POLISI WAWAGEUKA WADUDU WA MAKONDA POLISI WAWAKAMATA NA KUTESWA VIBAYA MSANII FIDO VATO AWASAIDIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 94

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hahaha wadudu wapigwa, polisi mmekosea mngewapulizia rungu

  • @eliudramale5075
    @eliudramale5075 3 หลายเดือนก่อน +5

    Aixeee chugaaa polen sana wajombaaa

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wadudu wameongea kwa uchungu mpaka nimejikuta natokwa 😭, poleni sana,na pia nimpogeze kaka yenu fido kwa kuwapambania

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mh, wadudu ni watoto hata hayo maneno hayana maadili Cha msingi watafutiwe shule m sielewagi

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wadodowadogo wadudu sisimixi au mende hawa. Bangi bangi pombepombe kwa sana. Mtihani sana

  • @frankwarembosaloon5316
    @frankwarembosaloon5316 3 หลายเดือนก่อน +6

    Fundisheni watoto siokuteyea ualifu

  • @evaemil856
    @evaemil856 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mmh jamani vijana wapelekwe shule.

  • @BIGCHENDREADLOCKS
    @BIGCHENDREADLOCKS 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole nam imekuuma na itaendelea kukuuma lkn mungu ipo siku atalpa .nahakaman bila failli kweli ni Tanzania

  • @stanleymanya438
    @stanleymanya438 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wadudu wamepuliziwa rungusprey😢😢poleni wajuba

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 3 หลายเดือนก่อน +6

    Polisi wakamateni wale waliotajwa kwenye ripoti ya CAG acheni kuhangaika na watoto wa masikini.

  • @AkyooScolar
    @AkyooScolar 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hawo na wadudu aina nnge,hivyo sioni makosa ya police mimi

  • @AYUBU959
    @AYUBU959 2 หลายเดือนก่อน

    Polis hongereni kwa kazi nzuri

  • @irineemanuel9749
    @irineemanuel9749 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka Fido kuwasaidia hao vijana

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo hawana tafaudi na mapanyarodi mee nikutane nao nitakibia😂

  • @publicityzone9583
    @publicityzone9583 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor Gora kaingia mkenge 😂😂

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wanaendekezwa ila tutakuja juta sana

  • @sawackmlinga
    @sawackmlinga 2 หลายเดือนก่อน

    La jisajilini mtambulike kisheria pia mie na katiba nuongozi imara ili ikitokea kurupukurupu msinyanyasike cz some time jamii itawachukulia ninyi niwaharifu ama mnahatibu jamii ya wadogo zenu wadogo ...

  • @paschallekaleka6416
    @paschallekaleka6416 2 หลายเดือนก่อน

    Wanazingua sana haoooo

  • @jehudavid6370
    @jehudavid6370 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wapelekwe JKT

  • @AishaAlly-ob7vd
    @AishaAlly-ob7vd 2 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi hii ni shida sanaa

  • @RutaEmmaMachumu
    @RutaEmmaMachumu 2 หลายเดือนก่อน

    Wadudu kitu gani bhana vibaka hao, wanakosa kufanya vitu vya msingi kz kujiita wadudu.... Genge la wahalifu hilo hamna lolote na huyo anaewatetea anakula nao, sisi wenye tunaishi hivohivo kiugumu, wabadirike......! Kwanza wanaonekana wamepinda.

  • @bongo39
    @bongo39 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bangi mbaya hamna hata mmoja kati ya hao aliyekuwa na akili timamu bangi zishawaharibu

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz 2 หลายเดือนก่อน

    Wp kenyonyo

  • @verynicemonyo8671
    @verynicemonyo8671 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni wanangu

  • @sawackmlinga
    @sawackmlinga 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio Gn Z...sijui huko mbeleni itakuaje kwa kizazi kijacho

