Asalaam Alaikum yote tutasema na wengi tutawalaumu lakini misingi ya dini hakuna ndani ya familia wazazi wanashughulika zaidi na masomo ya dunia tutakapo kazana ki dini pia watoto watauelewa uislam vizuri kujua kua uislamu sio tuu kuswali au kufunga bali ni Tabia njema na kujistiriTunamuomba Allah atuongoze jamii yote
Utandawazi na ujinga wa baadhi ya viongozi wa kiislamu kukosa dini,kwani wanaangalia sana dunia na kipato!! Na ndyo hicho masheikh walimwambia Dr. Mwinyi kwani mabaa yamekthiri Zanzibar na usiku kwapigwa magoma, alhamdulillah kidogo nafuu!!
MashaAllah mazungumzo mazuri sanaaa, maoni yangu naona huu uharibifu wote unaondeleya ndani ya miji yetu ni watu kuwa natama kubwa sana ya pesa.
SubhanaAllah yasikitisha sana mambo mengi mabaya yanaondeleya ndani ya coast.
Subhallah 😭😭😭
Asalaam Alaikum yote tutasema na wengi tutawalaumu lakini misingi ya dini hakuna ndani ya familia wazazi wanashughulika zaidi na masomo ya dunia tutakapo kazana ki dini pia watoto watauelewa uislam vizuri kujua kua uislamu sio tuu kuswali au kufunga bali ni Tabia njema na kujistiriTunamuomba Allah atuongoze jamii yote
Msipo zuia Basi adhabu Ya ALLAH ipo njiani yaja na haita chagua nzuri Wala mbaya
Hawawezi😂😂😂😂
Masheikh mumekoseya hapo kwa hiyo khidma mufanyiwayo na ukhti.kisheriya haifai hapo mumefeli