Samaritan mzee ameona aibu hataki evidence the fact wanakulia sahani moja na ken. Mama joy usinyamaze enda kwa chairlady wa women's guild pia mchunganji wao mwanike sawa sawa ongea hii yote tukisonga.
Sama twedeni kwa hio church tuutafute women's GUILD leaders ajulikane ni mchawi sisi hatutaki peace we want violence 😅😅😅 Njoki kwisha. Damu ya mama Steve inakuita
Someone should rescue this man if not so Delilah will kill them pamoja na kinjana yake this mchawi is dangerous watu wa PCEA TRY AND SAVE THIS MAN NYINYI ATAWASKIZA
If she is out of that family we are happy, they should check out how mama ken died, and take her to the police now,mama came to this family to help them out 💃💃💃💃💯
Sana and mama Joy, please ensure huyu kijana does not steal from his dad. He is a wicked young man. For that witch Njoki,......lazima achunguzwe asije akawa ni yeye aliua mama Ken.
Am in love with the Nanny 😂😂 Samaritan ungemwambia aka relax awatch TH-cam 😂😂😂on the other side mama ken kimekuramba kama uliuwa mwenye boma utaozea ndani sasa.then the other kid mwenye Ako Kwa mama joy maybe ni WA ken ata
Guys, mimi namshuku huyu mzee was involved with mama ken murder with this malaya mchawi, and that's why he is playing this game because if he takes any action malaya atamuanika.Thats my opinion
🎉that woman is nad mannered, you can see how she's treating the house gal,she even forgotten she was a maid in the same house,afukuzwe aende,mzee is a cool elder
Now, the next action we need, Mama Joy, to take is go to the chair lady may be kuna uhondo mpya .But guys I think this old mzee I think atafumbwa macho na mchawi.samaritan by the way I like the way you step out when you saw rungu na panga. Can't wait to find out what's next
Nimekwama hapo kwa house help venye anazungukazunguka hapo like a mad 😡 woman 👠👠!! She is very stubborn anafukuzwa anarudi Haha 😅😅😅😅😅 congratulations 👏 Samaa!! msherati arudi kwao!!
Ken's dad is such a respectable calm self controled man. Im surprised he is able to act with such dignity in such a painful humiliating situation
He is one of the wise n respectable wazee we hv in this rotten generation
😢😢😢 I'm crying with dad let's check the phone again we see how she killed mama ya ken😢😢😢😢😢
Mzee hata labda analishwa steel wool polepole ,fear this woman.😅
After him Ken, and the lady becomes Mama benz
Walai
Na ndio alipewa mama ken akufe
Haki, he should go for MRI 😂
I said it,huyu mama ako na bad deal na huyu mzee,hata anaweza muua,umesikia mipango yao na huyu malaya ya mwanamke
Napenda vile mboch anajifanya nugu 😂😂😂
Apo
Walah tena😂😂😂😂😂😂
Nugu😅😅😅😅😅😅I
Kako n muchene inakakula
Nikama Kuna kitu kanajua ama kamefurahi juu huyu employer Ako exposed
😂😂😂😂 Sama you don't need a Gym. This running running is enough for you😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂 Aki lakini he has helped so many families baba kifo kinakaribia
😂😂😂😂
Hahaha huyu faith house manager is doing us good,she is playing her role well to irritate this evil woman
😂😂😂😂
😅😅😅😅😅
Remember, the evil woman ("Mama Ken") started as Faith as well.... she was mboci like her 😂😂😂😂
Kuna kitu faith anajua
😂😂😂😂😂😂😂
Samaritan mzee ameona aibu hataki evidence the fact wanakulia sahani moja na ken. Mama joy usinyamaze enda kwa chairlady wa women's guild pia mchunganji wao mwanike sawa sawa ongea hii yote tukisonga.
