Huyu Jamaa Ana juhudi,nguvu na maarifa kiasi,ninachomshaur aongeze juhudi kubwa asilewe sifa,maana wachezaji wetu akianza kuandikwa magazetin na kutajwa Tajwa au kujadiliwa sna kwenye media huwa wanaanza kubweteka na kujisahau mwsho wa cku wanapotea ghafla. Ajiazali xna na Manyakunyaku wa bongo movieeeee😂😂😂😂❤❤❤
huyu media personnel wa simba ni mtupu sana nafikiri wanahitaji kuwa na mtu ambaye yuko vzr kwenye lugha... wangepata somebody ambae ni multilinguistic

Sio tatizo wao ni mambo ya watu wanaowafunga minyororo ya miguu kikubwa tuwaombee wachezaji wetu mungu awalinde
Aongeze mazoez ya viungo nimemuona ni mzito sana
Wala sio mzito hujamuelewa tu @@luluray2115
@@luluray2115 kumbeee
Simba tem wachezaji Woootee. Ogezeni kassi.
,akuna tm yakutisha mwaka ujao,waoooooooooo chama rang💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
Dogo anajua sana kufunga. I like his calm composure on finishing line 👍
Simba nguvu moja ❤❤❤❤
,naiipenda simba mung iiibarik cmba💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
naipenda simba 💪💪
Kocha Fadlu huna baya tunawapenda wote Simba nguvu moja
Best Striker Mzawa 👏👏👏
Dogo pambana bado aujawa bora kiivo ni bahati umekua nayo, uwe na bidii kwenye mazoezi uzito uishe❤
Kwakweli tumempata mshambuliaji mzawa so kama kyombo
Chama langu
❤❤❤❤❤❤❤🎉simbaaaaaaaaaaaàaaa
huyu media personnel wa simba ni mtupu sana nafikiri wanahitaji kuwa na mtu ambaye yuko vzr kwenye lugha... wangepata somebody ambae ni multilinguistic
Simba sports club raha😂😂
Nguvu moja 💪💪💪 ubaya ubwelaa
Mashaka ongeza bidiii ili uchukue kiatu cha mfungaji bora kila mechi funga goli 2,3
❤❤❤❤
Thank you
Valentino na velenteeee hapa wachezaji tunao mwaka huu tutawaua
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪
Kocha kasema kweli. Wanasimba tupunguze misisimko!!
Short and clear haongea mann meng
🥰🥰
Kingine hili la GSM msilikalie kimya au na nyie mnanamna na huyu GSM?ili tujue
Kila la kheri kwake
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Iron shapes the iron.............
Hivi huyu kibu jamani anaingizwaga kufanya nn nadharau zote alizo tuletea
👋👋👋👋👋👋👋👋👋🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aongeze bidii
Alvarez wa bongo 😊
❤❤
👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏
Mzamir bado mdogo sana ana juwa san
Mzamiru na kapombe wanzie benchi pumzi hawana kukaba hawajui wapumzike kidgo
2:56 3:00
Kweli kabisa
Mm mwenyew nilianza kulaumu nilivyo ona kikosi lkn wakaja wazee wangu kiung punda na baba esta wakaniprove kuwa bado ni watu wa maana kbs
@@JanuaryBassowewe unajua wale ni watu wa maana sana ila Kuna watu humu kila kitu kwao ni kibaya
ALHAMDULILLAH
KUSENGAMAA
Ubaya ubwela
Kocha la boli
Simba nguvu moja❤
❤❤❤❤❤