARLES-ry1cn 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      unacheza na moto dogo

    • @nc8038
      @nc8038 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Muache upumbavu waludi nyumbani

    • @niyorukizaelias8142
      @niyorukizaelias8142 9 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@nc8038ndio maana Africa inadhalaurika viongozi wengi wanaakili kama yakwako

  • @edinafaustinez8514
    @edinafaustinez8514 นาทีที่ผ่านมา

    Mungu ibariki sana wanajeshi wetu watanzania wanashinde salama na kurudi salama

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mnafanya kazi nzuri saidiye wa jirani zenu munhu awalinde kabisa mnafanya jambo lamana san

    • @AllySule-t9g
      @AllySule-t9g 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Shida mzungu ndio anafadhili hivi vita😢

  • @ziporanangolo9397
    @ziporanangolo9397 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mungu asimame ajalie amani

  • @lastkingrwanda8066
    @lastkingrwanda8066 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bro, at this moment, nobody can stop the revolution.
    The M23 movement is unstoppable force.

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 55 นาทีที่ผ่านมา

    Mungu ibariki tanzania

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Tanzanian 👍👍

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Kufurusha m23 ndio nini waondoeni hao wazungu katika ardhi ya africa wanatuchonganisha

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nikweli sijui viongozi hawanaakili yakufikilia

  • @MamaAssy-f4o
    @MamaAssy-f4o 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    mungu awalinde asikeri wetu wa tz warudi salama😊

    • @nc8038
      @nc8038 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wanaenda wapi kweli si wabaki nyumbani

    • @DonathilleGuya
      @DonathilleGuya 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Watakaorundi niwacace, ukweli ndiohuwo😢

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Congo ili mpate amani lazima ajitolee kiongozi aamue kwenda kunyongwa MAHAKAMA YA KIMATAIFA (THE HEG) ndo mtaipata amani. hebu ajitolee mwamba mmoja aamue kuvunja sheria arushe ndege awachome waasi kwa moto wa gesi kisha yy aende kunyongwa wengine wapumzike na wakirudi ajitolee mwengine tena awachome. Utajiri mnao kwann mteseke?

    • @ArgentinaEduardoEduardo
      @ArgentinaEduardoEduardo 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kkkkkk weee😂😂😂

    • @shaameshaame2837
      @shaameshaame2837 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @ArgentinaEduardoEduardo dawa ni hyo tu bila hvyo hawatapumzka hadi dunia itaisha

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    KILA LAKHERI WANA JESHI WETU.....AMINI TUTALUDI NA USHINDI HATUJAWAI KUFELI.....

    • @gakwayamarc9417
      @gakwayamarc9417 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sure? M23 imewazingiya SADC ndani ya Goma inataka wapiga vizuli sana bira kuwapa njiya ya kutoloka Kivu lake imeyifinga balabala zote zimefingwa wanja wandege umefungwa wataeza M23? Fatiliya kabumbu sasa

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi kazi

  • @patrickmbigirwa
    @patrickmbigirwa 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hao mabebero wa wazungu wanaitesa congo sana ila Mungu atatupiganiya tu na tutashinda vita kwa neema ya Mungu

  • @Bensonnyareru-m4i
    @Bensonnyareru-m4i 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu awsapiganie

  • @CharoKitsao-d3t
    @CharoKitsao-d3t 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kunyongwa kwa wale wapiganaji ndicho kikubwa kimechochea vita hivi

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wapumbavu kabisa kumbe mnajua kuwa Tanzania 🇹🇿 ni kiboko ya wanyaruanda kazi yenu kukata viuno tu halafu mnatujeuria

    • @HansChuma
      @HansChuma 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndio walivyo hao

  • @karenzifaustin2177
    @karenzifaustin2177 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lilikuwepo mda mrefu

  • @anoldmakunga1510
    @anoldmakunga1510 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Wakurungwa mtuwakilishe vema naamini mtatoboa

  • @ziporanangolo9397
    @ziporanangolo9397 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sielewi wanapigania nini hasaa huko Goma

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Watakimbia hao m 23 ni Hatari

    • @PhiliSanga-f8h
      @PhiliSanga-f8h ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tanzanian army sio mara ya kwanza kudeal na m23

  • @AngenabuaereJulienne
    @AngenabuaereJulienne 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu walinde vijan wetu walud salama

  • @justinelukumay5308
    @justinelukumay5308 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tanzania nakupenda SERIKALI yetu izidi kuwasaidia Watanzania Wote kwa Pamoja hata makundi yasitokee Kwetu Mabaya Mno Tz juuu

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mungu awajarie askali wetu walludi salama

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kongo Amani itapatikana Kama UN wataondolewa kongo.Majeshi ya Africa yatengeneze jeshi la kulinda kongo. UN ndio M23. Kuluna wako chin ya wazungu, Haki zabinadamu wamewekwa na wazungu kwa ajili ya kuwatetea wahalifu walio waweka. Ndio maana hata wazungu wamarekani wamekamatwa kwenye msako wa kundi la kuluna.Waafrika tujifunze tusiwe wajinga. Thanks wazungu wanatuchezea sana Afrika.