Sama twedeni kwa hio church tuutafute women's GUILD leaders ajulikane ni mchawi sisi hatutaki peace we want violence 😅😅😅 Njoki kwisha. Damu ya mama Steve inakuita
@@alicenjiru4002madam stepmom is now the new, very fresh Womans Guild Chairlady😂😂😂😂
Twende naloo
Mzee ni aibu but he knows ni mugiro gikuyuini huyu mama waguild hawezi tomboa atatupwa na mzae
volume
Fai ako busy akitengeneza curtain achukue 411
@@josephinejoshua4863 am telling you 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅house managers wenzake wanasubiri hapo nje awahutubie😅
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 lazima na ni lazima
Hehehe hiyo iwezi kupita
😂😂😂😂😂
Much love to house girl,you have acted veeeeery well😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😅😅😅😅😅 ame zunguka hapo kama mofara aki chukua 411
@@Oderorege hapo sasaaaaa
@@NancyMagasi-yj1rs 🤣🤣🤣🤣
Hallelujah, Sama, well done 👏 👏👏👏👏👏. A child planning to steal from his father. Well done Sama
Very serious.
I sense the mzee is also pretending. He could be upto covering up some other fishy things. He has been behaving abnormally since the start.
Poor man ! he is blinded with love . This wife of his confessed that it took her a lot to win the mzee and marry him so mzee sio kupenda kwake. .
true
I think mzee is in a state of denial
Ni kama Faith the Maid anajua kitu kuhusu mahusiano ya Ken na Njoki😂😂😂
Njoki is afraid that Faith might take over mzee.😂😂😂😂
@@wacerahchege8 Ooh yeah 🤣🤣
very true
Kweli ajua.
Maids wanajua mambo mingi sana
😂😂😂😂
The kid who stays in kens hkuse could be his not his sisters kid 😂😂😂😂😂, Afrocinema continues shortly😂😂😂😂😂
come to think of it.
It's his kid,(from a different baby mama)
@faithimannkings5997 and by the way faith😅😅😅hizi ndo akili tunataka Kenya😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
M thought too
Huyu maid naye kusungukasunguka Ni aje nayeye 😅😅
Team strong kujeni huku faith anataka kusikia mushene vile sisi tunapenda mushene ya waitutu na waiguru 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Nlidhani nimeona pekeangu
Nilidhani nmeona pekee yangu 😂😂
Mboch ameenda kwa shop haraka sana mambo isimpite😂😂😂
Kabisa 😂
Baas kitu kama hyo😂😂😂😂😂I like her so much
Think she asked for delivery 😂
Walahi😂😂😂hio speed inakaa butchery iko hapo njee 😂😂😂kwa mlango
Alafu alafu anajifanya kufunga curtain na iko sawa😂😂😂
Mama joy don't be mumu to fouce yourself to Ken run for your life leave this family alone
The good thing is...Mzee amejua ukweli....liwe liwalo 🤣🤣🤣
Njoki ni mchawi mama joy run for your life juu bado ken atakula huyu mchawi stepmother
I agree with mama joy 💯💯💯 njoki ni mchawi alikalia Mzee chapati kitambo hawezi njuwa anything women guild mgani anafalia kama maraya 😢😢😢
Mchawi Na ana jaribu kujifunga hapo kaleso akipanuapanua miguu
@@Maryfall-n4k huyu ni mchawi aki ya mungu
Alienda Kwa mganga
@@rosemuthoni8109 yap huyu ni mchawi kabisa 😭😭
Huyu ndo aliua mama ken
Ken has.been disowned by his own father hio ni laana ouright
Someone should rescue this man if not so Delilah will kill them pamoja na kinjana yake this mchawi is dangerous watu wa PCEA TRY AND SAVE THIS MAN NYINYI ATAWASKIZA
@HARRY-zk9jn😂😂 ni jirani
Aki huyu maraya dio aliua bibi ya mzee dio achukue mali
Na hatawai pata amani 😭💔😭💔
Sama is dangerous wah!,
Mzee thought ni uongo lakini Butwaa alikua njiani 😂😂😂😂😂😊
Butwaa ako njiani 😅😅😅😅😅
Aki Faith is a character 😂😂😂 she is so bound to irritate the so called Njoki😂😂😂 kupita pita
😂😂😂😂😂
If she is out of that family we are happy, they should check out how mama ken died, and take her to the police now,mama came to this family to help them out 💃💃💃💃💯
She is not out haha sama was chased away ..if at all the thumbnail is something to go by😅😅😅
SAMAA USIWAWACHIYE USHINDI, KAWATAFUTIYE PRIVATE INVESTIGATOR, NDIYO IWE FUNZO!!!!
