@@salamasaidi6620 maana nimekuona umeongea kama shabiki wa Simba umeonyesha ukeleketwa wako na jinsia umchukiavyo manara huyu mnaemuona mbaya tangia yupo kwenu analopokaga tu hivyo hivyo katutukana saana huyu kamtuka na kumkashifu ata prisca kishamba mbele ya waandishi sio mashabiki wala uongozi wa Simba ulijitokeza kukemea tabia yake ilimuona msemaji kweli faraja yenu ata mnapopitia magumu sasa vp Leo mnaemuona mbaya nyinyi ndo mliemtengeneza akawa kibuli jeuri hasiemuheshimu mtu yeyote vp Leo mapovu yanawatoka kwa vile yupo yanga Simba ni unafki chuki zimewaajaa
Huyu ni mjinga siyo kwamba anauelewa mkubwa sana kisa alizaliwa k.koo. huwezi ukalidharau jeshi lililo chini ya rais wa nchi ( amri jeshi mkuu) kawaambie wafungwa wenzio wakati huo anae ambiwa hivyo ni ofsa wa jeshi. Ni fed heart kubwa sana tena mbele ya umma wa watu. Da inasikitisha sana.tuli zaliwa kwenye familia zenye msimamo huyu sijui ingekuwaje.
Magereza ni waungwana sana na pia wameheshimu taasisi ya Yanga Africa Kwa kuwa Haji ni muajiriwa wa timu hiyo ila Haji awe anajitathmini kabla hajatamka chochote na pia ajue ni muajiriwa wa timu kubwa nchini na Africa , wangemfanyia fujo au kumpiga wangefhalisha pia klabu ya Yanga
JAMANI MIAKA KUMI TU ILITAKIWA AFUNGIWE MAISHA, HUYO HAFAI ,MANENO YAKE KIMPIRA NI MACHAFU,HATA WANDISHI HAWAMTAKI,KWA JESHI LETU HAPA HAPANA, NA FAINI YAKE VIPI?.
Afu we mwandishi nae mshamba tu hiyo barua siyo ya manara ni ya mwenyekiti wa uchanguzi TEFA manispaa ya TEMEKE kufungiwa miaka mi5 kwa kutumia mamlaka vibaya 😢UNATEGEMEA UFIKISHE SUBSCRIBERS 100K kwa taarifa zisizo na uhakika Bro katafute kazi nyingine kama media huiwezi
Kuna mda wamichezo namda wakazi so watu weng tunashindwa kuelew hapo manara kafanya makosa hakun nin tusifanye kitu kisa mm ni yanga au Simba ndo kitu ambacho watanzania kinachotusumbua
Mwacheni baba wa watu tutasusa soka wananchi wote bongo kila siku manara manara huyo binaada kama wengine kukoseana ni kawaida wanadam na manara vibweka ajaanza leo tunamfaamu watanzania wote jinsi alivyo naomba mchukulieni poa tu ktk soka anamchango mzuri tu mwacheni ajipumzikie juzi juzi tu mmefungia amuoni dhambi kwa mungu
@Aziz-p6s Akikata rufaa atashinda.Ni jambo la kuomba msamaha kwa jeshi lkn sio TFF haiwahusu na wale wanaopigana na kuvunja viti ina maana TFF wamewafungia wasije uwanjani.Kumchukia mtu mpaka anaelewa kibinaadamu haiopendezi. Ni kweli amekosea anatakiwa achukuliwe hatua na sheria ishike mkondo wake lkn sio TFF jamani haiwahusu kabisa.
HAJI MANARA TUMUOMBEENI MSAMAHA KUTELEZA SI KUANGUKA NA KOSA LA KWANZA HALIMUCHISHI MKE ASAMEHEWEE JAMANI KWANI PIA KUNA VIONGOZI WENGI SERIKALINI WAMEKOSEA NA WAMESAMEHEWA BADO WANAENDELEA NA KAZI HADI LEO TENA MAKOSA MAKUBWA SEMBUSE MANARA MSAMEHENI JAMANI TUSIFANYE USHABIKI WA MPIRA I
Haji alinikera sana, asante kwa uchambuzi wenu mpo vizuri.
Waandishi vilaza sawa na hawa commentators wanao support hii TV
Safi sana maana amezidi dharau
Wachambuzi hamko sawa,mbona mnazungumzia kwenye upande mmoja,mbona hamzungumzii alivyo SEMA tunaondoka?
