Mchezaji kama huyo angekuwa ametoka yanga kwenda Simba story za salamba zingekuwa tofauti sana. AMA kweli Eng. Herse amefanya kazi nzuri. Hii ni zaidi ya ushabiki.
Salamba hiyo haikuwa vita ya pesa. Ukweli unaujua lakini hataki kusema. Anayedhani Simba imekosa pesa kumwachia Chama atakuwa hana akili sawasawa. Ni kama kwenye mnada mtu anayeshinda siyo kwamba yeye ndiye mwenye pesa nyingi kuliko wengine bali ni mwenye mahitaji makubwa zaidi kuliko wenzake.
Unge jielewa usingelisema hayo tofautisha mgana anaecheza south Africa kuamia Tanzania yanga sport club au mangu na msouth Africa anae cheza ligi ya south Africa nakuja yanga au simba au Moro united
Mchezaji kama huyo angekuwa ametoka yanga kwenda Simba story za salamba zingekuwa tofauti sana. AMA kweli Eng. Herse amefanya kazi nzuri. Hii ni zaidi ya ushabiki.
leo nipeni like zangu nimekuwa wa kwanza
Kama kichaa
Salamba hiyo haikuwa vita ya pesa. Ukweli unaujua lakini hataki kusema. Anayedhani Simba imekosa pesa kumwachia Chama atakuwa hana akili sawasawa.
Ni kama kwenye mnada mtu anayeshinda siyo kwamba yeye ndiye mwenye pesa nyingi kuliko wengine bali ni mwenye mahitaji makubwa zaidi kuliko wenzake.
Salamba nakuelewa kwa kweli
Leo nime kuelewa umedadavua kiufundi zaidi
Ivi ata chukua no ya nani pale Yanga
Hata wa pil anakufa kufa hakuchagui namba
Sure
Tunamtqka chama zaidi kimataifa so ligi bara
Unajua maneno ya chama yamekua tumarchi so tunatak ukwer mtupu kua anakuja irotu
unaeleweka 3:26
skudu sio wa kwanza kutoka South Africa ,, morisson ndo alikuwa wa kwanza alitoka ligi ya South African
Nadhani haukuelewa mkuu Morrison sio msouth inamaanishwa msouth wakwanza kuja kucheza Tz
Unge jielewa usingelisema hayo tofautisha mgana anaecheza south Africa kuamia Tanzania yanga sport club au mangu na msouth Africa anae cheza ligi ya south Africa nakuja yanga au simba au Moro united
Ko chama yanga
Wakwanza ndo Huwa wanakufa mapema
Mfugaji akiuza ngo'mbe mzee ujue maziwa yamekaribia mwisho
Kwani siyo yule Chama ambaye hana mchezaji wa kulinganishwa naye kwenye ligi ya Tanzania? Mbona mmebadilika ghafla
Aende bwana kwani yeye anacheza pekeyake