  • @JosephHaule-yg1cf
    @JosephHaule-yg1cf 2 หลายเดือนก่อน

    Duu hawawatu noma

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 2 หลายเดือนก่อน

    Usaniii usio na maadili uzuiliweee sasa maneno ya kihuniii wanakuja ganjaaa

  • @HappyKitindi
    @HappyKitindi 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani ninyi mnatakiwa mpewe jina la kunguni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @philiposilasi2135
    @philiposilasi2135 3 หลายเดือนก่อน +1

    Police wanaakili mbovu sana ndio maana tunasema waliofeli shule

  • @willelia2554
    @willelia2554 2 หลายเดือนก่อน

    Hawana sapoti zaidi ya kunyanyasa

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @deodat-zf8zw
    @deodat-zf8zw 3 หลายเดือนก่อน

    Peras limetembea kwel sabab hakun sabab ya kukamtwa ukikotw umejipumzikia Zak na mamb yak kamat twend bil Sabab ya msing kosa ukiuliz unachezea kitaa kilinuk ila tunatak hak

  • @AlbertGakiza-b3b
    @AlbertGakiza-b3b 2 หลายเดือนก่อน

    Wapew majembe wakalime waachan nahuyo ujinga wao

  • @evaemil856
    @evaemil856 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona hawavalishwi vizuri?

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 หลายเดือนก่อน

    N
    Uongozi mbaya umeharibu jamii ya kitanzania

  • @tunudimandogreek9683
    @tunudimandogreek9683 3 หลายเดือนก่อน

    😊mapolisi wa Tanzania ndio walivyo ukitaka kujitetea ,wanakwambia unatufundisha kazi hii ni tabia mbaya sana si ubinadam kabisa

    • @ImmanuelElixha
      @ImmanuelElixha 2 หลายเดือนก่อน

      😂ucha ushamba wew usihukumu usichokijua

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 หลายเดือนก่อน

    Eti serikali chini ya Makonda yawashibokea wadudu.... Wala ngada....
    Haya serikali Haina rafiki, itawatumia kama toilet paper na mwisho kuwatupa!!

  • @SostenesMabala-tt8pt
    @SostenesMabala-tt8pt 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilijua hilo

  • @simondogtrainer7498
    @simondogtrainer7498 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo jina😂😂

  • @SostenesMabala-tt8pt
    @SostenesMabala-tt8pt 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndo ccm mkome

  • @ImmanuelElixha
    @ImmanuelElixha 2 หลายเดือนก่อน

    Usiseme tu vitu usivyo vijua hebu msiwalaumu wadudu

  • @Saidesaideinacio
    @Saidesaideinacio 2 หลายเดือนก่อน

    Wameonewa tu Kuna watu wanaitwa chawa,tenbo Simba wote hawa ni majina siyo ya kibinadamu au Kwa sababu ni maskini? Ewe Makonda hawo ni wamasai wapo hivyo watakusha sivii

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂 wadudu.

  • @IsayaKavina
    @IsayaKavina 2 หลายเดือนก่อน

    kumbe mmelala huku mmesimamaaa

  • @lucasmunyo8000
    @lucasmunyo8000 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimuombe mweshimiwa makonda hawanyime hao police mshahara miezi 6 wakome maana wanaonekana hawajui kazi ni wapimbavu tu

    • @sanjwiabel6489
      @sanjwiabel6489 3 หลายเดือนก่อน

      Wapi Kenyonyo

    • @annaezra2344
      @annaezra2344 2 หลายเดือนก่อน

      Sio awanyime kazi acha apige kazi , watu wazima wanaitwaje wadudu, kwanza Mimi siwaelewagi ongea Yao ni kama mapepo sijui Hawa wazazi wamewaleaje ?

