DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 75 FINAL EPISODE SEASON 1.... AHSANTENI SANA KWA UPENDO WENU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 65

  • @darzone1020
    @darzone1020  20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +22

    MZIGO HUU HAPA FULL HD MOVIE NAAMINI MMEJIFUNZA MENGI SANA...USIKOSE SEASON TWO MAMBO YATAKUWA MOTO ZAIDI... AHSANTENI SANA KWA UPENDO WENU MUNGU AWABARIKI

    • @EmilianaCharles-eh7jy
      @EmilianaCharles-eh7jy 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nanyie pia Mungu awabariki mzidi kutuelimisha

    • @RoseMeshack-c9x
      @RoseMeshack-c9x 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Nanyi asanten sana kwa kutuelimisha,Mungu awabarik na awatunze daima

    • @MarieMariebelle
      @MarieMariebelle 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na nyie pia mungu awabariki kwa kazi nzuri na tamu kabisa maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉

    • @ManirakizaFidelite-i3q
      @ManirakizaFidelite-i3q 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mponji naomba season ya2 isichelewe

    • @PancrasMunga
      @PancrasMunga 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe mage nimjinga sana hatabibilia yenyewe ina tukanya usitoe hekima yako mbele yawa pumbavu from 🇰🇪

  • @SylviaChatanda
    @SylviaChatanda 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Jaman wale tuliojifunza mengi kwa mage gonga like hapa

  • @lizzybenny9368
    @lizzybenny9368 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mumetufunza mengi ktk hii movie MUNGU azid kuwatunza❤

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mauwa kwako mage🎉🎉🎉ndoa haina ufundi🎉🎉Kweli ni umtegeme mungu tu ndo kilakitu🙏🙏🙏

  • @EstherMasha-dk9xp
    @EstherMasha-dk9xp 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Wenye wametamani kumuona Baraka na Vai gongeni like hapa tukisonga mbele❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DianaKahyoza
    @DianaKahyoza 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Big up Mage na Mponji hakika mumetufunza mengi

  • @RaelYeko
    @RaelYeko 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    We mponji eti aoe achapiwe pia 😂😂😂

  • @Byaunda-zi7ue
    @Byaunda-zi7ue 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tuna wapenda sana Mungu awazindi shie kwakazi yenu ❤❤❤

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ahsante pia nawe na jopo lako lote lawaigizaji hakika umetufunza mengi 🎉🎉🎉

  • @MarieMariebelle
    @MarieMariebelle 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Pole na kazi nzuri ndugu zangu

  • @Fazila-j2s
    @Fazila-j2s 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tuna shukuru kwa hio kazi

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    😂😂😂ila mama shadiya eti napwiyanga

  • @SallyRawanda
    @SallyRawanda 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤🎉🎉🎉Yaan mama shadia leo kaw mpole kwa mpunji 😂😂😂😂

  • @AshaFadhili-k2u
    @AshaFadhili-k2u 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hongeren sana mage pamoja namponji

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mage nawewe mambo yako yawe yako umemsahau hajra Leo unamwambia mambo yako ngoja kikurambe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kamdomo mdomo fyuuuuu

  • @LilianGaya
    @LilianGaya 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nzuri sana hongera ❤❤❤

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🔥🔥

  • @BerylOmolo-b2p
    @BerylOmolo-b2p 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mimi nmejifunza mengi kupitia kwa mage endelea na huo ukarimu na upendo

  • @ManirakizaFidelite-i3q
    @ManirakizaFidelite-i3q 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mage mwishoni umezingua kwakumuambia hajira kilichotokea hapo nyuma ila nilijifunza mengu kupitia wewe mage wangu

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hajra kibao kimeingia poa kwa hyo jamaa😂😂😂

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hajra kamuita mponji ndugu yake😅😅😅😅😅😅😅😅kweli Hajra umemwambia ukweli nimejifunza mazuri tena mengi🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @HajraMalila
      @HajraMalila 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nitafanyaje sasa waudug

