MUNGU ANAKUJALI BY INZAMBA GROUP TZ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Usije ukakata tamaa maana Mungu anakujali, Chini ya mbawa zake Mungu anakujali. Moyo wako unaposononeka sana kumbuka Mungu anakujali, Upatwapo na ajali njiani Mungu anakujali. Yeye anakujali kila siku katika njia zako zote, Yeye atakuhifadhi maana anakujali.

ความคิดเห็น • 7

  • @emillykwamboka9296
    @emillykwamboka9296 10 หลายเดือนก่อน

    So so soothing. God bless you

  • @lindaadhiambo3662
    @lindaadhiambo3662 ปีที่แล้ว

    Amen❤

  • @yohanadickson5229
    @yohanadickson5229 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa na nyimbo zenu, amazing voice 🔥

  • @patrickmanga185
    @patrickmanga185 7 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru Kwa Kwa kazi yenu nzuri. Huwa ninabarikiwa sana na familia yangu Kwa nyombo zenu zilizosheheni umahili mkubwa. Mungu azidi Kiongozi wenu msaada mpaka tufike mbinguni

  • @manonogeorge198
    @manonogeorge198 ปีที่แล้ว

    Powerful voices singing praises to God

  • @georgejoshi2216
    @georgejoshi2216 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @deborahmnzava3971
    @deborahmnzava3971 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana nyimbo zenu zinanipatumaini maishani mwangu. Nawapenda sana