Hakuna watu wapumbavu Kama nyinyi, mnachuki Sana na Haji mnapaplishi ujinga ataesapoti nyinyi nae mjinga
Bugaaaaaaat ❤❤❤❤❤
Kwanza kalia mwenyewe ampendi manara ndo amfungie miaka 10
Ajaingia jela huyo angeingia nahisi alivyoambiwa toa gari mbele hapo lazima angetoa na shikamoo nyinyi😂
Alishafungwa mbona kwa kosa la kula pesa za ccm . Sema UZUNGU ndio unampa confidence😅😅😅
Safi sana TFF angefungiwa maisha kabisa zeruzeru asie na adabu mdomo mchafu tu kajaliwa
Hakuna kosa nikumuonea tu Haji manara? TFF mnashindwa kufungia marefa wenu wanafanya upuuzi kila mechi
Adhabu inastahili mana kiuhalisia alivuka mipaka kwa kumwambia askari magereza "yeye sio mfungwa kama wafungwa wenzie"
Mtangazaji usiseme walio zaliwa kariako wanajiami haji ni limbukeni anaujinga flani alichokifanya ni ujinga
Jamaa la hivyo sana hili
Hajazuia njia ila parking za magari hazijafuatwa
Afungiwe Ahmed Ali aliembuhudhi Mkuu wa Mkoa iwe Manara alombuhudhi Magereza,wewe vipi kwanini hukujadili la Mkuu wa Mkoa mnapenda kukuza mambo
Haikuwa sawa alitakiwa kuheshimu Mamlaka hii Tanzania ni Nchi ya Amani
Sasa TFF wamekosa cha kufanya !!
ANAJIONA KAMA ANIMUDU SANA SEREKALI YA TANZANIA HUYU HAJI MANARA,KIUKWELI ILE KAURI ALIYO ITOA JUZI SIYO NZURI
Umeongea kama mdau au shabiki wa Simba maana unaongeo kwa panic
@@SalumMusa-f5lkila mtu aongeee kwa nafac yake ww umeongea km nani au mwanao huyo😢
@@salamasaidi6620 maana nimekuona umeongea kama shabiki wa Simba umeonyesha ukeleketwa wako na jinsia umchukiavyo manara huyu mnaemuona mbaya tangia yupo kwenu analopokaga tu hivyo hivyo katutukana saana huyu kamtuka na kumkashifu ata prisca kishamba mbele ya waandishi sio mashabiki wala uongozi wa Simba ulijitokeza kukemea tabia yake ilimuona msemaji kweli faraja yenu ata mnapopitia magumu sasa vp Leo mnaemuona mbaya nyinyi ndo mliemtengeneza akawa kibuli jeuri hasiemuheshimu mtu yeyote vp Leo mapovu yanawatoka kwa vile yupo yanga Simba ni unafki chuki zimewaajaa
Vzur waandishi
Lakinipia alisha omba radhi
Safi sana
Ana laana ya simba na mo huyo ndio mana analaanika tu
Uyu mzee sijui anamatatizo gani
Huyu ni mjinga siyo kwamba anauelewa mkubwa sana kisa alizaliwa k.koo. huwezi ukalidharau jeshi lililo chini ya rais wa nchi ( amri jeshi mkuu) kawaambie wafungwa wenzio wakati huo anae ambiwa hivyo ni ofsa wa jeshi. Ni fed heart kubwa sana tena mbele ya umma wa watu. Da inasikitisha sana.tuli zaliwa kwenye familia zenye msimamo huyu sijui ingekuwaje.
Kwanza KARIAKOO ndonini
Kwani. Magereza. Hawakosei. Wananchi .??
Ishu sio Kariakoo,ni ujinga wake tu
Siyo kumfungiani mashitaka halafu kifungo akapambane na hao anaowaita wafungwa
Siku zote mdomo huponza kichwa, huyu jamaa ni shida
Hawa sio waandishi sawasawa akili ya kufikiria
Hawana mbona. Rais anatukanwa hasemi mnafurahia Tu, why Haji? Tumeona kamtukana nani
Miaka 10 kidogo ongeza dharau imezidi
Eshimu madaraka
Kwaiyo we unaona alichofanya Manala ni kizuri Mzee!??
Saaafi akahifunze heshima kwao.aaxhe dharau,ingekuwa ishirini kabisa
Ndio uyo msenge kazoea sana nyoko uyoo
Nchi hii imeharbika kutoka 2016
Jamani jamani.kila.siku.haji.manala.
Habar ndio hiyo tuliozaliwa Ilala Tunajiamini ila si kama Haji Manara😮😮😊😅
Mimi sioni kosa la manara mnawalea kila mtu atimize wajibu wake
Kipofu
Itakuwa hata ww huna adabu
ukweli manara alikosea jeshi la mageleza utoto mwingi je angekuwa nacheo angelusha gumi naomba tuieshimimu selikali kwanza aliomba kupita
Magereza ni waungwana sana na pia wameheshimu taasisi ya Yanga Africa Kwa kuwa Haji ni muajiriwa wa timu hiyo ila Haji awe anajitathmini kabla hajatamka chochote na pia ajue ni muajiriwa wa timu kubwa nchini na Africa , wangemfanyia fujo au kumpiga wangefhalisha pia klabu ya Yanga
Iyo adhabu ni ndogo sana kwa uyo mwamba ayo angefikishwa mahakamani ili Shelia ikachukuwa nafasi yake
Sasa TFF kumfungua miaka 10 inakujaje hapa
Katukana wizara ya serikali
Hiyo siyo confidence....ni ufwala tu...