  • @willelia2554
    @willelia2554 2 หลายเดือนก่อน

    Mnataka tukabe tuibe tuuwe au mnataka Nini nyie

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 3 หลายเดือนก่อน

    Askari wengi Mimi siwaamini

  • @MonicaBeni
    @MonicaBeni 3 หลายเดือนก่อน

    We ni mavumbi na mavumbini wamekurudisha hahaha et natokwa vumbi hahaha

  • @AyishK-f7u
    @AyishK-f7u 2 หลายเดือนก่อน

    NYINYI WAZI WAKUBWA MNAJULIKANA NDOMAANA MMEKAMATWA WAONE SURAZAO NGUMU

  • @PoshSolomon
    @PoshSolomon 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna Baazi Ya Polisi Hawafuati Sheria Ya Kazi Inayompasa Kuitekeleza Wanaamua Kufanya Unyanyasaji, Kwa Watu Wachini Hivi Hao Polisi Waliofanya Hivyo Hawana Viongozi? Au Ndio Wametumwa Hivyo Ingekua Wao Wamejiajili Na Kufanyiwa Hivyo Wangejisikiaje?,

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน

    Ongea yenywe tu ni bangi tupu pombe

  • @AkyooScolar
    @AkyooScolar 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hawo n iwadudu aina ya nnge,hivyo sioni makosa ya police mimi na viboko vya kutosha mngepata hawa ndo tatu mzuka huku mjin na vile wizi umeongezeka

  • @abednego3876
    @abednego3876 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wavuta bangi wakubwa hao, hakuna kitu ilitakiwa wale na viboko 50 kila mmoja kumbavu sana

  • @alphoncesanare7011
    @alphoncesanare7011 3 หลายเดือนก่อน

    G A z

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mdudu binadamu

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @AyishK-f7u
    @AyishK-f7u 2 หลายเดือนก่อน

    TUMEWACHOKA MAJAMBAZI WAKUBWA NYINYI NABADO MGEKUFA BORA

  • @FireBoy-i1i
    @FireBoy-i1i 3 หลายเดือนก่อน +1

    𝐀𝐜𝐡𝐞𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐧𝐲𝐚𝐧𝐲𝐚𝐬𝐨 𝐧𝐲𝐢𝐞 𝐚𝐬𝐤𝐚𝐫𝐢𝐢𝐢

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ila sasa hivi hatujui wadudu wakali ama wapole watu wanakatwa mapanga hovyo ninyi wadudu

  • @AkyooScolar
    @AkyooScolar 3 หลายเดือนก่อน

    Hawo na wadudu aina nnge,hivyo sioni makosa ya police mimi

  • @MonicaBeni
    @MonicaBeni 3 หลายเดือนก่อน

    We ni mavumbi na mavumbini wamekurudisha hahaha et natokwa vumbi hahaha

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wadudu hawajamsoma makonda mkome mtaisoma namba

  • @lucasmunyo8000
    @lucasmunyo8000 3 หลายเดือนก่อน +2

    Inawezekana hata hao police wamewaibia pesa zao

  • @bongo39
    @bongo39 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama mwenyewe anayewatetea bangi tupu

  • @kivatirokitojo657
    @kivatirokitojo657 3 หลายเดือนก่อน +6

    Arusha acheni kuendekeza ujinga wadudu ndio Nini?? Yani watu wazima munijiita wadudu Kama nyie mujiita majina hayo watoto wenu watakua nani 😂 acheni uzembe kabisa

    • @Victor-ht1zy
      @Victor-ht1zy 2 หลายเดือนก่อน

      Wape jina bx ambalo unaona linawafaaa acha kutetey ujinga

  • @dullayomwinyi3359
    @dullayomwinyi3359 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hao mapolisi Wana roho ya kwanini wapuuzi kweli waende dafuu sio kuwaoshea raiya

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa nini mnaitwa wadudu? Ninyi ni binadamu

    • @gine9011
      @gine9011 2 หลายเดือนก่อน

      Wadudu ni kikundi tu Cha wasanii waliojipa jina hio wala sio wahuni
      Na sio watu wote wa Arusha wanaitwa wadudu.. Ni shinikizo tu la kiuchawa, kutoka kwa kiongozi Flani ambae hajapewa maana halisi na wazawa kuhusu wadudu, na akawaweka wadudu katika kundi la watu wanaotumia Cha Arusha ambao hufanya matendo ya uvunjifu wa Amani, Note wadudu ni kundi la wasanii waigizaji Kama kina misso na wazee wa makoti

