TAZAMA MAAJABU HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • SIKILIZA MBAKA MWISHO
  • เพลง

ความคิดเห็น • 760

  • @waydisaxwesso2748
    @waydisaxwesso2748 5 หลายเดือนก่อน +24

    Poleni sana familia ya Zabron Mungu awe faraja kuu kwenu

  • @PoulKilusu
    @PoulKilusu 5 หลายเดือนก่อน +20

    Hat kam angekuwa freemason lakin ujumbe wa neno la mungu kashatufikishia soo mungu amlaze mahala pema peponi

  • @RojaceMichael
    @RojaceMichael 3 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni wanafamilia jipe moyo ni mapenzi ya mungu.

  • @CharlesDarwin-q7j
    @CharlesDarwin-q7j 5 หลายเดือนก่อน +29

    Habari za lusifa sisi hazituhusu okoka nenda kamtumikie mungu aliye hai na utakuja kufa vibaya kwa sababu ujinga wew huna haya nenda kamtumikie mungu aliye hai na inawezekana umetumwa huku duniani kuja kufarakanisha kaz ya mungu.

    • @CharlesDarwin-q7j
      @CharlesDarwin-q7j 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani hukuongea alipokuwa hai mambo yako enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye waroga mhubiri mtu akiwa hai sio amekufa imeandikwa baada ya kufa ni hukumu,,, brother hubiri kazi ya Mungu itakusaidia ww kila mtu ni freemason Mungu akusaidie.

    • @NeemaChiuyo-d4t
      @NeemaChiuyo-d4t 5 หลายเดือนก่อน

      Tena mwanaizaya ww unawapa watu maumivu zaidi

    • @OmanMobile-py5bq
      @OmanMobile-py5bq 5 หลายเดือนก่อน

      Huruhusiw kumuhukum mwanadamu mwenzio mpaka kutoka katika dini hiyo basi tayar kamrudia mungu

    • @LilianRamadhan-c1v
      @LilianRamadhan-c1v 5 หลายเดือนก่อน +1

      Peleka mapepo yako huku we mwenyewe mwanga😅

    • @AllyKalugulu-gj1cc
      @AllyKalugulu-gj1cc 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa mavazi nywele kama katolewa milembe jana huyo ni mtumish wa kipepo alaniweee

  • @EmmaWanjiru-ji9zg
    @EmmaWanjiru-ji9zg 4 หลายเดือนก่อน +1

    God we need you to cover us with blood of Jesus Christ Amen

  • @IrineAkech-t3s
    @IrineAkech-t3s 5 หลายเดือนก่อน +4

    Familia ya zabron singers poleni sana ila msife moyo Mungu yu nanyi

  • @GiftSaiKikwete
    @GiftSaiKikwete 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akuhurumie saan maan nikikuangalia kwa jicho la kiroho nakuona kabisa wewe haun Mungu ndani yako hivyo Mungu akuhurumie na kukuokoa

    • @SarahTabora
      @SarahTabora 4 หลายเดือนก่อน

      Duu! Tena yamekuwa hayo🎉😂😂

  • @pendopeter4058
    @pendopeter4058 5 หลายเดือนก่อน +7

    Pole Mrs Marco hay yatapita mungu ndoo aliluhusu acha waseme mungu atawapiga

  • @LunaA-th4xi
    @LunaA-th4xi 5 หลายเดือนก่อน +22

    Mbona ukujitokeza akiwa hai humusaidie hiyo ni kazi ya Mungu Wacha zako bro

  • @credychipungahelo1515
    @credychipungahelo1515 5 หลายเดือนก่อน +6

    Hila wapendwa totautishe kati ya kifo cha mtu wa Mungu na kifo cha asiye na Mungu
    Nimefuatilia kwa video tofauti unaona kuna jambo hapo

  • @Mwende-y5f
    @Mwende-y5f 5 หลายเดือนก่อน +9

    Umemua na unatwelezea nn shetan mkubwa,,kweda kuzimu na ushidwe in the mighty Jesus

  • @BettyNdiema
    @BettyNdiema 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nawapa salamu kwa zabron singers poleni sana maulana awaremu❤❤❤