JAMANI MIAKA KUMI TU ILITAKIWA AFUNGIWE MAISHA, HUYO HAFAI ,MANENO YAKE KIMPIRA NI MACHAFU,HATA WANDISHI HAWAMTAKI,KWA JESHI LETU HAPA HAPANA, NA FAINI YAKE VIPI?.
Haku josea Sababu aliye kua akimtaka aondoke hakuongea kistarabu hata ingekua mimi ninge shaut2
❤❤❤❤
Afu we mwandishi nae mshamba tu hiyo barua siyo ya manara ni ya mwenyekiti wa uchanguzi TEFA manispaa ya TEMEKE kufungiwa miaka mi5 kwa kutumia mamlaka vibaya 😢UNATEGEMEA UFIKISHE SUBSCRIBERS 100K kwa taarifa zisizo na uhakika Bro katafute kazi nyingine kama media huiwezi
Ilitakiwa wajeda wampe kichapo😂😂😂
Nyinyi waandishi wapuuzi sana amna shule hapo
Alitakiwa afungiwe miaka 1000 huyu Mzee asiye na Hekma kabisaa!!!
Kila mtu Yuko na freedom kwenye chi huru sometimes mamlaka hua Iko unfair hua wanatumia mabavu sanaa
Jamani lakini hawa askari wa magereza hawajamprovoke Haji? Isije kuwa walimuanza wao kumwambia aondoke kwa kumtolea jeuri na yeye akaamua kurevenge.
Wanahabari wengi wa sasa ni wachafuzi wa lugha ya kiswahili na hii ina maana hamna sifa ya kuwa wana habari!
Mm ni yanga dam ila manara Hana hekima kabisa huyu ataakifungiwa asiende mkapa milele sawa anafujo sana
Kuna mda wamichezo namda wakazi so watu weng tunashindwa kuelew hapo manara kafanya makosa hakun nin tusifanye kitu kisa mm ni yanga au Simba ndo kitu ambacho watanzania kinachotusumbua
miaka kumi haitoshi Afungiwe maisha
Uyo k hata uwanjani asiingie
Tena
Miaka kumi!!! Hadi ifike atakuwa babu kinyama miaka 10 ?? Roho zikiwa hai km tutafika kwa uwezo wake Allah
Yani mnamnyima mtu uhuru wa maisha nyie akina nani manara hayupo yanga wala simba sasa utamfungia kwenye nini yani Tff acheni upuuzi
😂😂😂😂Wew Kuma
Mpira wa tanzania na tff ni vitu vidogo kuliko manara
Acheni kutishana kwanini tunashindwa kujadili ishu tunangangania tukio. Tutófautishe jeshi na wanamichezo
Hiyo adhabu bado ni ndogo sana alitakiwa apandishwe kizimbani,sikupenda kabisa MANENO yale aliyo yatamka
Huyo mzungu siku akinda jela ndio watawajua Askari magereza nikina nani!!
One sided hearing
Amefanya makosa aombe msamaha jeshi hilo ni kosa amefanya.
Mwacheni baba wa watu tutasusa soka wananchi wote bongo kila siku manara manara huyo binaada kama wengine kukoseana ni kawaida wanadam na manara vibweka ajaanza leo tunamfaamu watanzania wote jinsi alivyo naomba mchukulieni poa tu ktk soka anamchango mzuri tu mwacheni ajipumzikie juzi juzi tu mmefungia amuoni dhambi kwa mungu
Nchicina katiba na mipaka ya kuongea, huyo mzungu poli kazifusha mazoea
Tatizo. Ukolowizadi. Na. Umbumbumbu. Unakusumbuwa ..
Ni ushamba tu ndiyo unamsumbua na shida ya kuwa chawa umezaliwa mjini we barabara
Na ualbino wake yeye anadhani hiyo ni kinga. Mshenzi huyo.
Hadji kazaliwa Amstardam Uholanzi kama nakumbuka vzuri . Itakuwa ni tabia za kiholanzi
Wadachi hawana tabia hzo mm nimeishi uko hakuna inchi ata moja inaifikia Holland kwa sheria kwanza hakuna star jua hilo
Hivi mpk leo haji mnamuita KIJANA???
