EXCLUSIVE: Nape afunguka mazito tukio la Lissu kupigwa risasi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2017
  • Aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amefunguka kuzungumzia hali ya siasa nchini pamoja na matukio yanayoendelea. Akiongea na Bongo5 Mkoani Dodoma, Mbunge huyo wa Mtama, amezungumzia tukio la Tundu Lissu kipigwa risasi, hali ya demoksaria nchini pamoja na mambo mengine mengi.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 49

  • @henerichmombury8214
    @henerichmombury8214 2 ปีที่แล้ว

    Sijaacha KUKUPA BIG UP ULIVYONENA. TATIZO NI NCHI. SIO UONGOZI UPI. WANGALISIKIA HATA WAKIBAKIA MAMBO YANGALIPENDEZA WANANCHI

  • @franktimothkisimbo5354
    @franktimothkisimbo5354 6 ปีที่แล้ว +5

    Saaf saan umekomaa brother...

  • @dullaommy2991
    @dullaommy2991 6 ปีที่แล้ว +1

    nape uko vzr sana

  • @patrickkalengela7125
    @patrickkalengela7125 2 ปีที่แล้ว

    Nape you are good, Napenda watu wenye Misimamo Kama Nape

  • @abdululomi5151
    @abdululomi5151 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa kiongozi wangu

  • @zedymicheal9407
    @zedymicheal9407 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli kabisa tushindane kwa hoja

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous6644 6 ปีที่แล้ว +1

    Well said nape , umeongea jambo muhimu sanaa UONGOZI SIO VINYONGO SIO UADUI SIO VISASI Kweli kabisaa usemalo JK aliua uongozi wa upinzani Ni POSITIVE WAYS Sio negative Na hiyo ndio SIASA

    • @allymnyaruge6298
      @allymnyaruge6298 6 ปีที่แล้ว

      huyu nape ni hazina Tanzania wako wachache Sana yuko bashe, zero, msigwa nk

    • @allymnyaruge6298
      @allymnyaruge6298 6 ปีที่แล้ว

      Lydia Thadeous zito

  • @patsonobadia6340
    @patsonobadia6340 6 ปีที่แล้ว

    Mzee Nape upo vozuri mkuu Mungu akupe maisha marefu zaidi .

  • @allenmrema2919
    @allenmrema2919 6 ปีที่แล้ว +1

    safi sana, aisee naisi kama interview hi ni ya kiroho usipoyelewa basi wewe sio binadamu!
    Mweshimiwa nape SHIKAMO!

  • @lemameasi5025
    @lemameasi5025 6 ปีที่แล้ว +2

    unaloongea nape ni kweli kabisa,tupambane kwa hoja na kejeli majukwaani ,tukishuka tukumbatiane nchi ni ya wote si ya chama kimoja

    • @henerichmombury8214
      @henerichmombury8214 2 ปีที่แล้ว

      Kweli au ni KUTOKANA na wananchi kuelimishwa. IMANI ilitumika kuwanyamazisha utafikiri NDIO KATIKA tuseme wakati umewadia

  • @francobravotheforester542
    @francobravotheforester542 6 ปีที่แล้ว

    hongera kwa speech nape

  • @bacarysalama9336
    @bacarysalama9336 6 ปีที่แล้ว +7

    Nape upo smart sana

  • @januarykapinga179
    @januarykapinga179 6 ปีที่แล้ว

    Nape is strong politician i love him is so bright!

  • @muasewamukadogo1846
    @muasewamukadogo1846 2 ปีที่แล้ว

    Hapo nape nimerifhika na majibu yako safi

  • @jumajasjas2925
    @jumajasjas2925 6 ปีที่แล้ว +1

    demokrasia bila mipaka itakua fujo na mipaka ikizidi itakua balaa

  • @josephatjoseph4599
    @josephatjoseph4599 6 ปีที่แล้ว

    big up Mr Nape,,,, tell them

  • @kashumbaeliud4930
    @kashumbaeliud4930 2 ปีที่แล้ว

    huyu ni mmoja wapo wa wahun waliotajwa na Plpl

  • @kfastak
    @kfastak 6 ปีที่แล้ว +1

    Shikamo Nape

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 2 ปีที่แล้ว

    Yuko wapi Lissu pumbavuu

  • @gadafimasaicomedy1936
    @gadafimasaicomedy1936 6 ปีที่แล้ว +1

    napenda watu wenye upeo Mkubwa km ww

  • @user-ti8fn1wn1w
    @user-ti8fn1wn1w 27 วันที่ผ่านมา

    Unafiki tu huo

  • @maryngailo5627
    @maryngailo5627 6 ปีที่แล้ว

    nakupenda sana Nape

  • @gasperyona5018
    @gasperyona5018 6 ปีที่แล้ว

    Nape Nauye big up sana nakuelewa mkuu wape ukweli wabunge wa CCM

  • @frankdeusdedith6502
    @frankdeusdedith6502 6 ปีที่แล้ว

    Well said Mheshimiwa.......👏🏾👏🏾👏🏾

  • @jackllinendehel2361
    @jackllinendehel2361 6 ปีที่แล้ว

    hakika umeonesha ukomavu ktk nyanja siasa,amini hata kama ccm watakufanyia hila 2020 bado utashinda kiti chako cha ubunge,kwani wananchi wa mtama wanaimani kubwa na wewe!big up Mhe: Nape

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 6 ปีที่แล้ว

    That 's it Nape.

