Hongereni Kwa kipindi kizuri Allah azidi kuwaweka ili tupate kujifunza zaidi Na ss walimu wengine. Hongera sana ticha Jokha Na mkalimani. Na pia hongera Kwa Mr Hamad ningeomba kipindi kizidi kunogeshwa zaidi in shaa Allah.
Hongera sana madam jokha kwa ufnfshaji wako mzuri pamoja na mkaliman wako Allah awaeke inshaallah muzidi ktjenga kmaarifa n sisi walim ambao tupo kwnye mafunzo
Nzuri kwa kuanza na utangulizi wanaoujuwa. Kwenye maarifa mapya wanafunzi hawakutenda. Ni vyema hizo flash card zikatumika katika mazoezi mbali mbali hata kutumika katika kukazia maarifa na kupima maarifa na mengineyo. Watoto lazima watende

Hongera mkaliman kaz nzur kwa kwel unajl watu wenye mahitaji maalum hongera sana
Mashaaa Allah teacher jokha upo vzr
Wooow shoga yangu madam jokha upo vizuri hongera
T.Jokha Mashaallah lkn pia Mkalimani Hongera sanaa Mashaallah maana hadi napenda anavokalimani😘
Hongera mkalimani 🥰
Uko vizuri mamy
Hongera sana tchr joha kwa kufundisha vzur
Hongera sana madam jokha kwa ufnfshaji wako mzuri pamoja na mkaliman wako Allah awaeke inshaallah muzidi ktjenga kmaarifa n sisi walim ambao tupo kwnye mafunzo
Hongera teacher jokha kazi nzur 😊🙏