Mum ken alikufa juu ya nini
N yy alimua
Samaaa chunguza the death of mama ken😅😅😅😅😅😂😂tuendelee ku enjoy
Huyu mzee amepewa kamuti haoni
I think mzee ako na plan na fayeee 😅😅😅he look so peaceful and reluctant
He shud take fey. Shes humble
Yaani njoki treating the house help like thrash nikama hakukua maidb
I wonder 😮
😢mzaee tayri amerogwa anahesabiwa siku Documents tayri zishabadilishwaa majina heee
This Njoki hates the househelp so much.gosh...
she has forgotten that she was a house girl in that house too
She thinks she's a competitor coz alipendwa pia akiwa mboch
I think the botch knows something she's curious.
I think the mboch knows what has been happening.
Njoki aliroga Ken asilale na bibi yake
Kweli
Betrayal comes from those who are close to u
The bible says so ,the people of your own house
Wakati sama alichukuliwa chai kwa mkono 😂😂i new this mzee can do anything to team samaritan bt God above all
sama:sasa mzee anatunyang'anya hadi chai kweli nilicheka mungu anisamehe😂😂😂
@@dorophinenelima1319 uchumi mbaya🤣🤣🤣🤣🙏
😂😂😂😂😂
😆😆😆
Huyu mzee Ni ngati
Mama joy is an angel, she has just saved mzee
Septic tank loading for mzae😢
😂😂 another Cohen case loading….
UME-ONA-EEEEEE+RUNGU😂
SAMAA AMETIMULIWA AMA????
😂😂😂
Hy mama ni mchawi unasikia vile anasema hakuna MTU ataishi Kwa Amani wacha vitisho ww malaya
Sana and mama Joy, please ensure huyu kijana does not steal from his dad. He is a wicked young man. For that witch Njoki,......lazima achunguzwe asije akawa ni yeye aliua mama Ken.
Huyu mchawi ako bitter coz mission yake imeisha sasa😂😂
Kweli kweli huyu maid ya mzee anasahau alikua maid anakemea maid tena
😂😂🗡️🤠🏃🏃I said it, wakati chai hiliondolewa, nilijua kimeumana...
Huyu njoki ni mchawi ashindzwe
Its the house help for me🤣🤣🤣🤣
This woman you can't believe alikua maid the way she is treating that her maid.....
Karma reloaded
Mzee is worried atapata wapi bibi and he is growing old he doesn't want to believe what he is hearing
Kabisa.
There are many faithful women outthere.
Mzee atafute Rika yake Hawa watoto wanafaa kuoana ken na njoki are the same age not for mzee
@@Pena-k1haende Kwa njeri atamtafutie bibi
@stephensonkimeu7504 these young ones are for the community.
Mm niko hapo kuona house girl tukiwa arrange nyumba 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
May the Almighty God remember all the house girls... this particular one is going through a lot...
Huyu njoki ako na mtoto na mzae
This house girl is one of a kind😅anapita mara 50 mpaka apate all information 😅😅😅
Habari sitasambazwa vizuri kwa jirani
Mother ulimwita Ken beb😂
Ala!!!!!!!
Anafukuza Sama and the way he has helped him. Mali ingeenda yote.
Mzee iletaratibu ameenda kuchukuwa panga wacha tu mwendo aste aste😂😂😂
😂😂😂😂😂
😅😅😅😅 faith alikuwa ameiweka stand-by
Good work Samaritan thenkz for saving the father
Maid ikipata mwenye boma inajisikia.....😢
Am in love with the Nanny 😂😂 Samaritan ungemwambia aka relax awatch TH-cam 😂😂😂on the other side mama ken kimekuramba kama uliuwa mwenye boma utaozea ndani sasa.then the other kid mwenye Ako Kwa mama joy maybe ni WA ken ata
Mzee utalilia kwa choo
Sama,, Huyu Baba mwabie aende hosi isikue anakulishwa steel wool 😢😢😢😢😢
Samaritan suoneshe mzee video,l wish hii video ingekua ya stano aki
Imagine Ken conniving with his step mother to steal from his dad
Cursed
@@blackylampard640 very stupid boy....whereares he will finally inherit from him
Mungu hakumbali hio kufanyika the bible tells us the true
Well done Samaritan. You have done a great job
Well done Samaritan 👌🏾👌🏾👌🏾
Sama shida yako n Moja ambia mzae ukwali.... Ata documents angalie penye aliweka ww umenyamaza
Samaa anajua kila kitu na ananyamaza...anapenda drama and his just there for content
The househelp is so stubborn,😅
😂😂😂
Kama mbaya mbaya 😅😅😅😅lazima apate udaku vizuri no respect kw njoki once again
Mission accomplished....good job sama❤
Ngekua joki ngempee holiday 😂😂😂na nimlipe
But pia mama joy contributed for ken coz for 2yrs ken did not have his conjugal rights yet they are married
But angetafuta a different woman out there not his mum
not really, they started this thing ata before ajue mama joy.
