BIBI MIAKA 95 ALIYETUPIWA VITU VYAKE NJE - WANAFAMILIA WADAI NYUMBA si YAKE ni URITHI wa FAMILIA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  วันที่ผ่านมา

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @runuveloma6265
    @runuveloma6265 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu msichana is very brave bibi Salma kama angekua na mahusiano mazuri na hawa sizan kama ata kam wangefikia ata mahakaman wangemsubiri Mpk mwishowe

  • @mmichaeleletricet4554
    @mmichaeleletricet4554 วันที่ผ่านมา +3

    Yaani mngemlea kwa upendo sana na mingekula mema ya nchi😊 😊 mpaka mshangaee

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 วันที่ผ่านมา

      Kumbe watoto wake ndy dhulma. Nyumba ni ya watoto wa 4 mume wake ndy mtoto wa mwisho sasa katika hao wanne wote wamekufa wameacha watoto ambao ndy watoto wake yy na wa mjengezi mwenzie na hao wa wengine kwahy bibi hapo hapamuhusu yy angoje fungu tu hao wanawe ndy wamemponza

  • @AshiraAshira-qy9gc
    @AshiraAshira-qy9gc วันที่ผ่านมา +3

    Roho mbaya tu sasa huyo bibi mnataka aende wapi jamani urithi unawatoa watu roho hebu tafuteni vya kwenu

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu วันที่ผ่านมา +4

    Sasa bibi wa umri huu mwamfukuza aende wapi,mbona hamkufukuza akiwa na nguvu zake

  • @anoldamkumba3208
    @anoldamkumba3208 วันที่ผ่านมา +3

    Ni roho mbaya tu,Ana miaka mingapi. yakuwepo duniani? Usiposamehe hutasamehewa.

  • @gloriamsaki9109
    @gloriamsaki9109 วันที่ผ่านมา +3

    Mmm tatizo wamewekeza kwenye ardhi ya urithi nyumba ulikuwa ya tope .du Kuna Cha kujifunza hapo

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f วันที่ผ่านมา +2

    Kumtoa mzee huyu nilana mborawenge ka vikaovya familia. Nyumbaya familia wengemuacha mpaka mungu akamchukua

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyo bibi mapengo nae chaumbeya sana

  • @FatmaMohammed-s3k
    @FatmaMohammed-s3k วันที่ผ่านมา +2

    Mnaroho mbaya tu Kwan unafikiri ataishi miaka mingapi zaidi si mngesubiri tu afariki ndo muwatoe Hao wajukuu

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mnajua mambo ya sheria au mnasema tu

  • @upendoabraham2010
    @upendoabraham2010 วันที่ผ่านมา +1

    Chanzo cha hayo yote ni watoto wa bibi na wajukuu zake wanataka wajimilikishe peke yao mwishowe anaeumia ni mama yao daah 😢 ila si watoto muda mwingine

  • @SakinAthuman
    @SakinAthuman 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dah waja hamkumbuki mungu mtakufa nakuiacha hivyo nyumba

  • @UpendoMaduhu
    @UpendoMaduhu วันที่ผ่านมา +2

    Kwani hiyo nyumba si ya mume wake?kwa nn wanamfanyia ivo ?c wangesubir akalala?

  • @HanifaMasudi
    @HanifaMasudi วันที่ผ่านมา +2

    Kuna watu hawana huruma yarabi😭😭😭😭😭

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 วันที่ผ่านมา +4

      Mm mama yangu alilea watoto wa kambo tena wa nje ya ndoa wakakua baba yao alipofariki wakauza ile nyumba,ikavunjwa nikamchukua mama yangu nikamlea mpaka amefariki nikamwambia mama usijali haki yako utaikuta kwa Allaah mambo ya urith yaache km yalivyo

  • @NoorNOOR-l7h7g
    @NoorNOOR-l7h7g วันที่ผ่านมา +3

    Huyubibi wangemwacha akakaa kwasababu umli wenyewe umeenda mnataka afe kabla yamda

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z วันที่ผ่านมา +2

      Wamesubili sanaafe chaajabu hafii

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z วันที่ผ่านมา

      Wanatamani afekablayawakati ilituawapenafasi

    • @mmichaeleletricet4554
      @mmichaeleletricet4554 วันที่ผ่านมา

      Kweli wamesubria afe wapi na bado mtashanga kumi na tano tena au zaidi! Utakuja kushangaa wanaomfukuza wanatangulie hata hiyo laana haiwakuti yani maisha ni fumboo!

