TUNDU LISU KAMA KESI YA MADELEKA NA GEKUL IMEFUTWA "AHOFIA KUFUNGUA KESI YA KUPIGWA RISASI"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.พ. 2024
- Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
TH-cam : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...
Mwacheie
Mungu kaka lissu, peleka kwa
Mungu ni shahidi wa haki,na mwaminifu
Wakati Lissu yupo hospitali polisi walisema amekimbia nchi na hataki kutoa ushirikiano kwa jeshi ili lichunguzwe. Leo anatoa ushirikiano, wengine hawataki
Mwandishi maneno mengi sana anapotea uelekeo wa mahojiano
Ndio lengo lake ili kupoteza hiyo hoja
Leo Nyanda amemhoji Lissu kipumbavu, amesabababisha tumekosa mambo ya maana kwa sababu ya upumbavu wa Nyanda.
Mwandishi unavuruga interview hujajipanga
Huyu ndio Lisu
Yan huyo makonda mwesabu kama adui mkubwa sana sana ktk maisha yako,mh lissu.
Huyu mwaandishi aka jifunze tena cz haachi mtu kujieleza kwa uhuru
Mwandishi wa habari ni chawa ila ameshindwa kupambana na lissu huyo ametumwa akili hana.
Tundu Lisu anastahili kuhojiwa na Generali Ulimwengu ndipo tutaweza kupata uhondo wa mahojiano
Mwandishi kilaza sana wewe
Watu walihusika na kama hawakuhusika mbona hawamshitaki kwa kuwataja?
Waandishi wetu wengi hawajui kuhoji
WANATAALUMA NDOGO
Mwacheni Lissu aweke wazi mchezo mzima ulivyokuwa msiogope ama acheni kumhoji.
Huyu mwandishi kwa mm siwezi kumruhusu anihoji maana hana taaluma ya kuhoji Anataka aweke maneno yake kuwa majibu na hataka apate maelezo
Mwaandishi wa habari jifunze kuwa msikilizaji zaidi unapokuwa unamhoji mtu kuliko kuwa mzungumzaji mwenyewe , chukua hiyo positively kabisaaa itakusaidiaa
MWANDISHI NENDA SHULE ACHA UJINGA SUKARI IMESHUKA BEI WAPI NA HUKU HAIPATIKANI KABISA? WEWE UNAKULA UMESHIBA HUJUI NJAA.
Lp
huyu mtangazaji ni mpuuzi
Mwandishi duu huna weled
Muandishi hakuna kitu
Mwamdishi anaogopa kupigwa risasi nae anapindisha pindisha😂
Mwandishi kanjanja interview ya hovyo kabisa anajiona mjuaji katumwa huyu.
Mwandishi wa Habari hajajipanga. Nadhani hakupaswa kumu interview Mh. Lisu sababu ya uwezo wake.
Mwandishi uchwara huyu
We mwandishi unamatatizo gani si usikilize majibu sio kumkatisha mwenzio kama hutaki aeleze usinge muhoji
Mwandishi unazingua wewe, ukishampa mtu nafas ya kuongea muache amalize siyo unamkatisha, otherwise ungeenda kuongea nae kwako
WEWE Mwandishi muache atoe dukudukumwehu Wewe hujui unatu
Mwa,uwezi kuhimili vishindo
Mwandishi hamna kitu kwa leo
Mwandishi anaehoji hataki anaemuhoji ajiekeze ni hatari
Sasa unaeleweshwa alafu unakuwa si muelewa nyie waandishi wa namna hii Huwa mnakuwa kama wapuuzi tu Kwa uoga maandazi tulia mpe mtu nafasi aeleze vzuri na wewe ujue Nini kinaendelea
Huyu mwandishi anaakili kweli?mbona anahoji vitu ambavyo majibu anayo?
Labda ni maswali elekezi, kaambiwa ayaulize hayo.
Mimi naona anauliza maswali lakini hawezi kuhimili majibu; anafikiri ni maswali yasiyojibika; lakini anajibiwa kwa ukamilifu mpaka anachanganyikiwa
Hana kabisa.
Mwandishi si utilie mtu ajieleze kama utaki usimuite
Wengine wesha kufa ila bado wengine wpo hai, tumuachie Mungu muda si mrefu sote tutakufa
Mtu anaongea ukweli kwa hoja unamuita muongo kweli dunia imekwishwa
Mwandishi anauliza swali au anatoa hotuba?
Kumsikiliza ni kama uko lecture room flani hivi.... Unajifunza historia, Sheria, uchumi n.k
Mbona Kama mnabishana Kwan ugomvi
Mwandishi mpumbaff
Nyanda wewe sio mwandishi wa habari, ila ni mbishi maana unauliza swali majibu unayo
Muandishi kilaza
Huyu mtu ni muongo mnakumbuka makonda alikuwa kwa magufuri wakifanya mkutano wa makinikia sasa nijini
😮
Hkuepo angalia clip yatukio cku hiyo
We umechanganyikiwa eti
Anazunguka zunguka tu,
Hueleweki
Nyanda hakuwa hivi,masikini amepoteza heshima yake ya uandishi kwa sababu ya uoga
Mtangazaji unaongea sana. Uliza swali subiria jibu. Sasa wewe unauliza maswali then hutaki majibu tafsiri yake ni nini? Usiulize maswali ambayo hutaki majibu yake.
Wewe ni lissu ni mtu muongo sana. Hajatokea mtu muongo kama wewe hapa nchini.
Alikutongoza akakuacha nini, au alikudanganya nini
alikuahid akufire akachelewa kuja
Ungetwangwa wewe ungependa watu kukuita muongo? We omba ya Lisu yasikukute ukikutana na wasiojulikana kwenye 18 zao!
Hongea mkweli wewe sasa
Stanley hauko sawa.