Baadhi ya waandamananyi wafanikiwa kupenya na kufika mpaka Ikulu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • Licha ya polisi kuweka ulinzi mkali katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar Es Salaam kuwadhibiti watu wanaodhaniwa ni Waumini wa dini ya Kiislamu waliokuwa na nia ya kufanya maandamano kuelekea Ikulu kwa lengo la kushinikiza kuachiliwa huru wenzao wanaoshikiliwa na polisi baadhi yao wamefanikiwa kupenya hadi katika maeneo ya Ikulu japo wameishia mikononi mwa polisi waliokuwa wamezunguka kona zote za makazi hayo ya raisi

ความคิดเห็น • 135

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 11 หลายเดือนก่อน +1

    nikweli sheikh wang

  • @alluabdallah6893
    @alluabdallah6893 11 หลายเดือนก่อน

    Allah akbar

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe unaweka Video hii ya zamani ili iweje?

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana wewe na Mungu ataingilia kati

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 4 หลายเดือนก่อน

    Ya zamani hii

  • @alisaidi7477
    @alisaidi7477 4 ปีที่แล้ว

    Allah Atunusur InshaAllah na bila ya Kuamkaa ss waislam tutazid fanyiw madhila...Allahummah nsurn Islam

  • @Selemanjohn-se1el
    @Selemanjohn-se1el 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mmekoswa kazi mnachochea vita

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 4 ปีที่แล้ว +3

    Matukio ya 2012 yanatangazwa leo vipi?

  • @shixeoshxs7276
    @shixeoshxs7276 4 ปีที่แล้ว +6

    Iko ck taifa hili la Tanzania vilio vya wanyonge vitajibiwa 2 bara na visiwani endeleeni kuendeleza 2 ukoloni

    • @salumabdu3533
      @salumabdu3533 4 ปีที่แล้ว

      mashallah. wala usikhofu kwani hata wasitupe hatimaya sote ni kwa mchanga tu

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 4 ปีที่แล้ว

      Jidanganyeni

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 4 ปีที่แล้ว

      ssa ninyi mnakilio gani wapuuzi ninyi hivi mmejaribu kwenda syria au somalia inamaan huyo mungu haoni huko?

  • @jaymore6785
    @jaymore6785 4 ปีที่แล้ว +2

    Usingize uislamu kwa tamaa zako zadunia

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman hii kama ya zamani

  • @j_gh812
    @j_gh812 4 ปีที่แล้ว +2

    Na ww itv taarifa ya miaka minane iliyopita unaiweka leo siku ya uchaguzi siku maalum ili iweje hasa?nini Nia na madhumuni ITV?

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo ITV mmeweka taarifa ya kipindi cha kikwete mkiambiwa mnachochea vita mlipe mtaanza kutafuta huruma kwa wananchi

    • @namchokondasaid9866
      @namchokondasaid9866 4 ปีที่แล้ว

      Kumbe we mjane

    • @vikitu4793
      @vikitu4793 4 ปีที่แล้ว

      Inaoneksna we mgeni youtube. Karibu. Pale juu inasema waliiweka miaka 8 iliyopita, youtube ndio wameona wakuletee leo. Sijui wamekuchukuliaje yani 😂😂😂

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว

      @@namchokondasaid9866 na uo ujane ukawe fungu lako

    • @namchokondasaid9866
      @namchokondasaid9866 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo we ni mento au kwakuwa we ni mjane

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว

      @@namchokondasaid9866 aonavyo nafsini mwake mtu ndivyo alivyo na nje, na kimtokacho mtu ndicho kiujazao moyo wake.

  • @bonabonala42
    @bonabonala42 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli. Mwandamaji. Uripo, 2 po