    • @RosinaCharles-n6k
      @RosinaCharles-n6k 4 หลายเดือนก่อน

      Ulivyo msema Mareham vibaya na wewe utasemwa the some something

    • @YoshuaNgasa
      @YoshuaNgasa 4 หลายเดือนก่อน

      Wew ndio mungu akurehemu

    • @BettyNdiema
      @BettyNdiema 4 หลายเดือนก่อน

      @@YoshuaNgasa Thank you

    • @YoshuaNgasa
      @YoshuaNgasa 4 หลายเดือนก่อน

      @@BettyNdiema hivi unamwelewa huyu emmanuel mtoa ushuhuda?

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 5 หลายเดือนก่อน +35

    Mungu Baba Mwenyezi ndiye Anajua Marco karuhusu kifo kimpate. Huu sio wakati wa hadithi, tusaidieni tusipate vitu kama hivi kwenye simu zetu.

    • @MabelKaaya-hl2je
      @MabelKaaya-hl2je 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu Aliye Hai Hausiki kabisa. Anayehusika ni Mungu wa giza

    • @deborahmgedzi632
      @deborahmgedzi632 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@MabelKaaya-hl2je Mungu Aliye Ndiye mwamuzi wa maisha yeti.

    • @CharleslebonMajaliwa
      @CharleslebonMajaliwa 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe hadi Léo unafanana tu fremason,acha kudanganya watu

  • @LydiaMwalisu
    @LydiaMwalisu 5 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe okoka acha kumubili shetan bado wewe ni mwana waibilisi atukutaki mubili Yesu umekuja kuvuluga wakilisto utupati tuna Yesu toka shetani kwa jina la Yesu🔥🔥🔥🔥

  • @FadhilaNdongolo
    @FadhilaNdongolo 5 หลายเดือนก่อน +13

    Tunachojua sisi Mungu wetu karuhusu vingine hatujui ko tuache tunamuambudu Mungu aliye hai

  • @SarahElias-kf5sp
    @SarahElias-kf5sp 5 หลายเดือนก่อน +5

    Acheni kichafua watumishi wa mungu siku ya mwisho Kila neno utaritorea hesabu mwacheni apumzike Kwa amani.

  • @mayendesamson
    @mayendesamson 5 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ndugu sabron mungo awe nawe milele na akueke mahala pema patakatifu

  • @carolinejepkoech7465
    @carolinejepkoech7465 5 หลายเดือนก่อน +3

    Powers of darkness mshindwe katika jina la Yesu

  • @SophiaMasanja-t2e
    @SophiaMasanja-t2e 4 หลายเดือนก่อน

    Aiseee mungu akusaidie Sana kijana uliekosa maadili mungu akusaidie okoka acha dhamb wew utakufa vbaya Moto wa jehanam utakuunguza San

  • @KissStar-p6u
    @KissStar-p6u 5 หลายเดือนก่อน +2

    Cha muhimu shetani ana uwezo kuua Bali haezikuchukua roho,haezitoa,alafu kisasi Cha sasa hatuezikuzungumza na Mungu live uongo wew!!😮😮😮😮

  • @WebVvc
    @WebVvc 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie jameni❤🎉🎉

  • @FurahaChamba
    @FurahaChamba 3 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka sana, yani mnenaji anajiramba!!!!😀😇

    • @oggcru9755
      @oggcru9755 3 หลายเดือนก่อน

      hauko serious aqiii😅😅😅😅

  • @IssackYasini
    @IssackYasini 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu na akuhukumu kwa maneno ya kinywa chako

  • @Haarun-h4q
    @Haarun-h4q 5 หลายเดือนก่อน +18

    Huyu hana fani ya kuongea.Bro endelea tu na maisha yako.
    Kifo ni jambo la kawaida, kila mmoja anakufa njia tofauti.Usiwape maumivu familia ya Zabron.

