KIMENUKA! LOKOLE AFUNGUKA A-Z KUVUNJIKA KWA PENZI la KAJALA, MCHEPUKO WAHUSISHWA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 270

  • @nancychimama616
    @nancychimama616 2 ปีที่แล้ว +2

    We si ulisema humjui Wala hujawahi kumsikia loh!! Huna haya roho mbaya nyeusi.. Mungu anakuona.

  • @veithsimatwa5487
    @veithsimatwa5487 2 ปีที่แล้ว +24

    All the way from Kenya 🇰🇪 I love you people with your Ring leader mbea Jumalokole

    • @humphreyvidonyi253
      @humphreyvidonyi253 2 ปีที่แล้ว +3

      Huyo unaemtaja Ana tuhuma za ushoga

    • @ramseykalu3911
      @ramseykalu3911 2 ปีที่แล้ว

      @@humphreyvidonyi253lol tunalijua hilo

  • @jumahamisi8963
    @jumahamisi8963 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani Wasafi mnakumbatia Ushoga

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว +53

    Ila Paula hafai yule mtoto kwann anapenda kutoa siri za mama yake hajui km anamdhalilisha mama yk ni ukosefu wa adabu kwa mzazi wake loh. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo haya sasa ayaone Kajala km kikulacho kinguoni mwake

    • @barakatabdul3212
      @barakatabdul3212 2 ปีที่แล้ว +1

      Mtoto askia vibaya Alikua akimuona mamake yuwafaidi.🤣🤣🤣

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 2 ปีที่แล้ว +4

      Mama hajitambui mtumzima hovyo

    • @saddybrezzy9777
      @saddybrezzy9777 2 ปีที่แล้ว +3

      Mama mwenyew adabu hana

    • @zaynatyally7216
      @zaynatyally7216 2 ปีที่แล้ว +2

      Anamuinea vivu mama yake labda tusemaje 🤣

    • @tonygee5680
      @tonygee5680 2 ปีที่แล้ว +2

      Mama ana enjoy vitu vya mtoto ndio maana

  • @hamisikingakachu1259
    @hamisikingakachu1259 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyie machoko mbona ii radio mnaifanya kama aio taasisi mnakua kuongelea ujinga mtupu mausiqno yamtu yanawasaidia nini kaeni mjadili vitu vyamaana vipi amna ubunifu unifu mlikua nao kumzungumzia harmonaiz acheni ufara jilekebisheni mnambo yakijinga sana

  • @madawamchuwa8253
    @madawamchuwa8253 2 ปีที่แล้ว +30

    Hamumpendi harmonize lkn habari zake mnazipenda au ndio baniani mbaya kiatu chake dawa?

  • @KiT.KaT.Cute.
    @KiT.KaT.Cute. 2 ปีที่แล้ว +12

    Yaani Juma unafaa juu chini ilo penzi lao likufe.yaani likifa utafaidika nini?
    Wata unatamani uolewe na Harmo

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 2 ปีที่แล้ว +16

    Kweli mapenzi ya kwenye mitandao bhana hakuna kudumu

    • @brigidmua2548
      @brigidmua2548 2 ปีที่แล้ว

      They are still together. ..

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 2 ปีที่แล้ว +25

    Kajala alikua anatafta kisa ashapata ela 🤣🤣🤣

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 2 ปีที่แล้ว +8

    mi nilijua tu huo kajala alifata pesa tu nabado si alijitutumua huo mumakonde malaya sana maana ogopa mwanaume haoni mchango wa mwanamke nikikumbuka worper alimpenda kingali kitoto kidogo rakini kamubwanga

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume kama mabinti,Hawa ni mashoga, hakuna wanaume hapa

  • @zawadizawadimussa23
    @zawadizawadimussa23 2 ปีที่แล้ว +6

    Kajala kajala kajala,,nakuita mala tatu hakuna mwanaume asie chit nenda kwa mmeo ndgu yaku wanakupamba sasaiv Jua watakuzalilisha

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 2 ปีที่แล้ว +4

    KAJALA kamlea vbya mtt wake mama haongei kitu kwamtoto

  • @kilizajumainn826
    @kilizajumainn826 2 ปีที่แล้ว +7

    Juma utaumbuka tena

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 2 ปีที่แล้ว +5

    Kupumzika na kufumaniwa na msg mbona vitu vya kawaida hata kwenye ndoa.hakuna Cha kushangaza hapo

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nini vijana wa siku hizi hawataki kuishi maisha ya uwezo wao? Ni tamaa au ulimbukeni? Ishi ulivyo life itakuwa very easy, sio kuforce mambo ili uonekane Tajiri mwisho wa siku mtu anaishia pabaya,,,mtihani huu

