Wages of sin is death..why steal someones hard earned money... especially money from gulf 😢Baba kamau toiled for his money.. working with Arabs is not a joke
Sama your are doing a great job. Getting the money is quite a relieve for Baba Kamau. Now he understands the person he trusted as a wife. She was the master mind of this theft.
These two women killed the man! Siri ilikuwa ya watu watatu they should be interrogated further! Samaa if you sanitize Mama kamaus phone utajua ukweli!! Unasleki kwa nini? Chukua Hiyo simu am very sure hao vijana walilipwa wavunje supermarket are the same ones who killed Baba Jeff if indeed he is dead because I don't believe it till now!! Mimi naona kama hata Huyo Mama Jeff knew about the money 💰! Anajifanya tu hapo!
After this samaritan cal our DCI mama kamau n vero belong 2 langata women prison forever maneno hii yote mama kamau she is the ringleader what a shame end up 2 kill the innocent soul. Bibi ya jeff take it at heart mungu atakupigania.
Ekeni Vero na mama kamau ndoni different rooms for 3 good days bila kutoka inje watasema ukweli penye pesa iko Bure mutashinda mumezunguka hivo km wanye hamuna aki
Baba kamau check all your documents mb all u hv disclosed to your wife is already changed..and divorce tht wicked woman she looks old thn you run 🏃♂️ 😉 😜
After getting the money..sama forward the case to the Dci to investigate baba jeff death cause it's seems mama kamau knows much about it as vero is speaking
I just wish the DCI was here,mama kamau knows everything. She's shouting to hide the prove. Vero knows where the money is. Baba kamau get your money then 🏃 🏃 🏃 for your life is in danger.
Baba Kamau kama umepata pesa yako has this headline says if indeed it's true mrife and leave this woman you call your wife alone the next victim to die was you! If someone can plan to steal from her husband what else can't she do?? This is a very dangerous woman unfortunately you lived with someone you don't know all those years! Na mambo ya watoto usipuuze DNA asap!
Mama Kamau, Baba Jeff and Vetonica know all this. Mama Kamau is the master mind. She also knows how Baba Jeff left this world for world unknown. She should produce the man when you find the money.
Mama Kamau is very gready and inhuman.Baba Kamau should be very careful with this woman.If she could plan all these,.... what shows that she could not kill Baba Jeff?
Mama Mzee na tabia kama za teenager,i hope the hubby divorces her and run for his life,this woman can even eliminates him for his properties,can be trusted ‼️😢
Sama, sanitize for ya Vero, mama kama na mama Jeff. Then check phone ya Vero if it's true hio message ya threats it's a forwarded message or written message.
Sama upgrade plz .sanitizer simu ya Vero haraka Sana...n itumie anti delete codes...hawa wote ni mang'aa hata huyo mama Jeff anajifanya.... Mtazumgushwa Hadi mchoke
But I dout about tat death how comes hawakujua baba Jeff amrpass maybe ilikua mipango ya mama Jeff na baba Jeff ndio wabaki na pesa then wahame hi Kenya we can do everything bcz of money
@EasterntvSamaritan I'm sure most people came to this video thinking that the money was found. While deceptive titles might offer a temporary boost to viewership, they are generally counterproductive. Viewers who feel deceived are likely to seek out content creators who are more upfront and consistent. In the long run, building trust with your audience through honest and accurate titles is more beneficial. Viewers are more likely to return to content they can rely on. Remember, platforms like TH-cam have algorithms that favor content with high viewer satisfaction.
But baba Kamau usijaribu kwenda na hio pesa Police Station AS EVIDENCE OF Baba Jeffs Murder!!!! YOU WILL LOSE IT ALL!!!!! Usifuate hio case ata!!! Achana!!! You got back your money!!! NIMEKUWON!!
