MBWADUKE: KI AZIVURUGA WYDAD, CHIEFS, PIRATES KWA MPIGO/ ZAPANIA KUVUNJA BENKI KUMNASA/ GAMONDI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @manjaroplatnum4917
    @manjaroplatnum4917 2 หลายเดือนก่อน +5

    Watuachie azizi ki wetu 🎉❤

  • @amp1952
    @amp1952 2 หลายเดือนก่อน +7

    Baada ya usajiri wa washambuliaji Dube na Baleke, mmojawapo akicheza pamoja na Mzinze, timu pinzani zisipokuwa na safu ya ulinzi imara, zitafungwa magoli mengi kwa kuwa wapikaji wa nafasi za kufunga magoli (Aziz K, Pacome, Max, Chama) wako na ubora sana

  • @yusuphaman3449
    @yusuphaman3449 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wasitusumbue bhana iyo kazi tumemuachia Dada yetu mobeto😂

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 2 หลายเดือนก่อน +3

    Watafute wachezaji wengine watuachie Azizi ki wetu kwani wachezaji wengine hawawaoni Young Africans Sports Club chama kubwa

  • @MwitaHamismwita
    @MwitaHamismwita 2 หลายเดือนก่อน +5

    Watu wanataka champion league ciyo kujenga timu

  • @allysinde6208
    @allysinde6208 2 หลายเดือนก่อน +2

    Duh, Ki Ni Moto

  • @faharihakikazi
    @faharihakikazi 2 หลายเดือนก่อน +3

    wamtafute gwede wakamchukue kwani sisi hatumwitaji Aziz ki?

  • @MwitaHamismwita
    @MwitaHamismwita 2 หลายเดือนก่อน +3

    Uhakika

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanasumbua kumtaka kwa sababu wanajua hapo yanga analipwa kiasi kidogo wanataka watoe hela nyingi kwa yanga na mchezaji pia lakini huyo kijana kapigwa upofu haoni hela wala hastuki yeye anachoona ni mobeto na yanga kwishinei 😮

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wasubiri next season sa hv tuna jambo nae

  • @StevenKapugi
    @StevenKapugi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aziz not for sale

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bahat nzuri aziz k mwenyew hawataki alf Nabi hajui kumtumia aziz si alikuwaga anamweka bench? Yaani atoke tim inayoshirk ligi ya mabingwa ende kucheza tim inamaliza nafasi ya 10 kwenye ligi😂😂😂😂😂😂😂 wanaota alf mokwena kisirani chake cha kumtaka ki amehamia nacho wydad ebu akamchukue fei hatuache na ki wetu

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 2 หลายเดือนก่อน

      Sijui kwa nini Nabi asimchukue Fei maana alikuwa hamwelewi Azizi

  • @allysinde6208
    @allysinde6208 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ki alivumiliwa Sana na Yanga kipind wanamlinganisha na Fei, kua Fei anacheza Mpira mkubwa kuliko yeye, kwaio na yeye hajasahau fadhila anaivumilia Yanga na anaipenda na mashabiki tunampenda pia.....

    • @SamweliMango
      @SamweliMango 2 หลายเดือนก่อน +1

      Fei!!!! Takataka ile

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 2 หลายเดือนก่อน

      Wachambuzi walimponda Azizi!!!

  • @pascalemmanuel2557
    @pascalemmanuel2557 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @reubenmakalla745
    @reubenmakalla745 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaomtaka Ki waungane na Yanga kuchukua Ubingwa wa Club Bingwa Africa (Champions League)

  • @Omarymatelephone
    @Omarymatelephone 2 หลายเดือนก่อน +10

    Familia ya mwaduke mko wapi njoo I Sasa baba wanaleta madini ya uhakika

    • @IqramIddi
      @IqramIddi 2 หลายเดือนก่อน +2

      Wakamchukue aziazi ally

    • @IqramIddi
      @IqramIddi 2 หลายเดือนก่อน +2

      Wakamchukue. Azizi ally

    • @jumamkoka2267
      @jumamkoka2267 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 หลายเดือนก่อน

      Tutawapa Aziz Andambwile kama shida Yao ni Aziz 😂😂😂 ila master ki ... Yupo

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 2 หลายเดือนก่อน

      Shetani wa aziz ki hataki hela.. Yeye anataka yanga tu...
      😂😂. Kapigwa upofu mpaka akizinduka na mpira wenyewe umeisha..

  • @LucyVictor-c9c
    @LucyVictor-c9c 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo nae Nabi mnoko sana...si ni yeye alikuwa anamuweka bench kipindi akiwa Coacher Yanga...sasa leo anawashwa nn!!? Aache mchecheto......maana amekuwa takataka wa wachezaji wa yanga.....mara Max, mara Diarra, mara Ki,....akae kwa kutulia....

    • @ahmedmsangi1653
      @ahmedmsangi1653 2 หลายเดือนก่อน +1

      Bora uwakumbushe mana wanajifamya hawakumbuki Koch mnoko sana

    • @LucyVictor-c9c
      @LucyVictor-c9c 2 หลายเดือนก่อน

      @@ahmedmsangi1653 mshenzi yeye anakera sana....

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂si nabi alikua anamueka benchi amchukue fei aliyekua anaanzisha Aziz atauzwa msimu ujao ila huu viongozi awawezi kumuuza naamini ilo