- 2 713
- 2 381 394
MATENDO MEDIA
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 10 ก.พ. 2016
KWA HUDUMA YA KUKURUSHIA MATANGAZO KUPITIA #MATENDO_YA_KANISA_MEDIA
Cont: #Whatsapp / +255621585476
# Facebook / Matendo Media
# Tiktok / Matendopro
matendo_yakanisa_media?igshid=MzNlNGNkZWQ4Mg%3D%3D
Cont: #Whatsapp / +255621585476
# Facebook / Matendo Media
# Tiktok / Matendopro
matendo_yakanisa_media?igshid=MzNlNGNkZWQ4Mg%3D%3D
MCHUNGAJI GOFRREY MBWANA AWAPONGEZA MATENDO MEDIA KWA UTUME WANAOUFANYA
USISAHAU KUSUBSCRIBE
มุมมอง: 301
วีดีโอ
WImbo Mkuu wa mkutano ulioimbwa na Watoto NGBF (TUMAINI JIPYA KWA WATOTO WA YESU)
มุมมอง 403วันที่ผ่านมา
WImbo Mkuu wa mkutano ulioimbwa na Watoto NGBF (TUMAINI JIPYA KWA WATOTO WA YESU)
ZABRON SINGERS WAKIWA KENYA KWA MARA NYINGINE WAKIIMBA WOMBO MPYA WA AKIDA UTAPENDA.
มุมมอง 2.6Kวันที่ผ่านมา
ZABRON SINGERS WAKIWA KENYA KWA MARA NYINGINE WAKIIMBA WOMBO MPYA WA AKIDA UTAPENDA.
TUMAINI JIPYA KWA WATOTO WA YESU DAY 5 MALEZI YA WATOTO
มุมมอง 5021 วันที่ผ่านมา
TUMAINI JIPYA KWA WATOTO WA YESU DAY 5 MALEZI YA WATOTO
MIRIAM YULE DADAYAKE MUSA ALIIMBA WIMBO KUMSIFU MUNGU - SAUTI YA JANGWANI LIVE PERFOMANCE
มุมมอง 2812 หลายเดือนก่อน
MIRIAM YULE DADAYAKE MUSA ALIIMBA WIMBO KUMSIFU MUNGU - SAUTI YA JANGWANI LIVE PERFOMANCE
VIDEO FUPI KIPINDI KILICHOFANYWA NYUMBANI KWAKE MARCO WA ZABRON SINGERS ENZI YA UHAI WAKE
มุมมอง 13K4 หลายเดือนก่อน
VIDEO FUPI KIPINDI KILICHOFANYWA NYUMBANI KWAKE MARCO WA ZABRON SINGERS ENZI YA UHAI WAKE
KIPINDI KILICHOFANYWA NYUMBANI KWAKE MARCO WA ZABRON SINGERS ENZI YA UHAI WAKE
มุมมอง 29K4 หลายเดือนก่อน
KIPINDI KILICHOFANYWA NYUMBANI KWAKE MARCO WA ZABRON SINGERS ENZI YA UHAI WAKE
SHUHUDIA MARCOM WA ZABRON SINGERS MWILI WAKE ULIVYOPOKELEWA NA MAMIA NYUMBANI KWAKE KAHAMA
มุมมอง 4.1K4 หลายเดือนก่อน
SHUHUDIA MARCOM WA ZABRON SINGERS MWILI WAKE ULIVYOPOKELEWA NA MAMIA NYUMBANI KWAKE KAHAMA
MLIMANI YOUTH TUTAKUTANA NA YESU LIVE PARFOMANCE
มุมมอง 1104 หลายเดือนก่อน
MLIMANI YOUTH TUTAKUTANA NA YESU LIVE PARFOMANCE
TAZAMA WASHIRIKI WAJAWA NA SHANGWE MARA BAADA YA UBATIZO ASKOFU NAE KAINGIA KWA MTUMBWI
มุมมอง 1215 หลายเดือนก่อน
TAZAMA WASHIRIKI WAJAWA NA SHANGWE MARA BAADA YA UBATIZO ASKOFU NAE KAINGIA KWA MTUMBWI
USIKOSEE NI SHULE ZA EDEN SCHOOLS WANA JAMBO LAO
มุมมอง 1175 หลายเดือนก่อน
USIKOSEE NI SHULE ZA EDEN SCHOOLS WANA JAMBO LAO
UPENDO CHOIR KUTOKA NGARA ANGLIKANA WAKIHUDUMU KATIKA MAKAMBI MTAA WA NGARA