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kongo Amani itapatikana Kama UN wataondolewa kongo.Majeshi ya Africa yatengeneze jeshi la kulinda kongo. UN ndio M23. Kuluna wako chin ya wazungu, Haki zabinadamu wamewekwa na wazungu kwa ajili ya kuwatetea wahalifu walio waweka. Ndio maana hata wazungu wamarekani wamekamatwa kwenye msako wa kundi la kuluna.Waafrika tujifunze tusiwe wajinga. Thanks wazungu wanatuchezea sana Afrika.

  • @OmaryIsmailikihango-g4o
    @OmaryIsmailikihango-g4o 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    M23 ujanja wao umefika mwisho😅

  • @yusuphyunusi-zz1hx
    @yusuphyunusi-zz1hx 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sasa jeshi la Tanzania lilikuwa wapi? Ni vema Raisi Samia akumbuke kuwa wanaoteseka ni wanawake na watoto Naye ni mzazi.

  • @GashugiKananura
    @GashugiKananura 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tanzania mujue yakwamba wale M23 ambao nyinyi mnasema mnakwenda kuwafurusha, ao wanapiga niya uhaki wao, wameteswa sana wamewawa familia zao wako uhamishoni wakikimbia kunyanyasiwa na Kila serikale ya Kongo, nataka niwambiye Mungu atawapa nguvu zakupigana na ule yeyote ambao anataka kuwazulumu uhaki wao Mjue yakwamba Mungu hakure lushwa huwezi kamwe kumuhonga Mungu.ili utende vitendo vya kinyama kwawale wasiye naatia. Mungu Awape ushindi M23 waweze kupigana na yule yeyote asie watakia amani.

    • @kubwayophanuel7428
      @kubwayophanuel7428 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Uhaki Gani!?? Hebu towa uhakika unawo,M23 ni jeshi la Rwanda,how come Rwanda people wapiganiy Congo wakani they don't belong they

    • @flaviakezimana4596
      @flaviakezimana4596 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe ni M23 wana

  • @SamweliJacob-bm2ij
    @SamweliJacob-bm2ij 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Oy vp tena uko congo askali wetu watakufa bure haijewai kuisha vita congo wakumaliza vita sio watanzania wakumaliza vita niwenyewe wa congo wakae wajenge inchi yao toka nizaliwe ad nakua congo wanapigana

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 26 นาทีที่ผ่านมา

    Waafrica tunauwana wenyewe hii ni hatari sana

  • @Princewaweru
    @Princewaweru ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiherehere kitawapoza

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tuwasaidie wacongo hlf na cc tuchukue madini, hakuna kaz ya bure

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Tz jwz haiwezi kufuta m23 vilishakwenda Hadi vikos vya east Africa lkn bado tu hawawezi
    Kuna shida IPO inahitajika kufikiwa mwafaka kati ya m23 na serikali bila hivo watasomba sana wanajeshi

  • @vt-kn6qf
    @vt-kn6qf 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni kupotosha awajachukuwa mahali makubwa

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ewe mwenyezi Mungu sisimamia watu wako make Awawezi peke Yao

    • @nc8038
      @nc8038 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtaweza basi

  • @MedadiMigeleo
    @MedadiMigeleo 42 นาทีที่ผ่านมา

    Hii ni vita ya uchumi,ukitazama kijografia Tanzania itafanya vzr kibiashara kwa ukanda huu,hivyo Tanzania itazame Kama kikwazo congo ikiendelea na machafuko,isifikiriwe kwamba wengi wanafurahishwa na mafanikio ya nchi zetu kujikomboa kiuchumi!

