Absolutely rubbish. We wajua million dollar ziko vp? Ati ali kiba ana $7milion 🤣😱😱hawa wasani kando ya diamond sidhaani kuna mtu ana karibu na $ labda Sauti sol.
Diamond platnumz, sishabikiyaki imbwa mimi, uyu jama anasitahili sifa zangu ! Msani wakwanza kuwa mbali zaidi Est Africa, tajiri wakwanza wa kwanza Est Africa, Mwenye ndinga nyingi Est Africa 💪💪💪🇨🇩🇨🇩🇨🇩
NB:Hii orodha haijajumuisha wasanii kutoka Congo,ijayo wasanii wa Congo watajumuishwa.
Tupo pamoja middle
Ok
Hapa nimekuelewa
Pamoja xana kaka
Absolutely rubbish. We wajua million dollar ziko vp? Ati ali kiba ana $7milion 🤣😱😱hawa wasani kando ya diamond sidhaani kuna mtu ana karibu na $ labda Sauti sol.
Tukimweka pembeni Diamond Platnumz 💎 Wakenya wanasitahili pongezi wapo vizuri kwenye kutengeneza mkwanja makofi kwao👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Diamond platnumz, sishabikiyaki imbwa mimi, uyu jama anasitahili sifa zangu ! Msani wakwanza kuwa mbali zaidi Est Africa, tajiri wakwanza wa kwanza Est Africa, Mwenye ndinga nyingi Est Africa 💪💪💪🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kabisa
Uongo mtupu
Let harmonize continue making noise,, while Simba is making money ,,, from Zambia 🇿🇲🇿🇲❤️ middle Simba much love ❤️❤️❤️
U very true great to u man.
😅
Aacha ushabiki wakishamba Sasa wewe unamlisha?
What of you??? What are you making 😂😂😂
sure let him keep on making noise😂😂😂
Jamaan sisi wasafi on top hatutotoka one love WCB for life❤️❤️💥
Sana bro
Diamond platinumz is the most biggest in Africa and world 💪💪💪
Biggest artist in east Africa
@@rahermsigwa9840 how is biggest in Africa 😂😂😂😂😂😂
Really
Diamond akiona hi lazima akasirike huutajiri kwake ni mdogo sana diamond anahela zaidi ya hizo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Why hua wanamuunderestimate sana
Diamond platnumz wa Nigeria wanamuitaga Mr electricity so washamalza n biggest artist in Africa
Zaman alikuwa Jose camelion top east Africa and now ni Tanzania one daimond platnumz kongore kwake
Diamond is diamond👏👏
Much love from kenya 🇰🇪 ❤
From zero to Hero GOD BLESS Diamond Platinumz
Nimekuelewa sana middle simba
DIAMOND PLATNUMZ THE G.O.A.T🐐🐐💥💯.
Makofi diamond platnumz ongera sana
Diamond platnumz deserve this of his own more properties.
No doubt,we know it and the all world knows it.Lets go,#FOA TO THE WORLD.
