KANISANI KWETU HARUSI YA BW. MWITA CHARLES MBWEGA NA BI. KULWA ZAKAYO IGENGE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @charlesmwita8903
    @charlesmwita8903 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amekuwa mwema kwetu nawashukuru sana ndugu zangu

  • @wishnamhoja9059
    @wishnamhoja9059 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwen Sana mwita.. nimekuona nikakumbka.. ila najua ulimalz mwanz O-level.. ila dah hatimaye.. umepata wakoo MUNGU mwema Sana...🙏🙏

  • @ruthmaeja6340
    @ruthmaeja6340 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki Mr & Mrs Mwita Charles,harusi ilikuwa njema kabisa

  • @BarakaYohana-c9k
    @BarakaYohana-c9k 6 วันที่ผ่านมา

    Naombeni huyu mchungaji afungishe ndoa yangu please 😊😂

  • @MariaKisoleka-vy2mf
    @MariaKisoleka-vy2mf ปีที่แล้ว

    Ilipendeza sanaa

  • @Haika28
    @Haika28 4 ปีที่แล้ว +3

    Haki nimempenda mchungaji huyu😅😅😂😂😂naomba kumfahamu alooo. Sio kwa maneno hayo, Kulwa na mwita hongereni, Bwana awatangule katika ndoa yenui

    • @emma3860
      @emma3860 หลายเดือนก่อน +1

      Anaitwa Pastor Kwilasa

  • @sayijulius9576
    @sayijulius9576 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana maharus bwana awatagulie katika Manisha yote

  • @farajatarimo9735
    @farajatarimo9735 4 ปีที่แล้ว +1

    All the best in your new life though I am late to wish you

  • @neemawilliam1531
    @neemawilliam1531 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana.

  • @angelamarlow510
    @angelamarlow510 4 ปีที่แล้ว +2

    Nawew mtangazaji km ujaoa oaa maana nimekusikia unawaambia vijana waoe nawe pia ump
    But nawapongeza hao wakurya wezangu Mungu awatanguliie

  • @marcosilas
    @marcosilas ปีที่แล้ว

    Kijana hongeraaa

  • @happinesspastony9298
    @happinesspastony9298 3 ปีที่แล้ว

    Wabarikiwe sana watoto wa Baba,

  • @yohanachiristopher3087
    @yohanachiristopher3087 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awatangulie

  • @amonidafa9665
    @amonidafa9665 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji Punguza kuongeaaa...Mziki wa match uwe juu

  • @amanmasalu7349
    @amanmasalu7349 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe Sana na bwana

  • @angelamarlow510
    @angelamarlow510 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji Bhn 😆 Ubarikiwe

  • @evamusa728
    @evamusa728 ปีที่แล้ว

    Jina la Huyu pastor Ni Anaitwa Nani?😅😂😂😀

  • @kisinzamageleja7164
    @kisinzamageleja7164 3 ปีที่แล้ว

    Yaani nimebarikiwa Sana na huyu pastor

  • @shemkiyondi9866
    @shemkiyondi9866 4 ปีที่แล้ว

    Am blessed

  • @queenbhatari5171
    @queenbhatari5171 3 ปีที่แล้ว +1

    Uwhoooooaaaaa

  • @robhimasuda3683
    @robhimasuda3683 4 ปีที่แล้ว

    It's was a good day,,,,, yaaan ilifana sanaaaaa🔥🔥🔥

    • @robhimasuda3683
      @robhimasuda3683 4 ปีที่แล้ว

      but huyo pastor alijua kutuvunja mbavuu akiii🙌🙌🙌

    • @matendomedia
      @matendomedia  4 ปีที่แล้ว +1

      Robi naomba ututafute kwa hii namba 0621585476

  • @jovinusalex4066
    @jovinusalex4066 4 ปีที่แล้ว +1

    Pendeza sana

  • @thegospelmessage5039
    @thegospelmessage5039 4 ปีที่แล้ว

    tafadhali ningependa kujua majina ya mchungaji ili nitafute mafunzo mengine aliyo ubiri.asante

    • @matendomedia
      @matendomedia  4 ปีที่แล้ว

      Anaitwa Mch Paul Kwilasa anachunga Mtaa wa Geita kati

  • @davidmagita7807
    @davidmagita7807 4 ปีที่แล้ว

    Bwana awalinde na kuwatunza

  • @petermarwawankaba5378
    @petermarwawankaba5378 4 ปีที่แล้ว +2

    Familia njma

  • @mnyela
    @mnyela 3 ปีที่แล้ว

    Hilo Kanisa liko wapi?

  • @charlesmwita8903
    @charlesmwita8903 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂🤲🤲🙏🙏🙏

    • @masatimwazembe9874
      @masatimwazembe9874 3 ปีที่แล้ว

      Hallo Kaka mkubwa daaah hakika arusi yako ilifana namba yako sijui naweza kuipataje unisaidie kitu