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa uyo kajara siavumirieetuu wanaume ndivo warivo 😪

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 2 ปีที่แล้ว +6

    Kyii na wana lipwa ela bwaaa yani wakisha pana umbea ivo mwisho wa mwezi wana lipwa kumbe akuna kazi isiyo lipwa adi umbea 😲😭

  • @saurasoso1543
    @saurasoso1543 2 ปีที่แล้ว +5

    Li harmonize lenyewe ovyooooooh

  • @mimifineliving2022
    @mimifineliving2022 2 ปีที่แล้ว +6

    Hizi kiki za kupromote album

  • @christinashaban7262
    @christinashaban7262 2 ปีที่แล้ว +4

    Ivi siku akifa harmonise mtafurah sana ee lo maana si Kwa roho mbaya izo

  • @kilutilekituyanuya8504
    @kilutilekituyanuya8504 2 ปีที่แล้ว

    Ongeeni Sana harafu jeshi Kama jeshi hajibu mafara nyinyi

  • @bernadethakahemele4609
    @bernadethakahemele4609 2 ปีที่แล้ว +1

    Juma litamshukaaa uyu baba

  • @zaikokingnil7727
    @zaikokingnil7727 2 ปีที่แล้ว +1

    Kikubwa mshahara banaaa, ongeeenii hadi kieleweke

  • @jumamkongowe2272
    @jumamkongowe2272 2 ปีที่แล้ว +8

    Nani anasoma comments 👍

  • @thynerwith130
    @thynerwith130 2 ปีที่แล้ว +9

    Juma shikamoo😂🤝🏾

  • @anushkabarvat3924
    @anushkabarvat3924 2 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo harmonize ulifanya nguvu nyingi kwa kajala why brother unaona Sasa aah fanya kazi zako Archana na mapenzi na yule bibi bwana aaah

  • @adinani1574
    @adinani1574 2 ปีที่แล้ว +4

    wasafi bila ya harmonize hamuwezi kula

  • @minanitheophile3583
    @minanitheophile3583 2 ปีที่แล้ว +1

    Harmonize ndo habali ya Dar-as salama manage Nding 'Ano anasema kama awumutaji Jina Harmonize akuna kula , kwani Harmonize munganga wako Nani?

  • @mectilridamartine1498
    @mectilridamartine1498 2 ปีที่แล้ว

    Ohhh juma shikamoooo kwa umbea2 haujamboooo kak angu

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 ปีที่แล้ว

    Amnunilie Tena Range warudiane, mpumbavu Sana yule mmakonde

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 ปีที่แล้ว +8

    Kisha yatakutokea puani wakirudiana

  • @lammylameck254
    @lammylameck254 2 ปีที่แล้ว +1

    Juma unamtaka harmonize kimapenzi? Mbona unawashwa

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 ปีที่แล้ว

    Yani sijui juma hamo aliwafanyia nini jamani kutwa mdomoni mwenu halafu mwenzenu kashawajua anawapuuzia tu

  • @Lavieestbelle123-c6e
    @Lavieestbelle123-c6e 2 ปีที่แล้ว +1

    Juma 🙌

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 ปีที่แล้ว +5

    Matoto ya zinaaaa yana tabuu kweli

  • @sabrakhamis4585
    @sabrakhamis4585 2 ปีที่แล้ว

    Asaaa wanasibitishaa kwa kip ili iweje kwa mfano maaana inashangaza kwa kweli..hamo na kajalaa haina haja yakusibitishaa

  • @mackysuphian
    @mackysuphian 2 ปีที่แล้ว +3

    Mazuri ya harmonize hamsemi ila matatz yke mnayasema na mtu hamumpendi si mumuache lazim mumuongelee..muna boa🙌

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 2 ปีที่แล้ว +6

    Wambeya na boss kubwa la wambeya nyote muko nafuraha.

