Kwa unayehitaji KUAGIZIWA GARI nje ya nchi au unayetaka KUNUNUA GARI YA MKONONI ( Iliyotumika hapa hapa Tz ) please tumia no hii Call/Text/WhatsApp +255653953900 Pia usiache ku subscribe na kutuFollow Instagram@mr_sabyy Twitter@mr_sabyy Asante
Asantee sana kwa kutazama na kuacha ujumbe wako. Tunaomba wasambazie na wengine link hii katika WhatsApp yako nao watazame... Mungu atakubariki kwa hilo na mimi nasubilia simu/text yako hapa 0653953900.
Hello boss , kupata left hand inawezekana ila iwe diesel na mannual sina uhakika labda kukuangaliziaa... karibu katika whatsapp yetu kwa msaada zaidi.. 0653953900
Kwa unayehitaji KUAGIZIWA GARI nje ya nchi au unayetaka KUNUNUA GARI YA MKONONI ( Iliyotumika hapa hapa Tz ) please tumia no hii Call/Text/WhatsApp +255653953900
Pia usiache ku subscribe na kutuFollow
Instagram@mr_sabyy
Twitter@mr_sabyy
Asante
Naomba bei ya Mitsubishi outlander GT 2L au 3L
Kazi nzuri brother, keep it up
Asante
Mr very nice nilichotegemea ndicho ulchokifanya outlander ndyo niliisubr saf kaz nzur ntapga sm tuongee
Asantee sana kwa kutazama na kuacha ujumbe wako. Tunaomba wasambazie na wengine link hii katika WhatsApp yako nao watazame... Mungu atakubariki kwa hilo na mimi nasubilia simu/text yako hapa 0653953900.
Bei shngap
Kuanzia 19M . Kwa msaada zaidi plz tutumie msg WhatsApp 0653953900 . Thanks
VP kuhusu upatikanaji wa spea zake?
Hiyo ni ya mwaka gan
Ya 2008
@@MrSABYY bro mimi nimehangaika sana kupata yenye cc1990 chini ya mwaka 2010 sijaipata
Nikalazimika kuagiza ya mwaka wa mbele 2011
@@francembepi2709 next time nichek WhatsApp 0653953900
Ni sh ngapi mpaka kufika tanzania
naez pata hii outlander ya diesel , manual afu left hand
Hello boss , kupata left hand inawezekana ila iwe diesel na mannual sina uhakika labda kukuangaliziaa... karibu katika whatsapp yetu kwa msaada zaidi.. 0653953900
Mimi Natalia kujua mistubish IO GDI naona zinauzwa bei rahisi sana nini shida????
Hazina shida boss, ndio bei yake... Usiache ku subscribe pia
Kama hiyo ni Bei gani kwa hapa tz
Kuanzia 24M kwenda juu... for more details please use 0653953900 WhatsApp /call / text
Bei yenu ni shingapi?
21M boss. Ukiitajii kuna mawasiliano yetu hapo tumia pia usiache ku subscribe na ku share content hii. Asante
Video mbovu
😂😂😂😂😂