PROFESA MKENDA na KATIBU MKUU wa ELIMU WAZUNGUMZIA FAIDA ya MABADILIKO ya MITAALA ya ELIMU....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • PROFESA MKENDA na KATIBU MKUU wa ELIMU WAZUNGUMZIA FAIDA ya MABADILIKO ya MITAALA ya ELIMU....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 11

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 หลายเดือนก่อน

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @ThomasMcha-jk5yt
    @ThomasMcha-jk5yt 7 หลายเดือนก่อน

    Let me be very Honest here:!!
    Am very Happy to Hear & See Professionals(AccademicProfessors) in the Field of Education get to Freely Remmit Their Minds!! Bila Woga wa wakuwajibika Kisiasa!! This is what we needed !! Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan natambua Uhuru ambao Upo katika Baraza lako la Mawaziri kwa Sasa..... The Spirit of Rebuilding "THINK TANKS " is Possible Again!!

  • @Daniel-qy4yw
    @Daniel-qy4yw 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mama samia

  • @JamesLekeni
    @JamesLekeni 7 หลายเดือนก่อน

    Private university sisi tumetengwa. Hatuoni chochote. Siyo scholarships Wala chochote. Mtufikirie na sisi( private Institutions)

  • @nikundiweamosi5087
    @nikundiweamosi5087 7 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu hapa mnajisifia tu, hamjajiandaa kabisa na mabadiliko mnafanya kwa kulipuka tu kisiasa

  • @DOWNSYNDROME-TZ
    @DOWNSYNDROME-TZ 7 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba walimu wa kufundisha wenye Mahitaji Maalum hasa Intellectual Impairment waongezwe kwa kukusudia. Chuo pekee cha Patandi hakitoshelezi.

  • @bilid4128
    @bilid4128 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa waziri ,Mfano unataka Walimu 2000 kabla hujawapa mtihani ,je utawapataje hao 2000 ? Ukifungua dirisha la maombi wanatuma waombaje laki mbili ,je hao wote laki mbili ndiyo utawapa mtihani ? Na kama ndiyo je wakifaulu wote laki mbili ?

  • @NKUNDWEMEDSON-ie3pi
    @NKUNDWEMEDSON-ie3pi 7 หลายเดือนก่อน

    Waboreshe maslahi ya walimu na mengine ni siasa tu

  • @DOWNSYNDROME-TZ
    @DOWNSYNDROME-TZ 7 หลายเดือนก่อน

    Down Syndrome Tanzania tulipendekeza Mtaala wa kuwafundisha Wenye Down Syndrome na kuwasilisha kwa Taasis ya Elimu Tanzania (TET). Ni tumaini letu kuwa Mtaala huo utatumika kuwafundisha hawa wenye ulemavu wa akili.

  • @DOWNSYNDROME-TZ
    @DOWNSYNDROME-TZ 7 หลายเดือนก่อน

    Elimu Jumuishi ngazi ya Secondary bado haijawajumuisha wenye Hali ya Down Syndrome. Mfano ni Shule ya mfano Patandi. Hawapo.
    Je, kwa hii Sera mpya ya Elimu hawa wenye Down Syndrome wataendelea hadi Kidato cha 4 bila kupimwa kwa mitihani ya kawaida ya Baraza la Mitihani?