  • @petermathias3324
    @petermathias3324 วันที่ผ่านมา +2

    tamaa na wanafanya kumkomoa huyo Bibi sasa wangemuacha aishi tu

    • @mariamkikula1614
      @mariamkikula1614 วันที่ผ่านมา

      Mambo ya familia huwezi kujua.

  • @Victoriakilewo
    @Victoriakilewo วันที่ผ่านมา

    Yn Mungu atawalaani

  • @ImailiIsmail-c5g
    @ImailiIsmail-c5g วันที่ผ่านมา +1

    Jaman majukum ana urith wakat anawazaz wake jaman tuwen na huruma na wazee

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa วันที่ผ่านมา +2

    Kibogoyo mshambenga mmemuona na kucheka chake Cha kale lina roho mbaya sana anajua yeye staishi milele na uyo anaojifanya kimbelembele eti msimamizi na wewe ipo siku yatakukuta Dunia mapito tu wewe mdada na uyo kibogoyo wako😂😂😂😂

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Tena saana 😅😅

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 วันที่ผ่านมา +2

    Bibi kachazweka mnamtoa. Nyie nitaama za mali. Mgŵmuacha amalizie siku źake 2.

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 วันที่ผ่านมา +1

    Bibi wa hovyo kabisa

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 วันที่ผ่านมา

    Kunawatu wanaroho ngumu bibi Kaa huyu wanafanya Hadi analia

  • @NeemaNjera-ho6ln
    @NeemaNjera-ho6ln วันที่ผ่านมา +1

    Hichi kibibi.kinachocheka.kinaonekana.nikimakumaku.

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f วันที่ผ่านมา

    Nyumbayenyewe batilishaoza

  • @visentdismas7433
    @visentdismas7433 วันที่ผ่านมา

    Mhh jaman

  • @SalimaOman-hz1mi
    @SalimaOman-hz1mi วันที่ผ่านมา

    Mimi kwaushauli hasitolewe hapo kwenye nyumba mbaka huwai wake hukiisha alfu iyo nyumba maakama

    • @samwa9496
      @samwa9496 วันที่ผ่านมา

      Kwa hali walioionyesha watamuuwa tuu hata akibaki hapo watu wanataka pesa

  • @SalimaOman-hz1mi
    @SalimaOman-hz1mi วันที่ผ่านมา +1

    Lakini wasiseme nyumba niyakwao niulisi wababa yao hiyo nyumba ni yafamilia waijue kwamba nyumba yafamilia sio yawajukuu iyo nyumba

    • @SalmaSalma-x2b8h
      @SalmaSalma-x2b8h วันที่ผ่านมา +1

      Nyumba ni ya urithi Babu amekufa baba amekufa analithi nani kama sio wajukuu na wa kwake wa kiwemo sema tu watoto wa bibi na wajukuu zake Wana wadhulumu wenzao

    • @SalmaSalma-x2b8h
      @SalmaSalma-x2b8h วันที่ผ่านมา

      Kwa iyo watagawa kwa watu wanne mmoja wapo akiwemo mume wake bibi na bibi apo ana fungu lake

    • @SalmaSalma-x2b8h
      @SalmaSalma-x2b8h วันที่ผ่านมา +3

      Bibi na watoto wake na wajukuu zake ndio wanataka kuwadhulimu wenzao

    • @SalimaOman-hz1mi
      @SalimaOman-hz1mi วันที่ผ่านมา +1

      Huyu bibi sio mkolofi wajukuu wake ndio wakolofi wanataka kujimilikisha mali pekeyao wanajifanya nyumba yababa yao awataki mtu mwingine aje kumiliki iyo sio aki nandio wanagombana wajukuu kwa wajukuu

    • @SalmaSalma-x2b8h
      @SalmaSalma-x2b8h วันที่ผ่านมา

      @@SalimaOman-hz1mi ni kweli wanapitia mgongo wa bibi kwa sababu ni mzee

  • @janethiPiala
    @janethiPiala วันที่ผ่านมา

    They are foolish coz they do as if they know their tomorrow