Kazi nzuri we mkali.sauti tamu,video bomba sana .salute okello wa show.mwenyezi mungu kakujaalia kipaji cha pekee .muonekano wa mwanamziki ujabahatisha .sauti 'muonekano sambamba vitu pekee vinavyoweza kuwakilisha vigezo vya kuwa mwanamuziki mahiri.bigup pia kwa walofanya kazi na ww salute kwao.
Tangu niusikie huu wimbo haujawahi kunichosha ngoma za masikio yangu my favorite song more years
2023 🎉🎉🎉🎉
Daa bro we noma
Mzuuuuur mwaka 2020 nw am listening
2020
2024
Ukowapi sasaivi bloo
Dah
Kweli. Aichuji 2022
ujumbe mzuri kaka alafu sauti mashalllah Mungu kakujaalia.......
nyimbo yangu mzur kwa muda wote haichoshi yaan
For real I like dat song I like the way he say zawadi gan kama moyo Wang umeshashika
this song will be ma favourite song forevermore....big up okelo.
wimbo mtam siuchokagi kuusikiliza naupenda sana yaan unawezaaaaaaa
Mbka now bado unauskiliza ?
Kazi nzuri we mkali.sauti tamu,video bomba sana .salute okello wa show.mwenyezi mungu kakujaalia kipaji cha pekee .muonekano wa mwanamziki ujabahatisha .sauti 'muonekano sambamba vitu pekee vinavyoweza kuwakilisha vigezo vya kuwa mwanamuziki mahiri.bigup pia kwa walofanya kazi na ww salute kwao.
Tangu 2014
Hongera! Umechungulia vizuri kwa gem okello.
Nice naipenda Sana hii nyimbo
Uko juu okelo wa show iyo ngoma iko pouwa.
Kazi nzuri sana big up wote for wonderful production.
kaz nzr umejitahid xana endelea hivyohivyo!!!
tutapa wapi mziki kama huu
kuna watu wanaimba bwana safi sana
Daaaaah...Asante kwa mwanacomment flani nimeitafuta mpka nimeipata..sauti imenichanganya na bit
nyimbo tam sana sauti imetuli ujumbe ndiyo usiseme
Ingia studio bro. Tunahitaji tena mziki mtamu
okelo wa show ime2lia ile xanaa
craizer lovin dis song big up bro may God bless u moreeeeeee
Niaje broo as ante sana
bonge moja la wimbo!
Kaza buti okelo unajua bro
Nice song rafiki
Naipenda sana hii nyimbo
wimbo mzuri okelo
nice bro kaza buti
Nice song tatizo promo
Beautiful piece.
Okelo washoo
Huyu jamaa Yuko wap? 2020 now
Bonge la wimbo tatizo promo
Who is here 2018
Where is okelo wa show
2019
When I try to download this song doesn't possible why????????????
SichokI kusikiliza
nice song
Good Soong
👌
Kijana yuko poa xana
shida
okelo wa show ime2lia ile xanaa