  • @HanielLucas-p3l
    @HanielLucas-p3l 5 หลายเดือนก่อน +1

    Zabron singers Nawapenda na Huyu jamaa ametimiza ule ujumbe wa wimbo wenu usemao mmekataa kusimulia wema wangu Mimi japo mwaujua mmrnyamaza...
    Kipindi Marco yupo Huyu jamaa hakusema chochote kabisa Ila baada ya kifo cha mpendwa Huyu ndo kasema ama kweli Mungu najua namna ya kufikisha ujumbe wake kwa watu... Mungu awatie nguvu na muendelee kutoa injili kwa walimwengu kama Huyu jamaa

  • @TedyDaudy-c8t
    @TedyDaudy-c8t 5 หลายเดือนก่อน +1

    Family ya zabron mungu awatie nguvu weee shetan kafie mbali muogope mungu weee kijana 😭😭😭😭😭😭

  • @ReueliSambula
    @ReueliSambula 5 หลายเดือนก่อน +2

    Sometimes jifunze kuongea ukwelii acha kuongea mambo ya uongoo Mungu anakuonaa😅😅😅

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 5 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana Zabroni Singers. Marehemu apumzike kwa amani

  • @MercyLucy-bg6sn
    @MercyLucy-bg6sn 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu sifunge hiyo mdomo forever,,shetani

  • @FridahKarani-l7u
    @FridahKarani-l7u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sahii watasema mengi sana kwa sababu ya marehemu mungu naye ninani
    Hamulazepema

  • @DeboraMozes-f1y
    @DeboraMozes-f1y 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ila mungu awasamehe sana nyinyi watu mnaolopoka hovyo mbona mnatafuta umalufu kilazima

  • @RojaceMichael
    @RojaceMichael 3 หลายเดือนก่อน

    Alipokuwa aimtukuza mungu halikuibuka hili limeibuka wakati wa kifo chale.

  • @Gladys-p1s
    @Gladys-p1s 3 หลายเดือนก่อน

    Ukweli kabisa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AkukuScovia
    @AkukuScovia 3 หลายเดือนก่อน

    God he is the powerful to ll hispple

  • @ElishaJovin
    @ElishaJovin 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu akuhurumie kabisa

  • @CalmBarnOwl-lc7fn
    @CalmBarnOwl-lc7fn 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ndeye anajuwa wacha zako mungu alimpenda kuliko sisituwai so kifo chake nimungu anajuwa sababugani alifaliki?

  • @JoyManyasa
    @JoyManyasa 4 หลายเดือนก่อน

    Ushidwe katika Jina la Yesu...

  • @sofymoha
    @sofymoha 5 หลายเดือนก่อน +1

    sauti ya mungu gani ninyi huongelea..yesu amewaonya kwenye bibilia amesema,,sauti ya mungu haijawahi siskika wakati wowote

  • @odettenzeyimana6278
    @odettenzeyimana6278 5 หลายเดือนก่อน

    Tumecoshwa na uongo wawa tanzania.Mungu akusamehe kaka

  • @kelvinmgendwa1438
    @kelvinmgendwa1438 5 หลายเดือนก่อน +1

    Acha uwongo huo kifo ni cha mungu sisi tunaamini mungu kachukua roho yake

  • @GraceKazi-z8d
    @GraceKazi-z8d 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ulikuwa wapi kusema alipokuwa hai!? Mtumikie Mungu kikwelikweli acha story za freemason!

  • @Eunice-r5k5n
    @Eunice-r5k5n 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana

  • @Kenyalydiahmonayo
    @Kenyalydiahmonayo 5 หลายเดือนก่อน +3

    Pepo wewe mbonga umefaa kitambaa nyekundu, Wacha nikuambie mungu atawapea amani juu inchi muzima wanalia juu yaiyo kifo kutoka hadi Tz pole mungu atarudi na 🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪

    • @MabelKaaya-hl2je
      @MabelKaaya-hl2je 5 หลายเดือนก่อน

      SI USIKILIZE TU UPATE MAARIFA?