มุมมอง 1025 หลายเดือนก่อน
UPENDO CHOIR KUTOKA NGARA ANGLIKANA WAKIHUDUMU KATIKA MAKAMBI MTAA WA NGARA
KILABELA YOUTH CHOIR LIVE PERFOMANCE MAKAMBI 2024 KILABELA
มุมมอง 1686 หลายเดือนก่อน
KILABELA YOUTH CHOIR LIVE PERFOMANCE MAKAMBI 2024 KILABELA
SIRI NI YESU MASHIRI SDA CHOIR_ LIVE PERFOMANCE
มุมมอง 1.1K8 หลายเดือนก่อน
SIRI NI YESU MASHIRI SDA CHOIR_ LIVE PERFOMANCE
YATOSHA KUMTUMIKIA SHETANI BULYANHULU SDA CHOIR_LIVE PERFOMANCE
มุมมอง 6K8 หลายเดือนก่อน
YATOSHA KUMTUMIKIA SHETANI BULYANHULU SDA CHOIR_LIVE PERFOMANCE
SAA YA UKOMBOZI BULYANHULU SDA CHOIR_LIVE PERFOMANCE
มุมมอง 2398 หลายเดือนก่อน
SAA YA UKOMBOZI BULYANHULU SDA CHOIR_LIVE PERFOMANCE
KWA KWELI MTAA WA NYARUGUSU UNA KARAMA YA UIMBAJI HEBU CHEKI HAWA VIJANA
มุมมอง 1.3K8 หลายเดือนก่อน
KWA KWELI MTAA WA NYARUGUSU UNA KARAMA YA UIMBAJI HEBU CHEKI HAWA VIJANA
KAMA HUTOBARIKIWA NA WIMBO WA BABU HUYU NAKURUDISHIA BANDO LAKO
มุมมอง 1018 หลายเดือนก่อน
KAMA HUTOBARIKIWA NA WIMBO WA BABU HUYU NAKURUDISHIA BANDO LAKO
NITAKWENDA CHATO MISSION LIVE PERFOMANCE
มุมมอง 16K8 หลายเดือนก่อน
NITAKWENDA CHATO MISSION LIVE PERFOMANCE
WAISILAM NA WASABATO WAKUTANA KWA JAMBO KUBWA..JIJINI MWANZA.
มุมมอง 2009 หลายเดือนก่อน
WAISILAM NA WASABATO WAKUTANA KWA JAMBO KUBWA..JIJINI MWANZA.
ZABURI ZAA SIFA | BEST COLLABORATE SONG 2024 MASHIRI SDA & SHAMALIWA SDA
มุมมอง 2949 หลายเดือนก่อน
ZABURI ZAA SIFA | BEST COLLABORATE SONG 2024 MASHIRI SDA & SHAMALIWA SDA
ACHANENI NA MIPIRA | KWANZA KUPIGA CHENGA NI UONGO MCH: MLOZI
มุมมอง 26910 หลายเดือนก่อน
ACHANENI NA MIPIRA | KWANZA KUPIGA CHENGA NI UONGO MCH: MLOZI
MAGENA MAIN YEYE NI MUNGU PEKEE LIVE PERFOMANCE AT OGEMBO CRUSADE
มุมมอง 18011 หลายเดือนก่อน
MAGENA MAIN YEYE NI MUNGU PEKEE LIVE PERFOMANCE AT OGEMBO CRUSADE
NANI KAMA WEWE BWANA NYEGEZI SDA CHOIR LIVE PERFORMANCE AT OGEMBO CRUSADE KENYA 2023
มุมมอง 655ปีที่แล้ว
NANI KAMA WEWE BWANA NYEGEZI SDA CHOIR LIVE PERFORMANCE AT OGEMBO CRUSADE KENYA 2023
Enyi watu njooni tumsifu MUNGU Nyegezi Junior (Live perfomance)
มุมมอง 712ปีที่แล้ว
Enyi watu njooni tumsifu MUNGU Nyegezi Junior (Live perfomance)
NITAKWENDA WIMBO WA KUKUWEKA PARADISO ( Nundu Sda Choir)
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
NITAKWENDA WIMBO WA KUKUWEKA PARADISO ( Nundu Sda Choir)
Pastor MUNGU akubariki
Lakini sijaelewa PK'S ina maana gani?
Mungu awatangulie sana sana katika upokeaji wa mibaraka hii
Je kwa kweli watoto wa wachungaji watageuka??