  • @Paulo-hx1hf
    @Paulo-hx1hf 2 ปีที่แล้ว +4

    Mmmmm hii inchi basi tu

  • @rajah9328
    @rajah9328 2 ปีที่แล้ว +1

    Sas Furaha yako Lokole ni Harmonize apotee tu siwe Mungu wew Juma

  • @wahidasaid6081
    @wahidasaid6081 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiki tu izi za kupromote album

  • @Chrisscherry
    @Chrisscherry 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbona ya Esma huwa mnayabania ,mbona ya zuchu na diamond hamusemi

  • @Tavvey
    @Tavvey 2 ปีที่แล้ว +6

    umama tuu wazehe wazima😊😊😊

  • @niyimpaeve9862
    @niyimpaeve9862 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda kueri kueri 😃😃😃😃😃😃

  • @Matutumusic
    @Matutumusic 2 ปีที่แล้ว

    Jeshi bado kijana sana ana miaka28, huyo mwenzie ana miaka 40... Wapi na wapi!!!? Rajabu bado ana mihemko ya ujana avumilie tu

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว +7

    Paula hana akili siri za mama yake anampa lokole mtoto wa mende ni mende mfyuuu

    • @josdandanjos6546
      @josdandanjos6546 2 ปีที่แล้ว

      We unauwakika gani kma n kweli mbn umeanza kuhukum mtoto wa watu wakat ww mwenyewe tuu hujakamilika.... Au na ww shoga yake Juma 😅😅

  • @babybaby8384
    @babybaby8384 2 ปีที่แล้ว +4

    😅😅😅😅Juma wew kiboko Kwa umbea😅😅👌🏻👌🏻🔥😍😍Dida bhana😅😅

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 2 ปีที่แล้ว

    Juma leo kawamsafi umesuka umependeza ulikua ka mwehu

  • @masengeshoodda2153
    @masengeshoodda2153 2 ปีที่แล้ว +10

    Love from🇷🇼🇷🇼

    • @bacondodjuma678
      @bacondodjuma678 2 ปีที่แล้ว

      Wowe twariganye ndakuzi 🤣🤣🤣 CIB

    • @Mwamikazi-s4f
      @Mwamikazi-s4f 2 ปีที่แล้ว

      Narinziko arinjye munyarwanda uba uri hano kumva umbea njyenyine 😂😂😂😂😂

    • @masengeshoodda2153
      @masengeshoodda2153 2 ปีที่แล้ว +1

      Wapi chr nanjye mbampabaye,🙇🙇🙄🙄nkanuye rwose

    • @Mwamikazi-s4f
      @Mwamikazi-s4f 2 ปีที่แล้ว

      @@masengeshoodda2153 😂😂😂😂😂 ndumva turi benshi

  • @anushkabarvat3924
    @anushkabarvat3924 2 ปีที่แล้ว

    Harmonize ni mpambanaji ila anachqnganywa na kajala aaah

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 ปีที่แล้ว

    Yani Juma akisikia baya hamo kwake Sherrie wanasahau huyo bosi wenu daimond amechezea wangapi hamo utafikili kaua mtu au kuachana Mbona kawaida bosi wenu anawachea wangapi ila hamo ako achana tu mnambeba juu juu

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 ปีที่แล้ว +2

    Bi mwajuma lokole punguza umbeaa mbona yako huyasemi hapo ulipo hujulikan km ww ni mwanamke au mwanaume

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว +3

    Kajala. Alijiamin na. Tako 😂😂😂😂
    Wakati. Kuna watu wana matako. Had wakikaa wanaangukia kwa nyuma😜😜😜😜😜😜
    Kajala. Jitu Zima andaz

  • @ginimbifamily3995
    @ginimbifamily3995 2 ปีที่แล้ว +11

    Eti Juma unapendwa ww na Bwana ako 😅😅🤣🤣🤣🤣

  • @kilunjupolinah343
    @kilunjupolinah343 2 ปีที่แล้ว +3

    Juma hizo rangi za Tshirt vipi?

  • @bellazara6448
    @bellazara6448 2 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ngoma ikivuma nyie mnanichekeshaa kajala atarudii team wasafi 😂😂😂😂😂tena

  • @rosemarymunyi5035
    @rosemarymunyi5035 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa

  • @reinatave3022
    @reinatave3022 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh kwa penzi lile mpaka mshipa wa mavi umeshtuka...

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 2 ปีที่แล้ว

    Acheni kumuonea harmo hakuna mwanaume mweny Demu mmoja

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 2 ปีที่แล้ว +10

    Kwani sasa uyo niumbeya hata wenye kuolewa sowanachika juma lokole unapenda umbeya sana ila watarudishana tena utakoma weye vaaaa Shang muwanauwe humo wewe mjinga

  • @everlyne8595
    @everlyne8595 2 ปีที่แล้ว

    Unapew unachotak alf unashtuk mwenzio kuhudumia playyour part chunaa mumbakishe mifupa

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahaaaa mbavu zangu jamani😂😂 nawapenda nyie wambea. Mwambieni kajala akitaka wa peke yake akamchongeshe sidoooooo.