Hongera kwake Diamond plutnumz ametisha
Hongera simba piga kazi
Ongera Daimond plantnum 🙏🙏
Tanzania Moja ooyeeeeeeee diamond
Leo middle yupo trending👏👏👏
Middle 🦁 waleteeee
Middle simba fanya kazi achana na comments za mashabiki mana kuna watu wanauwendekeza ushabiki adi wanaumwa
Ur right bro
Am happy for Akothe ❣️
Middle simba ni mmoja tu🔥🔥🔥
sio kwelii acha uongo middle Simba alikiba Ana hela hiyoo
Kwa sababu wewe ndo mfuko wa alikiba
Diamond❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mm sina bando lakini najua diamond platnumz simbaaaaa no hongera 💎💎💎
I'm clapping hands for the lion king 🦁 from 🇧🇮
SIMBA💪💪💪🔥
Diamond 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥
Hii rekodi ya diamond ningumu sana tena kuwachia jose kamilioni da katubwa mbali sana
Kho khoo khoo 😅 unavuta Bangee majivuno mengi afu unajiita Bakhresa kisa unajiona una hela Pumbavu..Simba🦁 baba lao🔥 no1 sio muziki sio utajiri
Much love Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
simbaaaaa
Lion King of East ❤
Safi sana Diamond 👉❤️
hongera sana simba
Baba lao is the best King of africa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Simbaaaaaa🔥🔥🔥🔥
Simba Baba Lao Go Go Go Simbaa
Simba
wakwanza jmn kelele kwa cmba akeeee
Simbaaaa all the way
Hyo ni ndogo sana kwa diamond
Diamond is 😘😘😘😘
Simba ndio mpendwa 💯💪💪💪💪
Simbaaaaa
Jose chameleon is legend number two after bobe wine acha uongo bwana
Wewe ndio muongo bobi umarufu kaupata kwenye siasa
Ujama ni muongo
Congratulations simba diamond platnumz
Yes nimekubali diamond anapambana sarut kwake
Toujours Simba mkali👏👏👏💪💪
Hiii middle ni uwongho mtupu hiii top10
Lete habari.
Ndogo sana hiyo kwa mond $mM25 dola na kuendelea sawa ila hiyo ndg
Mawazo yako kama yangu hiyo Hela nidogo sana Kwa diamond
List iko powa sana
Congo haimwo sasa middle
Congo sio east africa soma vizuri
Hongera yake
Safi sana nampenda sana mondi
Bobe wine is only number one ☝️ East African
Sema huyu Simba hajui chochote huyu
Kwa lipi
Yaani wewe ni shabiki tu wa bob
Yani apa kuna
Mamba yaushabiki
Tuna ogea Ukweli uyu jama midle simba ana mpondaka harmonize hajawai ogea Ukweli
Good WCB
prof. jay nae yupo? na michango yetu yote ile?
😂😂
Umemsahau lady jeedy
Simba umetisha
J'adore ça vraiment
Uongo bobi is the rechest
Nakubal jeshii ninoma kbx 🔥
Ongera kwa mh nasibu, abarkiwe pia kwakujenga uchumi wake na uchumi wataifa kiujumla
Middle Simba ulitakiwa uwe teacher
Simba tz1
Oh! My KingKiba should show out his wealth please i know hes among the richest star
I thought the same thing as well.
Tukiwa na Diamond platinamz ist afilica hatupoi
Simbaaa babalao
Wacha wepumbavu waendelee kukohoatu
🐎🐎🐎🐎🐎
Woyooooooo am happy to hear that if Mond is a richer than others 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mmakonde hata namba 10 hayupo
😂😂😂
Apate wapi wakati ela yote kampa mahali kajala
@@swedywamba5535 😂😂😂😂
Wow
Congo pia ni East Africa lol 😂
Kwahio Prezzo hayupo kwenye Top10 ...
Even artist from congo 🇨🇩they no near diamond is best best man in Africa as only burna boy is bigger than him niw in Africa
Jeshi noma nyinyi
Simba 🦁🦁
Diamond pratnum👹👹ni 🔥🔥🔥🔥
Diamond ndo hatari always
Professor Jay ni Billionaire ila watu waikua wanamuombea misaada kwa watu alipokua anaumwa
💥💥💥💥
Always Simba is first in everything
SIMBA BABA LAO.
Umesahau ndege ya Jaguar kwa jina AIR JAGUAR ndege ya kibihashara
Tunasubiri top10 ya wasanii wa muziki Tanzania.
Ebu tumpigie king kiba makofi pomoja na kutokujionesha lkn yumo je akijionesha
Big man Simba ...Zuchu pia ni part of his asset next time make her included😁..pia Ni 1989 DOB
We mwongo snaaaa
Aca uongo ww middle simba
Simba baba lao
Sio kweli, beer tamu.
Wew nimuongo sana
Congratulation diamond
Middlesimba Hua Ni team mond acha kupotosha watu diamond hamzid Bobbie wine Wala akothee dats according to Forbes
Big up
Jamaa anapesa zaidi ya hiyo