"Bora walinyama kuliko walimwengu" looh Sam wa ukweli ,nitakukumbuka milele nyimbo zako zote zilikua na ujumbe mzito ila binadamu kweli tumefungwa vitambaa hatuoni.Hawataki kuona mtu mwenye moyo mzuri lazima watampoteza kama walivyomfanyia Yesu Christo,ila mungu ndie ajuae. Pumzika kwa amani mbele yako nyuma sisi.Amina.2020 Love u from Mombasa ❤❤❤🙏
❤❤❤❤
Maisha bro, walimwengu ni nouma
"Bora walinyama kuliko walimwengu" looh Sam wa ukweli ,nitakukumbuka milele nyimbo zako zote zilikua na ujumbe mzito ila binadamu kweli tumefungwa vitambaa hatuoni.Hawataki kuona mtu mwenye moyo mzuri lazima watampoteza kama walivyomfanyia Yesu Christo,ila mungu ndie ajuae.
Pumzika kwa amani mbele yako nyuma sisi.Amina.2020 Love u from Mombasa ❤❤❤🙏
Walimwengu wabaya.bora uwe peke yako.😢 rest in peace legend
Legend
Still hurting 😭😭😭😭
Rip Sam wa ukweli 😭😭
kweli sam hongera sana wenye masikio wasikiye pumzika salama ujumbe mazito sana sana tu
R.i.p Sam was ukwel naumia Sana
Bora wali nyama kuliko walimwengu bora wali tembele dah....😭😢😢😢😢😢😭😤 R.I.P sam
Dah R.l.P sam God will be with you too young and you had so many plans
mungu akupe kauli thabit daaaaahhh
😔 SAD SAD, PROCEED RESTING IN PEACE SAM ❤
Usiwaamini hao
Am still hurting Sam,rest in peace 🇰🇪
REST IN PEACE TRUE LEGENG OF BONGO FLAVOUR
Continue resting in enternal peace
Rest in peace 💔
pmzk salama m2 wangu