Lakini mbona akaendea mama yake ama njoki amemkologea🤔
Hio kakichwa ya fay ni umbea tupu😅😅😅
Kutoka leo ww Njoki ni Mrs. Njoki Ken. Utajua hujui.
Congratulations sama👏👏👏👏👏👏 pewa kitu Kwa Bill yangu❤
Guys, mimi namshuku huyu mzee was involved with mama ken murder with this malaya mchawi, and that's why he is playing this game because if he takes any action malaya atamuanika.Thats my opinion
100%
Huyu mama ndiye huyu mzee alichagua??? 😅😅😅😅Kisirani 😅
Mama joy usioleke na ken run 🏃♀️ for your life you never know what's they're planning next
😂😂 uyu mama n rude anaongelesha maid kama mtoto wake,mm naeza mzaba vbaya
The house girl is on a mission to either write a book about dysfunctional families or be the third mistress.
Mzae jiandalie mahala pa mazishi 😂.
I am not surprised about it if he had the guts to take Sama chai unfinished hata he took time to chase them 😢😢
Mtu wa tv leo umenifurahisha..
🎉that woman is nad mannered, you can see how she's treating the house gal,she even forgotten she was a maid in the same house,afukuzwe aende,mzee is a cool elder
Thenk you Faith fuluta wire kabisa
Mungu fungua baba ken macho
Now, the next action we need, Mama Joy, to take is go to the chair lady may be kuna uhondo mpya .But guys I think this old mzee I think atafumbwa macho na mchawi.samaritan by the way I like the way you step out when you saw rungu na panga. Can't wait to find out what's next
Fei anapita a million times apate udaku😂😂😂
Fai,fai..good house help..umbea kimbao
Si uyo dem mfanyi kazi anakapitia aki ata balncd anaitishwa ka ubwa 😮😮😮
Mzee kumbe hauna bibi jipange
No need for those dramas ajitoe ,still young for this ,she can’t force herself in that family they already hate her ...
She is righ to cause drama! If samaritan didnt stop them to sanitize this mzee and faith would eventually be dead.
Na mpira umekwisha 😂😂😂😂😂 Njoki wasemaje sasa,Ken waambaje?
Aki faith 😂representing shaghala well well 👏
Sama, let mzee conduct his business and sensitize Njoli.
Mzee pressure imepanda Sasa 😅😅😅😅
That moment Baba Ken comes with a rungu😮
Samaritan umefanya vizuri ku sanitize this lady,Mama joy God is fighting for you.huenda update njoki ndiye aliua mama ken
Faith is looking for her 5 Minutes of fame😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mam wakabo ashen kabisa kuhalibu watoto wenye mmepata vibo ya mungu nkali kunyua hiyo kikombe ni ww kujitakiya mm
I suggest Faith take over, Mzee needs peace, and he deserves it🥺🥺🥺🥺
baba na mtoto wanalamba sahani Moja wuuueeh Dunia kwisha😮😮
Samaritan wacha kutuweka bana leta chai tukunywe yako ulipeana mimi ningekatalia😂😂😂😂😂😂
Mze ananimaliza mbavu alivo wafukuza😂😂😂
Faith hataki kupitwa na chai
Nimekwama hapo kwa house help venye anazungukazunguka hapo like a mad 😡 woman 👠👠!! She is very stubborn anafukuzwa anarudi Haha 😅😅😅😅😅 congratulations 👏 Samaa!! msherati arudi kwao!!
Huyu ni mama WA'" women grab" not Women guild. Mzee please confirm with church.