    • @shigongoshuli6320
      @shigongoshuli6320 5 หลายเดือนก่อน

      Kumbuka Mungu wa dunia hii ni shetani hivyo zipo au upo ushahidi wa kweri kuhusu shetani kama ilivyo au zilivyoshuhuda za kweri kuhusu Mungu

  • @PHILIPOMSIGWA-l6d
    @PHILIPOMSIGWA-l6d 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwann umevaa hivy mbaka nakuogopa mungu anisaidie

    • @davidkiema4133
      @davidkiema4133 5 หลายเดือนก่อน

      Ndio nashindwa...Nini io amejifunika kwanza...inaogopesha

  • @mwanaidimdee698
    @mwanaidimdee698 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ww ni lusifa pia na utakuja kufa vibaya Sana Mungu akusaidie urudi kwake mapema

  • @CATHERINEONGORI-v7j
    @CATHERINEONGORI-v7j 5 หลายเดือนก่อน

    Uongo ulikuwa wapi ww poleni sana kwa family ya zabroni singer😂😂😂😂😂😂😂

  • @EsterBala-q7z
    @EsterBala-q7z 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ushindwe kwa jina la yesu

  • @SharonChepngeno-d7e
    @SharonChepngeno-d7e 4 หลายเดือนก่อน

    Nyie washenzii mtafute njia ingine ya kutafta pesa wajeni ujinga let Marco rest in peace 😢

  • @EstherSaid-k6l
    @EstherSaid-k6l 5 หลายเดือนก่อน +2

    Siku zote izi ulikuw wapi kuongea mpaka uje uongee Leo mungu akuokoe nauje kushuhudia kama unavyo ongea apo

  • @judithdaniel1882
    @judithdaniel1882 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe kaka muogopeni Mungu aliye hai😢

  • @StephenKaaya-w6q
    @StephenKaaya-w6q 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dah Mimi sijaona hata point yoyote . Ktk mazungumzo yote uliyoongea . Hii theology Yako philosophy Yako Iko chini sana . Hata biblia hauifuati unasema tuiombee Roho yake wakati imeandikwa bahada tu ya kufa ni ukumu. Na mahandalio ya moyo ni ya mwanadamu bali jawabu la ulimi kutoka Kwa Bwana . Ndugu wewe unataka umaharufu na unasema unazungza na Mungu mungu . Nimekuandikia M na m kama umesoma theogy unaweza tambua . Mungu ni Roho lakini pia mungu ni roho hivyo kuongea kwako na mungu siyo sifa inategemea unaongea na yupi. Wewe swala l kwenda kuzimu ukakaa na shetani ni hatari sana kama ni kweli Mimi nin ayemjua Mungu sintataka hata kuongea na wewe mahana shetani anazombinu nyingi anauwezo wa kujigeuza kuwa Nuru na kuwa giza pia hata anaweza kuwa mnyama. Wan wa Mungu walipokwenda kujiuthurisha mbele za Mungu shetani naye alikuwepo. Ktk kusanyiko Mungu shetani yupo. Hivyo sikumini sana Tena bible insema dhambi zote waweza kusamehewa lakini ukimkufuru Roho mtakatifu hutaweza kusamehewa. Na bible inasema ile namba 666 ni muhuri wa mkubliano Kwa wakati huu ambao kanisa liko duniani. Na itafanya kazi Kwa Siri. Hadi Sasa hicho chama chenu kinafnya kazi Kwa Siri ndiyo mahana kinawatumia kama wapelelezi mkijifanya mlaika wa Nuru . Ndugu kama isemavyo bible ukishapigwa muhuri hiyo ya 666 hauwezi kusamehewa na Mungu akakutumia kama mtumishi wake . Kumbuka Yesu msingi wetu na mfano ktk njia ya mbinguni hkuwai kumsijudu Ibilisi japo alikesha naye kumshawishi . Lakini alishinda ndo mana Leo tunalo kanisa takatifu. Yesu alimpendeza Mungu na wanadamu Toka utoto. Watumishi wa Mungu aliye hai wamechaguliwa Toka utoto. Kapo Kuna wengine wamechaguliwa kam Paulo lakini bado hakufikia kupigwa muhuri ya shetani. Biblia inasema Mihuri ya Mungu imetumika kwa wale wasiotenda uhofu. Wewe kama kweli ulienda kuzimu mahana hata Bado siamini . Basi wewe ni Ajenti mkubwa sana katika Dunia hii na sijuhi utaokolewaje mahana kufuatana na biblia dhambi yako haina msamaha. Mahana namba hii itaruhusiwa kufanya kazi waziwazi kanisa litakapo ondolewa na ni hatari sana Kwa siku hizi kama bibilia isemavyo kama siku hizi hatafupiswa ataokoka hata mmoja mahana shetani anatumia mbinu mbaya sana kuwapotosha Watu wa Mungu Kwa kutumia Neno ilo Iko amabolo hata shetani anlitimia. Mimi niwaombe wanadamu msikubali kudanganywa danganywa . Kifo ni haki ya Kila mwenye mwili. Wala mtu asikuambie maneno yoyote ya matisho kwakuwa pengine umefiwa wote wanfiwa. Au unumwa wote wataumwa. Na watakufa. Kila kitu kizuri ni kwa utumifu wa Mungu . Ata kifo Cha mtakatifu ni kwa utukufu wa Mungu. Tunauzunika tunalia kwasababu Kuna vitu tutakosa Kwa ajili ya aliyeondoka pia hakuna anayejua siku ya kumiona Tena . Lakini kifo siyo Tatizo Kwa mteule mahana Yesu alitubia Mwenyewe nyumbani mwa baba yangu kuna makao mengi kama sivyo ningaliwaambia. Hoo Alaluya I love Jesus.