People who critisis the process should learn to hold their horses 🐎 and know that God got his own way of revailing the evilness,Baba Kamau and others never try to carry cash to avoid paying transfer changes for your own safety the money i would carry is max 2000Euro when i travel the rest mpesa and my debit card full stop
Kusema ukweli na mwogopa mama kamau ni muuwaji number one na sibadilishi msimamo wangu pili baba kamau na mwenzako plz plz plz msimame na uyo mama jeff
Hizi doh zilihamishwa kitambo am suspecting jeff is somewhere just laughing with a beer in his hand if not jeffs wife knows where the money is or mama kamau or vero .....trust no one .....😢😢😢
After getting the money seek justice for mama Jeff. Mama Kamau and Vero did not only share her husband but also planned his death
Apo kuna mchezo myb aliondokea tu@@lucynangira4713
Wages of sin is death..why steal someones hard earned money... especially money from gulf 😢Baba kamau toiled for his money.. working with Arabs is not a joke
Aki wamemuharass huyu innocent woman
Very true ,hawa dio walimuua
Walai...@@lucynangira4713
Samaritan sanitize simu za hawa magaidi tena utajua ukweli😢
Hapa sasa is a Homicide case Our DCI get in to fix them where they belong@lydiakusimba
Sanitize simu ya mama Jeff
SAMAA INGAWA HUCHUKUWA MDA LAKINI HUJA JIBU-LAKUELEWEKA🎉
Sama your are doing a great job. Getting the money is quite a relieve for Baba Kamau. Now he understands the person he trusted as a wife. She was the master mind of this theft.
Pesa imepatikana ama you people trust the caption.
@@dorcasjebet1691Nipitie dear
Hatujui bado@@dorcasjebet1691
Samaa sanitize SIM ya mama Jeff na SIM ya Vero na mama kamau pls
He won't once samaa ameanza follow up hawezisanitize simu tena
Unproffesional @@dorcasjebet1691
Stano takes everyone as a suspect but Samaritan is after views badala afanye sanitization Kwa simu zote including ya mama Kamau as the main suspect
It's obvious Mama Kamau knows everything and not willing to be truthful
These two women killed the man! Siri ilikuwa ya watu watatu they should be interrogated further! Samaa if you sanitize Mama kamaus phone utajua ukweli!! Unasleki kwa nini? Chukua Hiyo simu am very sure hao vijana walilipwa wavunje supermarket are the same ones who killed Baba Jeff if indeed he is dead because I don't believe it till now!! Mimi naona kama hata Huyo Mama Jeff knew about the money 💰! Anajifanya tu hapo!
Especially vero akiongea something ya ukweli anaruka vibaya sana
Hakuna mtu amekufa hapa
Weeeh,truly speaking am becoming more fearing to Kikuyu ladies than their men when it comes to love of money
Justice for mama Jeff sprit ya Jeff don't rest watokee waliokuua
Baba kamau wewe ni mpole sana,huyu bibi yako she knows everything
Good job Kiongozi, expose these evil women kabisa
Mama Kanisa keeps on denying yet but all the action she knows is everything,Baba kamau after this take care the comeback can be deadly to your life
Samaritan you are a gift from God to save Kenya from these rotten elements in our society.
After this samaritan cal our DCI mama kamau n vero belong 2 langata women prison forever maneno hii yote mama kamau she is the ringleader what a shame end up 2 kill the innocent soul. Bibi ya jeff take it at heart mungu atakupigania.
@@bassboss517 true
Police wachana nao watachukua pesa kama exhibit na ipotee
@@Oderoregevery very true and the police “could” also be looking for a cut.
Mama Kamau is the mastermind of the theft of the mini supermarket and the husband's money.
Mwenye aliua baba jeff ni mwenye anajua kwenye hizo pesa ziko😢
DCI needed here mtajua hamjui macaitani
Let's have money. Police process and judicial journey in Kenya cannot recover money. Baba kamau would also be sued for money laundering.
Ekeni Vero na mama kamau ndoni different rooms for 3 good days bila kutoka inje watasema ukweli penye pesa iko Bure mutashinda mumezunguka hivo km wanye hamuna aki
Kutazaliwa watu wapedaye pesa😢😢
na munitumie kidogo sijalala kutoka hiyo siku tumetafuta hii pesa sana
😂😂
Woooii hua wanapea samaritan kitu kuweli navile nimeona kesi mingi za pesa 😢
Good work Samaritan
Tafadhali isikue iyo headlines zako tu bila actions we need to see the money
Hata me nasema hivo aki the baba kamau is soft spoken his only mistake is to love and work hard for his family
Baba kamau check all your documents mb all u hv disclosed to your wife is already changed..and divorce tht wicked woman she looks old thn you run 🏃♂️ 😉 😜
It does not match the headline
Ba Kamau,kweli wewe Ni Mucha Mungu,hongera Samaritans justice for mama Jeff now...huyu kijimama kiozee Jera
Mama Kamau your children in Europe are following you keenly the father will not struggle explaining it is black and white
After getting the money..sama forward the case to the Dci to investigate baba jeff death cause it's seems mama kamau knows much about it as vero is speaking
On behalf of our cool Ba kamau,,,we your followers say big thank you for saving his hard earned money,,,we respect you Sama❣️
Sanitize mama Jeff please
Yes chukua simu zote sanitize ukweli ujulikane
Wages of sin is death.and that is the example
Vero and mama kamau shared a man too
Mama Jeff,Vero and mama Kamau knows about money
Nilijua tu ni uongo hakuna pesa imepatikana,kama hujawatch don't waste your time 😂
Vero knws very well Kuna mchanga yet wife anasema mchanga ulimwagwa after mazishi
Kusema kweli hio nipesa ya kuwekwa ĥapoʻmnachezwa
I just wish the DCI was here,mama kamau knows everything.