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 3 หลายเดือนก่อน +1

    nyie niwajinga mnategwa namakonda mnasomwa akili mmeingia mtegoni nie washenzi kwel niljuwa wachuga niwajanja kumbe mafaratu sa bangi zanini mnavuta hanaisiya nyie zakumsoma mtu mmeshindwa kumsoma makonda boya vile washenzi nyie mngenyweshwa hata mavi mavinyie

    • @tinaminja5500
      @tinaminja5500 3 หลายเดือนก่อน +2

      Acha wivu weee chugs wako smart sasa ulitaka wapiganena police au

    • @Ana-di6qg
      @Ana-di6qg 3 หลายเดือนก่อน

      kwanza rudi shule maana unaandika kama bata kakanyaga tope alaf akapita kwenye tiles (marumaru)

  • @SalimmussaMsumali
    @SalimmussaMsumali 2 หลายเดือนก่อน

    Wadudu nijina lao walilo chagua kwenye usanii wao hata muheshimiwa makonda anauwelewa wa kujua mtu kabla hajamaliza mazungumzonae huyu mzul huyu mbaya hata polisi wakati mwingine ndoo chanzo kibaya kwa hao vijana juwa kwamba mwananchi anamjua mtu mbaya hata kabla polisi hajafika eneo husika

  • @JaneDaimon
    @JaneDaimon 2 หลายเดือนก่อน

    Wabadilishe jina wadudu ndio Nini sasa mala chuga eee mauwa yenu wadudu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 2 หลายเดือนก่อน

    Wazazi mmeshindwa kuwalea watoto wenu kwa maadili yanayofaa, leo mnaendelea kuwatetea kesho watawatoboa macho.

  • @JoycemsangiJoyce-go9su
    @JoycemsangiJoyce-go9su 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂hawaaapaa 😂😂 kurukushaani kadiniiiiii😂😂 mbatambata

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa Nini maskari wa afrika wakikzmata wezako lazima wawapige kama wanyama ?!??hawana hishma wala kujali wananchi wezao japo kuna uhalifu lazima watese wapige maraia mbona wazungu hawana Hao mambo ?!?hawapigi mtu wanampa hishma yake Ila Sisi wafrika ndo tuna Hao mateso mwafrka ana uadui gani au ubaa gani nawezao ????

  • @PoshSolomon
    @PoshSolomon 2 หลายเดือนก่อน

    Na Huyo Askali Kata Hafai Ni Mchonganishi Nae Aonekane Anafanya Kazi,

  • @DansonMtambi-fq2ff
    @DansonMtambi-fq2ff 2 หลายเดือนก่อน

    Afya ya akili ni tatizo kubwa kwa vijana wa Arusha ila serikali bado haija tambua

  • @GilbertMollel-j6n
    @GilbertMollel-j6n 2 หลายเดือนก่อน

    Mm ni mchuga kuweni makini wana Arusha hata huyo makonda msimuamini hiyo ni ishu ya chama tawala

  • @GilbertMollel-j6n
    @GilbertMollel-j6n 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndio ccm imeanza kuteka na kupiga watu

  • @AYUBU959
    @AYUBU959 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanajikuta ndo wajanja

  • @SostenesMabala-tt8pt
    @SostenesMabala-tt8pt 2 หลายเดือนก่อน

    Mlipenda kusifia

  • @musaguga
    @musaguga 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo serikali inakosea kwa hao wadudu

  • @AbdikhaniDiriye
    @AbdikhaniDiriye 3 หลายเดือนก่อน

    Wachumba wote hamna wadudu hapo

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂🙌🙌duh

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ndo Tanzania

  • @AyishK-f7u
    @AyishK-f7u 2 หลายเดือนก่อน +1

    HAWANIWAIZI WAMTAA WANAIBIA WATU CM