  • @barakaphiliporock3672
    @barakaphiliporock3672 2 ปีที่แล้ว

    Nape huondo ukweli lanzimatuseme ukweli

  • @saidmathias8850
    @saidmathias8850 6 ปีที่แล้ว

    nape your too smart

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 6 ปีที่แล้ว +1

    Tuweke wazi na swala lako kutolewa bastola umefikia wapi

    • @jamesmwema2006
      @jamesmwema2006 6 ปีที่แล้ว

      Congratulations broo nape kwa kulitambua hilo

  • @mfawidhiamiri7455
    @mfawidhiamiri7455 6 ปีที่แล้ว

    sawa

  • @modernmwamtobe352
    @modernmwamtobe352 6 ปีที่แล้ว

    Nape mwanangu umezaliwa na siasa umelelewa ndani ya siasa nakupogezi

  • @jackllinendehel2361
    @jackllinendehel2361 6 ปีที่แล้ว

    Ukweli unakupa heshima kubwa kuliko kuwa wadhili huku wananchi wanakuzarau,simamia ukweli japo ccm hawapendi kuambiwa ukweli.

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 6 ปีที่แล้ว

    Kweli siasa ni unafki Nape kwa Mwangosi sikukusikia ukisema kwa Ulimboka kimya bom la arusha uliendeleza ukimya sasa leo utatuambia nn Nape me naona kupoteza uwaziri kumekuathiri sana na sasa umekua mpiga upande wa pili pole broo

  • @lameckbalekele2901
    @lameckbalekele2901 6 ปีที่แล้ว

    kelvin alex punguza jaziba

  • @rabielkinabo2494
    @rabielkinabo2494 6 ปีที่แล้ว

    Nape uko vizuri kimawazo ila hao wengine uko bungeni wanafuata masilai na kukubali kuburuzw na mamlaka ya juu wanafanya kazi kwa kuogopa na kiunafki wanaona uovu wanashindwa kukemea wanaogopa kutolewa madarakani wewe ndio shuja wa Tanzania Nape pambana na sisi tuko yuma yako kiongozi Achana na hao Mamluki wa CCM

  • @jacksonmodaha1590
    @jacksonmodaha1590 6 ปีที่แล้ว

    acha hizo nampe kaikuze demokrasia karibu chadema mambo ya ccm yaachie ina wenyewe najua ni kweli ccm bila wewe ingeshapigwa chini longtime sana
    karibu uwe na uhuru wa kusema

    • @documentariestvshow
      @documentariestvshow 4 ปีที่แล้ว

      CCM NI CHAMA na nape ni mwanachama tuu Sasa CCM kwanni wasingepta nauku wengne wapo

  • @abdulswalla5494
    @abdulswalla5494 6 ปีที่แล้ว

    ..

  • @robartmdumarobart6568
    @robartmdumarobart6568 6 ปีที่แล้ว

    VIONGOZI WETU TULIOWAPADHAMANA YAKUONGOZANCHI NDIOWENYEVINYONGO NAKULIPIZANA VISASI MIAKAMITANO ITAISHA HAKUTAKUWA NAMAENDELEO YOYOTE KILASIKUMATUKIO

  • @khalidimponela279
    @khalidimponela279 6 ปีที่แล้ว +1

    roho ipo chagadema mwili ni ccm, ila mimi nazani roho ndio binadamu mwenyewe na mwili hua unafata tu kile roho inataka, kwaiyo ctoshangaa uchaguzi ujao kuckia yupo upande ulee wanapokimbilia mafisadi.

    • @athonyfrancis8889
      @athonyfrancis8889 6 ปีที่แล้ว

      una maana gani fala kabisa,unavyomuita Mhe.hivyo unaijua nafsi yake bendera fuata upepo ningejua no kadi yako ningekufukuza pumbafuu kimodudu mtupu chagadema kwa nyumayakoo,utabaki mngoni tu usokuwa na maendeleo utaumia na maendeleo ya wachaga hawaendekezi njaa,na siyo wachaga wote ni chadema koma ufara muku wako

  • @emmanueldpaul9501
    @emmanueldpaul9501 6 ปีที่แล้ว

    Unaongea point mh Nape

  • @francobravotheforester542
    @francobravotheforester542 6 ปีที่แล้ว

    hongera kwa speech nape