Daah! Kweli Eliza unakazi, kupendwa ni kuzuri zaidi kuliko kupenda. Waliokupenda umewakataa, ona uliempenda anachagua mtu mwingine. Pole sana Eliza, endelea kusubiri atakuja unaemtaka.
Uelewa wa Eliza ndio tatizo Kwa sababu anapokuja Mr right hakuna anaejua kuwa Eliza amempenda au hajampenda, Sasa anaejua kuwa moyo wako umempenda au hajampenda ninani hayo ni mashindano Kila mrembo ana haki ya kumpenda Mr right Sasa Eliza huo mdomo unatoka wapi halafu hapo dada unajichoresha tu kumbuka Kila Mr right anakuja hapo anakuwa amesha soma tabia zenu Sasa na huo mcharuko wako might right gani atavutiwa na wewe wanaume hawangalii Sana muonekano kinacho mata Kwao ni tabia Sasa wewe tabia yako ndio unaionyesha Kwa mwendo huo dada utazeekea hapo. Usipobadilika.
Jamani Eliza
😂😂 Eliza kawa mweusi kwa kukosa mume
Eliza😂😂😂😂 utazeeek wew hapooo
Eliza Hana maneno sana ndmana😅😅😅
Daah! Kweli Eliza unakazi, kupendwa ni kuzuri zaidi kuliko kupenda. Waliokupenda umewakataa, ona uliempenda anachagua mtu mwingine. Pole sana Eliza, endelea kusubiri atakuja unaemtaka.
Mpaka atafia hapa bila kupata
Chiz Huyo Eliza🏃🏃🏃
eliza mweu ajitambui
eliza mpeni ajira hapo maana hajielewi
Hahaha 😂 elizaaaaaaa
Eliza umalaya tu, Kwanza limezeeka ! Liende huko likasubiri wazee wa Vita ya tatu ya Dunia, wakitoka vitani walioe
😂😂😂
Hahaha kumbe chinziiieeeee😂😂😂
Atazeekea hapa
Huyu Eliza si kasema mwislam ss mbona anapenda Hadi wa christo
Uelewa wa Eliza ndio tatizo Kwa sababu anapokuja Mr right hakuna anaejua kuwa Eliza amempenda au hajampenda, Sasa anaejua kuwa moyo wako umempenda au hajampenda ninani hayo ni mashindano Kila mrembo ana haki ya kumpenda Mr right Sasa Eliza huo mdomo unatoka wapi halafu hapo dada unajichoresha tu kumbuka Kila Mr right anakuja hapo anakuwa amesha soma tabia zenu Sasa na huo mcharuko wako might right gani atavutiwa na wewe wanaume hawangalii Sana muonekano kinacho mata Kwao ni tabia Sasa wewe tabia yako ndio unaionyesha Kwa mwendo huo dada utazeekea hapo. Usipobadilika.
Eliza atoke tu hapo haeleweki hata
Naomba Hiyi Sikujuwa Mwisho Wake Vipi Nitapata 2