  • @robinabomola8030
    @robinabomola8030 2 ปีที่แล้ว +4

    Na jana walikua wote gym jmn

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 2 ปีที่แล้ว

    Mapenzi ya mtandaoni🤣🤣 harmonize hawezi kumwoa Kajala ..Bado Damu yachemka...atamtafuta msichana mdogo

  • @allymix6617
    @allymix6617 2 ปีที่แล้ว +4

    Asheni ushoga wafuraiya mabaya

  • @keitatv9219
    @keitatv9219 2 ปีที่แล้ว +1

    Mjamzito kumbe akuenda clinic

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 ปีที่แล้ว

    Hayo ndio mahaba ndi ndi ndi

  • @anushkabarvat3924
    @anushkabarvat3924 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba broo juma lisije likakukuta kama lileeeeeeeh not broo

  • @missclementsemizigimisscle7458
    @missclementsemizigimisscle7458 2 ปีที่แล้ว +1

    Awajaachana juma utaumbuka vibaya

  • @ifabeach3281
    @ifabeach3281 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiki za album na manager wake tu, aibu itakurud

  • @araphatkannonyele3656
    @araphatkannonyele3656 2 ปีที่แล้ว +6

    Nyie nyimbo zake amuzipig Ila makandokando yake mnayapenda

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 2 ปีที่แล้ว +10

    Juma tupe umbea ,mtumzima tama imemponza, kakojolewa mpaka basi, chezea makonde 😁😁

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว

      Kachuna mpaka kakausha anaondoka

    • @victoriabayo7704
      @victoriabayo7704 2 ปีที่แล้ว +1

      Hivi kipindi cha kufuatilia maisha ya watu haina kitu cha maana cha kuzungumzia?

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 2 ปีที่แล้ว

      @@victoriabayo7704 ukijistiri aibu yako na mungu atakustiri pia

  • @reneeisaya733
    @reneeisaya733 2 ปีที่แล้ว +5

    Yaani we shoga utakufaga kwa umbea tu

  • @anushkabarvat3924
    @anushkabarvat3924 2 ปีที่แล้ว +1

    Nitafurahi kama kweli wameachana Ya'rab mh

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 2 ปีที่แล้ว +1

      Ili upate nini sasa?

    • @aminaa1969
      @aminaa1969 ปีที่แล้ว

      Khaaaa 😃😃😃😃😃

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 2 ปีที่แล้ว +58

    Km ni kweli ameachika,huyu diamond alichezea wangapi hata wanawake wakiwa faithful . Mpaka saa hii zuchu hafanyi kazi yake ya kuimba ,kazi kudanga na boss wenu. Heri hamonize anadanga na wengine wala sio anjella. Kisha na shangaa sana na watu wa wasafi ni km wanam ombea hamonize kupotea, na God ni nani ? Anambeba hamonize juu kwa juu, kweli hamo ni jeshi peke yake vs machawa na bombino na malaya wake 🤣🤣

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +5

      Mwambino voo sio bambinoo

    • @vedanismtv1892
      @vedanismtv1892 2 ปีที่แล้ว

      Walaka 🤣🤣🤣

    • @firdaussheikh4817
      @firdaussheikh4817 2 ปีที่แล้ว +2

      @@sabihaibrahim143 hana faida kazi kuharibu maisha ya wanawake, mungu amemwonyesha dadake amechezewa na sio enough lessons 🙄🙄

    • @jesusezra3678
      @jesusezra3678 2 ปีที่แล้ว +1

      Qweli haunazo kwamba amezaliwa tumbo moja na huyo kijana yake watu wanakaa na mabinamu zao iwe mtu alikuwa nae kwenye lebo

    • @jesusezra3678
      @jesusezra3678 2 ปีที่แล้ว +6

      Tafuteni ela acheni makasliko pumbavuuu zenu

  • @zubedahamis6660
    @zubedahamis6660 ปีที่แล้ว +2

    Umenikosha jamani

  • @muyamoja5023
    @muyamoja5023 2 ปีที่แล้ว +3

    kwahiyo kutengana kwao wewe ndo kinakufurahisha? nyinyi ni mashoga

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 2 ปีที่แล้ว +5

    Hvi juma lokole wee ni shoga

  • @aishashabani4835
    @aishashabani4835 ปีที่แล้ว +1

    Uyu juma unaniuwag kweli kwenye kutowa umbea jameni

  • @elizangungulu8252
    @elizangungulu8252 ปีที่แล้ว +2

    Imebidi nilejee hii show jamn @ jumalokole 😂😂😂😂😂

  • @bravin5971
    @bravin5971 2 ปีที่แล้ว +1

    Akifanya kitu kizuri haongelewi lakini kikitokea kitu kibaya kuhusu yeye ndio wasafi wanamuongelea 😂😂😂😂 Kipimo unachompimia mwenzako na ww utapimiwa hiko hiko

