CCM YATIMIZA AHADI EAGT TUNDUMA TOWN CENTER KWA ASKOFU LWESYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya momba Sylivester Lwila amewataka wananchi wa halimashauri ya mji Tunduma kudumisha umoja na amani katika Taifa la Tanzania...
    Ameyasema hayo alipohudhuria ibada ya jumaapili katika kanisa la EAGT huku akieleza kuwa itikadi za vyama vya kisiasa visiwe chanzo cha kutowesha amani na mshikamano katika taifa...

ความคิดเห็น •