  • @FaithandrewShayo
    @FaithandrewShayo 5 หลายเดือนก่อน +6

    ss tunaamini kwamba mungu ndie aliemuita Acha kutudanganya kwani yeye ndio wa kwanza kuondoka Acha kupotosha watu

  • @WickliffeOrare
    @WickliffeOrare 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi ya mungu haina makosa fumilieni haya yatapita tu

  • @ChristofaMtawa
    @ChristofaMtawa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaani uko sawa toboa tobo hatasiku ya mwisho kilakitu kitawe wazi

  • @IreneChahala-nr4dc
    @IreneChahala-nr4dc 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mtu akiwa hai hamuongei wanadanamu mna maneno na vituko,God have mercy upon my life protect me please dear God 🙏🙏🙏

  • @mabondokabula
    @mabondokabula 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni jamani

  • @RhodaChristopher-g3r
    @RhodaChristopher-g3r 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ushindwe Kwa Jina la YESU kwenda kule

  • @DamasPhillipo
    @DamasPhillipo 4 หลายเดือนก่อน

    brother una wakati mungu sana una abudu kanisa Gani hiro

  • @JetrudaJackson
    @JetrudaJackson 5 หลายเดือนก่อน

    Polen sana family ya zabron kwamsiba mungu awape faraja

  • @LeahNganga-o2g
    @LeahNganga-o2g 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtu anaboo sana,, hunanga lingine lakusema,, agopa ata mungu jamani hauna ata ushahidi ni kibelebele tu, tumekuchoka,

  • @Silvercil77
    @Silvercil77 5 หลายเดือนก่อน

    Congrats ❤

  • @CYNTHIACHELIMO-u7n
    @CYNTHIACHELIMO-u7n 5 หลายเดือนก่อน

    Acha stori brother,hautusaidii Sisi,Marco alikufa Kwa wakati wake mungu ndo anajua safari yake,hii ni nyakati za mwisho nani

  • @LispaMogoe
    @LispaMogoe 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu si mwanadamu , mlindwe Na Mungu.

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw 5 หลายเดือนก่อน +5

    Pole kwa familia ya ZABRON
    Kwa kuodokewa na mpendwa wenu mungu awatie NGUVU 🙏
    ✍️ Mabetu &Co

  • @CalmBarnOwl-lc7fn
    @CalmBarnOwl-lc7fn 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu alimpenda saidi kwa kufariki kwake jee wakati ulionangahivyo mbona ukusemanga siri mapema wewe unaogopesha tu kwaidunia mtu akiondoka duniya mengi yanaongewa kifo chamtu mwana wa mungu ndiye ajuwaye mate ndogo yake na roho yake?

  • @MagdalineWanjiruwanjiku
    @MagdalineWanjiruwanjiku 5 หลายเดือนก่อน

    God he is the powerful to all his pple

  • @ReginaMapinduzi
    @ReginaMapinduzi 3 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo nikweli hata kama alikuwa freemason kaishafikisha ujumbe wa MUNGU duniani

  • @eunicedaniel6651
    @eunicedaniel6651 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akukemee.