  • @feroozrajab4391
    @feroozrajab4391 2 ปีที่แล้ว

    Nilisha andikaga hayo mapenzi siku zao ni 90 tuu, Na hii niliipata kwa Dr Mwaka alikua akiongea na Dadaz EATV.Nilimwamina na mimi huwa nawaambia wanao jifanya wanapendana sana. Mkisha anza kujambiana ujue uzuri wote huonekana wa kawaida.Kila mtu atatamani penzi la wizi na ndio zuri😃😃😃.

  • @josdandanjos6546
    @josdandanjos6546 2 ปีที่แล้ว +2

    Usiseme wambea wenzako ... Sema mashoga wenzako 😅

    • @jumahamisi8963
      @jumahamisi8963 2 ปีที่แล้ว

      Huyo Juma ni shoga hadi amevaa rainbow na wasafi mnashabikia

    • @josdandanjos6546
      @josdandanjos6546 2 ปีที่แล้ว

      @@jumahamisi8963 🤣🤣🤣🤣sema ww kaka .. kuna jingine linahtwa Agrey 😅😅 linakatishwa mauno jukwaan linashikwa kiumo na Daimond daaaahh jamanii tutafuten ela 🙌🙌🙌

  • @unjuinkuganda1991
    @unjuinkuganda1991 2 ปีที่แล้ว +3

    BILA HAMO HAKUNA WASAFI ' Mamaku Nyie

  • @mariamstephano2744
    @mariamstephano2744 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbaluku Khan bana hahaha 😂😂

  • @madawamchuwa8253
    @madawamchuwa8253 2 ปีที่แล้ว

    Mumeumbuka mbwanyie haooo hamumpendi MTU mpotezeeni nini kufatilia habari zake?

  • @pillycharles4445
    @pillycharles4445 2 ปีที่แล้ว +1

    Paula atakuwa analipwa pesa na juma anatoa siri za mama yake yule mtoto

  • @belabelaz6551
    @belabelaz6551 ปีที่แล้ว +2

    ila juma mbeya san🤔😂😂

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 2 ปีที่แล้ว

    Tulisema kutoka kitambo Hawa hawataishi ..hiyo relationship ilikua ya kiki tuuu

  • @swahilifashion2206
    @swahilifashion2206 2 ปีที่แล้ว +7

    Didah unauliza wanaume mko wapi mbona ghafla Juma haitikii kauchuna anacheka cheka yeye hayupo kwenye wale 30 nini

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 ปีที่แล้ว +1

    Paula ndiyo anayetoa siri za konde gang....

  • @jaguarceleb1065
    @jaguarceleb1065 2 ปีที่แล้ว +2

    Wasafi tv always post fake news harmonize and kajala never breakup this morning kajala just post harmonize and she’s happy with harmonize where wasafi get this new to post about harmonize mwache chuki bana ata kama anashinda boss wanu kuimba

    • @mohammedrashidi6001
      @mohammedrashidi6001 2 ปีที่แล้ว

      Acha wajichoshe watu wamepost 🤰uko

    • @jaguarceleb1065
      @jaguarceleb1065 2 ปีที่แล้ว

      @@mohammedrashidi6001 everyone should stop watching wasafi tv because they Post fake news am online Instagram now harmonize and kajala there are in a good relationship where wasafi tv get there news about harmonize hama siyo chuku mimi sitawahi watch wasafi tv tena nime wa unfollow

  • @kleenheart
    @kleenheart 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa unavina😂😂😂..hamisi mpemba

  • @khadijaabdala6876
    @khadijaabdala6876 2 ปีที่แล้ว +3

    Jaman Idrisa wa kitaa

  • @ghadaalzuhari2739
    @ghadaalzuhari2739 2 ปีที่แล้ว +9

    Kwendraaa zako jama 😏😏😏😂

  • @carinamatt1031
    @carinamatt1031 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mwanamke hana akili Kuna mambo yake alifuata kwa harmonize kashakamilisha kaondoka

  • @azizikidevu8404
    @azizikidevu8404 2 ปีที่แล้ว +1

    ilaa njaaa mbayaaa 😂

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 2 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakufaaaaa eti kila baada ya miez mitatu clinic kama ina ujauzito 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 2 ปีที่แล้ว +1

    Penzi la kajara na harmonize nalo ni ndoige