Haji manara mpuuziii tuu afungiwe tuuu
Ili hiwe fundisho kwa wengine ni muhimu wamchukulie hatua kwa kauri yake chafu kwa jeshi
Magereza ni waungwana sababu shughuli yao ni kulekebisha tabia kutoka kwenye mbaya kurud kuwa nzur ndio maana watabia tofaut na majeshi mengine
RAIS wa inch anatukanywa askari magereza niwanani acheni ujinga wenu umbwa nyinyi
Lkn jmn mtu hawz kuonywa t kama kakosea. Lkn sio kumfungia. Wkt mwngne Huw inatakiwa t hekima itumike jmn.
Kwa Nini yeye hiyo hekima hakuitumia Kwa askari ebu fikiria ungekuwa wewe ni askari magereza ungejisikiaje Kwa kauli hiyo
Mm binafsi sijaliona kosa la hasi
Magereza ni chuo cha mafunzo kwaiyo brother haji ameteleza wameona wasiue sisimizi kwa nyundo mwisho wa yote mjinga ameonekana ni nani
kwani huyu hanawazazi wake wamuonye
Mwacheni baba manara anachangamsha soka la bongo soka bila vibweka alinogi kwani kamtukana mtu
Kichwa cha habari kingine maongezi mengine
HAKUNA CHA MTOTO WA MJINI NI UPUMBAVU NA DHARAU ZA KIJINGA, WA TANZANIA TUWE NA UTU NA BUSARA.
Achani fitina na WIVU ninyi
Mbona wa Tanzania 🇹🇿 niwajinga sana mmmmm kweli mmevamiya mpira kabisa
Siyo yy ni Pepo anastahili kuombewa jamaniiii.
Mkumbuke soka na mchezo wa vituko mnakumbuka mashabiki waliamisha gori timu frani ya nje ndo soka ilivyo ndo uwaga inanoga
We Kama siyo mlemavu wa ngoz unawezapata ulemavu wa kiungo chochote muache kuropoka ulinga
Wasengerema nyie mamae mnaandika kichwa habari kingine na ndani maelezo mengine mnabwabwaja tu.
Manara yupo sawa ajakosea lolote hapo
hutakiw kumjib hovy mtu yoyot hay ndo madhar yake yy alijua mtu bak kumbe askari 😂😂😂
Sirikali inamlinda manara
Huyu ni mtoto wa dsm uwezi kumugopa mtu ikiwa yeye ndy mkosa haji yupo sahihi tena mie ningemtia kibao yule askari
Plus you.
Mpira ni furaha mkireta jeuri Hadi uwanjani hatufiki mbari
Ajaribu kwa jw aone
Mara ya pili anafungiwa hii ndio tabia yake si mwungwana anajiona mtoto wa mjin na ni mwana dini
Hawampendi tu tff inahusikaje hapo hizo ni chuki binafsi.TFF itafute jambo jingine. Jeshi ndio wangemchukulia hatua sio TFF.
Kata rufaa
@Aziz-p6s Akikata rufaa atashinda.Ni jambo la kuomba msamaha kwa jeshi lkn sio TFF haiwahusu na wale wanaopigana na kuvunja viti ina maana TFF wamewafungia wasije uwanjani.Kumchukia mtu mpaka anaelewa kibinaadamu haiopendezi. Ni kweli amekosea anatakiwa achukuliwe hatua na sheria ishike mkondo wake lkn sio TFF jamani haiwahusu kabisa.
Mhhh hatar yaani unafuatilia mpira alafu hujii TFF wanahusikaje.
Mbona mnaongea ushoga hamleti maana sahihi wachambuzi wa hovyo sana hatuelewi mnaongea nini apo
HAJI MANARA TUMUOMBEENI MSAMAHA KUTELEZA SI KUANGUKA NA KOSA LA KWANZA HALIMUCHISHI MKE ASAMEHEWEE JAMANI KWANI PIA KUNA VIONGOZI WENGI SERIKALINI WAMEKOSEA NA WAMESAMEHEWA BADO WANAENDELEA NA KAZI HADI LEO TENA MAKOSA MAKUBWA SEMBUSE MANARA MSAMEHENI JAMANI TUSIFANYE USHABIKI WA MPIRA I
Ningekuwa raise wa mpila uyu mpuuzi manala ninge mfungia michezo asiusike maisha yake yote
We shabiki wa simba😅
Sasa wewe coo raid muache bugati
Na ndiyo maana mungu hakupi uongozi unaweza ukaua watu wote ili uishi peke yako
Ndo hujawa sasa,nahuwez kua kwa mpumbuav kama wew,kufanya maamuzi paispokutumia Akili,maana ingekua hvo Rais angeshafukuza weng
chuki tu
Kilema wa ngozi na akili
Huyo ni mlemavu muacheni tuu mpeni onyo
Hiyo miaka 10 iko wapi?