  • @khadijab7066
    @khadijab7066 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani nyie 😂😂😂😂😂

  • @MimaYona
    @MimaYona 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ukopoa sana

  • @EmmyLolo-p7b
    @EmmyLolo-p7b 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tupo pamoja mpaka mwisho❤❤❤❤

  • @sefaniaslyvestertv1498
    @sefaniaslyvestertv1498 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tunahitaji kujua Baraka na mkewe yuko wapi anaendelea je ❤

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mage mara hii kua macho sana ❤

  • @LinahAzad
    @LinahAzad 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉

  • @FatumaAbdallah-b2e
    @FatumaAbdallah-b2e 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nimepata imeisha well na ikiwa na mafunzo yake kama ilivyo ada

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mm wakwanza leo mnipee basi muache hizo😂😂🎉

    • @umaziumazi
      @umaziumazi 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ❤❤🎉

  • @AziziMfaume-p2d
    @AziziMfaume-p2d 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Haja hajra bahn

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mage nawe sasa unamwambia nn hajra kua mmeo alikupa talaka

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hatimaye imeisha

  • @NadzuaPriscilah
    @NadzuaPriscilah 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mage ujue unemuongezea kibarua hajira cha kueneza umbea

  • @aminandurya
    @aminandurya 20 นาทีที่ผ่านมา

    Jmn mbona kapotea Baraka nime miss ubwabwa😂😂😂

  • @DeodathaMsogoya
    @DeodathaMsogoya 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Haha hongera magee but take care 🎉🎉 mponji mwenyenzi,Mungu akujariee heriii ila mponji acha hasiraa

  • @LUCYMUKANGAI
    @LUCYMUKANGAI 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mage mbona hivyo tena hungemwambia hajra

  • @TaqiyyaMwijage
    @TaqiyyaMwijage 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mage jikulacho kinguoni mwako. Usimuamini sana. Mama shadya mpaka unamueleza mambo yako ya ndani. Huwezi jua anawaza. Nn juu. Yako

  • @AishaHamid-u8g
    @AishaHamid-u8g 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @JayFox-r7u
    @JayFox-r7u 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mtafute namna yakuiaga mvi mnalizeje kishamba vile sijaelewa

    • @darzone1020
      @darzone1020  11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Movie haijaisha au hujaelewa

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Akili yote ya hajra ipo Kwa mponji haoni mwanaume mwingine

  • @MuzdalfaMuhammed
    @MuzdalfaMuhammed 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hajira hakume jaman

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sas mage hunaropoka nin

  • @Hoel19LulesA
    @Hoel19LulesA 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kilinachompeleka hajira ni kwenda kumsumbua mpoji tu yy hana lingine , maggy kuwa makini na hajira coz round hii utakiona cha moto afadhali uhame bila hiyo

  • @HappynessSalali
    @HappynessSalali 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wanne jaman like zenu

  • @lenahtuti6713
    @lenahtuti6713 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Naona kipindi kikifuka tamati soooon😢Hii misamaha inayoendelea kwa hii episode,wuee🤔

  • @JonhJulius
    @JonhJulius 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani mbona me haitoi sauti?

  • @PascalCinyeri
    @PascalCinyeri 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asante sana

  • @RoseKerubo-f2u
    @RoseKerubo-f2u 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Thanks 💪

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kweli we nawe Mage huna akili,huko kote ulikopita hujajifunza tu? Yaani unamweleza adui yako mambo yako? Unaupumbavu sana.

  • @UfunuoAmsoni
    @UfunuoAmsoni 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wa kwanza naomben like zang

  • @TaqiyyaMwijage
    @TaqiyyaMwijage 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hivi mponji hoiyo miwani nii. Ya uremmbo au una tatizo la macho???

    • @TaqiyyaMwijage
      @TaqiyyaMwijage 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hiyo

    • @darzone1020
      @darzone1020  17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ya macho

  • @goodmanseguke6971
    @goodmanseguke6971 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    WATU MNA MISIFA YA KUWAHI KUCOMMENT