MAISHA NI KAMA RELI BY INZAMBA GROUP TZ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Maisha yetu yanafananishwa na njia ya reli ambayo huwa haijanyooka. Unapopita njia ya reli tegemea kuona wanyama wa kila aina, milima, mabonde, visiki na majabali makubwa. Kuna wakati utafika reli itashindikana kupita juu ya ardhi na italazimika kupita chini ya miamba na milima. Hivi ndivyo maisha ya mwanadamu yalivyo. Kuna kupanda na kushuka. Kuna furaha na huzuni. Kuna wakati utakosa hata rafiki mmoja wa kukufariji pale utakapopitia wakati mgumu katika maisha. Lakini kumbuka katika magumu yote upitayo, tunaye kiongozi wetu Yesu kristo ambaye yeye ni rafiki wa kweli nyakati zote na pale tunapomtegemea atakua nasi katika nyakati zote za huzuni na furaha katika maisha yetu.

ความคิดเห็น • 27

  • @ElizabethMunisi
    @ElizabethMunisi 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiweni sana kwa wimbo huu. Binafsi naupenda sana

  • @FELISTERNDUVA
    @FELISTERNDUVA หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe vijana

  • @MaryOdhiambo-p4t
    @MaryOdhiambo-p4t 7 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa kwa nyimbo zenu

  • @RahelWaitara
    @RahelWaitara 2 หลายเดือนก่อน

    "shikilia usukani itazame reli tu" Iko kipande kinanitia moyo sana, mbarikiwe❤

  • @AnnastaziaMalembo-vj9ib
    @AnnastaziaMalembo-vj9ib ปีที่แล้ว

    Jaman huu wmbo nna upenda sn mbarkiwe sn

  • @niwagwenemayeye972
    @niwagwenemayeye972 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe

  • @chiragiabel
    @chiragiabel 9 หลายเดือนก่อน +2

    "Station Master wetu Yesu atatukaribisha, ingieni nchi nzuri, ingieni mbinguni". Poweful words. 🙏🏿

  • @lindaadhiambo3662
    @lindaadhiambo3662 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @sabatopeter2399
    @sabatopeter2399 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwa msihishie hapo jitaidini kufika mbinguni

  • @yulithadaud6224
    @yulithadaud6224 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda San wimbo huu jamni mungu awabariki kwa ujumbe munzuri

  • @JoshuaOgola-df4jj
    @JoshuaOgola-df4jj ปีที่แล้ว +1

    Amen. Kwa wimbo mzuri unaotutia moyo kwaajili ya safari yetu ya mbinguni

  • @ndeshi4koppe
    @ndeshi4koppe 11 หลายเดือนก่อน

    I love the song. may I have the lyric please?❤ all the way from Namibia

  • @georgejn2000
    @georgejn2000 ปีที่แล้ว +1

    Wonderful song indeed! Well arranged voices!

  • @neemamarealle2579
    @neemamarealle2579 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe watumishi wa Mungu

  • @berthakayora6517
    @berthakayora6517 ปีที่แล้ว

    Amen. Wimbo unatia matumain. Tuombe Mungu atusaidie ili siku ajapo tusikose . Barikiwen sana.

  • @barakageorge1300
    @barakageorge1300 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa wimbo na ujumbe nzuri. Bwana awabariki mno

  • @tucheke548
    @tucheke548 ปีที่แล้ว +1

    Duh! Amenn

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @MussaMachoke
    @MussaMachoke ปีที่แล้ว

    Barikiweni saana

  • @tithomwinuka8815
    @tithomwinuka8815 ปีที่แล้ว

    Safi Sana Mungu awatie nguvu

  • @RahmaStephano
    @RahmaStephano 11 หลายเดือนก่อน

    Amen MUNGU awabariki 🙏🙏

  • @josephinekawooya
    @josephinekawooya ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe Sana jamani Inzamba,Mnanibariki Sana

  • @tufikemnyone3182
    @tufikemnyone3182 ปีที่แล้ว

    MUNGU AWABARIKI SANA

  • @dorcamoseti7735
    @dorcamoseti7735 ปีที่แล้ว

    Amen!!!

  • @SaveraMtuli-hs7yw
    @SaveraMtuli-hs7yw ปีที่แล้ว

    Munanibariki

  • @zaburiwazoel6215
    @zaburiwazoel6215 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @yulithadaud6224
    @yulithadaud6224 ปีที่แล้ว

    Mutulahisishiye kudandrodi wa audio