Mage endelea na huo msimamo ndio wakati mwingine akisikia jambo afikiri mara tena mponji eti unaumia 🤣🤣🤣🤣ni wakati wako wa kuurumika ila nawapenda sana mna mafunzo tele❤🎉
Movie nzur sana iko na mafunzo mengi sana...sio wote wanaojifanya watakatifu basi wameshika dini 😂😂😂wamevalia ngozi ya kondoo nje kumbe ndani ni mbwa mwitu
Ongera sana mama mdgo kwa ushauri wako🎉🎉🎉🎉maggie usiondoke hivo hivo waja mponji ajifunze kwaza ajui akikosea mara y pili uwezi rudi kwake funzo nzuri kweli 🎉🎉🎉❤❤❤😅
Kazi nzuri sana mponji kua mwanaume wa kuchunguza mambo bwana acha kumsikutisha mage mponji ukisikua kitu kueni makini sana jaman ndoa sio kitu cha mchezo jaman
Mimi naona ukijisitili moyo ndo Kila kitu ,kujisitiri kwa mavazi Huku ndani mchafu ni kama firigisi kwa nje safi ndani chafu,mage ni msafi wa Kila moyo na nje ila Kila mtu na anavyo ona
Mage endelea na huo msimamo ndio wakati mwingine akisikia jambo afikiri mara tena mponji eti unaumia 🤣🤣🤣🤣ni wakati wako wa kuurumika ila nawapenda sana mna mafunzo tele❤🎉
😂😂😂😂😂😂😂 Mage waangalia mgonjwa na kicheko juu 😂😂😂😂😂😂
Mponji umefanya jambo zuri sana kumregelea mage big up kamanda🎉🎉🎉 naomba like tatu tuu
Wow mage watu mume tunaye na tunatambanaye❤❤❤❤❤ lkn mau ATI ameshika diñi loo aibu naona mm😂😂😂😂😂😂
Weeeeweee Tuko naeeeeeeeee na tunatamba naeeeeee mageeeeeee
Mponji big up kazi nzuri sana mau kabaki sula kama njia ya chooni muone mgombanishi mkubwa sana shetani 😈😈😈 Wewe....
Mage ngoja nikusaidie kucheka 😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤
Wageni ni baraka,mage ni baraka kwa maman mdogo ,asante maman mdogo kW mashauri mazuri
🎉🎉🎉njooo mwamuke hiyi hnapashwakuwa namushimamo.❤❤❤❤
❤❤ nimempenda mage umemnyohosha mponji ndio nayeye aone thamani yako ila mponji nimependa unavy jishusha mbele ya mage😂😂😂😂 kumbe ma mdogo kungwi wetu nayeye akiamua anavaa vizuli😂😂😂
Mage hongerasana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mage,arudi kwa mme wake Mponji kwasababu,Mponji amejifunza sana❤
Hongera sana Mama Mdogo wa Mage kazi nzuri uliyoifanya Mage maombi yetu Mungu ametusikia Hebu usimtese Mr Mponji Rudi haraka kwa Mumewe
Kazi nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Mage umenichekesha😅😅😅kumfata mau😅😅😅🎉🎉🎉kufumaniwa ni aibu mponji umejifunza😅😅😅umbea ukiufata🎉🎉nyumba itavunjika kuwa makini mponji ulipata mke😅😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Toka hii tamthilia ianze hii episode ndo nimeipenda sana no 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mponji bac kakoma huyo
Huo msimamo wa Maggy nimeupenda sana
Nimewai Leo like zangu jmn ❤❤❤❤
Naku rumia na mimi mponji
Mage hongera znr napenda uo msimamo wako♥️♥️♥️♥️♥️♥️💖❣️
Movie nzur sana iko na mafunzo mengi sana...sio wote wanaojifanya watakatifu basi wameshika dini 😂😂😂wamevalia ngozi ya kondoo nje kumbe ndani ni mbwa mwitu
Kazi zuri sana
🤣🤣🤣mage jmn daah nimependa unavomwongelesha mau adi kaona aibu nakupenda magee❤❤❤❤
Mage umemupiga mponji zile fimbo jini ya maji na hajaona😂😂😂😂si lazima sikuwe kama sa mamako pokee mau yako 💐💐💐💐💐 mamaaa
Ungeli muacha tu kidogo mimi bwana muponji ninge muchukuwa n'a kupanga tena ndowa alafu weye muponji ungeliya
Ila nilitamani mage na mponji waende wote mgojwa chàumbea😂😂
Ongera sana mama mdgo kwa ushauri wako🎉🎉🎉🎉maggie usiondoke hivo hivo waja mponji ajifunze kwaza ajui akikosea mara y pili uwezi rudi kwake funzo nzuri kweli 🎉🎉🎉❤❤❤😅
Asante sana bwana kiongozi wa series Mungu akutangulie kwa Kila unachogusa kibarikiwe nasi tumefurahia ya kwamba umeshagundua ukweli
Mage wew hunanifanya mim nacheka 😂😂😂
Maggi na mamake poa sana ❤
Mama mkwe akaamua kugeuka nyuma 😂😂😂😂
Kazi nzuri sana
Namsi saana Baraka
Maggie maua kwako ❤❤❤ ila Mponji nakuomba simama naupendo wako kwa Maggie.