  • @MariamuAlex
    @MariamuAlex 5 หลายเดือนก่อน

    Aman Gani kengele wew umelpiwa shingap achen kutafta jina Kwa kuchafua wenzenu zaman kabla hajafa ulikuwa wapi nyashi wew😅😅😅

  • @Gwandumi-r2v
    @Gwandumi-r2v 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ingekuwa vizuri hayo uyasemayo ungeriyasema wakati marcco yuko hai ili iwe sehemu ya kutubu kumrudia Mungu wake, mi naona unapoteza tu wakati wako , sisi utusimuliao tunalijua neno la Mungu na hatujawahi kukengeuka kama wewe tumetulia na injili aliyotupa Mungu, je ulijiunga na freemason Kwa kutafuta nini? Na ni nini kilichokutoa tena huko? Mi naona bado wewe hujajijua ulipo mpaka sasa na hujui unakokwenda

  • @IrakozeeEmelyne
    @IrakozeeEmelyne 5 หลายเดือนก่อน

    ww Bado ni freemason umetumwa mungu akusaidiye kwl

  • @JOYCEPASTORY-up6tg
    @JOYCEPASTORY-up6tg 4 หลายเดือนก่อน

    Huu ulimwengu tupo mwisho,tusimjalibu mngu wa mbinguni.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @VioletMoraa-q2e
    @VioletMoraa-q2e 4 หลายเดือนก่อน

    Wahaa dunia imeisha wacha Mungu atusaidie.

  • @NadiauwimanaHassan
    @NadiauwimanaHassan 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu njo muhukumu wa kweli

  • @YoshuaNgasa
    @YoshuaNgasa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Umesema kanumba alikuwa mtumishi wa Mungu? Mateka wa shetani sio wanaokunywa pombe ni waliouliwa kichawi? Haaaaa marehemu steven kanumba alikuwa hajiusishi na mambo ya kichawii alikuwa anamtumikia Mungu wa kweli 17:20 .nimekujua wewe dogo bado ujapona unaendelea na kazi.....Nakuombea upone in Jesus name.

  • @ShabanHassan-g2r
    @ShabanHassan-g2r 3 หลายเดือนก่อน

    Hata kama alikua wapi lakin neno la mung limesambaa kote ulimwenguni wenye kujifunza tumejifunza

  • @DisfaMakorani
    @DisfaMakorani 5 หลายเดือนก่อน +6

    kazi ya mungu ibarikiwe

  • @EmmanuelManyanda-n3z
    @EmmanuelManyanda-n3z 5 หลายเดือนก่อน

    cku zote mtu akfa meng ya uongo hutokea wewe kwa nn hukuyasema akwa hai,mungu aiweke roho ya marehem pema pepon,we mwendawazmu bana,

  • @EvansKOdero
    @EvansKOdero 5 หลายเดือนก่อน +1

    What a time! Satan himself has transformed himself into an angel of light....
    Why the red attire of occultism if you be delivered already?

  • @GoodwinMulati
    @GoodwinMulati 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢 tutajuaje kwamba wewe ni wa kweli,, alipokua hai hukua na huu ujumbe; je ulikua naye Freemason dini.

  • @ShaabanmwanawimaMwanawima
    @ShaabanmwanawimaMwanawima 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan anatia hasira huyuuuu duuuh!!

  • @AnnKoggy
    @AnnKoggy 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni Zabron 😢

  • @LeonardoJuja
    @LeonardoJuja 5 หลายเดือนก่อน +1

    Duhh Wabongo kilahatua ni fursa muhuni kaona haitoshi we adhabu gani uliopata

  • @jasminerashidi2782
    @jasminerashidi2782 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 mbona wew ujapata hiyo adhabu tokea umeanza kudanganya watu
    Itoshe kusema Bwana na akukemee

  • @fraidamsemwa5518
    @fraidamsemwa5518 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa ukiongea leo na mtu hayupo tenaa unadhan itasaidiaa niniii kwa mfanoooo????Anyway napitaaa!!