She's shouting to hide the prove.
Vero knows where the money is.
Baba kamau get your money then 🏃 🏃 🏃 for your life is in danger.
Baba Kamau kama umepata pesa yako has this headline says if indeed it's true mrife and leave this woman you call your wife alone the next victim to die was you! If someone can plan to steal from her husband what else can't she do?? This is a very dangerous woman unfortunately you lived with someone you don't know all those years! Na mambo ya watoto usipuuze DNA asap!
Ata mu"forgive Ile upunguvu wa akili ikona wanaume siku hizi huyu mwanaume hakuna penye ataenda
@@catherinethou shauri yake! He looks confused hata ukimwangali ako na kaujinga fulani!
Baba Kamau he is very weak he don't have say maybe mama Kamau use juju to hold her husband mind
@@catherinethou but Akie next atauwawa
Mm sijaona mahali zimepatikana
Mama Kamau, Baba Jeff and Vetonica know all this. Mama Kamau is the master mind. She also knows how Baba Jeff left this world for world unknown. She should produce the man when you find the money.
Adi baba kamau ajitoe kwa hiyo gaidi atauliwa pia
Akae wale watoto akiliwo is up to him wanaume siku hizi wako slow Sana kiakili
Yaani hii story yote in one day... Samaritan should be given something
Vipindi vipindi.
Alakini baba kamau why are you so soft on these thieves especially your wife
Amekaliwa
Baba kamau please run 🏃🏻 for your life 🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻
DNA for the kids mama kamau is something else
Huyu baba kamau naye huu upole siupendi unakaa wa ujinga badala atoe sauti
@constancemunani8665 some of us needs such men because tumeshautiwa ya kutosha.
😅😅@@dorcasjebet1691
Sanitize mama Jeff please Samaritan
Sama sometimes huwa unauliza maswali zingine hazieleweki.
Justice for mama jeff
mama kamau asidanganye yeye ni mzuri
Hao wailing wafungwe
Mama Jeff is also lying,coz this grass can't grow that first. She as well knows everything
True
Kunawanawake mashetani sana jamani unajiibia tu mwenyewe na ukitoka hapo utaenda wapi woiiii
Samma sanitize both ladies make sure you use untidelete.... We need Justice for Jeff and her family.
Mama Kamau is very gready and inhuman.Baba Kamau should be very careful with this woman.If she could plan all these,.... what shows that she could not kill Baba Jeff?
Nipitie puriss😅
Ndio maana unasikia ladies wa Mt .wanaua bwana zao wabakiie na mali😢
Tukisema ukweli wanasena oooh ooh Sisi tuko Na Akili mingi ya kutafuta pesa ndio Akili jamani waaaah 😢
@@BellaAYIEKO Nipitie please dear
Baba Kamau labda ashapikiwa steel wire kilo moja kama hajuwi
Shinda ya sama hajui kulahiahisha kazi.... Sama sama sama nimekuita mara ngapi... Sanitize simu zao tena, period acha kufanya kazi ikie ngumu
Mama kamau,vero and Mama Jeff to be sanitized na wafinywe mpaka waseme ukweli.
Hii ni sinema, from when we'd GenZ protests mkachimbia pesa and then magugu inakaa ya February, comedy
Surely jasho y mtu ndio mnachezea aky mum kamau umelaniwa aky
Aftr kupata pesa justice for baba jeff this 2 woman knows everything
Mama kamau n gaidi,she is v dangerous woman 😢😢😢😢😢😢
Mama Mzee na tabia kama za teenager,i hope the hubby divorces her and run for his life,this woman can even eliminates him for his properties,can be trusted ‼️😢
Baba kamau una bahati wewe ndiye ungekua na pesa iende na story iishe luckyly genz's walikuwa wawekelewe ndio kuokoka maisha yako.
Sama, uwe unaandika kitu inaeleweka
Good girl VERO
Sama, sanitize for ya Vero, mama kama na mama Jeff. Then check phone ya Vero if it's true hio message ya threats it's a forwarded message or written message.