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ya muda jamani

  • @dicksonmasika8431
    @dicksonmasika8431 4 ปีที่แล้ว

    Bada ya kumuona Shee Alicho kisema mwili ulisismuk na Hili Mungu atafanya tu

  • @ezraezron2017
    @ezraezron2017 4 ปีที่แล้ว

    Jamani bona mbona hivyo

  • @stevenelias516
    @stevenelias516 4 ปีที่แล้ว +3

    Acha kuzingua hiyo ya mda sana ww

    • @esiomwanilwa892
      @esiomwanilwa892 4 ปีที่แล้ว +1

      Wew monyewe c unaona 8 yrs ago

    • @esiomwanilwa892
      @esiomwanilwa892 4 ปีที่แล้ว +1

      Miaka 8 iliyopita wew umependa kutizama monyewe

  • @halidhamaad177
    @halidhamaad177 4 ปีที่แล้ว

    Muna upendo gani munauwana kwa mia mbili 2

  • @mkemia_magege5816
    @mkemia_magege5816 4 ปีที่แล้ว

    Kwani aliyekojolea koroani ni Magufuli. Hivi hawa watu wanajua utawala bora na pia wanajua katika haina dini Wala Serikali haina Dini!?

  • @UniflixTV
    @UniflixTV 4 ปีที่แล้ว

    2020 like hapa

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 4 ปีที่แล้ว

    TAARIFA HII HAIKUTAKIWA IWEKWE KIPINDI HIKI ITAAMSHA HISIA MBAYA ZA WATAZAMAJI. KUMBE NI TAARIFA YA ZAMANI, HAIKUSTAILI IONYESHWE JAMANI.

  • @edwardsemwenda4262
    @edwardsemwenda4262 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyie mnaleta vitu gani

  • @oyay2821
    @oyay2821 9 ปีที่แล้ว +1

    Duh..police wa TZ wana juwa kutembeza virungu

    • @salumabdu3533
      @salumabdu3533 4 ปีที่แล้ว

      umefrahi shehe alivodhalilishwa kaka yangu ee mbna dunia inakutia joto sana.

  • @maryamoman1631
    @maryamoman1631 6 ปีที่แล้ว +2

    Na mtapata tabuu kidini mwaka huu na urais utaenda kwa wakristo mana hamjitambui na dini yenu ya kslamu mnajivuruga wenyewe

    • @mchafakih5078
      @mchafakih5078 4 ปีที่แล้ว

      Hamujitambui nynyi makafiri watu wanaongea poit shida no madai yao sio chukizako za kidini kafiri www

  • @magrethkimaro4662
    @magrethkimaro4662 6 ปีที่แล้ว +3

    Haki ikifuatiliwa hutaona haya yakitokea

  • @salumabdu3533
    @salumabdu3533 4 ปีที่แล้ว

    JAMANI KUHUSU UISLAMU AULIZWE MWISLAMU

  • @Mfalmedr.fadhili
    @Mfalmedr.fadhili 5 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️ Katika simu yako ingia sehemu ya TH-cam andika Fadhaget TV. Ili uwe unapata Video zetu za Afya Kutoka kwa Dr. Fadhili Emily wa Fadhaget Clinic Mbezi Beach Africana Dar Es Salaam na Usisahau ku Subscribe Chanel yetu ya Fadhaget TV. @Fadhaget @Fadhaget @Fadhaget #Fadhaget TV

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 4 ปีที่แล้ว

    Walikuwa wanatafuta haki gani Ikulu? Watu hawajijui wanaangaika tu na kuleta fujo. Kwani hawa waislamu ni wstu yofauti. Islamu ni dini siyo utu binafsi . Mtu afitumie dini kutafuta haki yake. Mtu aseme shida yake??, siyo kusema sisi waislam au mimi muislum. Hiyo siyo shida. Jamani mnavhanganya shida za kibinafsi na dini. Ni vitu tofauti.

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 4 ปีที่แล้ว +1

    Naikumbuka hii sio ya juzi nimesahau tu ilihusu nini

    • @didakassim8666
      @didakassim8666 4 ปีที่แล้ว +1

      Bila yakukumbuka 😂cimeandikwa hapo miyaka 8 ilopitaaa🤣usiumize kichwa bure

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 ปีที่แล้ว +3

    Shehe umesema vema, wote tutakufa, ya nini kutendana unyama huu

    • @محمدالقايد-د6ب
      @محمدالقايد-د6ب 4 ปีที่แล้ว +1

      Nashangaa utazani hawafi wao Dunia Ni yaoo hii kwanini watese watu

    • @annapeter4994
      @annapeter4994 4 ปีที่แล้ว

      @@محمدالقايد-د6ب ila Mungu yupo watapata majibu yao

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 4 ปีที่แล้ว +1

      ssa unyama gani wametendewa

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 4 ปีที่แล้ว

      @@محمدالقايد-د6ب wameteswaje ssa wwe umekatazwa kuandamans alfu unaandamana kisha unasema unateswa kama sio upumbavu ninini