  • @ChristineJumwa-k8t
    @ChristineJumwa-k8t 4 หลายเดือนก่อน

    Mbwaa acha ujinga,ka hajafa Ako kwako,,Mungu akuchape kiboko

  • @KulwaDesmon
    @KulwaDesmon 5 หลายเดือนก่อน

    Anaejua ni mungu Mimi siwezi kubisha wa kukubali maneno haya

  • @SheilaMmbone-j9i
    @SheilaMmbone-j9i 5 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sna familia ya zabron singes

  • @ÉgideWilondja
    @ÉgideWilondja 5 หลายเดือนก่อน

    Acha zako kaka huyo musache aka pumzika mungu ameruhusu hivi mbona kama umekosa kazi za ku fanya kaka angu muache mwezio apumzike

  • @irinepamphil7966
    @irinepamphil7966 5 หลายเดือนก่อน

    N nn mbaya na nyie wat😢😢😢Mbona hata kwenye misibanaleta mzaha nkt..

  • @jeniphermyingajeniphermyin8029
    @jeniphermyingajeniphermyin8029 5 หลายเดือนก่อน

    Liongo hili anakera sana,kwanza watymishi wa Mungu haeavaagi hilo fulo lako,acha kuumizq familia yamarehem Marko kwauongo wako

  • @GEORGEIZENGO
    @GEORGEIZENGO 5 หลายเดือนก่อน

    😃😃😅hii nchi sasa uyujamaa amepauka Fremason ganisasa hanaela

  • @DavidMbughi
    @DavidMbughi 5 หลายเดือนก่อน +2

    Poleni sana familia ya zabroni mungu awatiye nguvu bwana alitowaa na bwana ametwa

  • @JulietAudex
    @JulietAudex 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona hukusema mapema? Acha uongo, mtu akupata pesa ni rusifer dah😅😅

  • @JoyceMbalale
    @JoyceMbalale 5 หลายเดือนก่อน +2

    Freemason hawi mchovu kama fala huyu,sura kavu kma hiyo,hata lotion Hana uwezo kununua

  • @julietwamalwa7431
    @julietwamalwa7431 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu amechanganyikiwa anachokiongea hakifahamu. Mungu akusamehe kaka na uache kuchafulia watu majina

  • @JOYCEMACHUGU
    @JOYCEMACHUGU 5 หลายเดือนก่อน

    jaman dunia imeisha wapendwa kwa hali hii hasra ya mungu itawaka juu ya wanadam

  • @CyrusMwayo
    @CyrusMwayo 5 หลายเดือนก่อน

    What we know is that the Messiah is coming leave people of the Lord because the Lord has send the mightiest mightiest heroes of Jehovah Yahweh to prepare us for the glorious kingdom of heaven

  • @judithdantex14
    @judithdantex14 5 หลายเดือนก่อน +11

    Mavazi, macho,na maongezi yako yanakaa tu freemason

    • @paulinekagwiria-mp5jg
      @paulinekagwiria-mp5jg 5 หลายเดือนก่อน

      Na mdomo ya huyu Jini inakaa tu ya Mchawi
      Shetani mkubwa wewe .. Chieth!!! Guok!!!

    • @CYNTHIACHELIMO-u7n
      @CYNTHIACHELIMO-u7n 5 หลายเดือนก่อน

      Enyewe anatutanganya kabsa ,huyu ni freemason kabsa ata maboeka na stori zake

    • @JosephineDaud-ni6yk
      @JosephineDaud-ni6yk 5 หลายเดือนก่อน

      Hv wew umekosea njia ya kujulikan mtandaon au ayo mazito kaongee na wazazi wako msenge wewe Marco kafa Kwa tatizo lake na izo hudum zako kawape uko wako mbwa wewe

    • @LovenessLema
      @LovenessLema 5 หลายเดือนก่อน

      Uyu namjua vyema sana ila stor yake yaleo sina akika kama yakweli​@@CYNTHIACHELIMO-u7n

  • @HappyNdomba-id2yt
    @HappyNdomba-id2yt 4 หลายเดือนก่อน

    Kwan kby kip kaongea