Semina nzuri sana niko drc
Mchungaji tumeshukuru sana kwa kutuhelimisha zaidi
Amina🙏🙏🙏
Na nguo yake ya LGBTQ
HONGERA DANIEL NA DAMARI
Ongera sana Dany kwa hatua hiyo kaka
Nachokijua ni kwamba Wakristo wote tunaongozwa na Maandiko Matakatifu [Biblia] na tunapomjua Yesu inatubidi tuachane na mambo yote ya kimila
🎉
Kwani ndo mnashidwa hata kuwazuia kuhudhuria huo mjadala wanakuja nusu uchi mnawapokea tu
Wito wenu kwa kazi ya Mungu ni wa Muhimu ... Ninatamani niwaone physically niwapongeze.... maisha yako Pr Mbwana yamenifanya nifikiri mara kwa mara hii inanikumbusha kuwa usione vinaelea vimeundwa ..... mmeupiga mwendo ..... Mama Mbwana Mungu akubariki nyie ni heroes Mungu awapiganie awatumie kwa kadri ya mapenzi yake
Asanten kwa mahubr
Mussa kuhoka nabarikiwa sana
Pastor hata sisi tunauwezo wa kifedha Ila inaliwa na watu wachache
Jamani mnafundisha watu nini???mjadala makini namna hii mnashindwa kuangalia mtu amevaa nn mnamuweka mtoto wa mchungaji amevaa hovyo hovyo tu
Maana ya PK naomba msaada eeeee baba
Pastor's kids
Angalien focus zenu sometimes haziko sawa vijana wangu, nawafatilia sana
Nimebarikiwa asubuhi ya Leo maana wimbo huu nimeutafuta miaka mingi❤❤
Pks nini?
Pastor's Kids
Mungu akubariki sana mchungaji umejenga sana.
Blessings...
Barikwa Pastor Mbwana kwa ujumbe Mzur
Seminar Nzuri sana Tatizo watoto Wachungaji hawabadili kusuka nyewee Kuvaa Nguo Nusu uchi ma Pk Hube tukueni hatua
@@philipokakwimba1174 tatizo sio watt wa wachungaji tatizo ni la binadamu mwenyewe na uchaguzi wake, kila.mtu kaumbwa kwa namna yake, sio watt wa wachungaji tu hata watt wako hawako kamili.
Uhuru wa kuchagua
Tunabarikiwa sana pasta
Lusi Nyakutonya uko uku 😊
Hizo nafasi za kwenda kusoma korea theology ukihitaj unamtafuta nani
Mungu awatie nguvu
hii imefanyika lini
Be blessed
Pr Swita, Kwa swali Hilo la Kaimu mch Umesema vema lkn Leo Kila Kona na Kila mtaa wapo na wanajulikana hivyo na wanatambulishwa hivyo na hakuna katazo juu ya Hilo lkn pia wasaidizi WA wachungaji Kwa mujibu WA mwongozo WA KANISA ni wazee WA makanisa. Mahali pengine unakuta Hawo waonaitwa makaimu si miongoni mwa wazee WA KANISA mojawapo.
Pr Mbwana Mungu akubariki sana. Umeniongea mwendo kiroho. Barikiwa sana
Pk chukueni uzoefu na Mashauri hayo ni kuyarithisha makanisani Kwa vitendo. Mbarikiwe Sana na Bwana awe nanyi.
Huyu dada amevaa nini
@@IsayaNgoiva nguo mkuu
Alikuwa uchi. Lihimidiwe jina la Mungu kwamba mama huyu amemuondoa. Ndio tatizo la watoto wa kike wa wachungaji.
Hivi unafikiri Hawajui Kuwa Hiyo Sio..? Wanawake Wote wanaovaa Nusu Uchi Wanajua Sema kama Kawaida Ya Wanawake ni viburi Mno Eti Mungu anaona Wakati Ujinga tu na Bahati mbaya Wengi Hata wazazi Wao Wanachangia Kabisa Maana hawawambii na Wengine Ndio Hizo Hizo wkipita Dukani Wananunua..Shetani Hajafa na Hajabatozwa Bado..
Barikiwa postr kwa majibu yakina na meelezo ya kujenga
Hongereni Sana Mr &Mrs Pr.G.Mbwana
Naku wa Suji hongera Sana mama Mchungaji nice Calpol
Hawa sasa mmh
Hongeren
Mungu akubariki kwa maneno yenye kutia nguvu
Mungu awabariki sana. 👋👋👋
BARIKIWA SANA
Mungu akubariki Sana pr Mbwana
Kweli huu wimbo ume niliza sana tena sana
Hunger pr mbwana nimafundisho mazuri sana binafisi nimejifuza kitu
Ubarikiwe sana mchungaji kww utumishi bora, nataman siku kama ya leo ningepata mahibir yenu nikaunga nanyi siku ya sabato tubarikiwe pamoja
Fiken mbal watot wazuri Mungu awabariki San san
In everything we must place GOD first
Ameeeen hallelujah