    • @annapeter4994
      @annapeter4994 4 ปีที่แล้ว

      @@harrisonsamwel3112 hata hauhitaji elimu ya juu kuelewa unyama unatendeka Bara na Visiwani

  • @احمدالخروصي-ل8ك
    @احمدالخروصي-ل8ك 4 ปีที่แล้ว +1

    Halafu nyinyi wadishi wahabar wapuuz kwel mnatuma kitu cha zama sara kabisa

  • @OmarOmar-bp7nm
    @OmarOmar-bp7nm 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni aibu kwa mtu mzima mwenye wototo kuwa mwizi jambazi

  • @zach4068-c9e
    @zach4068-c9e 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂 miaka 8 iliopita ila bongo

  • @violethminja4416
    @violethminja4416 4 ปีที่แล้ว

    Kwanza huyo sio muislam

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 9 หลายเดือนก่อน

      Ndivyo alivyo kwambia kwamba yy siyo mwislamu

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 4 ปีที่แล้ว

    Simumwachee atembee kwani atakimbiaa mnazambi mapolisi wababe maana siwote mapolisi Ni wabaya wapo Baath yao

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 5 ปีที่แล้ว +1

    Mujue kula MTU atakufa usiringie cheo .cheo nn bwana

    • @diahemedsalumdia6594
      @diahemedsalumdia6594 4 ปีที่แล้ว

      Sasa kaenda kufata nn kama si ushari achen kulama akuna udin nchi hii

  • @Burton86jm
    @Burton86jm 12 ปีที่แล้ว

    Ni vigumu kufananisha chanzo cha tatizo na matukio haya,ndugu zetu waislamu mnasifika saana kwa ustaraabu ila kuanzia leo naona hiyo sifa sio yenu.

    • @iliyasamanzi5667
      @iliyasamanzi5667 5 ปีที่แล้ว

      Kumbuka ustaarabu hupatikana Kwa ustaarabu

  • @mahersaid258
    @mahersaid258 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa ii video ni ya mud mkubwa sana jmn

  • @kingnicky2568
    @kingnicky2568 4 ปีที่แล้ว

    2012

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว

    Mbona km ya siku nyingi.aaaaaa kumbe rais alikuwa kikwete.nyamazeni basi

  • @vitaliscompanltd7574
    @vitaliscompanltd7574 6 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @maidamwaipopo7645
    @maidamwaipopo7645 4 ปีที่แล้ว +4

    Mtoeni meno yote huyo

    • @salumabdu3533
      @salumabdu3533 4 ปีที่แล้ว

      wamal hayaatu ddun yaa illa maa ulghuruuur dada yangu

    • @salumabdu3533
      @salumabdu3533 4 ปีที่แล้ว

      maisha ya dunia ni yakupita tu wakimtoa meno akifa kwnai wangapi wamekufa na walikua nani hapa?

    • @goodmusic8389
      @goodmusic8389 4 ปีที่แล้ว

      Sasa anacha familia yake anaenda kuandaman akipigwa hapo hata Risas anacha familia yake kipumbavu tyuu hata ane mshabikia yeye familia yake iko salam wanakula na kunya huo ujinga wabomoe hata jicho ili liwe funzo kwa wengine na hata ck moja atoe istoria kwa familia yake

    • @barakamushi5581
      @barakamushi5581 4 ปีที่แล้ว

      @@goodmusic8389 Acha kuongea ujinga wa Ma-CCM wezi na wanao kula damu za Watanzania wanyonge nchi hii... ni Mafidiem ambao hawataki kusemea Haki kwa sababu ya msemo wa watanzania usemao "NI MWIKO au SIO UTAMADUNI MZURI KUONGEA WAKATI WA KULA" tangu uhuru wanao kula NCHI HII NI CCM ni CCM"Chanzo Cha Matatizo/Machafuko" ndo maana hawawezi kusimama kwa kuongelea HAKI KUTENDEKA KATIKA NCHI HII... HAWAWEZI KUSEMA CHO CHOTE CHA KUJENGA TAIFA HILI..." WANAKULA" huku watanzania wanyonge WANASHINDIA NJAA... IPO SIKU WATANZANIA HAWA WANYONGE WATAFANYA MAAMUZI MAGUMU yaan "WATAONA NI BORA ...KUCHAGUA KUFA KWA HIZO RISASI ZA CCM, TUMECCM na POLICCM... kuliko KUTESEKA KWA MANYANYASO YA MA-CCM huku WAKIFA KWA NJAA YA KUKOSA CHAKULA"....!!!