Woooh nimefurahi sana,,Mage fanya uludi kwako usimuumize mwenzio,,wewe jitie kiburi aje mama shadia amchukue🤣
Kazi nzuri mponji shemeji shikamoo
Hongera mage
Mama mdogo mage yuko sawa kwa kazi ya security😅😅😅😅😅leo mau ziiiiiii
Mage Hongera sana
Nice 🔥🔥🔥
Tunashukuru kwa mafunzoyenu Mungu awabaliki
Kazi nzuri sana mponji kua mwanaume wa kuchunguza mambo bwana acha kumsikutisha mage mponji ukisikua kitu kueni makini sana jaman ndoa sio kitu cha mchezo jaman
Mponje mwambie mage ajisitir anajieka uchi angalia hajra yuko na maovu lkn anavaa vizur
Mimi naona ukijisitili moyo ndo Kila kitu ,kujisitiri kwa mavazi Huku ndani mchafu ni kama firigisi kwa nje safi ndani chafu,mage ni msafi wa Kila moyo na nje ila Kila mtu na anavyo ona
Mponji leo kaomba msamaha na mau kaumbuka aibu sana mau usirudie tena yatakukuta makubwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mage ongera sana
Watu Leo pliz naomba like 🎉🎉
Mponji asante kwa kujitambua na kuomba masamaha ndiyo unyumba huo
Akuna hug
Mm mzaa chma ongra sn mm mge
Mamdog mau yak ayo up vzr wallah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Mponji ana ukwiru
Muvu inatufunza tukisikia jambo tuchunguze kabla yakutenda
Na tusitoe maamuzi tukiwa na hasir
Mage kanifurahisha eti pole mau 😅😅😅😅😅
Atamm najikuta nacheka😀😀😀😀
Wanaume bwana kumBe wapo wanaokurupuka kutoa talaka😂😂😂😂😂mage uasijirahisi kurud mponji akome
Mau jamani kimekulamba leo 😂😂muke wamutu nisumu acana nahiyo tabia😂😂😂
Mm namshauri mage asimsamehe mponji kbsa
😂😂😂😂mm pia
Jamila acha tabia mbay
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawapenda 🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ fever right movie 🎥🎥🎥🎥 afadhali umejuwa ukweli
Mpoji kula suma hicho
Kwa kweli dhambi ya uzinzi ni mchakato,Roho mtakatifu atusaidie
Sura imekushuka shuuuuu mponji mpuuzi
Make wa mtu sumu
Umejifinza xx mau ugua pole😢😢😢
Mage mtese kidongo mponji ili ashike adabuasikie maumivu yenye ulisikia
Kumbe mama Mdogo askari
Mponji umekosea
Mau ni rafiki mnafiki, ameumbuka za mwizi arobaini zimefika, mke wa mtu sumu baba pole kwa kichapo, uguwa pole.
Kama wampenda mbona ulimtaliki
Waooo! Nimeipenda hiyo❤❤
Kabati ngani 😂😂😂😂we mau wewe
Leo nnecheka na mage mpka basi ila mage mage jamani umenifurahisha kwa kumcheka ustadhi kidogo ila pole mwalimu kwa ufumanizi 😅😅😅😅😅😅😅😅
Mponj mwisho wa ubaya aibu,aya tukududhie Vai na baraka wanaendeleaje na penz lao shatashata
Mponji kuwa makini sana na marafiki zako
Huwa anafanya makusudi mimi ananikera anavyo regeza macho magee
Yani mage unamcheka mau mtoto kautaka
Kwakweli mponji hauna hakili
Ila mage😂😂😂😂😂 umeenda kumpa vidonge sio
Nendeni wote kwa mwehu huyo mkaka mshenzi huyo
Mambo ni moto ❤❤❤❤❤❤❤
Mau yamekukutaka aibu kwako sasa
Mponji kazi unayo auwishi kwenda kwa wakwe kila siku
Ata mponji pia apitie maumivu ila mage kwenye hii ndoa amepitia mengi 😢sema kweli mvumilivu hula mbivu
Namm leo nimewahi❤🎉❤
Tujifundishe kwa haya tunaona
Ni mnafiki mau
Jamani mage rudi mponji anaumia
Mage wewe ni zaidi ya mwanamke
Kumbe mama nasri unajua kuangalia vzr..Leo macho hayajaregea
😂😂😂😂
Hakuna mwanzo ulio kosa mwisho leo hii mau unafiki wako umekuponza mana ulijifanya Well ni mjanza kuliko mwenyezi mungu
leo na mm nimekuwa wa kwanzaa naomba like zenu
Mponji hapo unaonyesha ujasiri kabisa ulimpa talala mkeo bila kuchunguza kama rafiki yako ni mnafiki anayejipachika dini kumbe ni mwehu mkubwa.
Basi mbona nasri hatumuoni
Naomba kujuwa hili Jina yassin badala ya mage nimeenda wapi?
Mponji jifunze kuomba msamaha
Yaani unaenda kuomba msamaha huna hata zawadi😂
🤣🤣🤣🤣 nimecheka balaa jamani kuna watu wambea humu dar zone mh
Alikimbia baada ya kuambiwa ukweli juu ya furaha 😂😂😂
@@darzone1020 hahahaha
Muvimzuli sana mage nenda msamee mponji
Ma mdogo umependeza na sare za kazi
leo si comment kitu nikucheka tu mau😂😂
Duh nimeshusha pumzi jaman dah
Wowooo nafurahi kumuona muko pmoja tena
Wee mponji itika tu uli ropuka bila kutafakari
Mage.❤❤