Gideon Paul ft Goodluck Msuya - Sijaona

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 66

  • @gospeltotheworld
    @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว +6

    Intro (Gideon Paul)
    Huuuuu yeyeye yeye yeeh!
    Sijaona wakufanana na wewe
    Huuuuu uuuuuh uuuuh! Sijaona wakufanana na wewe!
    Verse 01
    (Gideon Paul)
    Je ni nani? Mwenye nguvu kama zako
    Sijaona Wakufanana na wewe
    Mwenye uweza mamlaka kama yako baba eeeh
    Sijaona wakufanana na wewe
    (Goodluck Msuya)
    Aliyeumba Mbingu bila nguzo yeyote
    Sijaona wakufanana na wewe
    Uliumba lakini haukuumbwa
    Sijaona wakufanana na wewe
    Ooh Je ni nani?
    Chorus 01
    Je ni nani mwenye nguvu kama zako?
    Sijaona Wakufanana na wewe!
    (Ninaaaani?)
    Je ni nani mwenye nguvu kama zako?
    Sijaona Wakufanana na wewe!
    (Mponyaji kama wewe hayuuupo)
    Je ni nani mwenye nguvu kama zako?
    Sijaona Wakufanana na wewe!
    (Mwenye kupenda kama wewe)
    Je ni nani mwenye nguvu kama zako?
    Sijaona Wakufanana na wewe!
    (Mwenye kujali kama wewe!)
    Je ni nani mwenye nguvu kama zako?
    Sijaona Wakufanana na wewe!
    Verse 02.
    Uliyeponya wagonjwa ukatakasa wakoma, nani kama wewe baba,
    Hakuna kama wewe!
    Wewe ni Mungu mwenye nguvu! wewe ni baba Mwenye uweza!
    Uliwapa tasa watoto
    Hakuna kama wewe baba!
    Matendo yako yashangaza dunia! Nani kama wewe Yesu!
    Hakuna kama wewe!
    Shujaa wa msalaba, mshindi wa kifo na kaburi!
    (Sijaona wakufanana na wewe)
    Sijaona ×2
    (Sijaona Wakufanana na wewe)
    Sijaoona!
    Chorus 02.
    Sijaona oooh sijaona! (Kama wewe)
    Sijaona wakufanana na wewe!
    (Mkamilifu)
    Sijaona oooh sijaona!
    Sijaona wakufanana na wewe!
    Mwenye-ishaara
    Sijaona oooh sijaona! (Mtakatifu)
    Sijaona wakufanana na wewe!
    Mtenda maajabu mengi!
    Sijaona oooh sijaona!
    Sijaona wakufanana na wewe!
    Mtenda maajabu Mengi
    Sijaona oooh sijaona!
    Sijaona wakufanana na wewe!
    Music
    Uliyeshinda kifo kaburi
    kama wewe hayupoo!
    Sijaona!
    Chorus 02 (repeated)
    Sijaona oooh sijaona!
    Sijaona wakufanana na wewe!
    (Kivuli changu)
    Sijaona oooh sijaona!
    Sijaona wakufanana na wewe!
    (Baba mwenye upole Mwingi)
    Sijaona oooh sijaona!
    Sijaona wakufanana na wewe!
    (Mkamilifu kama wewe)
    Sijaona oooh sijaona!
    Sijaona wakufanana na wewe!
    Outro
    Hallelujah Mwanzo na mwisho ni wewe!
    Uzima wangu ni wewe!
    Afya yangu ni wewe!..
    END

  • @boyuneed4800
    @boyuneed4800 3 ปีที่แล้ว +1

    Bra jobbat bror be 🙏 gud välsigne

  • @petermwita1208
    @petermwita1208 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijaonaaa .....wa kufanana na yeye Kabisa kabisaaa...
    Haichoshi kusikiliza. Barikiwa bro.

  • @gospotv
    @gospotv 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri ubarikiwe

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana kaka

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

      Kwa digital platforms zingine unaweza kutumia link hii utaziona zote
      frontl.ink/z2pvw97
      TH-cam
      th-cam.com/video/_WqWuyxF2_s/w-d-xo.html
      Kutoka 15:11
      [11]Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe?
      Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu,
      Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?

  • @noahmisholi1080
    @noahmisholi1080 3 ปีที่แล้ว

    Ni njema mnoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @boyuneed4800
    @boyuneed4800 3 ปีที่แล้ว

    Bra jobbat 👏

  • @frankmsuya7169
    @frankmsuya7169 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @gospeltotheworld
    @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว +4

    Kutoka 15:11
    Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe?
    Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu, Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?