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว

      Kuma tu uyo shoga

  • @nurukwawote4716
    @nurukwawote4716 6 ปีที่แล้ว +1

    Mhuburi 6:
    3 Mtu akizaa watoto mia, akaishi miaka mingi, nazo siku za maisha yake ni nyingi, lakini nafsi yake haikushiba mema; tena ikiwa, zaidi ya hayo, amekosa maziko; mimi nasema, Heri mimba iliyoharibika kuliko huyo;
    Ndo shida ya kuzaa wengi ovyo wanataka haki na Ajira ya kizawadi wasiyoistaili wateuliwa tu kidini

  • @revocatusedward5739
    @revocatusedward5739 4 ปีที่แล้ว

    TUTUMIENI NA VIDEO ZA MAISHA YA BABA WA TAIFA, MAANA NAONA MMEISHIWA MPYA

  • @Untouchable227
    @Untouchable227 4 ปีที่แล้ว +1

    Imepita miaka minane sas angalieni comments zenu n tofaut na ya ss

  • @khakeemafro6274
    @khakeemafro6274 8 ปีที่แล้ว +1

    Iyo ndiyo imani kwa waislamu hakuna kurudi nyuma

  • @yahayamaulana1412
    @yahayamaulana1412 4 ปีที่แล้ว

    itv pumba

  • @thabitalwiy1
    @thabitalwiy1 4 ปีที่แล้ว

    Video ya 8 years mnaonyesha leo mnamana gani?

  • @fibimshongo4758
    @fibimshongo4758 6 ปีที่แล้ว +2

    tatizo elimu

    • @salumabdu3533
      @salumabdu3533 4 ปีที่แล้ว +1

      mhmm ww acha tuelimu nani ss uyoustadh hana elimu ee ipo siku utakuja kuijua thamani yakena ttakua mda umeisha.

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni ya kitambo acheni ujinga

  • @Kiramostoretz.shop.
    @Kiramostoretz.shop. 6 ปีที่แล้ว

    uyu mjinga sio muislamu, mshamba uyoo! pigeniiiiii

  • @asosamwanilwa9099
    @asosamwanilwa9099 4 ปีที่แล้ว +1

    Piga hao wapumbavu

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 5 ปีที่แล้ว

    TANZANIA ni nchi ya kikafli k m

  • @richmavoko6224
    @richmavoko6224 4 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭

  • @ohmyless3411
    @ohmyless3411 12 ปีที่แล้ว +1

    viongozi mnako taka twende tutafka tu maana waislam kwao kufa kwa ajili ya dini ni hadhi na heshima kubwa kwetu......Jee misri wameuliwa raia wngap?...lakini mubaraka si aling'oka..mageuziii!!.....oyeee

    • @diahemedsalumdia6594
      @diahemedsalumdia6594 4 ปีที่แล้ว

      Sasa wanatak kuleta udini

    • @goodmusic8389
      @goodmusic8389 4 ปีที่แล้ว

      We nae wakupiga huna.lolote unasaport ujinga ujitoe sadaka kwa jiri ya mtu ten hakufaham yeye yuko zake tyuu anainjoy

  • @teddlyimo6020
    @teddlyimo6020 4 ปีที่แล้ว

    Yan nyie mtaalaaniwa ila jiskie sana ila wote wawe wakubwa wadogo kuna kufaaa nyanyasen tuu watuu

    • @salumabdu3533
      @salumabdu3533 4 ปีที่แล้ว

      ipo siku thamani ya kila mtu wa allah atajulikanwa.