  • @al-bleproshooteur1922
    @al-bleproshooteur1922 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hee eti sisi wa congo tuko na uchawi kweli

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k 31 นาทีที่ผ่านมา

    Tanzania ilishawapiga hao m23 kipind cha jakaya kikwete

  • @Davidonyango-qx9et
    @Davidonyango-qx9et 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hawatoboi, M23 hoyee

    • @rockevarist4299
      @rockevarist4299 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mchawi weww Tusi wew

  • @georgefrancis3415
    @georgefrancis3415 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kichwa cha Habari mq maelezo mbona tofauti

  • @DolphMpawe
    @DolphMpawe 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

  • @mmasaalonda499
    @mmasaalonda499 52 นาทีที่ผ่านมา

    Vita hivyo niserekali inaweka vita na ngoma wataishika kwasababu jeshi lake dio m 23 wanyarwanda dio serekali natenadio viongozi

  • @MandelaNestorruhororo
    @MandelaNestorruhororo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bona Hawa ndugu zetu kutoka TZ burundi wanatosha ilikumupinga uyu mujinga wanashidwa jee kupiga mupaka kiwake Rwanda ohh God Congo Nabiso tumekoseyaka Mungu wapi tuombe basi musahada Putin ao kwa Traore

    • @Taylorpery
      @Taylorpery 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      You can't imagine the time you will see Rwandan Army in their good uniforms officially it will be Nightmare. Mtakufa Kwa uchungu nakwambia daylight 😂😂😂

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 12 นาทีที่ผ่านมา

    KWANINI MSIWAPE RAIA SIRAHA ? WAPENI SIRAHA RAIA WOTE SIRAHA WAPIGANE

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kaeni mkijua ndugu zangu wanaotoa silaha ni wale wale weupe msikubali kiraisi kilicho baki ni majambazi wa nnje ndo wafazili wakuu wa matatizo uko D.R CONGO KINA TESA WATU WA CONGO NI UNATOKANA NA UFAZILI MKUBWA WA MANGARIBI MWA DUNIA

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    M23 wanauzofu mkubwa sana acheni uchawa na ushabiki

  • @jozamsolomon4002
    @jozamsolomon4002 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    JWTZ piga sana M23 Rwanda ni tishio kwa ukanda wa Africa Mashariki.

  • @lovetruth249
    @lovetruth249 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa nyinyi muenda kufa marafiki mbaki Tanzania mutakufiya mbule

    • @HansChuma
      @HansChuma 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuana ndio vizur acha tufe

  • @MandelaNestorruhororo
    @MandelaNestorruhororo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Iyo doneno kubwa bado inanijega wawashote vidole wale wenye wanashakiwa wala wamejifisha dani yamanyumba

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanini congo na Tanzania msiungane.mkwawauwa hatakwajuwachoma moto. Kwani wanatokea wapi kwao wapia m23. Wauwenitu washenzi

  • @MethodeBoscos
    @MethodeBoscos 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kagame ni mu wuwaji

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

    • @RamadhaniSalimu-r4q
      @RamadhaniSalimu-r4q 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      huyo yesu humi kafata nini

    • @shaameshaame2837
      @shaameshaame2837 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Nenda Goma kawahubirie umalize vita 😂😂😂😂

    • @RamadhaniSalimu-r4q
      @RamadhaniSalimu-r4q 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      mwambie yesu aende

  • @JumabJumamkuula
    @JumabJumamkuula 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu kagane hana maana kabisaa tz nenda saidia hii tatizo

  • @ShegaShegalo
    @ShegaShegalo 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ugomvi wandugu jmn waachiwe wenyewe. Haoo wenyewe kesi zao namstatizo yaooo wanajuana wenyewe

    • @J4UPro
      @J4UPro 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe usicheze na vita.
      Geuza shilingi ungekuwa wewe?

    • @SamweliJacob-bm2ij
      @SamweliJacob-bm2ij 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nikweli wanajuana hao

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vita kwa jirani vinaweza kuingia kwako ohoo

  • @jeannyiridandi4724
    @jeannyiridandi4724 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hawo ni wayizi tupu tena wawuwaji

  • @gakwayamarc9417
    @gakwayamarc9417 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    M23 itawapiga mushangaye kabisa Felix iliwadanganya sana.
    Watoto wanapambana na jeshi kalibu na million ya wanageshi lakini M23 imeendeleya kamata enewo nyingi saba
    Ushawuli wangu TZ yende pembeni isiyendeleye kujichanga ba FDLR walifanya mawuwagi ya Kimball inchini Rwanda
    Kama siyi hivo mukoshi utawashika M23 itawamaliza
    Bye bye

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😭😭

  • @AllyNyenye
    @AllyNyenye 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanza mungefukuza ao UN ao wanazingua wanasema wanalinda amani mboni amani akuna bora watuache kwanza tujilinde wenyewe waafrika mboni tunaweza kwani tunakwama wapi

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pengine hao ndiyo wanawapa njia maadui

  • @PaulNdauka
    @PaulNdauka 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hv wacongo miaka yote hii...hawaja gundua kitu....wanauana tu.....hv kweli hakuna hata mcongo mmoja aliyegundua kwanin .....wanauana kila siku!!!? Kweli!!? Masikhara haya!!?!!