😂😂wacha n checked ,,3weeks nakukamea miti😂😂
Sama upgrade plz .sanitizer simu ya Vero haraka Sana...n itumie anti delete codes...hawa wote ni mang'aa hata huyo mama Jeff anajifanya.... Mtazumgushwa Hadi mchoke
Justice for mama Jeff why he killed him and when deal is sweet think twice 😢😢😢😢😢
Nipitie plzz my friend needs your supprt
But I dout about tat death how comes hawakujua baba Jeff amrpass maybe ilikua mipango ya mama Jeff na baba Jeff ndio wabaki na pesa then wahame hi Kenya we can do everything bcz of money
Saa hii ndo amekumbuka ni bwana yake huyu mama kama na mchawi hawajaachana
Mnagunza juu juu inaweza wekwa juu hivyo
The two ladies should rot in jail
Justice privain
Your headlines are so funny
@EasterntvSamaritan
I'm sure most people came to this video thinking that the money was found.
While deceptive titles might offer a temporary boost to viewership, they are generally counterproductive.
Viewers who feel deceived are likely to seek out content creators who are more upfront and consistent.
In the long run, building trust with your audience through honest and accurate titles is more beneficial. Viewers are more likely to return to content they can rely on.
Remember, platforms like TH-cam have algorithms that favor content with high viewer satisfaction.
Hili jimwanamke NI katili Sana.. anagombanisha mama Jeff na ndio limepanga kila kitu
.
Which is easier?kusanitize simu zao ama kuchimbua?
Sanitize all phones Sama .All their phones hata mjane sanitize.
Samaritan unasaindiya wengi may God protect you and your family,,, but sanitize simu zote tatu za hawa wanawake
Mama kamau alichezwa vimbaya sana
Hawa majambazi ya wamama wameuwa kijana mwingine kwa kumuuwa 😢😢bure mama jeffy aki Mungu akufariji
Nashangaa is this done in one day.,or they can't change clothes
mtu wa headline hajielewi
Involve Dci to get the money
Mbeca mbeca mbeca
But baba Kamau usijaribu kwenda na hio pesa Police Station AS EVIDENCE OF Baba Jeffs Murder!!!! YOU WILL LOSE IT ALL!!!!! Usifuate hio case ata!!! Achana!!! You got back your money!!!
NIMEKUWON!!
💯,but pia who killed baba Jeff🤔lazima mtu alipie makosa yake
Yes but the motive is that money so he has to give it as EVIDENCE.....and that will be the end of it!!
@@Sylvia20-cl7 but pia when investigation ends and he is not involved ,,the money goes back to him
Baba Jeff is not dead.He is faking his death.
We need justice for baba Jeff Mama kamau and Vero know all about it
Jamani hii sasa ni ujinga peleka police
Na utu update story ya Moses,Stella na Ruth.
Ni boring.we are tied
A 3 people gang. Baba Jeff alikuwa anakula wooote. Ths 2 ladies knows how any why Jeff died.
Wueh aki nyinyi
Simugonge hao wamama wawili
3yrs in the desert alafu mtu akubebe wana
People who critisis the process should learn to hold their horses 🐎 and know that God got his own way of revailing the evilness,Baba Kamau and others never try to carry cash to avoid paying transfer changes for your own safety the money i would carry is max 2000Euro when i travel the rest mpesa and my debit card full stop
Kusema ukweli na mwogopa mama kamau ni muuwaji number one na sibadilishi msimamo wangu pili baba kamau na mwenzako plz plz plz msimame na uyo mama jeff
Justice for mama Jeff starts now
Mimi cioni kaa amekufa huyu mama angekuwa share port polisi
Samaritan make sure mama jeff amepata haki..hawa nagaidi wawili waliuwa baba jeff
😅😅😅😅 kwan mnachimba na mikono hamna jembe kwan wenye kuchimba mbona wao wasichimbe
Mama kamau aone langata na vero😮😮sana sana mama kamau ni muuwaji warai 😌😌 baba kamau be careful 😮😮
Where is the money? Hizi headline za Sama ni bonoko
Mnabembeleza wezi pelekeni wao ndani period hta uyo mama mwenye Boma pia anajifanya mzuri wakati yye ndie master planner aende ndani alaa
Hizi doh zilihamishwa kitambo am suspecting jeff is somewhere just laughing with a beer in his hand if not jeffs wife knows where the money is or mama kamau or vero .....trust no one .....😢😢😢
Mama kamau aomba pesa isipatikane
Nani alilete muchanga?