    • @octaviannyalusi7894
      @octaviannyalusi7894 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata vitabu vya dini vinasema watiini wenye mamlaka , Sasa Kama wewe unapinga upigwe tu

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 6 ปีที่แล้ว

    Mwehu wewe kwani uliambiwa maandamano ya 26 ni ya kidini?mbona unachanganya mambo! Hayo malalamiko ya waislam hayajaanza leo awamu zote sasa Magufuli ameingia juzi tu, haya yanamhusu vipi? Umebughi hayo sio ya mange ila ya wewe binafsi

    • @athumanichoyo1522
      @athumanichoyo1522 6 ปีที่แล้ว

      Soma vizur sio ya leo hiyo toka 2012..kuku wee ..mnapenda kukurupuka mambo yamepitaaa

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255 6 ปีที่แล้ว

      athumani choyo Kuku wewe na hao wajinga wenzio mmezoea vya bure shetani mkubwa weee rudi nyuma yezebel kwani ilikuwa lazima utukane? Mshenzi mkubwa yang'au ungekuwz muislam kweli usingetukana. Kulalamika lalamika tu hamna jema tumewazoea maisha lazima yaende tu. Ovyooooo

    • @athumanichoyo1522
      @athumanichoyo1522 6 ปีที่แล้ว

      Mjinga ni wew ulieshindwa kusoma alama za nyakati

    • @oscar.ndunguru980
      @oscar.ndunguru980 6 ปีที่แล้ว

      ROSE HILLARY haha?

    • @davidmadeje3570
      @davidmadeje3570 5 ปีที่แล้ว

      David Madeje.tatizo watazania wanafiki sanaa

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +4

    Ila uislam ni ushetani tuu waende somaria na yemeni na sudani wakaandamane na siyo TZ

    • @destiny4life439
      @destiny4life439 6 ปีที่แล้ว

      shetni ww na waza wako waliokuzaa sio uislam

    • @zuenaahmad3995
      @zuenaahmad3995 5 ปีที่แล้ว

      James Ngunda Teresia ukilisto.ndio.uxhetani.wee.kafirituuuu.hujuichochote

    • @fadhilially3457
      @fadhilially3457 4 ปีที่แล้ว

      Wewe kafili kwakwambia Nani uislamu niushetani acha maneno yashombo unakua Kama shoga ukihongwa buku una ongea ujisikiavyo

  • @lydiahneriss6183
    @lydiahneriss6183 6 ปีที่แล้ว

    Hii ni dhulma kweli

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 ปีที่แล้ว

    Jaman nchi yetu haina maonezi ya Kidini kabisa hapo serikali yangu naitetea mpaka mwisho.

  • @shebizorashim8222
    @shebizorashim8222 4 ปีที่แล้ว +1

    This is sheet

  • @goodmusic8389
    @goodmusic8389 4 ปีที่แล้ว

    Hao hawana hakir timam libaba lizima kabra ukatafutie lafe familia yako unaenda kuandaman huo ni kuonyesha baba mpumbavu kiasi gan? Tumien akili hat kuteng mchangua lissu yeye angekuwa anawaletea na pesa majumban kwenu mwendo ni ule ule mwanaume atakula kwa jasho HAPA KAZI TU

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 6 ปีที่แล้ว +2

    shida yao Ni kwamba Nchi iongozwe na Quraani

    • @ibrahimgwasma235
      @ibrahimgwasma235 6 ปีที่แล้ว

      ?

    • @ibrahimgwasma235
      @ibrahimgwasma235 6 ปีที่แล้ว

      ?

    • @ibrahimgwasma235
      @ibrahimgwasma235 6 ปีที่แล้ว

      ?

    • @alimassea612
      @alimassea612 6 ปีที่แล้ว +1

      Ibrahim Gwasma unakijua unachokiongea?

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255 6 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Gwasma Wajinga tuu Lybya iliongozwa na nani leo kiko wapi? Chunguza nchi zote za uarabuni ulikotoka uislamu ni vurugu tupu hakuna la maana wenyewe wanagombana mbaya. Hawataki kuambiwa ukweli, wengi wao ni wavivu, hawataki kusoma/ hawasomeshi watoto kisha wanalalamika. Mimi nina mifano mizuri ya waislamu safi, wacha Mungu, wasomi na kamwe huwezi kuwakuta kwenye upuuzi kama huu ni wale wa aina ya wavivu kwa sababu hawana la kufanya ila tu kupanga uharibifu