  • @robertmasatu8423
    @robertmasatu8423 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uthabiti wa Eastern Congo, ni ustawi wetu hasa biashara, JWTZ Liwatimue haya wahuni,wanaotesa wanawake na watoto maskini

  • @Animalkids-p4q
    @Animalkids-p4q 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tanzania nini bule mbele ya m 23 utawona

  • @MandelaNestorruhororo
    @MandelaNestorruhororo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanini President hawezi ifunga sasa mupaka kwaza vita vitapita binaisha fuga Frontier ya Goma Bukavu kweda rwanda Stop

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wa Tanzania tunataka tuone Yale mazowezi tulikua tunaona kwenye TH-cam

    • @RAMPA_Dee
      @RAMPA_Dee 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂 mazoezi gani? Wanao kwenda kumpambana nao daah hatali

  • @njemamehuna9821
    @njemamehuna9821 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    JWTZ si wapo siku nyingi

  • @GahongayireEmmanuel
    @GahongayireEmmanuel 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa wazalendo pia na muwungano wa congo tutawafukuza Yani wanawingamukono wasi wa FDRL wariyo Fanya mawuwagi ya kimbari Rwanda 1994

  • @jeannyiridandi4724
    @jeannyiridandi4724 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyinyi muritishiwa kutesemesh ukweri! DRC irisema mukisemesh ukweri mutafurushwa DRC

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nyumba yajilani ikiungua lazima ukazime

  • @J4UPro
    @J4UPro 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wasaidieni ndugu zetu wakongo

  • @RichAthuman
    @RichAthuman 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eeeh mungu walinde watoto wako katika kazi yao ya kuleta Amani katika nchi ya DRC Kila la kheri Mashujaa wetu mjilinde baxi wote mrejee nyumbani😅😅😅😅😅

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wapo toka zmn

  • @JoyceSekele-n2f
    @JoyceSekele-n2f 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    wamejipeleka congo?😂😂 ngoja wakazeeshwee mtawackia2 mda cmlefu

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    lkn kweli uyo tramp na wengine wafanye mmpango wakusimamisha vita ata kongo plz

  • @isaacmwenebatu
    @isaacmwenebatu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ujinga unaofanywa na viongozi wa serekali akiwemo raisi wa Congo, unasababisha nchi ndogo Kama Rwanda kujiona wapo juu

  • @MohamediAthumani-ub8nn
    @MohamediAthumani-ub8nn 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watanzania tuwaachie wenyewe

  • @MozesCostantino-cp3yv
    @MozesCostantino-cp3yv 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkwala huo

  • @Justineattention-l1v
    @Justineattention-l1v 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    nende uko na taharifa zenu za uzushi zisizo na mahana,

  • @cyusaernest5931
    @cyusaernest5931 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Even if you bring the whole world, M23 will capture Gomq

    • @J4UPro
      @J4UPro 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nonsense

  • @emmanuelbahati9324
    @emmanuelbahati9324 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uongoo

  • @SergeJames-g1i
    @SergeJames-g1i 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Sasa miye nauliza nikiwa south African kagame ni muasi kwa nini?

    • @habari-24
      @habari-24  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      DRC wanadai anafadhili Kundi la M23

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@habari-24 ndio anatumika apo yupo uturiki

  • @RAMPA_Dee
    @RAMPA_Dee 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa jeshi la Tanzania walikua wapi? Nawapenda sana wanajeshi wa Burundi kwa kazi wanayo fanya 💪 Tanzania wanaogopa M23 pumbafu zenu

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Serikali ya Congo iwe na jeshi imara lenye mafunzo ya kutosha, silaha za kisasa na kujengewa morale ya kutosha kupigana na waasi.
    Pia intellijensia ya Congo idhibiti uingiaji wa silaha na usalama wa wananchi wote wa Congo.

  • @bucyanatheo8472
    @bucyanatheo8472 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwenda kumuondowa M23 ?? Kwaukweli jeshi la Tanzania litajuta kiliwafanya kupeleta jeshi lenu huko. Mtakuja kulaumiyana nyinyi kwa nyiny 😂😂😂😂😂😂

  • @peterkwesele1091
    @peterkwesele1091 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umoja wa africa ni umoja waongo .kwanini Rwanda aina adabu !