  • @MisterIMMA
    @MisterIMMA 6 หลายเดือนก่อน

    Ami kakw ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @nashonkennedy8800
    @nashonkennedy8800 3 ปีที่แล้ว

    Pastor!!! 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @alicekavuumwaniki1998
    @alicekavuumwaniki1998 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana Watumishi wa Mungu wa Israeli

  • @jeremiahnelson2090
    @jeremiahnelson2090 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri kaka ubarikiwe zaidi

  • @johnalphaxard
    @johnalphaxard 3 ปีที่แล้ว +2

    Shujaa wa Msalaba mshindi wa kifo na kaburi❤️‍🔥❤️‍🔥🎊

  • @WinnieKinyua-k8h
    @WinnieKinyua-k8h 10 หลายเดือนก่อน

    Lately I've been listening to this when I remember how faithful the Lord has been to me this is my testimony song.....kweli sijaona kama wewe

  • @christmandaniel537
    @christmandaniel537 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen

  • @yusuphhibwa3413
    @yusuphhibwa3413 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Gideon wimbo mzuri sana

  • @EmmaFrancis14
    @EmmaFrancis14 3 ปีที่แล้ว

    #SIJAONA nyimbo nzuri sana hii Mungu awabariki sana

  • @modestermkirya4548
    @modestermkirya4548 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna viwango vikubwa unaelekea mtumishi wa Mungu,,,,,nimebarikia, ni kweli sijaona wakufanana na Yeye

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

      Amen amen dada yangu

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

      Oooh! Hallelujah kwa mwanakondoo wa Mungu aketiye enzini. Kutoka 15:11 Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe?
      Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu
      Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?

  • @DaudiMazengoMasterDTEM
    @DaudiMazengoMasterDTEM 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana. By Master DTEM aka Daudi Mazengo

  • @mtotowayesu156
    @mtotowayesu156 3 ปีที่แล้ว

    Uuuuuuu! Sijaona wakufanana nawee

  • @pauljpaul6625
    @pauljpaul6625 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni moja ya Nyimbo iliyojaa baraka kubwa sanaa

  • @thetwinsjj2102
    @thetwinsjj2102 3 ปีที่แล้ว

    Huu siyo wimbo wa kawaida bali ni injili kabisa aise tumebarikiwa sana na huu wimbo umetaja matendo makuu ya Mungu shujaa wa msalaba mshindi wa kifo na kaburi hakika hakuna kama yeye hallelujah mbarikiwe Sana watumishi wa Mungu

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

      Oooh! Hallelujah kwa mwanakondoo wa Mungu aketiye enzini. Kutoka 15:11 Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe?
      Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu
      Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?

  • @queensiku
    @queensiku 3 ปีที่แล้ว +1

    Akuna wakufanana naye.

  • @azizizabron7792
    @azizizabron7792 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera gidion kwa wimbo mzuri

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana wakaribishe wengine wabarikiwe pia

  • @doysilanda4122
    @doysilanda4122 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera wimborne mzuri

  • @mmarijackson8699
    @mmarijackson8699 3 ปีที่แล้ว

    Ipo pouwaaah ila unanikera

  • @danielbeatpro9692
    @danielbeatpro9692 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana ndugu

  • @nice7706
    @nice7706 3 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏

  • @goodluckmsuya8994
    @goodluckmsuya8994 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo wa muda wote Hongera sana rafiki yangu

  • @dayumamachia2141
    @dayumamachia2141 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni kazi nzr mungu awainue brothers...binafc cjaona

  • @sarafinavictory2661
    @sarafinavictory2661 ปีที่แล้ว

    Good song

  • @Rosette8474
    @Rosette8474 3 ปีที่แล้ว +1

    Powerful song...hakika sijaona wa kufanana nae📌

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

      So powerful song
      Kutoka 15:11
      Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe?
      Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu,
      Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

      Please Subscribe my channel

  • @nancyongaga7079
    @nancyongaga7079 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @williammabanga7201
    @williammabanga7201 3 ปีที่แล้ว

    Moja ya kazi Nzuri sana kupata kusikia,Ubarikiwe sana,Mungu azidi kukutumia mdogo wangu!!Namtukuza Bwana kwa ajili Yako!!

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

      Hallelujah, sifa na utukufu zikifikie kiti cha enzi cha Mungu mwenye haki juu Mbinguni , Jina lake ni JEHOVA TSIDKENU, YAHU, YEHOSHUA HAMASHIACH, MUNGU MKUU. Asante sana, keep sharing the Gospel

  • @maryanthony780
    @maryanthony780 3 ปีที่แล้ว

    waoo hakika sjaona!

  • @gospeltotheworld
    @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

    Kutoka 15:11
    [11]Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe?
    Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu,
    Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?audiomack.com/gideonpaul/song/gideon-paul

  • @markokivamba3722
    @markokivamba3722 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @sharonpraise8335
    @sharonpraise8335 2 ปีที่แล้ว +1

    I have just got to hear the song of the season.....I'm acknowledging from the bottom of my heart non compared to Yahweh 🙏 Good ministration indeed 🙏

  • @paulsevere2461
    @paulsevere2461 3 ปีที่แล้ว

    Mmefanya Kazi nzuri sana mdogo wangu Goodluck!! Mungu awainue level zingine za juu zaidi!!

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว +1

      Kutoka 15:11 Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe?
      Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu,
      Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?

  • @mtokambaligospeltv2875
    @mtokambaligospeltv2875 3 ปีที่แล้ว +2

    So much blessed...!!!

  • @emmamgilla8505
    @emmamgilla8505 3 ปีที่แล้ว

    A blessing song

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

      Kutoka 15:11
      Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe?
      Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu,
      Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?

  • @joshuanziku5736
    @joshuanziku5736 3 ปีที่แล้ว

    Blessing song

  • @liberatasimon
    @liberatasimon 3 ปีที่แล้ว

    AMEEN AMEEN AMEEEN Glory to God for this amazing song.. Mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld  3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana dada yangu. Please share to your friends

  • @aronsamu299
    @aronsamu299 3 ปีที่แล้ว

    #Sijaona

  • @nashonmahimbi
    @nashonmahimbi 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